MEDIA VATICAN ILIVYORIPOTI A-Z MSIMAMO WA MAASKOFU TEC KUHUSU UWEKEZAJI BANDARINI

  Рет қаралды 110,298

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

Күн бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 419
@celinaceline4236
@celinaceline4236 Жыл бұрын
Waraka mtamu sana umejaa hekima! Hongereni maaskofu kwa maamuzi wa kutoa waraka huu. Mungu awatunze na kuwabariki
@feristadaudi6599
@feristadaudi6599 Жыл бұрын
Kiukweli watumishi tumwombeni sana mungu wetu hatuelewi twedako paspo mungu hatuwezi
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Mungu ilinde Tanzania na wananchi wake wote Amina
@isaackway1956
@isaackway1956 Жыл бұрын
Pamoja nanyi Mungu Roho Mtakatifu atende nasi kwenye Taifa letu teule❤. Asante sana kutulea kimwini na kiroho.
@AlfonceMwakadama
@AlfonceMwakadama Жыл бұрын
Maaskofu wetu hongereni kwa kutiisauti ya MUNGU ,Bwana YESU ali wambia mkinyamza , mawe yataongea Taranta mlizopewa na MUNGU mnazitendea haki MuNGU awape maisha malefu,
@chobhalikogisukilo3280
@chobhalikogisukilo3280 Жыл бұрын
Hongereni sana Mababa, kwa tamko lenu, "mnapenda kwa dhati kiongozi wetu mkuu wa nchi, wananchi na taifa letu!". Mtu mwema, huelezea mapungufu yangu ili nijikosoe!
@gasparmwanalyela
@gasparmwanalyela Жыл бұрын
Kanisa la Tanzania limetenda jambo jema sana. Taifa halikuwekwa na wanasiasa bali Mungu mweneyewe. Mungu ameruhusu uwepo wa siasa miongonibmwa watu wake ambao katika hao utukufu wake na neema zinadhihirika, na kama mamlaka zote huwekwa na Mungu na huyo Mungu ndiye Mungu wa mema yote. Kanisa haliwezi kuacha kushughulikia mambo yanayohusu Taifa naam yanayo husu siasa na ustawi wa waamini.
@VeliklesiaKagemulo-fb7gl
@VeliklesiaKagemulo-fb7gl Жыл бұрын
Asanteni Sana Maaskofu kwa kutuwakilisha. Mungu ibariki Tanzania🙏.
@StevenMlumba-iu3kr
@StevenMlumba-iu3kr Жыл бұрын
Màaskofu wa kanisa katoliki Wana uwelewa sana wamegundua shida watakayo pata watanganyika. Wasiludi nyuma tupo nyuma yao.
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo Жыл бұрын
Ee Mwenyewe Mungu wabariki maaskofu na pia iokoe nchi yetu dhidi ya miungu watu wanaotaka kuuza rasrimali zetu
@wilsonmkumbo7199
@wilsonmkumbo7199 Жыл бұрын
Acheni uchafu huo WA siasa na dini,niwahakikishie ukiona kiongozi WA dini anaingiza mguu wake key siasa huyo anaelekea kuharibika,huyo hafai tena
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw Жыл бұрын
@@wilsonmkumbo7199 kwaiyo akisifia hakaingilia siasa,
@rebeccamsami4580
@rebeccamsami4580 Жыл бұрын
Mungu uwabariki watumishi wako Kwa kuwa wanasimamia haki na wewe ni Mungu wa haki.Amina
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 Жыл бұрын
Nimeupenda waraka huu sana ...sijaju wa chungaji ...kaz yenu nni au nikuhimiza.michango2na sadaka ...mambo kama haya yakimsingi...kama haya .....hongeren sana maaskofu ...mmi siomkatoliki ila kwa hili nimewapenda pule🙏🙏
@maresianantibakazi-yh4qd
@maresianantibakazi-yh4qd Жыл бұрын
Nasadiki kanisa moja takatifu katoriki la mitume.mungu wabariki washiriki wote na sisi tunaopinga mkataba amina
@monicagabriel4388
@monicagabriel4388 Жыл бұрын
Asanteni sana Mababa zetu Tunamwombea Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu Hasan aisikie sauti ya Mungu kupitia kiliio cha watu wake Sisi Watanzania wanyonge.Ardhi ya Tanzania ni kwa Ajili ya Watanzaia tu.Amani yetu na idumu Mungu Umbariki Rais wetu Afutilie mbali Mkataba huo mbovu unawabana Wtanzania Maskiini.Amima.
@aloycetz2022
@aloycetz2022 Жыл бұрын
Saf san
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Mungu awabariki sana viongozi wa RC kwa kutokuwa wanafiki katika hili la uuzwaji wa bandari.maaskofu wa KKKT ni wanafiki sana.
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 Жыл бұрын
Wanafiki snaaa
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
​@@deusjoseph8554SIyo wanafiki,Mimi kama nilimurlewa askofu shoo WA kkkt,alichomwambia mama ni kwamba ANAENDELEA kumkumbusha Yale mapendekezo waliyompelekea na kuahidi atayafanyia KAZI,basi bado wapo na Yale na wanamkumbusha kuyafanyia KAZI Yale.
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Жыл бұрын
Waraka mzuri sana unaeleweka umejaa upendo wa kimungu hekima na utetezi wa TAIFA letu mungu awabarik na afanye njia
@jonaskweyamba9747
@jonaskweyamba9747 Жыл бұрын
Amina na sauti ya watu Ni sauti ya Mungu kwa Imani yangu na kwa maombezi ya Mtakatifu Yoseph Mfanyakazi baba mlishi tumlilie atatenda kweli juu ya mkataba huu na kwa maombezi ya Bikra Maria.
@barakasenyagwa30
@barakasenyagwa30 Жыл бұрын
Mungu wabariki hawa maasikofu ibariki tanzania
@josephkimisha838
@josephkimisha838 Жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu tuokoa na janga hili. Asante sana maaskofu
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Amina maaskofu. Mmetutetea wanyonge wa nchi hii tusio na uwezo wa kusema neno
@mysoulproclaimsthelordmygodmam
@mysoulproclaimsthelordmygodmam Жыл бұрын
Mungu Atukuzwe sana kwa ajili yenu Baba zetu Maaskofu kwa kuwa sauti ya wanyonge. Anayewabariki abarikiwe na anayewalaani alaaniwe. Mungu Ibariki TZA na watu wake. Amina.
@PAULOWILLIAMWILLIAM-bs2fv
@PAULOWILLIAMWILLIAM-bs2fv Жыл бұрын
Mungu atawasimamia maaskofu wakatoriki tumewaelewanmno
@angelsulle7177
@angelsulle7177 Жыл бұрын
Waraka wa TEC. Hauzungumzii uislamu Wala siasa Wanafiki wanao subiri masilahi Kwa mwarabu wamechanganyikiwaaa!!!! Na kupanda majukwaani kujarbu kuwaziba TEC.midomo. nasema hamweziiiiiii!!!!! Mungu awafedheheshe wanafiki
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 Жыл бұрын
NASHAURIi pia tuwawekee ulinzi wa sala na MAOMBI maana ZAMBI KUBWA SANA KWA SERIKALI NIKUSEMA UKWELI . Waumini wote tukiomba kwa zati HUYU ibirisi ataondoka. MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU wabariki mabishop wote wenye kulisemea hili.Amina🙏🙏🙏
@josephbonifasi8895
@josephbonifasi8895 Жыл бұрын
Hongereni maskofu,huu mkataba ufutwe kabisa
@dennismadundounyamasanahom8435
@dennismadundounyamasanahom8435 Жыл бұрын
Amen🙏 Mubarikiwe sana ma askofu wetu maana tulikosa wakututetea kabisa juu ya huu mkataba ila kwakua sauti ya Mungu imezungumza naimani tutashinda na hata kule loliondo pangechunguliwa
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Жыл бұрын
Mungu asimame na sisi ee mungu tenda miujiza baba
@AlmachNestory
@AlmachNestory Жыл бұрын
Kwa neema ya Mungu tutashinda dhidi ya vibaraka wa mabeberu wanaotumia raslimali zetu vibaya kwa maslahi yao binafsi, kwani Tanzania Mungu ametubariki utajiri lakini tumenyimwa viongozi bora na imara wenye maono na mipango mizuri kama walivyokuwa wazalendo wa kweli Mwl J Nyerere na JPM.
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Ansante sana maasikofu kwa tamko lenu tuko pamoja mungu wetu hajasinsia wala kulala
@peternyamasiriri5450
@peternyamasiriri5450 Жыл бұрын
Amina maasikofu wetu kwa upeo pia madhehebu yote yaungane kutetea lasilimali zetu
@yohanampamba601
@yohanampamba601 Жыл бұрын
Binafsi nawapongeza Sana Ma Baba wetu Maaskofu kwa kuweza kusikia Sauti za watu wanyonge! Niuwazi usio pingika Serikali inatukosea sana kuto kutusikiliza.
@IvoFransis
@IvoFransis Жыл бұрын
Hongereni na asanteni mababa zetu❤
@shakilaramadhani9866
@shakilaramadhani9866 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu waabariki waaskofu
@JanethyesayaJanethyesaya
@JanethyesayaJanethyesaya Жыл бұрын
Tunawaombea maaskofu wa katoliki tanzania bara inalia machozi ya damu inaitaji Sala zenu na maombi yenu mungu awabariki
@bonifaceyekenya3706
@bonifaceyekenya3706 Жыл бұрын
Mungu awaongezeewingiwasiku zenye uheri.Rohomtakatifuazidikuwapahekimazaidi .mimipianaunganananyi kukataamkatabahu.
@chalresykedimon2254
@chalresykedimon2254 Жыл бұрын
Asante maaskofu tutashinda kwa nguvu ya mungu
@davidkalamata9040
@davidkalamata9040 Жыл бұрын
Hongereni sana, huwa hamkurupuki, ni maoni ya kina mujarabu kama wana wa Tanzania Mungu awabariki sana, Mungu ibariki Tanzania
@RichardkashinjeRudamila
@RichardkashinjeRudamila Жыл бұрын
Mko sawa. Zoezi la bandari mkataba hatuutaki,,,,
@paulogetagno
@paulogetagno Жыл бұрын
Asante wababa wa Roho kufanya maamuzi mazuri kwa maslahi ya nchi yetu Tanganyika.
@benezethbenedict1667
@benezethbenedict1667 Жыл бұрын
Tunaunga mkono kwa mikono miwili Mwenyezi MUNGU awabariki sana baba asikofu hii ndio sauti ya MUNGU
@BarakaParirong
@BarakaParirong Жыл бұрын
Cothalic big up mungu wa majeshi awabariki ukweli mko sahihi na mungu atawapigania🙏🙏
@veronicaalfred235
@veronicaalfred235 Жыл бұрын
Amina sana MUNGU Mwenyezi yupo kwa ajir yetu na atatenda kweli namwini sana BABA YETU wa MBINGUNI na DUNIANI Hanaga upuuzi huu wanaoutenda wanadamu
@hamisikiogo3726
@hamisikiogo3726 Жыл бұрын
Wakatoliki mmetuibia sana sasa hivi hatukubalii afadhali tubinafsihe nyinyi wezi ndio maana mnapinga mkataba
@emmanuelchamba08
@emmanuelchamba08 Жыл бұрын
Amina na mungu akasimame juu ya hili
@evarestdaniel340
@evarestdaniel340 Жыл бұрын
Iam proud to be catholic i love more ❤
@BettyKereth-ov2bp
@BettyKereth-ov2bp Жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie.Amina
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
RC wanaakili kubwa sana wanatizama mbele sana wasifikirie hawaoni kinacho endelea
@revilsonsariah307
@revilsonsariah307 Жыл бұрын
Mungu atasaidie tudumishe amani wajanja wachache wasipewe nafasi mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Hongereni sana Masikofu wa kikatoriki kwa kusimama kwenye ukweli, lazima tulinde rasilimali zetu.
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Жыл бұрын
In short, hata mtu ukawa Mkinga kiasi gani, hutashindwa kugunfua kwa nini JPM alifariki kabla ya utawala wake kutimia. Sababu zinajifunua pole pole na wahusika wanajulikana pole pole. Yangu masikio na macho. R.I.P John Magufuli
@MoriceFwaka-pt4bp
@MoriceFwaka-pt4bp Жыл бұрын
Mungu awaongoze ktk hili
@augustinob.toke1012
@augustinob.toke1012 Жыл бұрын
Hoja zote zipo sahihi cha msingi wasikilize hoja Wala hapo hamna udini hata kidogo maasikofu Mungu awabariki kwa kutambua manung'uniko ya watanzania.
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Tatizo wameshachukua cha juu inawawia vigumu kubadili mkataba kwa kuwa walijua Watanzania ni mazuzu wao ndiyo kila kitu lakini hawaoni vizazi vijazo itakuwaje kama kama bandari zitakuwa zimeuzwa kwa wageni?
@abihudikihemba5891
@abihudikihemba5891 Жыл бұрын
Ewemwenyezi mungu ibariki tanzania
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 Жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi jambo hili limebaki mkononi mwako mfalme Suleiman aliletewa kesi ya wanawake wa wili waliokuwa wanagombania mtoto hekima yake ndiyo ilimsaidia kuimaliza ile kesi akapata heshima sana hiyo sio elimu ya darasani ambayo kila mtu anayo bali ni kibali kutoka kwa Mungu kibali hicho kiwe juu yako bila maelekezo yoyote kutoka kwa mtu yoyote.
@veronicaalfred235
@veronicaalfred235 Жыл бұрын
Mi naweza sema ya Kwamba jambo hilo halipo mikononi mwa Rais bali lipo mikononi Mwa MUNGU BABA alieziumba mbingu na nchi kwa hiyo, MUNGU tu anafanya kupitia yeye Rais lakn syo rais anaefanya, kwa hiyo kazi yetu ni kunyenyekea mbele za MUNGU ili alidhibiti jambo lisifanikiwe na kuwaweka chini ya miguu yake wote wenye jeuri na kutothamin haki za Binadamu, kazi ya MUNGU ni kuwainua wanyonge 😂😂😂 HAKIKA MUNGU ni MZURI SANA binafsi NINA MPENDA SANA kupita kiasi na maelezo, kuweni na imani Tunae BABA au YESU KRISTO jemedari wa VITA asiyeshindwa na lolote atatushindia KATIKA JINA LA YESU, TUMSIFU YESU KRISTO Milele Amina
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 Жыл бұрын
Watanzania tunaweza wenyewe kwa pamoja mungu atusaidie ,amina
@piusjuma6026
@piusjuma6026 Жыл бұрын
Hongeren sana maaskofu wetu
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Hakika nikweli mi bi Halima juma 🤝👍🙏 tukopamoja
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 Жыл бұрын
Mkataba huu hauna tija kabisa tuachane nao huu mkataba kabisa. Tunawashukuru maskofu kwa uamuzi huu mbarikiwe sana.
@mawazokilingo3073
@mawazokilingo3073 Жыл бұрын
Amina, Mungu ibariki Tanzania na kuepusha mambo yasiyo faa
@aloysiakyaruzi3954
@aloysiakyaruzi3954 Жыл бұрын
Asante Baba zetu,sauti ya watu ni sauti ya Mungu
@kapamimayala2632
@kapamimayala2632 Жыл бұрын
asanteni sana maaskofu wetu kwa kwamaoni yen u hii nisauti ya mungu amen
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 Жыл бұрын
Umenifurahisha sana kupinga huu mkataba, l felt extremely happy to a catholic This sunday nitatoa sadaka yangu kubwa kuonyesha furaha yangu kwa waraka mliotoa
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 Жыл бұрын
HONGERENI SANA MAASKOFU TUPO PAMOJA NA SISI WANANCHI KWAKUKATAA KUTOUNGA MKONO MKATABA HUU WA HOVYO.TUNAJUA KABISA MUNGU AMEINGILIA KATI,AMESIKILIZA SAUTI YA WATU WAKE,KWANI SAUTI YA YA WATU NI SAUTI YA MUNGU. MUNGU IBARIKI TANGANYIKA. ASANTE MUNGU.
@hassanramadhan7846
@hassanramadhan7846 Жыл бұрын
ko kwenu ushoga oya oya lakini bandali ndo kitu kibaya kwenu, tunajua maslahi yenu pale kwenye bandari, au mnafikikiri tumesahau yale makontena ya kipindi kile
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Pumbavu
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Ivi nyie makafiri mlichukua kigezo gani kwa kutoa tathmini hii mnayosema??
@rizikidimosi7788
@rizikidimosi7788 Жыл бұрын
We user cjui,mbona huwa unatukana tu,toa hoja mzee huu mjadala wa kisomi zaidi
@Thomasmartin-e3x
@Thomasmartin-e3x Жыл бұрын
Salam kwa father mjigwa kazi nzuri ya uinjilishaji
@bhmeela
@bhmeela Жыл бұрын
Amen amen🙏🙏 hatutakiii😢😢 mkatabaaa😢😢😢, hatutakiiii, mkatabaaa💯
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe Жыл бұрын
Angekuwa mkristo mwenzenu mngekubali ila kwa kuwa sio Imani yenu mmepinga haya twende tu tutafika
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Жыл бұрын
Hivi wakati anatawala raisi mkristo maaskofu hawajawahi kutoa tamko kukosoa serikali? Na mashehe je? Liini wamewahi kutoa tamko la pamoja dhidi ya serikali tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita? Maswali hayo kila mtu ana majibu yake.
@georgemichael9842
@georgemichael9842 Жыл бұрын
Am proud to Catholic Amen 🙏
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
Sawa mkatolic wenye nchi yenu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Жыл бұрын
Shauri yako... subiri ukifa utakiona
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
@@h.alshidhani8971 😂😂😂😂😂😂😂
@hassanramadhan7846
@hassanramadhan7846 Жыл бұрын
endelea kuwa proud kupelekwa tu kama ma mbumbumbu
@hassanramadhan7846
@hassanramadhan7846 Жыл бұрын
Hivi hata haujiulizi kwanini vingozi wenu ndio wanao soma, nyie mnaobakia mkakuwa ma mbumbumbu tu, kazi kusubiria ubatizo, ukipewa comunio unajionankabisa umesha ingia ufalme wa milele. Subirieni na ujinga wenu mtajua hamjui.
@emmanuelbrassy4000
@emmanuelbrassy4000 Жыл бұрын
Mbarikiwe Baba zetu kwa kunena ukweli wa Kimungu dhidi ya watawala wa wabinafsi waliojawa choyo na ulaghai wezi wa maliasili zetu watanganyika tunaangamia kwa umasikini kwa mikataba mibovu tumechoka.
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 Жыл бұрын
Amina amina Maaskofu Mung aendelee kuwatia nguvu ktk kutupigania wananch
@PotentineTheonesti
@PotentineTheonesti Жыл бұрын
Tuwekeze kwanza katika maadili kwanza ya vijana wetu lakini shida kubwa shetani amefanya watu wawe wapenda fedha, wasaliti, wabinafsi, wenye chuki , wanasema wanampenda na kumtumikia Mungu kumbe ni kinyume chake , Sasa Mungu hasira yake inawaka juu yetu. Tusiposali na kuwekeza katika maadili ya vijana wetu nasi kutubu Mungu atageuzia uso mbali nasi
@EmmanuelOleLoningo
@EmmanuelOleLoningo Жыл бұрын
Naomba ushauri wa Maaskofu wa Katoliki isipuuzwe kama tunataka kufurahia Amani tulionayo ktk nchi yetu.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Жыл бұрын
Ahsante sana kwa kutujali na Mungu awabariki sana.
@pamelashayo6384
@pamelashayo6384 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana nimefurahi sana
@salimmbarak2825
@salimmbarak2825 Жыл бұрын
Shughulikeni na ushoga mlioukubali ktk kanisa lenu kisha ndio mje kwenye bandari,,hii sio nchi ya kikatolii wala ya watu wapumbavu wasiojielewa,lini mungu alikubali ndoa za jinsia moja....
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 Жыл бұрын
Hivi wewe akili zinakutosha
@josephissa4406
@josephissa4406 Жыл бұрын
Asanteni sana Maaskofu wetu
@sabinakinunda3127
@sabinakinunda3127 Жыл бұрын
MUNGU uwe pamoja nasi.Amen
@DAVIDJOSEPH-u8r
@DAVIDJOSEPH-u8r Жыл бұрын
Yaani. Naomba mnipokee nimewakubali saba
@EmmanueliSatabau-hi3cy
@EmmanueliSatabau-hi3cy Жыл бұрын
Mungu awape neema kwa kutafuta upatanisho
@malalengunda6582
@malalengunda6582 Жыл бұрын
Ameni , na IWE HIVYO KWA MJIBU WA SHERIA NA IWE HIVYO MILELE AMINA
@bahizimichael6061
@bahizimichael6061 Жыл бұрын
Mbarikiwe kuwa upande wa wananchi,na mumeonyesha utu uzima kwa kusema kweli , kutoka nafasi,
@kibabesaid3401
@kibabesaid3401 Жыл бұрын
Kwanza kubalini zanzibar iwe huru musituletee mambo ya kanisa
@ShaibuMniwa-gy8do
@ShaibuMniwa-gy8do Жыл бұрын
M ama lifanyie kazi Wako xawa hawa
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Shida kubwa ni Rushwa ambaye ndiye shetani mkuu anayeiumiza nchi yetu. Umaskini wa maadili ndio unaopelekeza mikataba kama hii kuwepo nchini kwetu. Ee Mungu ibariki nchi yetu na wape watoto wake nguvu za kuweza kukemea rushwa.
@philimonkajigili-hx6ph
@philimonkajigili-hx6ph Жыл бұрын
Mungu awe pamoja nanyi milele amina
@alhajiMbwambo-et2cb
@alhajiMbwambo-et2cb Жыл бұрын
Kwann asitoe tamko la ushoga kwanza anatoa matamko ambayo ayamuusu kuusu nchi yetu lakin anathibitisha ushoga uhalalishwe nanyie mnamuona mtu wamaana duh izi dini kweli mungu awasamehe maana hamjui mnachokifanya
@ChristopherMayanga
@ChristopherMayanga Жыл бұрын
Tunawashukuru maskofu wetu mungu azidi kuwapa nguvu
@JacobWilson-q9c
@JacobWilson-q9c Жыл бұрын
Eeee mungu iponye inchi yetu Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 Жыл бұрын
Waraka huu usomwe kwenye makanisa yote Tanzania. Viongozi wa dini ni wakilishi wa Mungu na viongozi wa serikl ni wakilishi wa watu na vyama vya siasa.
@songeramashauri7312
@songeramashauri7312 Жыл бұрын
Hongereni Maaskofu kanisa katoliki maana huu ni uporaji was nchi polepole Hadi waimalize viongozi wetu wamekosa uadilifu kabisa wachoangalia ni matumbo yao tu.
@PauloLeonard-ol5oo
@PauloLeonard-ol5oo Жыл бұрын
I'm proud to be a Catholic nisie yumbishwa na msomi!
@adriangodbless2362
@adriangodbless2362 Жыл бұрын
Tamko la Maaskofu ni ujumbe wa Mungu unawasilishwa kupitia makuhani. Hii bila shaka ni kauli ya Musa kwa Farao.
@abdiathumani919
@abdiathumani919 Жыл бұрын
😂😂😂
@RichardkashinjeRudamila
@RichardkashinjeRudamila Жыл бұрын
Maaskofu mungu awatangulie kutetea haki ya watanzani
@LukasmalimaFabian
@LukasmalimaFabian Жыл бұрын
Thanx RC
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Hongeraa sana
@bahizimichael6061
@bahizimichael6061 Жыл бұрын
Bora nikatwe mshahara laki 2 kila mwezi kwa miaka 5 kuchangia ujenzi wa bandari kuliko kubinafsisha kwa mkataba huu.
@djunction4127
@djunction4127 Жыл бұрын
Watanzania tunaweza, umoja wetu ni nguvu yetu
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Hao niwasomi sahii maaskofu latoliki
@zaydamos874
@zaydamos874 Жыл бұрын
Mungu awalinde muwe na afya salama
@NeemaJulius-qo2xz
@NeemaJulius-qo2xz Жыл бұрын
Mungu lisaidie taifa letu
@generoserugoye2063
@generoserugoye2063 Жыл бұрын
E Mungu tunusuru katika utata huu uwezo ni wako Baba Ili haki itendeke na watu wako wasiangamie
@RichardkashinjeRudamila
@RichardkashinjeRudamila Жыл бұрын
Mungu awabariki
@sarasoya376
@sarasoya376 Жыл бұрын
Enjoy jux na diamond
@AskofuMkembela
@AskofuMkembela Жыл бұрын
MIM so mkatoriki ila nasema mko sawa sana jambo lolote linagawa watu naamini nichancho Cha machafuko duniani pote
Trump announced the end date of the war / Emergency plane landing
14:05
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Vioja Mahakamani - Hate speech (Content Supported by MFA)
23:14
MEDIA FOCUS ON AFRICA
Рет қаралды 8 МЛН
Can you crack this beautiful equation? - University exam question
18:39
Catholics vs Protestants - 18 Differences
10:36
Nerd Robot
Рет қаралды 2,6 МЛН
Askofu Bagonza atema nyongo
10:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 22 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН