nabarikiwa sana na mahubiri ya mchungaji David, unaelezea bibilia kwa undani na tunaelewa mungu azidi kukutia nguvu milele, Amen
@donaldsamwel6836 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor ujumbe mzuri sana.
@martinbabu44343 жыл бұрын
Mchungaji wangu napenda sana mafundisho yako yamenifungia na pia kutokana na masomo yako nimejifunza vitu vingi na pia naendelea kujifunza. alafu mchungaji ninalo hitaji langu naomba uniombee nimemuomba Mungu anifanikishe na Akinifanikisha Nitatoa sadaka ya shukrani na nitatoa ushuhuda wangu mahubiri tv ili watu wamjue Mungu.Natokea wilaya ya meru Kijiji Cha mbuguni