KARIBU YESU BY AMBWENE MWASONGWE

  Рет қаралды 138,651

Ambwene Mwasongwe

Ambwene Mwasongwe

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@paustephano
@paustephano 5 ай бұрын
Ambao tupo hapa Tena 2024❤❤❤
@luciageorge292
@luciageorge292 3 ай бұрын
🩸♥️
@willyke7254
@willyke7254 3 жыл бұрын
Kwa uhakika wimbo huu nikama chakula kwangu upo kwenye simu yangu huanausikiźa kila mara nadondokwa na machozi
@edsonseveline4731
@edsonseveline4731 3 жыл бұрын
Karibu yesu, uponye moyo wangu. Wimbo huu unanipa faraja ktk maisha yangu. Ubarikiwe Ambwene
@dorcuskikoo9070
@dorcuskikoo9070 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa mtumishiii MUNGU akusaidiee zaidiiiii
@antusalyakurwa9023
@antusalyakurwa9023 4 жыл бұрын
Natamani sana ningebarikiwa kipaji kama hiki lakini kipaj kama hiki kinatoka mbele za mungu
@gracelaurant711
@gracelaurant711 3 жыл бұрын
Mara nying nyimbo zako huwa zinanipa faraja waka wa matatizo amani na furaha pia mungu akubariki mtumishi wangu
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 6 ай бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu karibu kwa watoto wangu karibu kwa ndungu zangu karibu kwa mama yangu 😭😭
@IsaacEmmanuel-sc1tq
@IsaacEmmanuel-sc1tq 2 ай бұрын
J,pili ya leo tumeutumia wimbo huu kuabudu,, jambo la Baraka ni hili Roho akashuka na kutuhudumia kwa kiwango kikubwa mno mno, barikiwa kaka Ambwene,
@NeemaKarolishayo
@NeemaKarolishayo 5 ай бұрын
Ameen mtimishi naguswa sana nawimbo hii karibu yesu moyoni mwangu❤
@Neyrgenes
@Neyrgenes 5 ай бұрын
Hakka wimbo huu unanibariki sanaa🙏🙌
@itikamasengagodwin5615
@itikamasengagodwin5615 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa mno na huu wimbo. Hivyo nawe ubarikiwe na Mungu kwa hii huduma yako ya uimbaji
@ElishaMahelela
@ElishaMahelela 3 ай бұрын
Amina ambwene mtushi wamungu ubaiikiwe sana kwawimbo nzuri sana
@treeza0015
@treeza0015 4 жыл бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu wimbo huu umenitia nguvu mungu akubariki
@AngelRimoy
@AngelRimoy 4 ай бұрын
Karibu Yesu moyoni mwangu
@neemajamili1018
@neemajamili1018 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana Bado naendelea kubarikiwa na wimbo huuuu
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Nakuombea Kwa Mungu wetu Yesu Kristo azidi kukupa maono na uwezo wa kumtumikia zaidi na zaidi tunabarikiwa sana na wewe mtumishi.
@sarahmashauri9102
@sarahmashauri9102 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu aendelee kukutuma utufikishie ujumbe umefika baba
@happynessmathias8971
@happynessmathias8971 2 жыл бұрын
Nafarijika sana kumkaribisha yeah moyon mwangu
@DanielWafula-rz4rw
@DanielWafula-rz4rw 6 ай бұрын
Natiwa moyo na nguvu tena kupitia hii nyimbo .najaswa tena kupitia hi nyimbo
@vailetmapunda106
@vailetmapunda106 4 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo,barikiwa mnoo
@merinasyohana2129
@merinasyohana2129 4 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana
@Eliudlucas-pq9lc
@Eliudlucas-pq9lc Жыл бұрын
Ahsante kwa bubujiko mungu akutie nguvu
@hekimalufulani8160
@hekimalufulani8160 3 жыл бұрын
Huu wimbo unanibariki sana
@changuchake7406
@changuchake7406 3 жыл бұрын
MUNGU ASANTE KWA KUNIPA NAFASI KUSIKILIZA WIMBO WAKO HUU MBARIKI ZAIDI MWIMBAJI WAKE
@MarySamwel-wx5nn
@MarySamwel-wx5nn Жыл бұрын
Nabarikiwa ameni mungu akutunze baba
@egonimsilu9725
@egonimsilu9725 3 жыл бұрын
Ungekua ni wimbo wa dunia ndani ya SAA comments zaid ya lakimoja lkn kwasabab shetan kashika dunia miaka miwili wimbo unacoments 23 fikiria Mara mbili
@PriscillaNinga
@PriscillaNinga 4 ай бұрын
Douh nikweli😢
@GraceMjwanga
@GraceMjwanga 22 күн бұрын
Asnte kwa wimbo mzur nabarikiwa na nyimbo zako sana ​@@PriscillaNinga
@evancemaiwe2278
@evancemaiwe2278 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi 👏👏🙏
@JanethFaustino-v8b
@JanethFaustino-v8b 7 ай бұрын
huuu wimbo ni falaja ktk maisha yangu
@miriammbwambo-cr4jn
@miriammbwambo-cr4jn Жыл бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu❤🙏🙏🙏
@octaviomasawe5371
@octaviomasawe5371 4 жыл бұрын
Mungu akubariki
@SifaelyIvan
@SifaelyIvan 6 ай бұрын
Nipo hapa 2024 karibu Yesu moyoni mwangu 😢
@MariamKinui
@MariamKinui 3 ай бұрын
Karibu yesu kwenye familia yangu.
@catherinemjata3125
@catherinemjata3125 3 жыл бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu
@emmanueldaniel2275
@emmanueldaniel2275 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sn mtumishi wa MUNGU
@evaipyana9706
@evaipyana9706 2 жыл бұрын
Moyo wangu ulikaribisha wageni sikujua nifanyeje nao...
@FloiceKhavele-r5c
@FloiceKhavele-r5c Жыл бұрын
Karibu yesu kweny maisha yngu
@johnbilimuye2126
@johnbilimuye2126 Жыл бұрын
God am not worry to enter under my roof but only say the word my soul shall be healed. "Kalibu bwana"
@ebenezerchristopher9605
@ebenezerchristopher9605 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi🙏, unavyo vitu vingi sana waimbaji wainjili wanapaswa kujifunza kutoka kwako. Umeweka alama kubwa sana kwenye mzk wa injili, Mungu akubariki sana.
@ommyzebabaa1356
@ommyzebabaa1356 3 жыл бұрын
Mungu akubari kaka uendeleee kupanda viwango vyajuuu
@subiramwakijengele8653
@subiramwakijengele8653 Жыл бұрын
Kwenye kutafakari wimbo huu huleta bubujiko la kweli ,barikiwa mtumishi.
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 5 жыл бұрын
Nice song mtumsh barkiwa san
@RebeccaMashika
@RebeccaMashika 6 ай бұрын
Karibu Yesu moyoni mwangu. MUNGU AKUBARIKI ZAIDI MWIMBAJI.
@timothysalehe402
@timothysalehe402 Жыл бұрын
Asante sana Yesu
@siaulomi457
@siaulomi457 3 жыл бұрын
Ameen. Ubarikiwe sanaa mtumish wa mungu
@patrickmuiruri1499
@patrickmuiruri1499 5 ай бұрын
Karibu Yesu, Jesus welcome in my heart, Reign God..
@josephmwaqsir-yr5ti
@josephmwaqsir-yr5ti Жыл бұрын
Balikiwa sana mtumishi
@mrafricana1643
@mrafricana1643 3 жыл бұрын
Karibu yesu
@philemonkulanga1641
@philemonkulanga1641 2 ай бұрын
Haujawahi kushuka kiwango huu wimbo
@susannduku243
@susannduku243 3 жыл бұрын
Hallelujah. I had to search for this song. It blesses me sooo much.
@emmanueljackson933
@emmanueljackson933 5 жыл бұрын
Nyimbo zako nizuri nazipeda sanaa kaka
@emmanueljackson933
@emmanueljackson933 4 жыл бұрын
KARIBU Yesu amen ubarikiwe kaka
@mariambunda-bz4dq
@mariambunda-bz4dq 5 ай бұрын
Karibu Yesu maishani mwangu
@MichaelMmassy-i7h
@MichaelMmassy-i7h 3 ай бұрын
Thank you Jesus ❤❤
@isacknkorerimana5725
@isacknkorerimana5725 10 ай бұрын
😢 karibuni YESU kristo ❤😔
@CaroNoel-n1l
@CaroNoel-n1l 6 ай бұрын
2:06 barikiwa mteule hakika huu wimbo ni faraja sana. RUHUSU KUSIKILIZA OFFLINE PLS MSIZUIE NYIMBO KAMA HIZI.
@twizybanks2925
@twizybanks2925 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi this is song is so touching 🙏🏻
@winniematayo1090
@winniematayo1090 3 жыл бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu barikiwa mtumishi wimbo unanikumbusha kutubu kila siku
@renahnanyojo5099
@renahnanyojo5099 4 жыл бұрын
Amen
@violetnekesa6372
@violetnekesa6372 3 жыл бұрын
Hallelua
@delilajaffary6932
@delilajaffary6932 5 ай бұрын
Hallelujah
@nanjalananjala329
@nanjalananjala329 5 жыл бұрын
so touching
@rwambombosolomon7264
@rwambombosolomon7264 3 жыл бұрын
Very nice
@miriamchina9813
@miriamchina9813 3 жыл бұрын
Really like ur songs God bless you 🙏
@cyprianwilliam416
@cyprianwilliam416 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana napokea upako usio wa kawaida
@pendaelylekumock131
@pendaelylekumock131 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie katk Huduma ya uimbaji
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 11 ай бұрын
Ameen
@danielnathaniel5634
@danielnathaniel5634 3 жыл бұрын
👏👏👏😍
@ezelinemboma1716
@ezelinemboma1716 3 жыл бұрын
♥️♥️♥️
@oliverdenis8321
@oliverdenis8321 4 жыл бұрын
Mungu akubariki
@hekimalufulani8160
@hekimalufulani8160 4 жыл бұрын
Amen
@vailetmapunda106
@vailetmapunda106 4 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo,barikiwa mnoo
@fatmasaid7661
@fatmasaid7661 4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@Agnes-j2s
@Agnes-j2s 2 ай бұрын
❤❤❤
@edwinipaul7707
@edwinipaul7707 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@MariethaSamwel
@MariethaSamwel 2 ай бұрын
Amen
MISULI YA IMANI BY AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
8:06
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 1,4 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Uso Wangu
9:52
Emmanuel Mgogo - Topic
Рет қаралды 235 М.
TULIKOTOKA NI MBALI BY AMBWENE MWASONGWE
7:54
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 268 М.
MOYO WANGU UPONE BY Heaven Sound Tv
11:10
Gospel Music Channel(feddie)
Рет қаралды 67 М.
NATAMANI NIWE KAMA BWANA BY AMBWENE MWASONGWE
6:34
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 88 М.
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,5 МЛН
Jose Wamapendo - Karibu Yesu (Official Video)
7:30
Muhubiri Production
Рет қаралды 243 М.
KUAMINIWA NA MUNGU BY AMBWENE MWASONGWE
7:17
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 25 М.
UPENDO WA KWELI BY AMBWENE MWASONGWE
8:26
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 289 М.
Live worship Karibu Yesu-Angalia Baba-Unasitahili_Pokea sifa by pst Collins  Khisa.
20:21
Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix -  Nyimbo Za Injili (2 Hrs)
2:02:27
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН