Yaani pastor ndacha katika maswari ya dada Mariam umeshindwa kujibu kasababu wewe ukikutana na wasilamu unasema yesu ni mungu katika roho, katika mada hi unakata sababu haw elewi ku husu utatu, ,mmbona munatipoteza
@josephkirimi5453Күн бұрын
Kanisa ni la Mungu. Hayo mengine sio makanisa, mbali ni ndini za watu. Jina la kanisa la kipekee ni KANISA LA MUNGU. Ndini zimejipatia majina yao.
@SimonChimbanoКүн бұрын
Usabato urikuwepo na amri za mungu 10 katika izo amri zinasema mwana damu akifumaniwa kufanya unzinzi akamatwe ashomwe moto je niwasabato wangapi mwaka hu wameshomwa awu akuna wanzizi
@mush337Күн бұрын
Eti yesu akitembea duniani ameacha nani mbinguni 😂😂eiiish swali la waislamu .
@jumamnyonge2148Күн бұрын
Hakuna hata kanisa Moja la kweli zote biashara na Ni Nyumba za shenat Ufunuo 2:12:13
@mush337Күн бұрын
Je unaamini yesu alikufa mwili tu wa binadamu ama hadi roho yake ambayo ni mungu?
@FrancisNdakala3 күн бұрын
Yesu yu aja tubuni dhambi zenu!!!
@Visionofeagle96892 күн бұрын
WanKongo wako sahihi kanisa, tuache ushabiki.
@japhetndoro65333 күн бұрын
Wa Congo wameshindwa hii mada
@AminiIlungajuma2 күн бұрын
The Quran said it already hawatahelewana paka kiyama
@ShabaniRashidi-d2v2 күн бұрын
Makanisa yote wameanzisha wazungu ata yesu ajawai ingia wala kujenga kanisa kama ni wa kweli toeni andiko kuwa yesu aliingia kanisani au yesu asema ukristo ni dini ya mungu
@janethmwihumbo1289Күн бұрын
Mungu anaishi ndani ya mtu na shetani ndani ya mtu,kuanzia dini yeyote kwa Mzungu au muharabu sio shida Mungu alipenda iwe hivyo ndomana Kuna mashehe,na wachungaji ,
@gabrielsasi46366 сағат бұрын
Yesu ndiye kristo,ukristo ni wa mfuatao
@bashirmahero70212 күн бұрын
Ukweli ni kwamba ukristo ni upuuzi mtupu sababu cha kwanza. Mnabishana wenyewe kwa wenyewe qurani imesimama palpale Islam dinili khaq before God
@Visionofeagle96892 күн бұрын
Wewe huna akili kabisa eti Ukristo ni upuuzi??
@mjombawallace49662 күн бұрын
What's this read here Abit Islam ↪️By the One in Whose hand is the soul of Muhammad, my Ummah will be divided into seventy-three sects, one of which will be in Paradise and seventy-two will be in the Fire.” It was said, O Messenger of Allaah, who are they? He said, “Al-Jamaa'ah.” Sunan Ibn Maajah, no. 3982.
@mjombawallace49662 күн бұрын
@@Visionofeagle9689achana na watoto wa Ismael
@janethmwihumbo1289Күн бұрын
Kama ni dini ya kweli,kwanini Mbinguni hampo kule,,Kila anaye onyeshwa maono ya walioko paradiso kwenye Raha ya milele hamuonekani,
@funakoshtadash61635 сағат бұрын
Rafiki, Mungu akusamehe maana hata quran ya Muhamad huijui,, ebu soma maneno hayo na kama uweza kutafakari unaweza kujua hapo anaongelewa nani na katika viwango gani,,,يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَى مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِّنْهُ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ انتَهُوا خَيْرًا لَّكُمْ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَهٌ وَاحِدٌ سُبْحَانَهُ أَن يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ وَكَفَى بِاللَّهِ وَكِيلًا(171) Surat An-Nisa Msahafu wa Kiswahili Quran المصحف السواحيلي mp3quran.net/apps/swahili