Рет қаралды 3,192
Habari asante kwa kutazama Video ninazoziweka kila wakati hapa, nilipata nafasi ya kuja eneo la Mtaa wa Congo Kariakoo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam na kutembelea eneo hili maarufu lenye Wamachinga wengi zaidi kunauzwa bidhaa za Nguo na Viatu vyote vikiwa ni vipya ukija pekeako utatamani ungekuja na mwenzio ili mfaidi wote vitu vizuri na kwa gharama nafuu zaidi, Karibu kutembelea Kariakoo.
Kama hujatazama Video ya Gongo la Mboto unaweza kubonyeza hapa kwenye Link 👉👉 • Gongo la Mboto Dar es ... pia naomba usisahau kuniunga mkono kwa kubonyeza neno Subscribe 🙏
Kama ni mala yako ya kwanza kutazama Mtindo wa Video zangu za Vlog nakukaribisha sana katika Channel yangu.
Naomba uniunge Mkono kwa Kubonyeza neno Subscribe 🙏
.
.
.
.
Hellow, my name is Swahili the Traveller 'm from Tanzania, East Africa. I love travelling in different places mostly new places to meet new people and learn the overall lifestyle of different people and show the reality of every stuff.
Please Subscribe my Backup Channel 👇👇
KZbin
/ @swahilithetravels
INSTAGRAM
www.instagram....
Twitter
Sw...
TIKTOK
www.tiktok.com...
WhatsApp
whatsapp.com/biz/
Support Me 🙏👇👇
World remit or AirtelMoney +255 692 499 666 | WhatsApp
#traveling #vlog #travels #adventure #africa