Apostle Maboya nilikuwa sijawahi kukusikiliza upo vizuri sana, Real
@neemamjengi99135 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba kwakulisaidia kanisa kujitambua
@isackcsimba14365 жыл бұрын
Mwalimu Mwakasege is the Best hana Mushkeli na Mtu injili Inasonga mbele . namsikiliza ile kinoma noma hakika Power ipo
@shaddybmc83425 жыл бұрын
Maboya your true.. lazima mtu awe na uhakika Jambo linatoka kwa Mungu
@beatricestella53095 жыл бұрын
Dastani lazima watumishi wamweshimu mwenye mamlaka. Barikiwa mtumishi wa Mingu
@MjumbeAganoАй бұрын
Hakuna heshima kwa waovu na waongo mitume na manabii wote ni waongo, Yupo mmoja tu ndiye Mjumbe wa agano duniani, Huu ni wakati wa habari njema ya ufalme wa Mungu hapa duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
@frankmasungu65765 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi Maboya
@davidmwambungu83945 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Apostle Maboya
@mathayomikomangwa15215 жыл бұрын
barikiwa Apostle
@alfredlimu3085 жыл бұрын
Mnahubiri vision zenu au mnamhubiri Yesu ebu niwekeni sawa
@martin-bm3215 жыл бұрын
Huyu mzee yuko vizuri sana na nampenda sana....barikiwa
@sadickwalker27955 жыл бұрын
God bless you man of God.
@godliverbisharo1843 жыл бұрын
Ukiwa mtumishi wa mungu ambaye ni karama yako kutoka kwa mungu ni lazima uwe na hekima...na hekima ni uwezo wa kuona mambo yaliyopita,ya sasa na yajayo....kwa mfano kitabu cha mwanzo ni ufunuo ambao Mungu alimfunulia mussa...sasa kitendo cha mtumishi kusema eti umeajiliwa lakini boss wako haujawahi kumuona wakati Biblia yenyewe inasema mtafuteni Mungu maadamu anapatikana...hapo ndiyo haijakaa sawa...pia ni ngumu kufanya kazi bila kumjua Boss wako....Tunatakiwa tuongee na mungu,tumuone mungu pia tutembee pamoja na Mungu.
@silasnnko43845 жыл бұрын
Upo vzr mtume
@navojosephat6565 жыл бұрын
You said all our Apostle Maboya, Love u xoxo..keep going Baba,Kazi yenu si bure Mtalipwa.
@goegymchugaji26293 жыл бұрын
Naaaaaaavo
@fredernestonline60115 жыл бұрын
Amen daddy. I love you
@ngometvarusha40305 жыл бұрын
Kila mtu ni sahihi kwa mda wake japo huwa hakuna mtu anayekubali kwamba mwingine ni sahihi ndiyo maana mavi yako hayanuki lakin ya mwingine inanuka sanaa.
@merysamwel31005 жыл бұрын
Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa wakipatana vema na wakipendana
@martinmsacky20695 жыл бұрын
Yesu baada ya kufunga siku arobaini ibilisi akamjalibu ukisoma vizuri biblia utaona shetani alitumia neno yaani biblia kwa lengo la upotoshaji lakini Yesu hakukunja ngumi zaidi alitumia neno hilohilo yaani biblia ( neno la Mungu) katika usahihi wake je wewe Kama kweli Imani yako iko katika kristo Yesu I alitumia neno la Mungu katika usahihi ile autakao Mungu na si mwanadamu, ukichunguza kwa makini utaona manabii na mitume wa siku za Leo wako nje wa msingi na kipindi cha Imani wapenda fedha na mambo ya Duniani Wauza maji na mafuta huna pesa hupati nafasi ya kumwona Eti ili Yesu akuponye uteo mapesa je Ufalme wa Yesu ni wadunia hii? Je si Yesu aliyemwambia Yule tajili hauze Mari zake na hamfuate."? Je sadaka si Siri yako na Mungu wako haonaye silini,.. Je hao manabii hawachukui nafasi alioikataa Yesu pale shetani alipotaka hamsujudie na atampa milk I na Mali zote za duniani ? Ikiwa Yesu alikataa ila wao wame kubali je anayeubiliwa ni Yesu kweli apo.? Mafuta, maji, Chumvi hapo bado ujamwona una pesa hupati huduma wenye fedha ndo wanapata baraka za Mungu walala hoi ,,,,,,,,,,,, minada ndani ya kabisaa ,, halambeee kweli tuna macho Ila hatuoni tunamasikio ila hatusikii .. Soma neno omba Roho mtakatifu akufundishe kuelewa
@romanusmwombeki56505 жыл бұрын
Yupo na mitume na manabii ila ameshindwa kuzungumzia kuuzwa kwa karama za Mungu.Kama mafuta ni karama ya Mungu ya kuponya na kufungua kwa nini yauzwe?Nilidhani atalizungumzia hili badala yake amekaa kimya na kuzungumza mambo ya kujigamba.Nisichokipenda kuhusu hawa watu wanajivuna wao wenyewe kwa mambo/mafanikio ya mwilini ambayo hata wapagani wanayo, sioni kicho cha Yesu Kristo ndani yao.
@mhthesamemh73035 жыл бұрын
Africa wanamuhubili Mungu kwa vitisho sana lakini naamini Mungu kunamahali wanakwepesha ifikie mahali mseme kweli kwa watu maana wengi wanajiona wakristo kuliko hata yye kristo😆😆😆😆😆
@melkikyara51975 жыл бұрын
Wambie ukweli maana wengine wanaona wanafaa kupambana NA serikali NA sio kushauri
@BarakaWaya5 жыл бұрын
Powerfull
@nelsonbernadtz37375 жыл бұрын
Huyo mlinzi anakazi gani?
@kingemanuelharrson19864 жыл бұрын
KUMLINDA KWANI MLANGO NYUMBANI KWAKO WA NINI KWANINI USILALE BILA MLANGO
@dottokagoro21644 жыл бұрын
@@kingemanuelharrson1986 Mungu ulinzi wake hautoshi?
@charlesmsofe30555 жыл бұрын
Hapa mnapiga porojo tuu Mmejikusanya ila hamjui lengo lenu ni nini Acheni kuharibu injili ya kweli ya Kristo msijitetee kwa ajili ya matumbo yenu naombeni mmuinue Kristo katika huduma zenu acheni ubabaishaji madhabahuni
@davyadamsontz5 жыл бұрын
Be careful kwa unachokiongea
@paulkaziweni30405 жыл бұрын
Mafundisho ya neno la Mungu nizuri lakini tuwe makini na watu wanaotuhubiria nyakati hizi ni mbaya
@emimarubaba39075 жыл бұрын
Love u Dad
@barakankubile23295 жыл бұрын
Ilikuwa wapi baba mpaka kanisa linavurugwa hapa nchini na watu wasuojielewa??? Isiwe mwisho !! Lekebisheni sumu za akina Kakobe.
@jameskanyala36185 жыл бұрын
Mungu akusaidie sana na uelewe wote wana haki ya kuongea kakobe fernandes na gamanywa walihubiri Neno na si maneno na mitume na manabii waliomba kukemewa na wamekemewa Neno huwa haligoshiwi Yeye hakuubiri Mtu ila alisema kinachowapoteza watu sasaivi vituko ni vingi sana prophetic ministry imevamiwa na wapo manabii wa kweli na wapo wanachafua wengine ndio haswa lengo hafupo kwenye mashindano
@alfredlimu3085 жыл бұрын
Kiufupi tunahitaji injili kama ni mafuta yapo madukani kusingekuwa na haja ya kristo kuja duniani
@barakankubile23295 жыл бұрын
Injili bila uthibitisho watu wamechoka ,kumwambia mgonjwa kwamba Yesu NI mwokozi wake halafu unaondika !! Swalazima la uponyaji linamambo mengi ,mafuta,kivuli,mavazi,maneno (maagizo ushauri) kuwekea mikono, kutoa mapepo, nk
@everlynmuhammad21225 жыл бұрын
Ameen baba yangu
@johnmusyo83624 жыл бұрын
Nashukuru Mungu Mkuu Kwa mafuta yanayo fanya kazi Ndani ya apostle Dancun Maboya.
@deus37665 жыл бұрын
Amina
@alexkatamba66345 жыл бұрын
Ni kama team mafuta vs team Nemo.
@yoshuawane71065 жыл бұрын
Pia kuna tafsiri(Translation)
@servasbureta69095 жыл бұрын
Naona watu wamevaa miwani nyeusi ...kazi yao ni ipi?
@alfredlimu3085 жыл бұрын
Kama kwa kina hamonize tuuh ulinzi wa Yesu huenda hautoshi,aibu
@servasbureta69095 жыл бұрын
@@alfredlimu308 ni aibu sana...hakuna ukristo uliogoshiwa kama huu..Mungu atupe ufahamu wa neno lake ili tung'amue..maana followers wengi ni vipofu..
@myself41285 жыл бұрын
Watu wasiojulikana
@alfredlimu3085 жыл бұрын
@@servasbureta6909 JKK imewagusa mitume na manabii panapo masilahi yao,biashara ya mafuta na mengineyo,kama husomi neno na kumruhusu Roho Mtakatifu akufundishe lazima ulishwe haya matango mwitu
@servasbureta69095 жыл бұрын
@@alfredlimu308 kweli kabisa. Hakuna fundisho la kweli la mitume.maana kanisa limejengwa kwenye msingi huo...ila sio hawa wa sasa..
@albertjames68455 жыл бұрын
Siku hizi mnajiita majenerali sio? Sawa , tumwachie Mungu mwenyewe, ya dunia ni mengi
@myself41285 жыл бұрын
Akitokea paul akawaona hawa majenerali atalia sana😭😭😭😭
UMESAIDIA WANGAPI HATA UNGA,AU NGUO ZILIZOCHAKAA AU CHAKULA KWA WENYE SHIDA
@myself41285 жыл бұрын
Mnawaambia waumini au wafuasi wanalindwa na Mungu halafu nyie mna mabodyguards🙄🙄🙄 Askofu maboya nilitegemea atakemea hata mafuta na uuzwaji wa vitu vinavosadikika kuwa na upako wakati havina naona kama Ruksa tuuu🙌🏿 Pesa inabadilisha sana watu natamani Mzee kulola angekuwepo
@johnpeterbarongo64452 жыл бұрын
Anaubiri mafanikio
@ntawihacharles82265 жыл бұрын
Kumbe hata aliyewaajili hammjui sasa nimitume gani nyinyi aliwaitaje sasa kweli kaz yenu ni ngumu na yenye mateso mengi ndo maana mtauza mafuta chumvi maji upako usiokuwepo kwa sababu hata aliyekutuma hujawahi kumuona sasa tafsiri na unabii mnaotoa mnautoa kwa nani msiye mjua vichekesho kweli kweli
@johnpeterbarongo64452 жыл бұрын
Nabii wa feki
@winnerschapelintlsingidata31975 жыл бұрын
Walisema mambo yajayo sio yalio pita Unabii wenu niwamambo wa yalio pita
@servasbureta69095 жыл бұрын
Hakuna munyu hapo..
@sadickwalker27955 жыл бұрын
%100.
@myself41285 жыл бұрын
HAKUNA TENA MITUME WALA MANABII BAADA YA KINA MTUME PAULO
@lucysitta50135 жыл бұрын
Leta kifungu, huduma ziko 5 Waefeso 4:12
@josephnyondo94245 жыл бұрын
Me? Ha ha ha ii wewe unaongozwa na nani basi.
@williamkeller11745 жыл бұрын
Unahitajika kusoma biblia bro don’t make easy argument
@mihayoyabhupangachannel99095 жыл бұрын
Wazee wetu sijui mnakotupeleka ni wapi! hivi katika biblia ni jukwaa gani lilitengenezwa?
@kamagerfkingdomgospel50635 жыл бұрын
Kwani katika Biblia ni wapi watu walifuatilia mafundisho na kujifunza kwa njia ya mitandao.? Tunapaswa kuwa waelewa. Kuna yanafanyika bila kuibadilisha au kuipotosha Injili lakini kwa kujaribu kutafuta namna rahisi za kuifikia dunia kwa mapana kwajili ya INJILI.
@daudgabriel15095 жыл бұрын
Ulishaona wap?Nabii huyo huyo mtume huyo huyo,anaponya huyo huyo, yaani karama zote anazo yeye, mwingine,walimu yeye , kuponya watu yeye,da! Shida.
@francisodoyo51144 жыл бұрын
MUNGU hawekewi mipaka katika utendaji wake" anagawa karama kadri atakavyo yeye
@sundaymwanjalila57555 жыл бұрын
kwa nini huduma zinauzwa kwa sasa? wakati biblia inasema mmepewa bure toen buree! fundishen watu walielewe neno na si kudanganywa watu kwa miujiza isiyoelezeka
@jameskanyala36185 жыл бұрын
Woooow Amen
@jameskanyala36185 жыл бұрын
Walikuwa wapi siku zote ? Ila sishangai waovu kukumbatia maovu angalia huduma za kinabii zilivyovamiwa siku izi manabii sawa hatujakataa ni watu wa Mungu ila Mungu katika kusema anaweza mtumia yoyote mfano balam na balak alitumia punda sasa kuwa Nabii sio kitu cha mchezo kama mnakalama ya unabii basi mkubali kuonywa na si kakobe walisema bali ni kristo ndio alitoa na nakumbuka sentesi moja kama mnamuhubiri kristo basi jina lake libarikiwe ila kama mpo kinyume na kristo mtalaaniwa Ajionanvyo mtu nafsin mwake ndivyo alivyo watanzania hatupendi kuonywa wala kukemewa mkikemewa cha kwanza mnaanza kutafuta weeknes ya yule mtu na kuanza kuisema hakuna asiye na udhaifu ila tukubali kukemewa na kuonyeka manabii wamezidi sana ifike kipindi kama mmetengeneza platform ya unabii kumbe walez mpo wa manabii basi wafundishen waanze kutumika kwa ukamilifu ila tumechoka na kesi za manabii mitaani wanawaharibia sana ifike kipindi Neno lihubiriwe na kristo sio mambo mengine
@ngometvarusha40305 жыл бұрын
Kwann biblia zinauzwa rozary
@ngometvarusha40305 жыл бұрын
Kwann zinauzwa biblia na rozary
@akanishabani57895 жыл бұрын
Hawa wote ni mitume na manabii feki!nawakubali sana jkk.
@romanusmwombeki56505 жыл бұрын
Inasikitisha sana anaanza kulinganisha huduma za Yesu Kristo eti "Mitume ndo hawaogopi" This is high level of arrogance. Mtu yeyote aliyejaa Roho mtakatifu hawezi ogopa kitu chochote.Si swala la kuwa mtume.
@bettynyandwi95915 жыл бұрын
Romanus Mwombeki Tafakari Vzur maneno yko
@romanusmwombeki56505 жыл бұрын
@@bettynyandwi9591 Nafuatilia sana mwenendo wa injili ndugu.Hakuwa sahihi kudhani mitume na manabii ndo wako top.Imempasa kujishusha mwenyewe kama mtumishi wa Mungu.
@bettynyandwi95915 жыл бұрын
Biblia inasema Huduma kubwa kuliko zote ni ya Kitume.
@romanusmwombeki56505 жыл бұрын
@@bettynyandwi9591 still imempasa kujishusha ili Mungu amkweze hapo.Yesu kristo ndiye atakayemlipa kwa kazi atakazofanya za kitume na si kwa jina la kuwa Mtume.Hivyo aheshimu huduma nyingine maana ni za Yesu Kristo mwenyewe.Kama huduma yake(utume) amepewa na Yesu Kristo,atambue na nyingine ni Yesu Kristo mwenyewe anayegawa kama apendavyo. JKK wamezungumzia issues za kibiblia jinsi injili inavyopaswa kuhubiriwa.Kwamba Yesu ndo wa kihubiriwa .Nilitazamia watajibu hizo hoja.Bwana Yesu atusaidie ndugu,tunaishi kwenye kipindi kibaya ambacho Injili ya Yesu Kristo imevamiwa.