Asante kwa ushauri mzur sn kak,m natak unishaur kitu niko na mpenzi wa online mwez wa saba sas hatuja onana m niko njee ya nchi,nikimuambia shida zangu anazibeba na kunisaidia,anasem anatak nikifk home tuowan,lakin niko na wasi wasi juu ya mawasiliano,yaan anajivuta kuwasilian na mm kutoka apo awali anawez mali siku bila kuongea na tukiongea kwa siku n mara moja tena,salm za mambo,vi bac yaan hana story apo kak vip ukipig wakat mwengi hashik sms hajibu hadi ajisikie 😢