Waraka wa Baba

  Рет қаралды 1,428,958

Joti TV

Joti TV

6 жыл бұрын

Faida ya kuanda Waraka mapema ndio hii

Пікірлер: 1 100
@salimmohamed5847
@salimmohamed5847 4 жыл бұрын
wanaorudia video za joti kuangalia tujuane gonga like kama wewe pia unarudia video😂😂😂
@africanboychris2215
@africanboychris2215 3 жыл бұрын
Tupo
@jonasmongi7811
@jonasmongi7811 3 жыл бұрын
Tupoo
@OmarAli-le2zk
@OmarAli-le2zk 2 жыл бұрын
mm name download kibao zpo kwenye smu yangu🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
@rehemaally8128
@rehemaally8128 2 жыл бұрын
Me zaidi ya mara Mia😂😂❤️
@timboboytv5760
@timboboytv5760 2 жыл бұрын
Tupo
@izacksbalzack1854
@izacksbalzack1854 6 жыл бұрын
Joti haishiwi na vituko kweli Ebu tusaidiane kugonda like kama twajivunia kipaji cha kaka yetu👏👏
@jasmineabdullah1699
@jasmineabdullah1699 4 жыл бұрын
Him
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 4 жыл бұрын
We unalipwa na hizo like acha kubwa maskini wa fikra ndugu yangu 😂😂😂😂
@meshackisaya5140
@meshackisaya5140 4 жыл бұрын
Kweli kaka hapo
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@anuaralmas8347
@anuaralmas8347 3 жыл бұрын
🤣
@jayproducts5871
@jayproducts5871 6 жыл бұрын
Joti hana mpinzani EASTAFRICA say Yes👍
@sinvulaherbertntema280
@sinvulaherbertntema280 5 жыл бұрын
Yes
@georgelawrence4058
@georgelawrence4058 4 жыл бұрын
Joti wewe kiboko sasa unalia nn
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 4 жыл бұрын
Kabisa yani
@kennethmichael6754
@kennethmichael6754 4 жыл бұрын
Ajawai kukosea joti ww tim fisi ni atari ww
@abeidmsimange7840
@abeidmsimange7840 3 жыл бұрын
Mambo hayo ndio yametawala kwenye jamii yetu
@oscarx5916
@oscarx5916 6 жыл бұрын
Mashabiki wa Joti Like hapa
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 5 жыл бұрын
Umepewa nyumba masaki unalia,ingekuwa vitu vyangu si ungekufa😂😂😂😂😂😂 like hapa tucheke wote
@lincolnroosevelt8309
@lincolnroosevelt8309 5 жыл бұрын
Sasa onalia lia nini mnafiki mkubwa wewe. 😂😂😂
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
😂😂😂
@allenmrema2909
@allenmrema2909 3 жыл бұрын
😂😂😂
@lauraabass1077
@lauraabass1077 3 жыл бұрын
🤣🤣
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Huzzayn
@Huzzayn 2 жыл бұрын
Vile kuna zaidi ya milioni 500 ya wanao ongea lugha ya kiswahili afrika mashariki, sifahamu kwa nini hii kazi murwa ya Joti na wenzake halijafikisha mtazamo (views) million hata kumi. Tunawapenda hapa Kenya 🇰🇪. Zidi kunawiri. (Niwie radhi kwa Kiswahili yangu taabani)😀 (With the over 500 million swahili speakers in East Africa, I don't understand why and how this beautiful piece does not get 10 million views. Thank you Joti and team. Big love from Kenya 🇰🇪
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
Much love from Mozambique 🇲🇿 kiswahili kidumishwe.
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 6 жыл бұрын
Hongera sn joti kwa kutoa ajira kwa vijana wenzako maana kila siku bogi linaongezeka
@sultanikawambwa4118
@sultanikawambwa4118 6 жыл бұрын
Abby Adams @ Hahaaa hakuna anayelipwa kwa hao unaoona wanaongezeka ni kuuza suraa tu
@mohamedrajabu524
@mohamedrajabu524 6 жыл бұрын
Watauzaje suranaww achaushogaww watuwapokazin hapo
@latifamchekenje6718
@latifamchekenje6718 Жыл бұрын
Yan hii video naipenda kuliko zote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila mwez naangalia
@severinmbanza4950
@severinmbanza4950 11 ай бұрын
Baaaasiiii mmekeishaaaaaaaa😂😂😂😂😂
@sammyma9533
@sammyma9533 6 жыл бұрын
kama wewe ni shabiki wa kweli wa Joti Gong like kubwa apa
@musaismail1984
@musaismail1984 6 жыл бұрын
Sammy MA k
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@basilking5964
@basilking5964 6 жыл бұрын
Wale wa kusoma comment tujuane 👇👇twende Sawa
@pamelanangila8661
@pamelanangila8661 6 жыл бұрын
Basil King niko
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 6 жыл бұрын
Niko hapa basil,hahahahaha
@dommycash1
@dommycash1 5 жыл бұрын
yeeaahh
@elsnyng6815
@elsnyng6815 6 жыл бұрын
Basiiiii... mmekwisha wote na wanunua 🤣🤣🤣
@abdallasarai5064
@abdallasarai5064 6 жыл бұрын
This is soo inspiring if u think twice...more than how fun it is.
@bestsuma5826
@bestsuma5826 2 жыл бұрын
Indeed it was inspiring but the funny part was the lawyer's patience 😅 waiting for them to argue for almost four minutes straight without saying anything
@lutherking3666
@lutherking3666 6 жыл бұрын
Hahahh Eti wakil tupo tyr toka jana joti c'yo pouw asee
@paschalcosta3998
@paschalcosta3998 6 жыл бұрын
Big Sound 😂🤣😂😂 muwekee buku jero yake.. eti mjomba lako godoro tu 😂😂😂
@enosedee4326
@enosedee4326 5 жыл бұрын
KAMA UNA MKUBALI BIG SOUND AKA JOTI GONGA LIKE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mullanochamp3860
@mullanochamp3860 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Marehem kanifanya vibaya 😂😂
@ligmmohd8112
@ligmmohd8112 6 жыл бұрын
Hahahhahahahh marehem alikujuwa, nishai hauna akili za kusimamia mali na ndio maan uakaambulia buku jero.UNAJUWA WAZAZI WANATUSOMA SANA.
@nancymohamed1924
@nancymohamed1924 6 жыл бұрын
Ndio
@maulidiissa9647
@maulidiissa9647 5 жыл бұрын
Dingi aliona kichwa kibovu
@yohanalembuguni3171
@yohanalembuguni3171 4 жыл бұрын
Hili ni somo kubwa
@mahamoudjacob1983
@mahamoudjacob1983 6 жыл бұрын
Big sounds... Marehemu kanifanya viby
@elidaimalema7310
@elidaimalema7310 6 жыл бұрын
H
@nancymohamed1924
@nancymohamed1924 6 жыл бұрын
Hahahaaa
@rehemasaid5651
@rehemasaid5651 6 жыл бұрын
haahaa yan Jot akil yke
@lauraabass1077
@lauraabass1077 3 жыл бұрын
🤣🤣
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 3 жыл бұрын
Buku Jelo
@mrpambatv3420
@mrpambatv3420 3 жыл бұрын
Nimempenda sana dada alivyoambiwa kapewa nyumba masaki akajifanya alia kinafki
@princeuzieri4548
@princeuzieri4548 6 жыл бұрын
Wewe sio mzima kbs kama unamkubali joti gonga like 🤣😂😎😎😃😃
@Mahmud.de.boogyman
@Mahmud.de.boogyman 5 жыл бұрын
Big sound kapata shillingi elfu moja mia tano😂😂😂😂😂
@innocentmoshi2966
@innocentmoshi2966 2 жыл бұрын
Mjomba umepewa godoro
@bashilukazembe918
@bashilukazembe918 6 жыл бұрын
unache kelea,,,!!!!! ??sevirce.... vifaa ad ubelgigy 😂😂😂😂😂😂
@mghayayustin7880
@mghayayustin7880 6 жыл бұрын
😀😀😀😀 Joti dadek daaaah unatisha like kwa jot jamani mimi ndo big sound
@renatuschigobolela8626
@renatuschigobolela8626 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Nishaiii kaliwaaaaa
@theoriginals3240
@theoriginals3240 4 жыл бұрын
Ane itizama tena 2020, acheke kwa sauti kubwa🤣🤣🤣🤣
@abdallahmwanyende66
@abdallahmwanyende66 6 жыл бұрын
Very nice work joti and your family team,,, big up kipande and mama van Dame
@salimusalimuomary6843
@salimusalimuomary6843 5 жыл бұрын
Jamani ktk zote ulisocheza mzee baba hii nimeikubali na naipa 💯💯💯💯💯💯
@omreuzex7109
@omreuzex7109 6 жыл бұрын
hahahhahah... Mpendwa mteja salio lako ni TSH 1500. asante kwa kuwa mwanafamilia wetu. 😅😅😅
@abeidabdullwarith8991
@abeidabdullwarith8991 6 жыл бұрын
Hahaha big sound kaangukia pesa ya nauli😃😃
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@barakahmatulah3070
@barakahmatulah3070 6 жыл бұрын
saa zingne mjomba unajielewa saa zingne hujielew 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hellyfridy
@hellyfridy 6 жыл бұрын
Joti jamani we nibalaa tupu 😂😂😂😂😂 yaani nimecheka hadi najamba you are king of commedy
@tinatina3440
@tinatina3440 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 2019 kama tunamkubali bingwa number 1 wa comedy bongo gonga like
@michaelmathias7423
@michaelmathias7423 6 жыл бұрын
et unachekelea,,,, service! 😃😃😃😃😃
@abdallahmachella2269
@abdallahmachella2269 4 жыл бұрын
Joti uwendi peponi hahhahhahha
@itisfinished.7831
@itisfinished.7831 2 жыл бұрын
This piece of art needs more views 👍
@maryamfimbo718
@maryamfimbo718 5 жыл бұрын
joti we kiboko wallah Bmw service 🤣🤣🤣 ma vandame unalia nini unafki huo ukipata mtu kama huyu katika familia mnakunya
@faudhiajosefu8248
@faudhiajosefu8248 4 жыл бұрын
Yani atariii joti
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Maryam unaniaibisha mrembo! Daah mambo ya kunya tena??? Mrembo haongelei mambo ya kuvua chupi na kunya mamii!! wewe unaonekana huna haya bhana au? Neno kunya ni chafu la aibu wewe mrembo! Daah Saa Hii unasema unakunya??? Una maana unamwaga mavi yananukaaaaaa!!!! Daah usamehewe we Mariam kinuka chupi!!!!
@alimussa2655
@alimussa2655 6 жыл бұрын
Mjomba utafikiriwa kuna mashamba 🤣🤣😂😂😂 gonga like
@luganojackson5977
@luganojackson5977 6 жыл бұрын
Nice one bro...keep up the good work
@alikomwamundela6264
@alikomwamundela6264 6 жыл бұрын
Dah! Inauma sana marehemu akikufanya vibaya😀😀😀!
@abduyusufu1876
@abduyusufu1876 6 жыл бұрын
Hahaaaa wakili tuko tayali toka jana Kama unamkubali joti gonga like
@immampiku3841
@immampiku3841 Жыл бұрын
😁😁😁😁
@onlinetzmedia
@onlinetzmedia 6 жыл бұрын
jaman nmechekaaaaaa
@nancymohamed1924
@nancymohamed1924 6 жыл бұрын
Aunishindi mimi
@mariamhaidarijamali806
@mariamhaidarijamali806 6 жыл бұрын
Joty ameleta mkewe kw ajili y kupata faraja duuuh iyo mpya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pasikamamy1268
@pasikamamy1268 5 жыл бұрын
MARIAM HAIDARI JAMALI joti bana ananivunja mbavuu
@furahinichoirkkamiyunga113
@furahinichoirkkamiyunga113 6 жыл бұрын
Joti so mzima wewe leo umenikosha😁😁😁😁😁 nawanunua wote
@flyricksmackdown9211
@flyricksmackdown9211 5 жыл бұрын
Akuna km joti
@angelamartin1596
@angelamartin1596 5 жыл бұрын
Joti hahahaaaa umetisha
@shadrakckmakasishadrackmak7098
@shadrakckmakasishadrackmak7098 6 жыл бұрын
bilion 1.45 mpaka buku jero hahah like yako inahusika
@eriqemarson2362
@eriqemarson2362 6 жыл бұрын
Shadrakck Makasi Shadrack Makasi kaua 😂😂😂 big sound
@sumagmk5216
@sumagmk5216 5 жыл бұрын
hipo poa sana kama ujachka
@mohamedmpuku8066
@mohamedmpuku8066 4 жыл бұрын
hahahaaaaaaa, nouma sana
@isacknguvumali3445
@isacknguvumali3445 6 жыл бұрын
Eti marehemu ka nifanya vibaya miieeeeee 😂😂😂😂😂
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 6 жыл бұрын
isack nguvumali
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
😂😂😂
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@joharijumajohari6417
@joharijumajohari6417 5 жыл бұрын
Kazi nziri 😂😂😂😂
@bobog9732
@bobog9732 6 жыл бұрын
mtoto wa kwanza 😭😭 pol snaaaaaaaaa umekuwa unajishauwa bur 😀😆😆
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
Instagram @THEREALFAMILYOVERFAME INSTA SANTENI NAKUPENDI FOLLOW MEEEEE TZ STAND UP!!❤🌍
@ezramahamba9926
@ezramahamba9926 Жыл бұрын
Asanteni sana kwaku tuonya, Ezra Toka DRC
@jackkisaina3980
@jackkisaina3980 3 жыл бұрын
Ahahaaa eti dar es laam yote nitainunua this guy is full of funny serious
@mariamsaidi3084
@mariamsaidi3084 6 жыл бұрын
Joti upo juu nani ana mkubal joti jmn team +254 🇰🇪
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 жыл бұрын
Muoneeni hurum kaka enu big😂😂😂
@nancymohamed1924
@nancymohamed1924 6 жыл бұрын
Hahahaaa
@DanielRukas
@DanielRukas 7 ай бұрын
Leo nimekuja kiitazama tena 2024
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 жыл бұрын
😂😂😂Kati ya videos zote zako Joti lakini hii uliua, kali sana😂😂😂
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 2 жыл бұрын
😁😁😁
@kpkipala5883
@kpkipala5883 Жыл бұрын
Ipo na ile ya bastola ya baba yake 😁😀😄
@ramxoketti7521
@ramxoketti7521 4 жыл бұрын
Jaman 2muombeen joti umri mref ndofuraha yetu awo wengine Wana force tucheke 😂😂😂
@uwimanauwimana5519
@uwimanauwimana5519 6 жыл бұрын
mbavu zangu miyeeeeee 😂😂😂😂
@hassanimapanga2889
@hassanimapanga2889 4 жыл бұрын
Kama umeirudia hii kitu zaid ya mara3 gonga Like twende sawa 2020
@nkwabitz233
@nkwabitz233 6 жыл бұрын
CREATIVITY. Nice Bro!
@nancymohamed1924
@nancymohamed1924 6 жыл бұрын
Hahahaaa kweli baba yako kakutia nishai kama jina lako vile NISHAI na nishai kweli buku jero 1500 sio poaaw halooo
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂dah hiii nimecheka kifala kweli😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 Жыл бұрын
Uko juu bro
@twahatkkassimu7458
@twahatkkassimu7458 6 жыл бұрын
HaaHaHaaa...Mjomba Nishai akiwa na UCHUNGU anapozwa kwa Busu..HaaHaHaaaaaaaa
@athumanimfikirwa8561
@athumanimfikirwa8561 5 жыл бұрын
Haha....hahaha.
@athumanimfikirwa8561
@athumanimfikirwa8561 5 жыл бұрын
Nomaaa saanaaaa
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love ❤🌍
@heriprince6166
@heriprince6166 4 жыл бұрын
Nani yupo hapa, 👉December_2019??
@ramadhanmussa2564
@ramadhanmussa2564 4 жыл бұрын
Ety mjomba nyamaza unachukua godoro kuna mashamba utafikiriwa , big sound joti
@mkumbasonic8280
@mkumbasonic8280 Жыл бұрын
Jamaa mnanivunja mbavu good work
@blessingmsuya6264
@blessingmsuya6264 5 жыл бұрын
Much love bro 👍👏👏😘
@yusuphtyga1302
@yusuphtyga1302 6 жыл бұрын
Joti nakukubali sana 🔥🔥🔥
@isayangwahi9251
@isayangwahi9251 6 жыл бұрын
BIG SOUND CHALIIIIIIII...MAREHEM KANIFANYA VIBAYAAAA...EHEHE WE JAMAA HATARI SANA
@charlesgodwin3912
@charlesgodwin3912 6 жыл бұрын
Ahaaa Joti hatariiii eti marehem kamfanya vibayaaaa
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 6 жыл бұрын
wapii big sound hahahahaaaa
@johngetruda6087
@johngetruda6087 Жыл бұрын
Me namkubali sana joti😂😂
@shazdelacruz9800
@shazdelacruz9800 6 жыл бұрын
Nawakubali xnaa Hawa expecially joti 😂😂😂😂😂😆😍😍
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love ❤🌍
@madiankhaher545
@madiankhaher545 6 жыл бұрын
unalia nini mnafki mkubwa wewe sasa ungepewa vituvyangu mimi si ungekufa 😂😂😂😂😂😂😂
@aljassasiblanco3663
@aljassasiblanco3663 6 жыл бұрын
Omary Mussa 😂😂😂😂😂😂
@madiankhaher545
@madiankhaher545 6 жыл бұрын
hahahah
@siwemaking8321
@siwemaking8321 5 жыл бұрын
hahaha
@urassacharles2669
@urassacharles2669 5 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lovenessjohn2360
@lovenessjohn2360 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@kakaallen9190
@kakaallen9190 6 жыл бұрын
HAHAHAHAHAHAAAA. Hii ndo jeuri ya marehemu .. joti nasubiria pt 2..😂😂😂
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 10 ай бұрын
5years back still I watching you joti
@alleastnews9957
@alleastnews9957 6 жыл бұрын
🤣🤣🤣 umeanzia down kwenda kwa big sound🤣 wow
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 6 жыл бұрын
big sound imekula kwakeee 😂😂😂😂😂😇😇😂😂😂😂
@estellairakoze186
@estellairakoze186 6 жыл бұрын
Hahahahaa joti bhana unamambo kwa kweli
@chidyziddy4226
@chidyziddy4226 2 жыл бұрын
Moja kati ya video zak bora kbs yaan
@tzviral7342
@tzviral7342 6 жыл бұрын
Tzsh 1,500 😂🤣...Sio mbaya, unapata 1GB Airtel unapozea machungu.
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
Kabisa 😂😂😂
@youngmuutz1128
@youngmuutz1128 5 жыл бұрын
joti 😂😂😂 eti mjomba toka kwenye kiti
@vicentdismas4355
@vicentdismas4355 5 жыл бұрын
Hahaha mbavu zangu, jamani, gonga like hapa twende sawa
@frankkinyaiya.8217
@frankkinyaiya.8217 5 жыл бұрын
Nimecheka hapo joti aliposema mmekwisha nawanunua wote nyie😂🤣
@mrboogie255-dr2kh
@mrboogie255-dr2kh 6 жыл бұрын
Hhhhhhh nice bro
@sundaylutavi7625
@sundaylutavi7625 6 жыл бұрын
nawanunua nyinyi 😂😂😂😂😂
@mfaumeseif5872
@mfaumeseif5872 6 жыл бұрын
Joti ametisha sana
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame nifate kaka love
@kasaba7
@kasaba7 6 жыл бұрын
ahahaha we jamaa Fundi sanaaa...#Don't stop broo for real...team yako wanajua sanaa..Kipande anauaa
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
Nishai kkkkk Kkkkkkkkk kkkkkkk 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 nimependa sana na kiherehere sake 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@enockkitomarys4909
@enockkitomarys4909 6 жыл бұрын
Baaaaasi mmekwisha
@barytz5977
@barytz5977 6 жыл бұрын
Kipaji unacho
@sajidabakari9809
@sajidabakari9809 6 жыл бұрын
hahahhahah Joti weee eti "dada, dada nataka nyumba ya masaki"
@kabonejuma5453
@kabonejuma5453 5 жыл бұрын
joti we fund sana kaka ukovuzur kama unamkubar joti gonga like
@MegaNgy
@MegaNgy 6 жыл бұрын
Big sound... Nanunua Dar es salaam yote 😂😂😂😂😂😂😂
@icepackgiffted7780
@icepackgiffted7780 3 жыл бұрын
The instagram therealfamilyoverfame sante sister 🌍❤
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 6 жыл бұрын
jamani kuna watu wana roho mbaya duniani duuuuh,eti MTU video kama hii anapress 'dislike' au na wao marehemu aliwafanya vibaya wakaambulia 1500,wametoneshwa kidonda😂😂😂😂😂😂😂😂
@nassaabdul6114
@nassaabdul6114 6 жыл бұрын
Victor Sanga wajinga sana hao
@user-us9gl8jg4l
@user-us9gl8jg4l 4 жыл бұрын
Itakuwa
@winnievesso4473
@winnievesso4473 4 жыл бұрын
Wivu
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 4 жыл бұрын
😁😁
@mohamedjafferali2423
@mohamedjafferali2423 4 жыл бұрын
Watu wanakichaa sana 😂
@totoclass2470
@totoclass2470 2 жыл бұрын
Tusilaze damu hapo kuna mtu kupasuka🤣🤣🤣🤣
@ephraimisaya5027
@ephraimisaya5027 5 жыл бұрын
Haya mambo tufanye haraka haraka mtu amexhakufa harudi tena kila mtu apate cha kwake,,,hyo kwel ndo big sound
@swahibaflamberngwira5077
@swahibaflamberngwira5077 6 жыл бұрын
Kkkkkkkkk mbavu zangu heti marehemu kanifanya vibaya
@jobbup0lly700
@jobbup0lly700 4 жыл бұрын
😂😂😂
@defrankline
@defrankline 6 жыл бұрын
hahahahaha! Joti katoka na 1,500 TZS
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 Жыл бұрын
Hahahhaha at Ndo faraja yenyewe uko kuu bro
@khamisnassor4460
@khamisnassor4460 Жыл бұрын
Nishai bwana ni nomaaaaaa kwa kuchekesha na pengo lake na makoti ya kiajabu🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩😃😃😃😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
Mama vandame analia unyambi!!! Chzea nymb mbil maduk mawil na mashine ya kufyatulia matofali. Haaahaaaaaaaa nmecheka vby xanna leo nmefraaah joti kapatikana
@jahkeyrenson4400
@jahkeyrenson4400 6 жыл бұрын
Dashuu Saalim yani hawa nawakubali
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
Nikiion tu joti tv me sfny ajiz coz najua lazm ntfrahia.
@jahkeyrenson4400
@jahkeyrenson4400 6 жыл бұрын
Dashuu Saalim walahy mimi notifications zote you tube but joti tv huwa sichelewi kufungua😂😂😂😂😂
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
Jahkey Renson dddduuuuh shetan wetu mmoja me mwnyew cpitw na jtv... zaid akiwa na sopa na kipande wanajua balaaaa
@jahkeyrenson4400
@jahkeyrenson4400 6 жыл бұрын
Dashuu Saalim afu SOPA nampenda hadi sijiwezi yani natamani nimeet naye siku moja🙈🙈🙈🙈🙈
@funneybozzendaddy7631
@funneybozzendaddy7631 6 жыл бұрын
Tembo jero ndio salio😂😂😂😂 joti mjomba leo umeachwa v8 iyoo
@jeffballafundi9776
@jeffballafundi9776 Жыл бұрын
Joti Katrend Leo Nakipande Hicho "Bhaaasi Mmekwisha" Kuna Nini Tena 😂🤣😂🤣😂 #feisal na yanga
Cha mtu mavi
8:41
Joti TV
Рет қаралды 754 М.
KIKAO CHA HARUSI
10:54
Joti TV
Рет қаралды 935 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 35 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,3 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 464 М.
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 74 М.
Zingatia maelekezo ya mpangaji "TX DUlla" yamenyooka
3:32
Mtu ni Afya
Рет қаралды 2,8 М.
Urithi wa Babu
5:43
Joti TV
Рет қаралды 294 М.
KIINUA MGONGO
8:29
Joti TV
Рет қаралды 572 М.
MCHUZI JUUU
7:19
Joti TV
Рет қаралды 898 М.
SAITI
8:48
Joti TV
Рет қаралды 539 М.
KAYATAKA
7:24
Joti TV
Рет қаралды 672 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 187 М.
Snichii
8:55
Joti TV
Рет қаралды 657 М.
До конца😂
0:26
ХАБИБ
Рет қаралды 3,9 МЛН
Телега - hahalivars
1:00
HAHALIVARS
Рет қаралды 7 МЛН