Mungu akusimamie, na akutumie kwa kiwango cha juu, kwaajiri unajua kila kitu. Na yesu ni bora kuliko vyote 👏🏽
@Madsan-q7i9 ай бұрын
Naposikia mtu anamhubiri Yesu Kristo orijino najisikia vizuri sana
@vickysteven11728 ай бұрын
Ameen
@victorianchimbi86407 ай бұрын
Amen na mimi pia
@Polycam0luwe2 күн бұрын
Ubarikiwee na Yesu anipe nguvu ya kushi.nda dhambi na anilinde na adui amen😊
@Esthermordecai9 ай бұрын
Uyu mchungaji Katekela amekuwa wa baraka katika maisha ya wengi,acha Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi "bendera chuma mlingoti chuma ".❤️
@vickysteven11728 ай бұрын
Ameen
@sifakarulange8 ай бұрын
Amen
@Adammwakibite7 күн бұрын
Plus
@NeemaMrisho-y5o8 ай бұрын
Mungu ana tupenda sanaa jmn Kila kitu kimewekwa wazi uchaguzi n wetu 🙏🙏
@annangowi55178 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nakufuatilia Sana na niko pamoja na wewe
@MarkMabinga8 ай бұрын
Mungu akulinde daima,atakaye kukugusa,awe anaigusa mboni ya jicho la Mungu
@lilianluhasi3119 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo. Pesa si kitu mbele ya mwenyezi Mungu, na ni mtego kweli wa shetani
@nitwelesimon43039 ай бұрын
Mwenye Masikio na Asikie, Mungu atusaidie
@elizabethmakaranga2183 ай бұрын
Eeee mungu tusaidie kufanya matengenezo na uokuvu wa kweli ,amen ,ndugu Amiel katekeza mwinjilisti ufike mbali ktk huduma hii
@ntihebuwayojoselyne28768 ай бұрын
Mungu ni mwenye nguvu kuzidi wote , Mungu aendeleye kuwa nawewe siku zote .
@GggyJhh-y4x9 ай бұрын
Amina sana mtumishi kwakweli mungu atusaidie sana Maana bila musaada wa mungu hatuwezi
@fitinamarando9 ай бұрын
Eee Mungu atusaidie saana. Mch katelkella Mungu akulinde uendelee kutufundisha na kutueleza ukweli. Amina
@JaneWanje8 ай бұрын
BWANA YESU APEWE SIFA UNAWEZAJE KUFIKA KWETU MASASI MTWARA?
@FaithNdahani3 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wa Mungu hata vizazi vetu vipate shuhuda zako nimebarikiwa saaaan👏👏👏👏👏👏👏
@EsterMwamakamba27 күн бұрын
Amen mtumishi wa Mungu..🙏 Mungu akutunze umebadili maisha ya wangu amina
@mariakalama30148 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji katekela na mungu akulinde na atie nguvu kutangaza jina la bwana wetu Yesu kristo!!
@MarthaChuwa-o6b8 ай бұрын
We mchungaji nimekupenda Bure unafundisha viatu vya kweli unamhubiri YESU halisi yaani natamani ungekuwa karibu niwe muumini Kwa uwaminifu Jamani Mungu akubariki zaidi na akupe uwezo wakutufundisha zaidi yaani siachi angali hii charnel weeeeeh ni moto
@SalimaMsafiri-s9dАй бұрын
Bwana yesu asifiwe na MUNGU atuhurumie sana 🙏🙏🙏
@flavianarwebangira67269 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yenye weredi mkubwa .Mungu aendelee kukutunza kimwili na kiroho umtangaze Kristo aliye hai pembe zote za dunia.
@AnjelinaMheni2 ай бұрын
Mungu akusaidie sana mtumishi wa bwana ubarikiwe sana na mim nabarikiwa sana tena sanaaaaaaa
@RehemaRehemaJosephbarakaАй бұрын
Amen mtumishi mngu akubaliki
@absalimlufyagile49749 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mungu akubaliki sana
@MadeleineJuma8 ай бұрын
Mungu akuwezeshe Tena na tena Bwana Yesu akulinde chini ya uvuli wa Damu yake
@lilianluhasi3119 ай бұрын
Damu ya Yesu Kristo imefanya ini lako kuwa hai zaidi ya asilimia mia kwa jina la Yesu Kristo
@SOPHIABUNZAR5 ай бұрын
Mungu ni muweza was yote mutumishi mungu akubarik kwa mahubir yako
@DenisCasey-kh8ub5 ай бұрын
Amen asante Yesu Kristo kwa tufunulia mazito tusiyoyajua asante Bwana Yesu
@antoinensabimana28624 ай бұрын
Imani yangu imeongezeka kuskiya Yesu amemulinda bifo 54, Mungu ni mwenye uruma pia Yesu Christu ndo mweza yote,ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
@EricMaingi-f8b6 ай бұрын
Amina, Mungu ametupa Neema kuu ya Yesu Kristu
@NoreenNgandangoАй бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Mungu atusaidie
@johnmkama89025 ай бұрын
We Yaredi katekela umeokoka kutokana na wengi walioko kigoma waliifungwa kwa giza kuu Mungu akubariki Sana AMEN
@aminakyungu84149 ай бұрын
Amina mchungaji MUNGU atusaidie
@TeddyDaghau6 ай бұрын
Ni mara ya kwanza kumsikiliza. Mchukaji huyu kweli YESU ANA WATU NIMEPENDA NENO HILI BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@AgnessMpanduka-l5g3 ай бұрын
Umekosa mambo mazuri mengi kutokana na mahubiri ya Mchungaji, Ukisikiliza vizuri utajua mambo mengi ya ajabu yaliopo huku Duniani.
@adeladaudi20475 ай бұрын
Mungu Nisaidie mi na familia yangu kupitia jina la Yesu siku zote za maisha yangu wala usinipungukie maana dunia imejaa dhiki😢😢
@DanielMogena7 ай бұрын
God bless you pastor amielly katika yesu akuzingire maana wengi walitolewa kusimu lakini hawajaweka mambo ya kuzimu hatarani kama wewe aisee asante yesu wa Mbinguni
@fitinamarando9 ай бұрын
Semina hii ilinipita namshukuru Mungu naendelea kubarikiwa. Mungu ambariki Mch Katekella
@JaneKuyokwa-ng2qf9 ай бұрын
Amen mtumishi mungu akubaliki
@irenehochstaffel83678 ай бұрын
Asante sana, Mchungaji Amiel Katekela.wewe ndio sababu yangu kuokoka kweli, kumkubali Yesu na kuacha njia za giza. Asante Yesu kwa kumuokoa Amiel Katekela kwa Shuhuda zake za kufungua Macho ya kiroho, wengi tumeokoka na hatutarudi nyuma.
@SamwelEnock-i2s6 ай бұрын
Bwana Yesu azidi kukutunza sana Mtumishi wa MUNGU alie hai
@gracebasondole6990Ай бұрын
Amen,amen mtu wa mungu kutufundisha kweli ya mungu
@AhadiMatenga23 күн бұрын
Mungu akubariki bàba mchungaji
@ERICAHMWAKILUNGU4 ай бұрын
Nabarikiwa mnoooo.... Natamani watu waamin maana Kuna ambao wangependa kuwekwa wazi hao manabii lakini hata wakiwekwa wazi watu hawataamini
@rosettenyandwi63349 ай бұрын
Amen Amen hakika nimebarikiwa naMutumishi waMungu
@williammahigi8898 ай бұрын
🎉
@williammahigi8898 ай бұрын
Watching from Kenya
@SudaNyalupagi8 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi katekela
@rhobishaidi85082 ай бұрын
Watching from SA. Lord protect your servant against the enemy
@EmmyPatrick-u2i2 ай бұрын
Daaah mungu nihurumie asante kwa mafundisho
@DeusFesto-iz2re9 ай бұрын
Ushuhuda Safi kwa wenye Moyo wa nyama lakn wenye Moyo wa jiwe mmmm
@davisnyandindi49173 ай бұрын
Hata sijui cha kufanya nikisikiaga ushuhuda kama huu nataman hata ningekufa wakati Mungu anikomboe aniongoze muda wote inatisha sana hii dunia