Asante sana Apostle Kwa somo nzuri binafsi yangu Mimi ni shuhuda ,Now Niko Washington Seattle,sikwauwezo wangu ,ni Kwa neno na Maombi, na mafundisho yako Apostle .
@alicekalemela74352 ай бұрын
Amen 🎉🎉🎉🎉
@morespartagwireyi36892 ай бұрын
Asntni saana Baba🙏 you may be blessed more as I've received in Jesus name 🙏 nimepokea Baba amen amen☝
@justinenjau79362 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na mafundisho haya Asante sana mtumishi wa Mungu
@devotatarimo81412 ай бұрын
Amen 🙏
@MankaAlly2 ай бұрын
Mungu naomba( splendor ) utukufu Uwe juu yangu ili mataifa wavutiwe nao
@rumariletimba75852 ай бұрын
Amen
@peacemwesiga2 ай бұрын
Ameen
@alicekalemela74352 ай бұрын
❤ teachings that has come at the correct time...ni mda wa kutoka.. exodus
@BarakaMatalika2 ай бұрын
Asante kwa neno babangu
@loicebasweti50052 ай бұрын
Asanti mungu kwa kunipa kibali kusikiza haya mafunzo kutoka kwa mtumishi wako Na mungu akubariki zaidi 🎉🙏,
@jemimatumaini70262 ай бұрын
Nabarikiwa sana na Mafundisho
@MARIAMANEGELAOFFICIAL2 ай бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu na mafundisho yako Yesu akuzidishie zaidi
@raphaelsamba61922 ай бұрын
Ameeen my apostle
@suzanalemau66012 ай бұрын
Nimebarikiwa sana sana na mafundisho haya
@suzanalemau66012 ай бұрын
Powerful
@AthumaniTwahiru2 ай бұрын
Naishi mbez ili kanisa lipo wapi, natamani niuzulie ibada ana kwa ana
@ChristopherSikuku-ln4xf2 ай бұрын
Kanisa liko makongo juu karibu sana
@AthumaniTwahiru2 ай бұрын
@ChristopherSikuku-ln4xf oky Asante ipo siku nitakuja
@josephmahatane2 ай бұрын
Ee Mungu ninaomba Utukufu (Splendor) uwe juu yangu ili mataifa wavutiwe nao.
@godfreylagwen47822 ай бұрын
Nabii Mimi naitwa Godfrey Niko Arusha naomba niombee nipate kibali Cha kumiliki Mataifa. Nina kampuni ya utalii
@Franko-w7f2 ай бұрын
Ipo siku nitajumuika kwenye ibada ya hapo ECG nipo morogoro