Kassim Mganga | Dalila | Official Music Video

  Рет қаралды 367,841

Kassim Mganga

Kassim Mganga

Күн бұрын

Пікірлер: 306
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Anaemkubali huyu jamaa kua nifundi wa nyimbo za mahaba ogonge like hata moja
@stressbyuld765
@stressbyuld765 7 жыл бұрын
Iko poa sana yani iko vizuri mwenye anaeona kama mm agonge like
@djmakora0018
@djmakora0018 7 жыл бұрын
Wekassin tubakutambua mombasani uko juuu!!!! Wapi likes za +254
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 6 жыл бұрын
Hv nyie mnaojiita Wasafi, Team kiba, mbn kama huwa mnaimba madudu asee! Hebu rejeshen heshima kwa #Kasim
@ayshahassan4792
@ayshahassan4792 7 жыл бұрын
Waoooo😘😘😘kina dalila tupo wengi 😅gonga like twende sawa km na we ni mmoja na umeikubali ngoma kali from ksm🙏
@kisharywakwanza7149
@kisharywakwanza7149 6 жыл бұрын
hahahahaha wengiii xana
@jacklinealex2259
@jacklinealex2259 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Noma sana..
@mohammedsaid9735
@mohammedsaid9735 4 жыл бұрын
Saf sana
@jamilajamaljj7976
@jamilajamaljj7976 7 жыл бұрын
Wallah anakipaji kikubwa huwa na mpenda kwa heshima aliyonayo
@smart-omiyramadhan3309
@smart-omiyramadhan3309 6 жыл бұрын
Asant Kasimu ninavo kukubali hii ngoma ndio umezidi kujiaminisha kwangu nasema tena nakukubali #K___mganga
@williummathias7618
@williummathias7618 7 жыл бұрын
dawa yao ngoma kali sana acha like za kutosha
@janethnzali5746
@janethnzali5746 5 жыл бұрын
Yupo fire huyu jamaa
@officialkatanga
@officialkatanga 7 жыл бұрын
nice song bro weka like yako hapa kama unamkubali kassim mganga...
@emanuelmushi7107
@emanuelmushi7107 7 жыл бұрын
unaachaje kulike sasa..
@chiwambobandawe7266
@chiwambobandawe7266 7 жыл бұрын
Walai una upeo mkubwa tajiriiiii nanai anakubaliana na mimi agonge like
@Basagamp4
@Basagamp4 7 жыл бұрын
chiwambo bandawe Yaani huyu jamaa akiwa anatunga nyimbo za mapenzi sijui huwa anafikiria kitu gani aiseeee
@nadiafahad7945
@nadiafahad7945 6 жыл бұрын
Mm namkubali sn wallah nampenda sn
@awadhsaid5605
@awadhsaid5605 6 жыл бұрын
Good kk
@karimjuma4019
@karimjuma4019 6 жыл бұрын
Niko pande za kusin mwa tz mbali kiasi newala nasikiliza hii ngoma nabaki najiuliza ivi uliwaza nn maana imetulia sio mno (k) uko salut mdgo wang
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 7 жыл бұрын
Yaan kassim mganga hajawahi kuniangusha hata siku moja kama nawewe hajawahi kukuangusha kama Mimi Like hapa
@ab-haytham1792
@ab-haytham1792 7 жыл бұрын
hajawahi niangushaaaaaaa huyu msela aki
@faridasafisana1246
@faridasafisana1246 6 жыл бұрын
Hajawahi kutuangusha......
@nextonetv.7672
@nextonetv.7672 2 ай бұрын
Nice song 2024
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 7 жыл бұрын
YAANI KAMA ILEEEE ..USIKIMBILIE MUME UTAUKONDESHA MOYO.... huyu mtu nyimbo zake zinatibu mangonjwa sugu Kama horozesha hapo... niku #LIKE
@mesalimmuna8327
@mesalimmuna8327 6 жыл бұрын
Mohammed Mkomi kabsaa umegonga ndipa
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Mohammed Mkomi Cassim huwa anaimba nyimbo ambazo hazijaimbwa
@mrholela7906
@mrholela7906 4 жыл бұрын
Kassim hujawahi kukosea
@sabryhariyz7867
@sabryhariyz7867 4 жыл бұрын
Namkubali sana Kassim Mganga nymbo zake tamu sana na anajua sana
@Samo_love
@Samo_love 7 жыл бұрын
Hata mtume alisema ficheni uchumba tangazeni ndoa sababu wabaya wako ni hao unao waambia mambo yako I like this song much respect to tajiri wa mahaba
@tausisaibu282
@tausisaibu282 6 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako na huwa naona hata ikikaa mda mrefu naiona kama mpyaa badooo
@mohamedaboud8019
@mohamedaboud8019 7 жыл бұрын
Cassim mganga nakukubali kinoma..Najua umenisahau Ila Mimi ndio nilikufunga kilemba mombasa ulivyokuja kuoa.Najua ushanikumbuka
@itsgazla
@itsgazla 6 жыл бұрын
Ngoma kali sana
@robibrucelee8461
@robibrucelee8461 7 жыл бұрын
Kama umemkubali Kassim gonga like hapo
@allymuhadimu2268
@allymuhadimu2268 7 жыл бұрын
nimekuelewa umebadilika xanaa
@josephmbela3684
@josephmbela3684 7 жыл бұрын
song Kali kinyamaa aaani gonga like tuende sawa
@kedmondkepha7707
@kedmondkepha7707 6 жыл бұрын
Ni kweli
@nasrajosephat99
@nasrajosephat99 7 жыл бұрын
Nakukubar sana cassimu unajua sana kutengeneza vitu mulua
@alphangadi8331
@alphangadi8331 7 жыл бұрын
Kama umemuona anayefanana na John Legend gonga like twende sawa
@nasrahmohamed3756
@nasrahmohamed3756 6 жыл бұрын
Kassim the special one wallah usibadili style yako..wenye utulivu wa akili wasiopenda papara we na muziki wako ndio tulizo letu la mawazo.
@amoursalehamour6918
@amoursalehamour6918 7 жыл бұрын
hukoseagi si kwa melody zinazo penya ndan kwa moyo
@urwatarah7611
@urwatarah7611 7 жыл бұрын
Daaah mimi naona kama umeniimbia mimi kwaajili mimi sili nikashiba foreal
@mamareen7722
@mamareen7722 7 жыл бұрын
hahahahaaa pole mama
@sherrysalim50
@sherrysalim50 7 жыл бұрын
Asanteeeeeeee msanii wangu wa Roho 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽 😘❤️nakupenda mpaka chenji haibaki
@vampiresweez6890
@vampiresweez6890 7 жыл бұрын
Dah yaaan ngoma inanifanya nisahau km kuna bashite
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 5 жыл бұрын
Yeah
@gidionnyangaka8940
@gidionnyangaka8940 7 жыл бұрын
cassim bro u got the voice, I enjoyed the song
@hadijapazia684
@hadijapazia684 7 жыл бұрын
MB zng zinaishia kwny wimbo huu...
@sofiashaban3738
@sofiashaban3738 7 жыл бұрын
Tajiri ww hujawahi kukosea 😘😘
@princehozza6392
@princehozza6392 5 жыл бұрын
Nakubali
@MutramagicTv
@MutramagicTv 7 жыл бұрын
kama unamkubali tajiri wa mahaba gonga like za kutosha.. Don't Forget Click Subscribe For Support And Update New Video GUYS :
@nadiafahad7945
@nadiafahad7945 6 жыл бұрын
Sana tuuu yani zaidya sana nyimbo zake penda sana
@kidotifetty8929
@kidotifetty8929 5 жыл бұрын
nakuelewaga sana broo uko juuu👌👌👌👌
@officialkissmiva9778
@officialkissmiva9778 7 жыл бұрын
katika wasanii wenye identity zao timbulo na cassim.plus ally hapo mmebarikiwa
@aishamzonge457
@aishamzonge457 Жыл бұрын
Hongera sana Kassim, Dalila kibao kimetulia "ukipendwa ficha mupenzi wako: nimekuelewa sana
@petroerasto2948
@petroerasto2948 7 жыл бұрын
Fundiiii miaka buku #billionea
@nourathamis7745
@nourathamis7745 7 жыл бұрын
Mashallah... Hakika Tanga kunani vileeee.....kassim wanikosha mieeeeeee!!!!!!
@matimbwatv1856
@matimbwatv1856 7 жыл бұрын
nice kama na ww ume elewa like hapa
@salimzimbo6440
@salimzimbo6440 7 жыл бұрын
My favourite artist of ol tym tajiri wa mahaba
@dkt.mohammedsaid8337
@dkt.mohammedsaid8337 6 жыл бұрын
kassim yupo vizuri zaidi ya wanaoonekana wapo vizuri nyimbo zake zina ujumbe kamili
@Thabeetb
@Thabeetb 7 жыл бұрын
Ni motooooooo......
@kulwamkopak6190
@kulwamkopak6190 7 жыл бұрын
Kasim we utanitoa roho💋👌👌
@mohamedmalikmillade8818
@mohamedmalikmillade8818 7 жыл бұрын
kulwa Mkopa k pia mm utanitoa
@kulwamkopak6190
@kulwamkopak6190 7 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza hili song imenikuna😘
@mamymayaliy3864
@mamymayaliy3864 6 жыл бұрын
Hujawahi koseya kaka
@fanemanzi4325
@fanemanzi4325 7 жыл бұрын
walai unafanya vizur sana kazi zako daah nyimbo hii nimeipenda sana
@abuuchaula6487
@abuuchaula6487 6 жыл бұрын
we kassim we ni jeul
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Nice song, inachezeka kiulaini kabisa
@asiazuberi2624
@asiazuberi2624 6 жыл бұрын
Ningejua nifanye choyo daaaaaaa!kassim umeniua 😭
@johnmduda7841
@johnmduda7841 3 жыл бұрын
Fireeeeee
@nkanoroyal8950
@nkanoroyal8950 6 жыл бұрын
Mzee wa mapenzi ni balaaaa hiyo ngoma nimejikuta Na replay Kila mda....haswa koras yke
@kidotiali9414
@kidotiali9414 7 жыл бұрын
Pole tajiri
@bahatimandundu2105
@bahatimandundu2105 7 жыл бұрын
sina ubishi nae casimu mganga kweli ww kiboko kaka
@disimaskaponko6450
@disimaskaponko6450 7 жыл бұрын
kasongi kazuri kweli nimekakubari sana
@pammy2216
@pammy2216 6 жыл бұрын
Love you mtanga mwenzangu @kassim mganga
@naddelioness6872
@naddelioness6872 7 жыл бұрын
Bae hukoseagi 🙌🙌 Bora nifanye choyo nidumu nae 👌👌 big up Kassim 😘😘😘 @Romyjohns I see yah ❤❤
@alishaffi7715
@alishaffi7715 6 жыл бұрын
Dalila huyo.salaaaaaaahleh .qassim upo kweli kweli .akachora tatu ya kopa na kati ya jina lake.
@NuriTVlog
@NuriTVlog 7 жыл бұрын
Ungefanya choyo ungdumu naye. Strong message
@gilbertmchahogo7222
@gilbertmchahogo7222 5 жыл бұрын
Toka nijue kusoma na kusikiliza fasihi wewe umekuwa mwandishi na msimuliaji bora kwngu kwa muda wote... Endelea kfanya kazi kwa kujiamini na kwa uwezo mkubwa ulionao :)
@focushamza4871
@focushamza4871 7 жыл бұрын
haujawahi kosea kaka nimeipenda hii
@salimbalushi9100
@salimbalushi9100 6 жыл бұрын
Kasm ww ni the best of the best wakaaaa
@ummylahlove3418
@ummylahlove3418 2 жыл бұрын
Cassim mbn hajibu fans wako uku jmn....mie sijapentaaaa
@winniedaudi4670
@winniedaudi4670 7 жыл бұрын
Nyimbo ya mwakaaaa ni fireeeeeeeee
@allyabdallah1856
@allyabdallah1856 7 жыл бұрын
Hatarious Dalilaaaaaaa..!!!
@saidykaniki7108
@saidykaniki7108 7 жыл бұрын
Good music alive hujawai niangusha BROO km unamkubali gonga like twende sawa
@ahmedissa9176
@ahmedissa9176 7 жыл бұрын
Cassim Mganga another level
@sistersade9039
@sistersade9039 7 жыл бұрын
Hongera bwana manuari, mambo yako mazuri tu! Ngoma imetulia sana kama sauti yako.
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
Finally am here 🇹🇿🤩🎤
@allyally142
@allyally142 7 жыл бұрын
Kama unaamini song hii ni dawa ya HIV gonga like
@malombemunyithya9341
@malombemunyithya9341 7 жыл бұрын
tanga ya tajiri we ni nomaa
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 6 жыл бұрын
Respek... Greetings from mombasa
@winnycharles4277
@winnycharles4277 7 жыл бұрын
Fundi ujawai niangusha kassim mganga bonge la ngoma dalila
@neemamatem3928
@neemamatem3928 2 жыл бұрын
I love this song so so much
@edwins5804
@edwins5804 7 жыл бұрын
Very experienced Mganga....
@dismashaule1631
@dismashaule1631 7 жыл бұрын
Ngoma kali midundo mikali yani nimeikubali
@finixsecurity8236
@finixsecurity8236 4 жыл бұрын
Listening from 254 today we mkali mwana
@samirmichael6337
@samirmichael6337 7 жыл бұрын
kassim unajua xana
@bakarishabani4662
@bakarishabani4662 6 жыл бұрын
kasim uko vizuri mkubwa hujawai kukosea
@augustynmedia
@augustynmedia 7 жыл бұрын
Jamaa ni fundi.... Hahahahahaaa chezea tajiri wa mahaba.
@craysontitus1735
@craysontitus1735 7 жыл бұрын
Safi sana mkubwa
@hermanwenceslaus5497
@hermanwenceslaus5497 7 жыл бұрын
Daaaa khassim DAAA unajua sana .........MUNGU AKUONGEEZEE DAAAAAAAAAAAAAAA ngoma kali sanaaaaa sanana......CONGRATS
@kamkamandallaz7793
@kamkamandallaz7793 3 жыл бұрын
Wakina dalila chanciiiiii raha
@frankjamesmugaya7500
@frankjamesmugaya7500 7 жыл бұрын
tanga rahaa sana jamani yani mtuhatumii nguvu lakini mziki unaeleweka mpaka huku south africa #wazulu wasuthu na kxosa wamedata
@madigasankara6610
@madigasankara6610 6 жыл бұрын
ce n'est pas le meuilleurs de tes chansons mais ce n'est pas le mauvais non plus. j'aime bien ceux qui sont plus déchantés, à la limite de la jolie.
@kaeselionvidoti947
@kaeselionvidoti947 7 жыл бұрын
Best Of The Best 🙌🙌🙌
@jastinelwambusha8085
@jastinelwambusha8085 6 жыл бұрын
Kasim wee n kiburudisho cha moyo wangu napnd sana music ykoooo
@mejumaaathman4485
@mejumaaathman4485 7 жыл бұрын
Mapenz yanatuumiza wengi
@nobertmulesi3387
@nobertmulesi3387 7 жыл бұрын
bongo the land of talent..am from kenya and i love bongo music to the core
@athumanmaingumaingu9427
@athumanmaingumaingu9427 7 жыл бұрын
mganga nimekubali sana
@dalylahrnelson5696
@dalylahrnelson5696 5 жыл бұрын
Ukaamua uniimbie pia.. Regards to you
@KassimBakari-mw8ey
@KassimBakari-mw8ey 10 ай бұрын
Kassim mganga , I kassim Bakari Bindo from dar es salaam tanzania
@rashidvyakweli5571
@rashidvyakweli5571 7 жыл бұрын
Nikikuita fundi nadhani itapendeza zaidi..
@karoltunduli107
@karoltunduli107 6 жыл бұрын
Love this Jam - Kassim Heshima Kwako
@lucasjumapili8994
@lucasjumapili8994 6 жыл бұрын
Nyimbo iko vizuri mauzui yako poa kwani inagusa maisha ya kila siku
@4tshbae387
@4tshbae387 7 жыл бұрын
tanga 1 karibu tanga kassim shikamoo bba salute bhn hii nyimbo jmn tamu
@matthewwachealsea5818
@matthewwachealsea5818 7 жыл бұрын
Balaaaa pamoja mwana Kasim Nakuelewa kinyama mwana piga kaz
@ckukuu8404
@ckukuu8404 7 жыл бұрын
Unajua sanaa kassim tatizo nyota BT in Sha Allah one day yes...+254 Mombasa
@miissfatou7070
@miissfatou7070 7 жыл бұрын
Nice 👍👍👍👍 mapenzi yoyo yo mis la dalila
@erickjoe9908
@erickjoe9908 7 жыл бұрын
Kk unaweza mungu akusimamie uende mbele zaidi @ kassim sema dondosha collabo moja na q chilla
Kassim Mganga Ft. Isha Mashauzi - Pambe (Official Music Video)
3:40
Kassim Mganga
Рет қаралды 125 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 54 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 24 МЛН
Christian Bella - Pambe (Official Music Video)
3:48
Christian Bella
Рет қаралды 912 М.
Manuari | Kassim Mganga | Official Audio
4:49
Kassim Mganga
Рет қаралды 91 М.
Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)
3:58
Mbosso
Рет қаралды 37 МЛН
Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari - Baila (Official Music Video)
4:18
Diamond Platnumz
Рет қаралды 16 МЛН
Lomodo Ft Nandy - SINA UJANJA (Official Video)
3:38
Lomodo Tz
Рет қаралды 2,6 МЛН
Lameck Ditto - Moyo Sukuma damu (Official Video)
3:51
LameckDitto
Рет қаралды 4,5 МЛН
Haiwezekani | Kassim Mganga | Official Audio
5:21
Kassim Mganga
Рет қаралды 237 М.
Awena | Kassim Mganga | Official Audio
6:12
Kassim Mganga
Рет қаралды 164 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 54 МЛН