Nakumbuka siku Yesu alinionyesha kuzimu ya moto hakika INATISHA
@MelinaGalla29 күн бұрын
Binadamu tumwogope Mungu,Asante mtumishi Kwa ujumbe mzuri.
@RashconeBothАй бұрын
Yesu niokoe mimi ni mwenye dhambi
@SabinaEzekiel-b4cАй бұрын
Ee Yesu kristo mwana wa daudi nakuomba uturehemu.
@motomototv5301Ай бұрын
Barikiwa
@MarianaMaratho16 күн бұрын
Mungu atuhurumie
@MirajiHemediАй бұрын
Wanaadamu Sisi tu wakubwa Sana tukiwa na Yesu. Hatulingani na mapepo, ndio maana mapepo 2000 yalikaa kwa mtu mmoja, hata hivyo kama hatuna Roho mtakatifu tu wadogo Sana kwao. Tukiwa na Yesu ndani yetu tu giants.
@motomototv5301Ай бұрын
Barikiwa
@KyaloNduumeАй бұрын
Amen
@NsengiyumvaAthanase-y5i23 күн бұрын
@@motomototv5301 Shuuhuda za huu mama mwendelezo zinapatikanaje???? Tutazipataje nyingine
@YohanaFulika27 күн бұрын
Mama mwenyezi Mungu akubari sana 🎉 na Christ yesu atusamehe sana
@PyeloKigwile-s8m14 күн бұрын
Mungu akubalik sana kwa kunena kwel katika nyakat hiz
@glorygunda888712 күн бұрын
Yesuu eee turehem Mungu
@JamesMwambachombo26 күн бұрын
Asante Mama, Mtumishi. Mungu Azidi Ku kufunulia, Mengi zahidi. Ili KANISA la Bwana, tujiweke tayari. Tuwe Safi Sote, Mbele za Mungu wetu. Amen.
@alfredmwamodo150821 күн бұрын
Amen amen, UBARIKIWE sana mtumishi wa Mungu.
@RistaMwambeteАй бұрын
Ubarikiwe mama, hakika nimebarikiwa kwa neno, wabarikiwe wote pia wa nyumbani mwako
@motomototv5301Ай бұрын
Barikiwa sana
@christinalyamuya5175Ай бұрын
Shaloom mtumishi tumwombe Mungu hao wauaji na watekaji wasiojulikana Mungu awakamate watubu
@luciasteven331429 күн бұрын
😂ila ww hahaha
@ester7689Ай бұрын
MUNGU WA MBINGUNI akubaiki sana mama mafundisho yako yamenibadilisha sana na yanazidi kunibadilisha kila siku MUNGU AKUBARIKI SAAANA
@kwandukanuda-q8e20 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi❤❤❤❤
@josephmutemi7494Ай бұрын
Amen BWANA akulinde sana mtumishi
@saramss7262Ай бұрын
UBARIKIWE sana mjoli wa KRISTO BWANA ATUSAIDIYEE SANA DUNIA ipo MWISHO SANA KRISTO YESU tusaidiyee
@motomototv5301Ай бұрын
Barikiwa sana
@motomototv5301Ай бұрын
Barikiwa sana
@JohnBayo-t5wАй бұрын
Wachungaji tufundishe kweli tusiache kufundisha ukweli kwa sababu ya maslahi yetu ya uwingi wa watu ; na sadaka siku akudhihirishwa ndio utajua INJILI YA KWELI ILIKWEPO Duniani mliowadharau wakiwatangulia!
@ShukuruDaudi-ue6inАй бұрын
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU akubariki na akuzidishie BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏🏼
@geitandelwa299Ай бұрын
Ole wangu mm mwenye. Dhambi
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
OKOKA, UWE NDANI YA YESU, NA YESU AWE NDANI YAKO.
@adomtafya874Ай бұрын
Mungu hana uchanga wa jinsi hiyo mapepo yalikuchukua sio mungu kakuonyesha kinacho abudiwa na kukifanya mungu wako hicho ndo chukizochukizo
@happykamwela637Ай бұрын
Asante ubarikiwe kwa ujumbe mzuri emungu uturehemu
@janenjenga563925 күн бұрын
Oh yes #🇰🇪🇰🇪
@FloraFredy-c3lАй бұрын
Barikiwa sana
@JoyceShaniАй бұрын
Hongera mama bila utakatifu hatuwezi kumwona Mungu Waebrania 12:14
@mfulesimbira636329 күн бұрын
MUNGU aendelee kuwabariki Yesu amesikoa ombi lako jitwike godolo lako uende
@anchilankobelelwa9735Ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi kwa ujumbe mzuri
@ElizaStephano-s6kАй бұрын
Ee mwenyezi mungu tulehemu
@anchilankobelelwa9735Ай бұрын
Unauliza masai anavaa sanga mbinguni attendance na masai simama katika zamu yako
@dianelushene28 күн бұрын
Mungu akubariki
@micheleliakimeliakimmihale8820Ай бұрын
Barikiwa mama yangu mama Bishop Josia
@MachineTayc-x3eАй бұрын
Mungu atuteteye kabisa kabisa
@salimajosephine1673Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@arineitwedorothy9551Ай бұрын
Tusamehe Mungu wa ngu katika jina la Yesu kristo,.
@RAIVONMWAKALANJEАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@RizikiChamwelaАй бұрын
amen amen ❤❤❤❤❤
@rweyemamueustace425422 күн бұрын
Amina
@MachoziHaruniАй бұрын
Amen Amen
@AmissaAugustineАй бұрын
Kweli MUNGU akubariki mama kwaujumbe muzito
@lovenesswalter6650Ай бұрын
Barikiwa mamaang
@EvaSimon-g4vАй бұрын
Dada mkereketwa kilashuhuda upo wawooo
@florakushoka746521 күн бұрын
MUNGU amekuwa akituma watu kwaajili ya fundisho hilo sana lakini kanisa laleo limekataa kutii.
@FrederickThadeoАй бұрын
Wewe ndoto hizo za mapepo siyo za mungu
@DorcasJames-s3cАй бұрын
Be blessed
@RistaMwambeteАй бұрын
Nilivaa hereni tuu nimevua Mungu anisaidie nisivae Teena mapambo katika Jina la YESU KRISTO. Amen... Mtumishi na Pete je,???
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Kikubwa unaye Mungu ndani yako?au umevua tu heleni mbona kwenye maandiko wanawake walikuwa wanavaa vikuku swali kwamba umevaa heleni kwa Nia gani lakini pia kuishi ni wajibu na kufa ni hakika
@valentinanduku8718Ай бұрын
pete ni dhambi
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
@@RistaMwambete Kuna kanisa Moja lipo mnyamani sehemu Moja inaitwa falu kwanza wanaosali pale ni wajane halafu hakuna kuvaa sidilia bos wangu nilikuwa nafanya kazi kwake anasali huko Mimi nakwambia biblia Inasema elimu itaongezeka watu tutachukuliwa na upepo wa kila aiana bado mpaka chupi tutaambiwa tusivae huyo anasema kuhusu mavazi ni sawa basi la heshima kwa mwanamke lakini kuhusu rangi Mimi nadhani tumwachie Mungu sababu nguo zinatengenezwa viwandani
@gertrudejohn903924 күн бұрын
Vua ,usivae pia
@gertrudejohn903924 күн бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247waliambiwa wavue vikuku,here ni na Pete,ni dhambi mwana wa Mungu
@gordonomondi7161Ай бұрын
Wanakwaya wa Masai wanaimba na shanga nyingi za kitamaduni Shingoni na bangili mkononi. WOI MAPASTOR WAO MUNGU AWAONYE ILI WAELEWE.
@valenakomba7686Ай бұрын
SASA NAOMBA NIULIZE HIVI NINI MAANA YA KIPAJI?. KAMA HATA KUSUKA TUU NYWELE ZA KAWAIDA NI ZAMBI?. JAMAANII !!!😢. TUMWOMBE YESU ATUSAMEHE SANAA .
@WinfredfavorАй бұрын
Askofu hapo nyuma ameshikwa na usingizi .😮
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
Labda anaona maono
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Mapepo nayo yapo kazini
@rebekaadorphine8296Ай бұрын
Amen
@AmissaAugustineАй бұрын
MUNGU unikumbuke
@NANCYNASAMBU-jp8yiАй бұрын
Kwa Sisi Wa 🇰🇪nguva Ni za nguo aina gani jamani😢
@Mamas-06kАй бұрын
😂😂😂😂😂
@Nazareth-p4pАй бұрын
Google Mermaid dresses or skirts, utaona zilivyo
@Gospo_beatsАй бұрын
Ni nguo inabana makalio na mapaja inaachia kuanzia magotini
@Misigaro8246Ай бұрын
Ni nguo inabana mpka magotini alafu inamwaga ingine inawekwa na mkia
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
Nguva ni nguo zinafanana na yule nguva wa baharini ambaye Kwa juu ni sura kama ya mwanadamu na chini samaki. Nguo yenye shape ya samaki huyo, zinabana kwenye hips.
@pettybrown265528 күн бұрын
Mama ulianza vizuri lakine hii yakusoma bible Kwa simu mimi hio naipinga kwa jina la yesu kristo bible nikitabu Cha MUNGU mwenyezi ngeuza simu kwenda kwa bible
@gosbertmuta5421Ай бұрын
Huyu mama namkumbuka sana alipotusanua sku1 kwamba hata watt wanaenda jehanam nililia skuhyoooo😢😢😢😢😢😢😢😢 Nikawanyoa mabintzangu nywelezao na urembo wote nkatupilia mbali,,,, badae week1 mamayao nae akanyoa nywele mpk wa leo tunamtukuza Mungu unaemtumikia ww mama mm nakupenda pa1 na mamaetu esta masanja
@maglindaanyangoАй бұрын
Barikiwa
@gordonomondi7161Ай бұрын
KWELI MUNGU HAPENDI UREMBO NA HATA BIASHARA YA SALOONI?
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
Blessings sana
@CoolStuffeditsАй бұрын
Hili kanisa lipo wapi wapendwa
@motomototv5301Ай бұрын
Utukufu kwa Bwana.Kanisa lipo DAR ES SALAAM WILAYA YA KINONDONI BOKO CHAMA.Call.0655501202
@SnhZjhzАй бұрын
Ole wangu mm nikitupwa jehanam
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
OKOKA, UKAE KATIKA NENO.
@niwaelngomoi6720Ай бұрын
Mtumishi wa BWANA vipi kuhusu kuvaa saa ya mkononi?
@NeemaMhagama-p5jАй бұрын
Na Pete ya ndoaje?
@uwezoadron8163Ай бұрын
Hakuna pete ya ndoa kibiblia!
@JaneMujuni-je8wv26 күн бұрын
Mbona hapo unapofundishia pamepambwa au ni madhabahu ya shetani? Funguka akili acha upotoshaji,vitu vyote vimeumbwa na Mungu kwa ajili ya utukufu wake na vinatakiwa vitumike kumtukuza Yeye tu.Kama unasuka na kujipamba kwa ajili ya shetani ni wewe acha na uache mara moja
Eti mavazi ya kuzimu! Yani mnaacha kuhubiri Injili mnaongea ujinga usio na maana?! Wewe hayo mavazi uliyovaa unajua yametengeneza kwa maagano gani?! Acha kuwatisha watoto wa Mungu kwa ujinga wako wa dini.
@JaneMujuni-je8wv26 күн бұрын
Mungu aliumba vitu vyote kwa ajili ya utukufu wake,na unapovaa chochote uvae kwa utukufu wake,Roho yako isipokuhukumu huna hatia,We hayo mavazi uliyovaa ndiyo maagizo ya Mungu? Acha upotoshaji
WAHUBURIENI WATU WAWEZE KUTUBU NA KUPOKEA UOKOVU ILI TUWEZE KUINGIA MBINGUNI. TUNTAMBUWE YESU NA KUMKUBALI KAMA NWOKIZI NA MKOMBIZI WETU. TUJUWE KAMA YEYE NI NJIA PEKEE YA KWENDA MBINGUNI. TUSIWE TU NI WATU WA KUKOSOWA NA KUHUKUMU WENZETU .
@jeremiakizinga8711Ай бұрын
Mbona huyu mama anahubiri hapo vizuri tu kwamba watu wajitahidi waingie Mbinguni Jehanamu sio kuzuri,kwaatakae jihoji atamtafuta Yesu.
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Na ndio maana shetani aliacha hai na Mungu anawajua walio wake