Рет қаралды 27,784
GSM Home imefanya punguzo la Bei kwa zaidi ya Asilimia 70 kwa wake takribani Wiki moja Gulio linaendelea.
Semaji la Wananchi Ally Kamwe ametinga Maduka ya GSM Home kufanya manunuzi ya Vyombo kwa ajili ya Mke wake anaetarajia kufunga nae ndoa Siku za Usoni.
Kamwe amefanya manunuzi ya Vyombo pamoja na Bidhaa za Watoto baada ya kusikia Gulio la punguzo la Bei ndani ya GSM Home.