Undani Kuhusu Tamko la Kanisa katoliki Kubariki Wapenzi wa Jinsia Moja, Maaskofu Afrika Wafunguka

  Рет қаралды 13,929

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@iviandonyi4267
@iviandonyi4267 9 ай бұрын
Asante sana Kwa maoni yenu na mungu azidi na kuwafungua macho na neno la mungu lienee ipasavyo Kwa kuzudi na lengo lake
@AbubakarKumbwani-yq5vg
@AbubakarKumbwani-yq5vg 9 ай бұрын
Mimi ni Muisilamu lakini nasema kanisa Katoliki halijaruhusu ndoa za jinsia moja bali yeye Papa ndiye anayetaka Kanisa libariki mashoga
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 8 ай бұрын
Huwez kumtenganisha papa n taasisi ya kikatoliki. Ni kama kujaribu kusema kauli ya baba mwenyenyumba sio mwongozo wa maisha ya familia yke!
@MrKhatibu
@MrKhatibu 10 ай бұрын
Gay society na wayahudi ni watu wenye nguvu sana duniani,Mungu atuepushe nao
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 10 ай бұрын
Papa ana roho ya Sodoma. Haiwezekani kubariki laana. Huo ni ushetanii. Anataka wafuwasi wake wawe kama Sodoma na Gomora. Najivunia kuwa muislaam. Katika uislaam huwezi kusikia upuuzii huo na uchafu huo.
@sikah47
@sikah47 5 ай бұрын
Usiji vunie uisilam kwani papa na shehee wenu mkuu wa mfalme za ualabuni Wana mkataba wa dini moja we kuwa makini mtafute mungu
@zacharianyanda5424
@zacharianyanda5424 10 ай бұрын
Kweli munataka kwa hiari yenu Mungu awaadhibu kwa ushoga. Musubirini Yehova atakapowashukia.
@EmmanuelMbungu-c6v
@EmmanuelMbungu-c6v 8 ай бұрын
Hatupambani na shetani kwa kumbembeleza atuache, mwalimu wetu ni Yesu alitumia nguvu kuondoa uchafu hekaluni alimkaripia Petro akisema" rudi nyuma yangu shetani" dhamira ya Petro ilikuwa kumhurumia bwana wake asipatwe na mateso
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 10 ай бұрын
😊
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 8 ай бұрын
Dunia imeisha huyo papa kwanini hatoki na kusema. au kukanusha? Yuko kimya kabisa. Tabia gani hii ya kishetani!
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 8 ай бұрын
Huyu papa angenyamaza tuu. Hizo doc zingebaki vatican tuu. Ameumiza kanisa sana
@lucaschimba3148
@lucaschimba3148 8 ай бұрын
watu tunaelewa nyazifa za viongozi wa leo zinatoka kwa mungu maagizo kiongozi ya mungu ni kuhani tu hizi nyazifa nimawazo ya watu ndomaana leo nguvu ya munguhaipo viongozi kilammoja anaibuka na ushetani akizani nimungu
@WingoAsake
@WingoAsake Ай бұрын
Yani dunia hii tumekwisha na hao jamaa tulipo mkosa Jesus wetu basi ss ni yatima wa kutupwa...
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 8 ай бұрын
Mh katoliki imepotea .
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 8 ай бұрын
Mmebaki mkipoteza muda katika mambo ya ovyo badala ya kuhubiri Injili
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 ай бұрын
Huko ndani hilo jungu lilishapikwa kitambo na walaji ni wao sasa wanajalibu kupakuwa na kuwapelekea walaji dunia nzima ili washilikiane kula kishelia mwenye macho haambiwi tazama hao ni wazamisha meli abilia jiponye nafsi yako
@Prosperkisama
@Prosperkisama 10 ай бұрын
Kweli watu ni vipofu wanatetea tuu ujinga
@BenjaminKabebo
@BenjaminKabebo 10 ай бұрын
Msimungunye maneno huyo baba yenu si ni mtakatifu? Mbona mnatuchanganya Kwenu hakuna nguvu ya kuishinda dhambi Mlimuacha Yesu mkambeba maria. Time will tell😊
@simonetz7036
@simonetz7036 9 ай бұрын
Acheni kudanganya waumini wenu, na kumuosha Papa , yeye ni evil kabisa , mpinga kristo
@amanijampion3045
@amanijampion3045 9 ай бұрын
The Chanzo ongezeni texture ya maandishi ya majina hayasomeki. Mmefanya vizuri but names are too tiny!
@JescaGodfrei
@JescaGodfrei 6 ай бұрын
Huu ni upuuz mtupu ndoa ya jinsia moj duh
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 9 ай бұрын
⁷nabado mtajuta kuacha millenia
@EliasBalole
@EliasBalole 6 ай бұрын
Kuna madhehebu mengine ni lango la shetani.
@petermuganda7322
@petermuganda7322 10 ай бұрын
Mhuu
@leonardmaganga9921
@leonardmaganga9921 10 ай бұрын
Papa hajaruhusu wala kuwataka Mapadiri kubarikii ndoa za jinsia moja. Alichosema ni kuwa watu wabarikiwe binafsi. Siyo kubaiki ndoa.
@ajn9087
@ajn9087 9 ай бұрын
Katika baraka alizosema kuna vikundi 3, kuna hao unao waita watu binafsi, kuna mashoga, na kuna ndoa, mutu huitwa shoga, hao watu binafsi wakiomba baraka hawaendi as a couple, but shoga na wanaotaka harusi hao ni couple , jaribu kuelewa na manake ingekua niwatu binafsi hangewataja kwajina as couple ( shoga) kwasababu ukiona mtu huezi jua kama ni shoga. Wakati mwingine nivizuri kukubali ukweli ili ujue vile utasimama.
@ajn9087
@ajn9087 9 ай бұрын
Alafu unataka kusema baraka zawatu binafsi amezikubali leo?
@estonwell8850
@estonwell8850 10 ай бұрын
Mbona mnagongana ninyi kwa ninyi sasa kauli hizo mnaona mko sawa? Mnadhani sisi hatuoni Wala hatujuwi kusoma wala kusoma?
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 9 ай бұрын
Kwasisi wazewamila tunawahongelasana naba
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 9 ай бұрын
Hebu turudi nyuma maneno yake myaludie kuhakiki
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 10 ай бұрын
Waziwamila tuliwambi hizodini zawatu zitawatesa nabado
@samwelgetocho6913
@samwelgetocho6913 9 ай бұрын
Huyo aliyeongea wa pili ina maana ndiye pekee kamuelewa boss wake kwamba hajasema wengine wooote wameshindwa kumwelewa siyo? Mnachokificha mtakuja kujielewa mkute mko uchi mkidhani mmevaa
@AishaMhoka
@AishaMhoka 5 ай бұрын
Acha kumtetea karuhusu ndoa za ushoga huyo mtumishi wa shetan😡😡😡
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 10 ай бұрын
Ajasema mtu kasema wabarikiwe mashonga mbona mna munguya maneno
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 9 ай бұрын
Wanapoteana hawa
@maidafrancis45
@maidafrancis45 10 ай бұрын
Ila wewe askofu unaeita baba mtakatifu unanikwaza sijui hujasoma?
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 9 ай бұрын
Akili za wazungu ni hatari kwetu naona mnakataa uhalisia, hebu mnukuu maneno yake msituchanganye
@simonetz7036
@simonetz7036 9 ай бұрын
Hivi Hawa maaskofu wa kikatoliki wanatuona sisi wajinga Hadi watutafsirie tamko la Pope?
@EmmanuelMbungu-c6v
@EmmanuelMbungu-c6v 8 ай бұрын
Hatupambani na shetani kwa kumbembeleza atuache, mwalimu wetu ni Yesu alitumia nguvu kuondoa uchafu hekaluni alimkaripia Petro akisema" rudi nyuma yangu shetani" dhamira ya Petro ilikuwa kumhurumia bwana wake asipatwe na mateso
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 353 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 38 МЛН
KANISA TAG KUPOTOKA CASSIAN ALIONYA NA ASIKOFU MTOKA MBALI EV PASCHAL CASSIAN
1:27:19
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 65 М.
MAHUBIRI YA ASKOFU KASSALA ALIVYOTOLEA UFAFANUZI ZAIDI TAMKO LA PAPA KUHUSU USHOGA..
30:28
African Billionaire Aliko Dangote on The David Rubenstein Show
24:07
David Rubenstein
Рет қаралды 1,3 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20