Nimebarikiwa na kujifunza vitu vipya sana juu ya somo hili Mungu atukuzwe katika somo hili
@ronaldhelmott837911 ай бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu pr najua vita ulinayo ni kali sanaa lkn aliahadi kuwa nasi hata ukamilifu wa Dahari mathayo 28:20.
@saimonkalihamwe535810 ай бұрын
Asante,, Mungu akubarik osama Pr. Semba KWA masomo mazuri
@paulsemba_TV10 ай бұрын
AMINA
@malandojuma926611 ай бұрын
Barkiwàaaa sanaa pasta nashukru Mungu akubarki
@paulplus367311 ай бұрын
Mungu akutie nguvu uendelee kulitangaza neno lake
@theresiagideon217811 ай бұрын
Amen ubarikiwe Pastor.🙏
@gichungwamuthoni206311 ай бұрын
Amen Pastor.
@zephaniasangala427511 ай бұрын
Naendelea kubarikiwa na masomo haya naomba sana kama nitaweza pia kuapata masomo yote ya semina ya muziki pastor nataman kujifunza vingi kuhusu muziki wa Kikristo
@malandojuma926611 ай бұрын
Pasta nashukru Mungu Kwa masomo unaleta wokovu MUNGU mwema atakubarkia zaidi na zaidi milele Amina ❤