Enjoy Nyakyusa dance from Mbeya, kyela. Tanzania (East Africa)
Пікірлер: 36
@ayubublack-rp8im3 ай бұрын
Hii ndiyo ilikuwa ngoma nzitoo kweli hakika ilikuwa na radha hii ngoma
@victormalewo72046 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za asili za nyakyusa, mwenye DVD naomba tuwasiliane...
@tomasmwakagile57964 жыл бұрын
Jamni jamn kokaja konunu musika tunaomba msaada kutultea ilig'oma lya njesiningo la ngonga wapinzani wa bagamoyo marehem Kanjanja na Frakison Mwailoka pumziken kwa amani muliwakilisha vyema ngoma ya ngonga Mamaaaaaaa Baifo kabhole eg'ombeeee kubwabwakumuuuu mwe mwe mweeeee
@lusajomwaipopo50422 жыл бұрын
Home is best
@mariajulius9435 жыл бұрын
Mweee mngubwiswe kutali loli kumwitu kwa kyela kumakoko uwiii
@victorsomba8676 жыл бұрын
Ghafla Sana nimekumbuka nyumbani wenye ratiba nipeni mapeeema jamani. Kasanga Ndo nyumbaniiiiiii
@humphreymwamatandala36698 жыл бұрын
mimi mpenzi wa ngoma hizi. walinisimamisha pale bujonde na kunipigia hiyo ngoma, eeee bwana! hawakujua moyo wangu, nilitoa wekundu wawili. lakini hii ngoma nilirekodi kwenye mashindano. swaaaafi. twanwile fijo, twasobhile ne njela.
@barakabahati43155 жыл бұрын
Ndaga tata from bujonde piaaa
@tumainisemu80484 жыл бұрын
😃😃😃😄😄😄
@emmyiponea64616 жыл бұрын
daaa enzi hizooo!!
@davidbwandilo38645 жыл бұрын
Njobhepo limo, twe twa bhaijolo tukuti abha ijolo bhakakinagha kumaka fijo bho ulu bhikukina abha mmasiku agha. Abha ijolo bhajagha bhatine kangi bhifyusi fijo. Bhakinagha uti itolo bhakigana...!! Natamani nipate wadau turudi Kyela/Rungwe turudishe hadhi ya ngoma hii...!!
@victorsomba8674 жыл бұрын
Kwamaana ya kufadhili ama kuanzisha content mpyaa?
@davidbwandilo38644 жыл бұрын
@@victorsomba867 Nooooo, kwa maana ya kuurudisha uchezaji wa zamani. Uchezaji wa taratibu, staha, usiotumia nguvu, usiomlazimisha mchezaji kutokwa jasho jingi. Uchezaji ng'oma wa kitanashati, wa kunata kama hawataki vile. Siyo huu wa kukata kata mauno na mengineyo
@davidbwandilo38644 жыл бұрын
@@victorsomba867 Yaa, pamoja na kufadhili ikibidi. Kutoa elimu ya umuhimu wa kutunza asili. Nawapenda sana wamanda kwa sababu wameweza ku maintain uchezaji wao tangu zamani zileeeee
@mussaeliud90067 жыл бұрын
duh! kyela noma sana
@benardedmin22077 жыл бұрын
ndo kazi zetu msimu ndo huu unaanza karibuni kutukuyu kusauzi mwezi wa saba
@ayubublack-rp8im3 ай бұрын
Hii ndiyo mbangamojo niliyo kuwa nahifahamu na siyo hii ya mayere
@uswegemwakatebe46518 жыл бұрын
Kaka Humphrey mambo yanakwenda lakini? aisee asante sana kwa kuturudisha kukaja. linga galipo agangi sopelangamo itolo