Kamwe usitumie pesa ya biashara kiholela(hovyo),tumia njia hii ili biashara yako isife-Mchumi

  Рет қаралды 320

Mchumi Digital

Mchumi Digital

Күн бұрын

Umewahi kuona kuna watu wameanzisha biashara zao lakini baada ya muda mfupi biashara zile zinakufa.
Mojawapo ya sababu zinazofanya biashara nyingi kufa ni pamoja na matumizi mabaya ya pesa za biashara kwenda kwenye matumizi binafsi.
Unaweza kujiuliza kwamba tafanyaje sasa ili niweze kumudu mahitaji yangu binafsi ya msingi na wakati mimi ndie mwenye biashara?
Jibu ni kuwa unatakiwa uwe na utaratibu mzuri wa kujilipa mshahara kwenye biashara yako ili kuweka sawa mahesabu.
Ukijilipa mshahara utakua na nidhamu na matumizi ya pesa zinazotoka kwenye biashara yako na hutachota pesa kiholela na pesa zako zitaondoka kiutaratibu.
Njia hii ni nzuri na imesaidia wafanyabiashara wengi ambao wanaendelea kudumu na biashara zao,tofauti na ukifanya mazoea ya kawaida ya kuchota pesa za biashara bila utaratibu
👉Gusa hapo chini ili kuona huduma na ofa zetu hapa Mchumi Consulting 👇
linktr.ee/mchu...
#biashara #masoko #mtandaoni #mtaji

Пікірлер: 2
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 22 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 68 МЛН
BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza
17:40
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 32 М.
Innovating Order Orchestration in Supply Chains ✈️🚢🚚
59:39
Let's Talk Supply Chain
Рет қаралды 4,2 М.
BIASHARA INAYOINGIZA PESA  HARAKA - FIDELIS RUGARABAMU.
8:02
Fidelis Rugarabamu
Рет қаралды 14 М.
MTOTO WA MFALME ZUMARIDI ATOA UTAMBULISHO WA WAALIKWA WOTE
38:40
ZumaridiNews Tv
Рет қаралды 2 М.
KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho "SAA NANE"
6:59
Millard Ayo
Рет қаралды 64 М.
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
POLISI WAZUA BALAA, WATOA KICHAPO, MGONJWA ABEBWA JUU JUU...
3:15
Wasafi Media
Рет қаралды 54 М.