Asante mtumishi wa Bwana umeeleweka ubarikiwe sana, Mungu azidi kukutumia uwe baraka kwa wengi
@askariwabwana21 күн бұрын
Dah nimekuelewa babangu!!!
@deussimbeye95312 ай бұрын
Amina baba tunakuelewa
@grantngonyani47282 ай бұрын
Amina Baba
@EBM-p5n2 ай бұрын
Jambo tena baba tuko pamoja nikonakufuata
@mlowegb40972 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe Wana na Binti wa Mungu......! Kwahabari ya makosa ya mwezi wa Sita... Umeeleweka Mchungaji. Lakini kwa habari ya kufa ninashaka kama ulicho fundisha ni kweli....!!??..... Kwani kama Eva na Adam wasingekula tunda walilo katazwa mpaka Leo... Je kungekuwa na kufa....? Kumbuka siku moja kwa Bwana Mungu ni Sawa na miaka Elfu..... Bwana Mungu alipo Muumba Binadamu hakumwambia nakuumba kwa Lengo la kuja kuku-ua siku moja..... Alimwambia atakufa akienda kinyume na maagizo ya Muumba wake. Asinge kula tunda sidhani kama kungekuwa na Kufa Kimwili au Kiroho.... Tungeishi Milele Kimwili na Kiroho pia.... Sasa tunakufa Kimwili kwasababu ya kula tunda tulilo katazwa. Amen Mzidi kubarikiwa na Bwana Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.