SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 170,703

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Жыл бұрын

#0766998994#call0688199370 #0688199370 #

Пікірлер: 407
@user-uc1fj9wg6n
@user-uc1fj9wg6n 8 ай бұрын
Mungu hashindwi na chochote ,kinyonge ndicho chenye nguvu,fahari za dunia tutaziacha,bila kuiponya roho sio mwili Mana mbinguni Kuna vzr kuliko vya duniani,mwenye masikio na asikie,Mungu anaongea na watu kupitia watumishi wake wa kweli,Mungu azidi kukulinda na kuokoa nafsi za watoto wake watiifu nakukubali Sana Sana ,huto kufa kwa Muda wa wanadamu Bali kwa muda aupendao Alie kupa pumzi ya uhai.🤝🙏
@user-hs2vy6ir9i
@user-hs2vy6ir9i 11 ай бұрын
Aise rafiki yangu Cassian Niko nawe sambamba sema kweli Mungu akuteteee kabisaaaa
@blessymaureen
@blessymaureen Жыл бұрын
Only one in spirit will understand this man of God 😢😢😢😢😢😢preach man of God 😢😢😢🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 Жыл бұрын
God is with you don't fear anything
@MoksMokah
@MoksMokah Ай бұрын
Exactly
@mwamrasahamaro8473
@mwamrasahamaro8473 Жыл бұрын
MUNGU wetu tunamwombea mtumishi wako huyu pamoja na wengine wa KWELI uwalinde dhidi ya manabii wa uongo.Amen
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi, huo ndio ukweli,nafasi yanehema bado iko aje atubu Mungu anapenda 🇰🇪🇰🇪.
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 8 ай бұрын
Kweli kila Siku inaumiza, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 Жыл бұрын
Usiogoke Yesu Kristo yupo na wenye wanamwamini, tuko karibu kwenda nyumbani , sema ukweri Mungu atakubariki, atakupa taji rako.
@paschalymlangale8964
@paschalymlangale8964 Жыл бұрын
Heri waaminio kweli maana ufalme wa mbingu ni wao mungu akubariki
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 Жыл бұрын
Mungu atusaidie YESU yuko jirani mnoooo!Tudumu katika maombi peke yetu hatuwezi tuombeane wapendwa dunia imekwisha
@sarahwanjiku4891
@sarahwanjiku4891 Жыл бұрын
God bless you man of God sasa watu tuombe sana MUNGU atupee roho mtakatifu atuoneshe ukweli
@rowenalilie993
@rowenalilie993 Жыл бұрын
YESU,MUNGU ROHO MTAKATIFU WOTE PAMOJA NA MALAIKA WAKO HAPO WAMEKUZUNGUKA!VITA YETU SI YA DAMU NA NYAMA BALI YA ROHO NA MAJESHI YA mapepo wabaya!YESU NDIYE NA MWISHO TUNAUJUA,jehanamu ipo na MBINGUNI IPO. Mungu atuokoe!hapendi Kifo cha mwenye dhambi. Ubarikiwe sana mtumishi Paschal!
@eligiusmapunda81
@eligiusmapunda81 Жыл бұрын
Mpaka machozi yamenitoka jinsi mtumishi wake anavyo pita katika ukweli wa biblia ili watu tuijue kweli! Wapendwa , tusipo yashika haya, amini tutadaiwa mbele za MUNGU , ubarikiwe sana mtumishi
@user-pv1ze9ht4e
@user-pv1ze9ht4e Жыл бұрын
Keki ya upako..mafuta ya upako..hivyo vitu vyote nivya kishetani ,,,watu wametekwa ufahamu na nguvu za giza....uponyani wa Mungu unaweza pokea hata kwa kusoma Neno la Mungu sio mafuta wala keki ya upako..nguvu ya Mungu haipitii kwenye vyakula....waambie ukweli usipepesi macho..safi sana
@user-yt2lv5en4e
@user-yt2lv5en4e 7 ай бұрын
Cassian jihadhari sana mdomo wako,unafanyia nini Yesu sasa,funga mdomo na ufanye kazi ile unaona ni sawa kwa Mungu acha kumsaidia Mungu,unatafuta pesa,na itakutesa.unachuja nini Mungu ni mpana sana Cassian fanya yako acha vita.
@adamjulius9782
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Amina mtumishi. Yani mpaka kieleweke. Nibora kumwaga damu kama wanyama kuliko kunyamaza ezekieli 3:17-20
@adriannebatakanwa6904
@adriannebatakanwa6904 Жыл бұрын
Cassian Mungu Akulinde. Nilifanya kazi na GD nikatofautiana naye kwa misingi ya kimungu. Tuendelee kumuombea. Adui amemsahaulisha jinsi safari yake ilivokuwa. Alianza vizuri tu. Mungu Amrehemu.
@usrahismail3196
@usrahismail3196 4 ай бұрын
Hebu tusimulie kidogo
@user-oq8zj2py7e
@user-oq8zj2py7e Жыл бұрын
Mtumikie Mungu na imani ni muhimu sana .jua kila mtu amepewa kipawa chake na imani inafanya matokeo unayoyaona kwa imani hata kivuli kinaponya . Wewe sio Mungu hubiri neno ulilojaliwa kulijua. Mungu anajua uongo na ukweli . Usihukumu au kukaa nafasi ya Mungu .
@StephanoChalesi-or5ol
@StephanoChalesi-or5ol Жыл бұрын
We're ndio muongo pia umepungukiwa mwanadamu utasubiri ziki kuu inakuja Maana munaamini manabii wauongo mtakanyahishwa mafuta nakulishwa mkate
@sheilamaziku5980
@sheilamaziku5980 Жыл бұрын
​@@StephanoChalesi-or5olamen
@marryezekiel
@marryezekiel Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu, biblia inasema uwe mwaminifu mpaka kufa
@SalomeSuleman-uz8kd
@SalomeSuleman-uz8kd 9 ай бұрын
Hongera kwa kutafuta ukweli Wa mungu nakuelewa sana baba Chungaji
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Akuna mutu mwenye ashaka ona mungu mwache kukua napotoshawatu mungu ni roho
@issakisalu9237
@issakisalu9237 Жыл бұрын
Mungu YESU Kama mnavyomwita atakaporudi watu hawatamuona kwa sababu wakimuona watakufa kwa sababu wanadhambi hapo ndio utajua hujui, na hao aliokutana nao mwanzo huyu Mungu Yesu mnayemwita aliishi nao vipi hawakuonana. Au mnamzungumzia wa Tongaleni.
@polycarpwingira9487
@polycarpwingira9487 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu endelea kutuelemisha
@adamjulius9782
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Tumekalibia nyumbani, sema tena kwa sauti kuu tumekalibia nyumbani 💪
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 Жыл бұрын
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu umesema ukweli
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 Жыл бұрын
Mungu akulinde usiku na mchana akufunike ulinzi thabiti shetani asikudhuru hata kidogo
@christinasebastian9546
@christinasebastian9546 9 ай бұрын
Mungu akufunike akutunze uendelee kuihubul kweli ya mungu
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho Жыл бұрын
Wewe ni kati ya watumishi ambawo Sina mashaka nawo hata kidogo hakika mungu anakutumia vema
@JaliwaMbembela
@JaliwaMbembela 2 ай бұрын
Mungu anawaona hawa manabii Mungu akubaliki baba huenda kuna watu wanaelewa hiki unachokifanya
@Francomsangawale
@Francomsangawale 25 күн бұрын
Mungu akutangulie kaka na azidi kukutangulia katika yoote.
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 Жыл бұрын
AMEN. Mungu wetu mwema Kila wakati 🙏
@lowasameliyo4027
@lowasameliyo4027 Жыл бұрын
Hongera Sanaa ukweli naungana na wew kusema geordavid sio nabii wa kwelii, kwanza anajisifiu Sanaa hadi anadiriki kusema Mungu wa jeodevid ndio amekuponya na sio yesu, kumbe hyu jamaa ana Mungu wake anayemjua yey mwenyewe
@emmyrouchy647
@emmyrouchy647 Жыл бұрын
mbona mnasema Mungu wa Yakobo... elewa mantiki.. huwezi kula kwenu ukashukuru kwa jirani.. ata wewe ukiomba jambo kibinafsi nalikatiki unahaki ya kusema Mungu wako ni mkuu..sidhani kama inamaana unayowaza
@BarakaMazengo
@BarakaMazengo Жыл бұрын
Umeona eee huwa anajisifu af et anaitagwa Baba nawaumini wake
@ChrisantEmanuely27
@ChrisantEmanuely27 10 ай бұрын
Mungu akulinde zaidi nakufatilia sana
@dickson6684
@dickson6684 Жыл бұрын
Mwandishi wa habari ukitoka hujaokoka hapo mmmh injiri ya uzima inaunguruma Mungu azidi kukutia mafuta ya kiroho mtumishi wa Mungu Pascal
@protasdmassawe
@protasdmassawe Жыл бұрын
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
HAKIKA
@user-xx6pz6ry8y
@user-xx6pz6ry8y 10 ай бұрын
Ataokoka ata kwa fimbo
@jameskenzedex
@jameskenzedex Жыл бұрын
Nmeishi kufutilia mhubiri yako kwa mua Sasa wa mwaka n yote unayoyasrma n kweli na Mungu akubariki
@severinaseverinanyoni707
@severinaseverinanyoni707 Жыл бұрын
Mimi nakukubali sana kwanza hakuna binadamu wa kumuona Mungu kwa dunia ya sqsa ukimuona Mungu lzm ufe
@mossendoghwe317
@mossendoghwe317 2 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu nakukubal sana jins unavyosema ukwel, kingine kipo nje ya mafundisho; earphones kama hizo zako napataje?!
@adorateurpaulbukuru6864
@adorateurpaulbukuru6864 11 ай бұрын
Amen Man of GOD...... GO on, we bihind you Sir🖊️✌️
@jumamwanza8909
@jumamwanza8909 Жыл бұрын
Call it a pure word of God,, I love it🙏🙏
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Achakuhukumu watumishi wamungu kkangu mungu apendi kuzungumuziawatumishiwak kwanini munapenda ongea maisha ya wenzio sisitunaamini mungu wamwamposa kwasababu tunaona mukonowake nahatutachoka kwenda kawe
@user-qf4ok3wl2x
@user-qf4ok3wl2x Жыл бұрын
Sasa kama yéyé haamini kama mungu iko siache kuwasengenya wezake huu jama ni mwivu wala sio mtumishi wangu huu
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 4 ай бұрын
Mungu awasaidie maana naona teyale pepo limewakamata ndomana kweli linawaumiza.
@FestoYohana-ll4wk
@FestoYohana-ll4wk 4 ай бұрын
mbona hatuon ukiombea watu watu wakipona ww kaz kuponda watumishi wenzio
@WitnessSamson-qc9ie
@WitnessSamson-qc9ie 3 ай бұрын
Sema ukweli Hawa wote wanaokusengenya wamepofushwa ufahamu wao
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame Ай бұрын
Acha kumusifia mung wa mwamuposa unajua anamutumikua mung gan sif n za mung wa mbingn tu​@@user-qf4ok3wl2x
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Jamani IPO kazi duniani,,, MUNGU nisaidie na nipe macho ya rohoni,,,,,,, barikiwa mtumishi wa BWANA 🎉
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 10 ай бұрын
Hakika Kuna kitu ndani yako Mungu awe nawe
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Ukiwa mkristo unayeamini neno la Mungu, usifuate miujiza. Jiamini kwa nafasi yako. Muombe Mungu akuokoe kwa changamoto unazopitia kwa maisha yako. Naye atakutetea.
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Жыл бұрын
Weglngine Mungu amewapa vipaji vya kuponya na SI Kila mtu anaponya so hata kama mkristo tunazidiana vipaji.
@WitnessSamson-qc9ie
@WitnessSamson-qc9ie 3 ай бұрын
Kila mtu anapaswa kuomba pindi unapopata shida Mungu anasikiliza maombi ya Kila mwanadam sio kwamba Kuna baadhi ya wanaoponya hata wewe ukiomba Kwa uaminifu Mungu hataacha kukusikiliza sema tu watu wengi Hawana ukaribu na Mungu hata akipata shida anataka aombewe
@ErickLazaro-vo8uz
@ErickLazaro-vo8uz 27 күн бұрын
Wana wa Israel waliokolewa kwa MIUJIZA MINGI pasipo miujiza hakuna wokovu ingekuwepo sasa??wewe kaa useme uombe Mungu akuokoe .utazunguka ukuta wa yeriko muda mrefu sana
@jaribuchussy4496
@jaribuchussy4496 Жыл бұрын
Jamani mafundisho hayo ni sahihi kabisa, ubarikiwe sana mtumishi.
@ClemenceMakutu
@ClemenceMakutu Жыл бұрын
Chapa injili ya kweli mtumishi, Mungu akubariki kufungua watu macho.
@LokieLokie-ei8yz
@LokieLokie-ei8yz Жыл бұрын
❤Ameen mtumishi wew uko sahihi San Mungu akupiganie
@nkalugiradio8140
@nkalugiradio8140 3 ай бұрын
Exactly Mtumishi wa MUNGU, mimi yalinikuta na watumishi wa mafuta , naelew unachokiongelea ,dunia imeisha niwakati wakusali kabisa tena kwa kulia sana
@Chekakidogo2
@Chekakidogo2 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 10 ай бұрын
Miujiza ya Mungu ni ipi? Au Mungu ni mnyonge sana hana miujiza? Nakushauri pambania karama yako uliyopewa na Mungu usipambane na karama za wenzako..
@JaneWaweru-hn7tp
@JaneWaweru-hn7tp 3 ай бұрын
May God raise you up to another level
@dinairenge
@dinairenge Жыл бұрын
Auwezifanya vitu vyenye mwamposa anafaaka atutaacha kuomba mungu wamwamposa kamwe dunia anamungu mkbwasana mungu wamwamposa anatenda mungu wamwamposa anaponywa mungu wamwamposa anajibu mahitaji sasa sisi mutatuchukia bure kwasababu tunaamini mungu wamwamposa aishimilele tuna mpenda mwamposa mungu amulide amuepushe na nyinyi watu wakumuongea vibaya siovizuri kilamutu abakie na himaniyake na maleziake na mwamini mungu wamwamposa sana
@ochidovictor9531
@ochidovictor9531 Жыл бұрын
Amen be blesse man of God
@wakayakaya6
@wakayakaya6 Жыл бұрын
Kwa Hilo ni Siri ya Mungu .Kwa hio watu wateseke na magonjwa huyo ndie Mungu. Kama watu hupona nawapone atajua mwenyewe alietuumba
@jacquelineblessing6879
@jacquelineblessing6879 Жыл бұрын
Be blessed Baba🙏🏾🙏🏾 , tunakusilizaa
@user-me8qk9gu2y
@user-me8qk9gu2y 7 ай бұрын
Amina mtumish hawa wanagusa shida za watu na magonjwa ndio maana Wana kundi kubwa hasa wanawake ndio wengi Mungu tusaidie
@user-hi4gd5io1w
@user-hi4gd5io1w 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Yesu ni ndiye Mungu pekee Yohana 8:24
@madubimabombe25
@madubimabombe25 Жыл бұрын
Mk 16:17-18 SUV Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
@jumannemtawa4535
@jumannemtawa4535 Жыл бұрын
Mpelekee Geodavie sumu anywe kama hatujamsahau
@rogersndaiga5832
@rogersndaiga5832 Жыл бұрын
Wakati wa sasa MUNGU anachekecha kanisa lake ili kupata mchele safi yaani watu safi. Cassian endelea kupiga kelele usiache, paza sauti kama tarumbeta, maana ukiacha utadaiwa.
@user-pf3ft9qf9q
@user-pf3ft9qf9q 10 ай бұрын
Pole baba Cassian songa mbele upo ushindi 15:40 15
@Yohanakilamiani-yn1pb
@Yohanakilamiani-yn1pb 7 ай бұрын
kwekweli mungu akubari maana Mimi sijawai kuamini awa manabii wa uwongo mungu yupo pamoja na nami nimewatoa watu wengi sana kwa manabii wa uwongo
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Tofauti ya manabii wengi wa uongo ni kutumia vitu vya mwilini, Na Nabii wa Mungu wa kweli anatumia Neno la MUNGU,.Yeremia 23:28-29.
@marylineboola4236
@marylineboola4236 Жыл бұрын
Usiogope anaye ua mwili peke yake bali muogope anaye ua mwli na roho simameni pamoja na mtumishi wa Mungu Katekela muitetee injili ya Bwana mbarikiwe sana
@bahatimodestus9604
@bahatimodestus9604 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi MUNGU akubariki sana
@kisasigala
@kisasigala Жыл бұрын
Mungu akiwekee sana wengi tuongoke Amen
@Mamantontine
@Mamantontine Ай бұрын
Unasema kweli Mungu akupe nguvu.manabii wa uwongo wanadanganya watu sana.
@emmyrouchy647
@emmyrouchy647 Жыл бұрын
Mtumishi naomba kujua kwaio walio muona Yesu wakati Yesu yupo duniani ilikuwaje... nawao si walitakiwa wafe pale pale maana ni walimuona Mungu au...nimekuelewa vibaya, pia umenichanganya umesema Musa hakuwa na dhambi alafu pia umesema Mungu alimwambia Musa kuwa hataweza kumuona maana yeye anadhambi
@ErickLazaro-vo8uz
@ErickLazaro-vo8uz 27 күн бұрын
Aisee hawa wanataka kufifisha Nguvu ya MUNGU ili watu waumizwe zaidi na mashetani,,mbona yeye haoneshi miujiza ya ukweli ya Mungu wake sasa.Watuoneshe namna ya kufanya Miujiza kumshinda shetani sasa,,Anamaanisha kuwa Shetani tu ndiye anaweza kufanya Miujiza?Eeeh.
@saidmwatenguri4951
@saidmwatenguri4951 Жыл бұрын
Pastor muongo sana sasa ikiwa watu zamani waliomuona mungu utuambie mmoja ambae alimuona mungu
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 10 ай бұрын
The man msikilize kwa makini
@selinamrikaria6143
@selinamrikaria6143 5 ай бұрын
Mungu akushindie vita vyako
@pavlovbienfait6940
@pavlovbienfait6940 Жыл бұрын
Merci vraiment pour la vérité, Dieu vous bénisse 🙌🙌🇨🇩🇨🇩
@omaar5693
@omaar5693 7 ай бұрын
🇹🇿
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@user-cp6uj8pr6q
@user-cp6uj8pr6q Жыл бұрын
2Nyakati 20:20 waaminini manabii wake ndivyo mtakavyofanikiwa
@Catekathika88
@Catekathika88 Жыл бұрын
barikiwa sana pastor 🙏🙏🙏
@Vantende
@Vantende 11 ай бұрын
Rezemos para esses irmãos que o Espírito Santo ilumine os seus corações.🇲🇿🇲🇿
@We2k7
@We2k7 Жыл бұрын
Usipime kukanyagisha miguuu pale ao maali ali kuanda riya. Hakuna zaidi yayale anasikiya usiku na mcana ukiubiriya. Apo utakuwa una muasi Mungu. Kama anataka kutubu akukutanye kwenye weye uri andaaa Asante
@muriukigeoffrey4199
@muriukigeoffrey4199 Жыл бұрын
Hii ndio injili ya kweli MUNGU akubariki
@RebeccaFrancis-tb3we
@RebeccaFrancis-tb3we Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo 9 ай бұрын
Mungu Azidi Kuwafunuli aWatumishi WaMungu.NaMungu Awarinde.Mikononi Mwa Adui.
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame Ай бұрын
Amen watu saiz wanatok kweny makanis yao kis kuskia miujiz tu wanatak kuombew baada y kuomb mung atusaidie
@ptElimu1234
@ptElimu1234 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana na kukupigania
@gracepaul5901
@gracepaul5901 7 ай бұрын
Paschal you're very right, some who opposes will one day agree with you
@minanietienne-sz8xu
@minanietienne-sz8xu 6 ай бұрын
Really appreciate your preaching
@hezekimwakipesile610
@hezekimwakipesile610 Жыл бұрын
Nakubar umeongea ukweli sana tena amekuful kusema yenye ni nabii mkuu wakati nabii mkuu ni yesu tu hakuna zaidi ya yesu
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Жыл бұрын
Huyu hapa anasema yesu ni nabii mkuu, mwengine anasema yesu ni mungu, jee yesu wapo wangapi, maana ninavyojua mimi ktk imani Mungu ni mmoja ambaye ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake kama malaika, majini, wanadamu, wanyama, wadudu, miti, upepo, jua mwezi, bahari, samaki, Mungu ni muumba, hakuzaa wala hakuzaliwa, lkn yesu amezaliwa na Mariamu, yesu ni nabii wa Mungu sio Mungu, yesu ana damu lkn Mungu hana damu, ni vipi yesu awe mungu hlf atokee mtu aseme damu ya yesu imfunike caspian, na damu kitu kimeumbwa, jee mungu anaweza kuwa na damu???
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 Жыл бұрын
Ameen mtumishi usikate taama Mungu atakushindia
@immahkisuke1564
@immahkisuke1564 Ай бұрын
Amen,,,Mungu akubark sana
@pastorjanekanini6204
@pastorjanekanini6204 Жыл бұрын
Naomba kukuzaidia tu wachana na wao ambao wamejichanganya maana yesu alisema wacha mangungu na ngano zimee pamoja mungu atawahukumu mwenyewe , ambia watu ukweli ule unajua kuhusu biblia wacha kujisumbua na waaubiri wa uongo mungu anawajua .
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 Жыл бұрын
Acha awasaidie kwani ni kundi kubwa wanalolipotosha yawezekana wapo ambao wanaweza kusikia wakamgeukia Mungu wa kweli kabla Yesu hajarudi.
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 Жыл бұрын
Amen, ihubiri kweli, Mungu awe nawe
@alicerugaitika1687
@alicerugaitika1687 Жыл бұрын
Musa alikuwa na Dhambi pia umesahau alivyoua kule Misri!!kingine Musa alikuwa na hasira sana ni kwamba Mungu wetu ni upendo anatupenda Sanaaaaa ni kwa rehema na neema zake
@SaimonMwatwabana
@SaimonMwatwabana Жыл бұрын
Bwana akuhifadhi mpendwa wa Mungu
@user-pv1ze9ht4e
@user-pv1ze9ht4e Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi....kweli kabisa
@richardsangano6592
@richardsangano6592 6 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua
@madubimabombe25
@madubimabombe25 Жыл бұрын
Mungu akupe ujasiri ufunuo zaidi ili tuujue ukweli wa miujiza pia.
@zaituniomollo
@zaituniomollo Жыл бұрын
❤ Amen 🙏 man of God be blessed
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 8 ай бұрын
Mungu akutunze daima na atusaidie kuepuka moto wa jehanam
@DottoMalekela
@DottoMalekela 20 күн бұрын
Japo unahubili ukwel lakin bado hujamkili yesu maishan mwako tafta kanisa la kwel la kiadventista
@sarahnambuya5818
@sarahnambuya5818 Жыл бұрын
Uko sawa mtumishi nakuunga mkono
@yusufbarkari2333
@yusufbarkari2333 Жыл бұрын
We are in the New Testament dispensation. So don't mix the two samani mungu hakukuwa amemtoa mwanawe Leo hii asha mtoa na yesu huwa anawatokea watu kama vile anawatokea kina mariamu na hata wafuanzi wake nafikili urundi kwa bibilia. Yesu alipatia wafuazi wake nguvu ya kuponya wagojwa katika mathayo 10:1-3
@ayubutenges9685
@ayubutenges9685 Жыл бұрын
❤asande Kwa somo mzuri sana Mimi natokea Nairobi Kenya naomba unisaidie swali hili je kuanzisha vikundi ya pesa makanisani ya kukopa nakukopesha je hiyo ni ibada ya kishetani Naomba unijibu please 😊😊
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow Жыл бұрын
Mtapata tabu Sana pia wewe ujui ukweli Ila juaribu kuwakamata watu
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe.
@paulnabiikakule
@paulnabiikakule 4 ай бұрын
matayo 5:44 mimi nawaambiya wapendeni aduyi zenu matayo 22:34 amri kubwa nimapendo mutumishi wakweli hawaseme watu wingine tuhubiri enjili
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 Жыл бұрын
Paschal Cassian na katekela no vijana ambao wametumwa na mungu ph
@user-fq2ut9ep8r
@user-fq2ut9ep8r 11 ай бұрын
Mungu akutie nguvu naakuepushie kila aina ya mitihani
@user-lk3tp5cj3q
@user-lk3tp5cj3q 22 күн бұрын
Amina barikiwa Mtumidhi
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 27 күн бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@kevinnyambas180
@kevinnyambas180 Жыл бұрын
We belive in few pastors like this who dont entertain nonsense in any way
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 62 М.
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 167 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
CASSIN ACHUKIZWA NA WAIMBAJI  WANA TANGAZA USHOGA
37:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 415 М.
KILICHO NYUMA YA WASAFI TV CHA FUNULIWA KAFARA WATAZAMAJI  EV PASCHAL CASSIAN
40:25
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN
16:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 59 М.
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
NYIMBO HIZI ZA MASHETANI ZA IMBWA MAKANISANI KOTE TAZAMA. EV PASCHAL CASSIAN
45:59
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 414 М.
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 37 М.
MILANGO YA KUINGILIA MAPEPO MAJINI MSHETANI EV  PASCHAL CASSIAN
16:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 105 М.
ORODHA YA MANABII WAKUZIM HII  HAPA EV PASCHAL  CASSIAN
4:29
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 50 М.
MAKAMO WA RAISI AMUONYA PASCHAL WIMBO WAKE MPYA KUTAJA MAJINA. AMGOMEA
21:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 242 М.