KAPTENI KOMBA ALIVYOFARIKI KABLA YA 'URAIS WA LOWASSA, ALIFUTA JINA LA KIKWETE AKAWEKA LA MKAPA 1995

  Рет қаралды 37,601

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

#Day2newsTV #CharlesWilliam #zungu
Dunia ina mengi ya kusimuliwa kuhusu Captain John Damiano Komba, gwiji wa sanaa ya muziki na uimbaji aliyetamba katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika na ukanda wa Jumuiya ya SADC kiujumla.
Sisi DAY TWO News kupitia Kalamu ya mwanahabari Charles William tunabeba dhamana ya kusimulia machache kati ya mengi yanayohusu historia ya John Komba. Karibu, Enjoy..

Пікірлер: 36
@boniphaceyohana-p8l
@boniphaceyohana-p8l 3 ай бұрын
kwenye maelezo hapo zungu kasema daraja la mto NILE lilivunjwa SIYO MTO NILE NI DARAJA LA MTO KAGERA .
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 3 ай бұрын
Upo vizur
@richardnganya2311
@richardnganya2311 27 күн бұрын
Ni sawa kuita Nile kwa sababu urefu wa mto Nile unanzia mbli na Kagera ikiwemo.
@danfordlutumo1516
@danfordlutumo1516 3 ай бұрын
Mungu mkubwa❤❤❤
@RahimuHassan-r9n
@RahimuHassan-r9n Ай бұрын
Kaz safi
@Abdallah-e7o
@Abdallah-e7o 3 ай бұрын
Jakaya ndio anao walamba vichwa hawa waheshimiwa
@AllyMadenge-u6o
@AllyMadenge-u6o 3 ай бұрын
Alikuwa anawatomba sawasawa yaani alikuwa ni mtaalam wa kutomba
@ibrahimconte601
@ibrahimconte601 3 ай бұрын
Bila shaka ni sauti ya jemedari wa habari (Zungu) Kabla ya utambulisho umefahamika ni nani on fire
@lumumbasembuli7807
@lumumbasembuli7807 3 ай бұрын
👏🏿
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs 3 ай бұрын
Baba wa wajinga kawawa
@mohammadiali3890
@mohammadiali3890 5 күн бұрын
Wewe Mpumbafu kwa nini unatukana Wazee. KAWAWA ni shujaa na mpigania Uhuru
@mohammadiali3890
@mohammadiali3890 5 күн бұрын
Wewe ni Mpumbavu huna akili una LAANA kubwa kenge wewe
@sitamgeta7565
@sitamgeta7565 3 ай бұрын
(Mwanzo 1:28), Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha.." Kapteni komba kutekeleza maagizo ya mwenyezi Mungu wewe unaita ni kupitiwa na shetani?
@eleutermgeni1165
@eleutermgeni1165 3 ай бұрын
Una makala nzuri sana big up
@noeljacob9644
@noeljacob9644 3 ай бұрын
Mwamba kweli kweli watoto sita nje ya ndoa😂😂😂
@dandynyota2838
@dandynyota2838 11 күн бұрын
Mlisi wake Peter msechu
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 ай бұрын
MTANGAZAJI HAPO UMEKISIA TU MWAKA 1977 HAKUKUWA NA WILAYA YA MAKETE BALI NJOMBE HADI 1980 NDIPO IKAPATIKANA NJOMBE NA RUDEWA. ILA STORY NI NZURI.
@bahatihamissi1161
@bahatihamissi1161 3 ай бұрын
Zungu unakubalika bara mpaka visiwani
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 3 ай бұрын
Wanaweke aliwashuhulikia Sawa sawa
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 3 ай бұрын
Hbr yako zungu baba piga kaz ss Zanzibar tunakubl kazi yko
@gabrielmanya9544
@gabrielmanya9544 3 ай бұрын
Kongole Sana mkuu wangu
@emmanuelmisalaba3169
@emmanuelmisalaba3169 3 ай бұрын
Kifo chake Msonga Gang hawana mkono?
@mrpazurioriginal579
@mrpazurioriginal579 3 ай бұрын
yurepare ndugu Kikwete kada wa CCM
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 3 ай бұрын
Daraja la mto Nile? mh!
@boniphaceyohana-p8l
@boniphaceyohana-p8l 3 ай бұрын
mto kagera huo,alichemka zungu hapo
@CharlesChiligati
@CharlesChiligati 3 ай бұрын
Hakika alikuwa ni gwiji wa sanaa tz
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Kazi nzuri ❤
@kulwamathias7680
@kulwamathias7680 3 ай бұрын
nakupenda sana kikwete
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 3 ай бұрын
Umeelezea vyema sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊👍✌️.
@PartnerMatumbi-bf7eq
@PartnerMatumbi-bf7eq 3 ай бұрын
👍
@vuriankar5019
@vuriankar5019 3 ай бұрын
Kongolee
@mikemrosso5679
@mikemrosso5679 3 ай бұрын
JOGOOO LIMEKWISHAWIKA KIZOTAA 10:51
@mandelawillye2441
@mandelawillye2441 3 ай бұрын
Ndioooo mto Nile unatoa maji ziwa victoria
@derickjuma4251
@derickjuma4251 3 ай бұрын
Zunguuu❤❤❤
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 4 Серия
36:20
Inter Production
Рет қаралды 491 М.
Captain john Komba Mgeni
5:44
uvccm Mkoa Geita
Рет қаралды 228 М.
One on One Fireside Chat with Rtd. President Benjamin Mkapa
6:35
CEOrt Tanzania
Рет қаралды 22 М.
SHUHUDIA SHEIKHE PONDA ALIVYOKAMATWA NA POLISI KISA MAANDAMANO
3:13
Banana Zoro - Zoba
7:43
Swahiliwood
Рет қаралды 1,3 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН