Chalamila Awacharukia Wafanyabiashara wa Kariakoo, Apiga Biti Wale Watakaowazuia Waliofungua Maduka

  Рет қаралды 5,007

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa Serikali haifanyi kazi kwa mashinikizo wakati akiongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo ambao wengi wao hawajafungua Maduka leo Juni 24, 2024, ikiwa ni utekelezaji wa Mgomo wao wakidai kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Serikali kwa ujumla.
Mgomo huo ulitangazwa kupitia vipeperushi kilichosambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii tangu Jumamosi Juni 22, 2024
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 21
@EdibiliSalum
@EdibiliSalum 3 ай бұрын
Unaleta majibu mepes kwenye maswala magum
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 3 ай бұрын
HAYA NDIO MAFISI EMU
@Jafaryamily
@Jafaryamily 3 ай бұрын
Hakuna kiongozi hapo dar haiwezi anaongea siasa baada ya KERO za wafanya biashara. Arudi alipo toka hakuna mtu hapo.
@amanijampion3045
@amanijampion3045 3 ай бұрын
ahaa ko mnachukulia majuto na shida za wafanyabiashara kama mtaji wenu kisiasa
@MathiasMusobi-ob9cn
@MathiasMusobi-ob9cn 3 ай бұрын
Akili fupi kama pumbu same kibushuti mkubwa wee
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 3 ай бұрын
Hilo sio suala la wafanya biashara kufunga leo
@swahiliheat
@swahiliheat 3 ай бұрын
hili lizee lina piga nyeto ndio maana halina akili
@clethbarnaba923
@clethbarnaba923 3 ай бұрын
Chalamila tumekuzoea kwa kelele zako.
@bilid4128
@bilid4128 3 ай бұрын
Hata wabongo wapo China kwa wingi kipindi hiki .Mkiwafukuza wachina Na wale wabongo kule china watafukuzwa
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
Ujanja ukiuzidisha muda mfupi utaitwa mshamba ukinitishia mm kama serikar ndo nini unava koti lakiboya
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
Umienda kusikiliza kelo au umienda kuongeza kelo
@alleyissaramadhan6068
@alleyissaramadhan6068 3 ай бұрын
Yaani hili ni boxi angekuwa babangu mm ningekata kichwa yaani babake angejua angepiga nyeto tu
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 ай бұрын
Inauma sana
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
Ucpo tafuta fursa.hupati kazi.
@deusisindwa616
@deusisindwa616 3 ай бұрын
Hizi ni nisiasa
@GreysonMheni-ln9rm
@GreysonMheni-ln9rm 3 ай бұрын
Elimu elimu elimu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 ай бұрын
😂 we kura bia tu
@oam14l
@oam14l 3 ай бұрын
Kwa hiyo biashara ìfanyike tu popote.
@RashidRamadhan-fe7fb
@RashidRamadhan-fe7fb 3 ай бұрын
ilimladi isiwe chumbani kwako ila wafanye opote ndio. unaloho mbaya wewe
@oam14l
@oam14l 3 ай бұрын
@@RashidRamadhan-fe7fb You are right because thinking via your bottom propels you.
@YonaKigawa
@YonaKigawa 3 ай бұрын
Hatar huko si kusuluhisha
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 105 МЛН
ОТОМСТИЛ МАМЕ ЗА ЧИПСЫ🤯#shorts
00:44
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН
Lissu: Chukueni Fomu Mapema, Mkisubiri Itakula Kwenu
38:41
The Chanzo
Рет қаралды 1,4 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 105 МЛН