KATOTO KAYESU-NDIO MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA HIZI HOJA NA USHAHIDI TOSHA WA KIMAANDIKO-UST SHAFY

  Рет қаралды 6,160

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBEB CHANNELI HII

Пікірлер: 145
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 8 күн бұрын
Nimekipa jina hiki kichwa yani shafii THE CBO (Christians brain opener) anae kubali apige like👍
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 5 күн бұрын
Yaaani mi nilisha vuaga kofia kwa iki kichwa kitambo sana, uyu mwamba afai hata kidogo inshort uyu mwamba anatisha sana.
@SaidiMazaila-g3o
@SaidiMazaila-g3o Күн бұрын
Sahihi
@LucaWanzuki
@LucaWanzuki 8 күн бұрын
Sisemi kitu leo mwenenu ila nawapea like zenu2 na shek shafii chukua mauwa🎉🎉🎉
@muliamadi859
@muliamadi859 8 күн бұрын
Katoto ka yesu ,kama unatumia maandiko ili ujifunze basi namin mungu atakuongoza kwenye njia ya haki,na kama unatumikishwa na watu basi utabaki kuwa mpingaji tu ,na ukweli unauficha moyoni mwako
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 8 күн бұрын
Allah akulipe kwa elimu yako asipoelew kwa unavyomfafanulia bas hataelewa tena allah akulinde sheikh wetu
@KassimSaidi-hg5cw
@KassimSaidi-hg5cw 8 күн бұрын
Nakubali shekhe wangu, kunawakati unakuwa unaulizwa maswali adi nasema leo sekhe kapatikana lkn ukianza kujibu tu tayari naanza kufurai na majibu Yako
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 5 күн бұрын
Shekhe Shafi noma sana yaaani mi najisikia raha sana uwepo wako mungu akupe umli mlefu wenye baraka na akufishe aliyakua muislamu na pia nakupenda kwajili ya Allah napia nisikose mwendelezo wa ili Darasa Inshaallah.
@idrisjames9392
@idrisjames9392 7 күн бұрын
Uyu ndio shafii mashaallah
@RajabJuma-m2n
@RajabJuma-m2n 8 күн бұрын
Allah akuhifadhi tuzidi kufaidika 🤲🤲🤲
@cletondunguru1352
@cletondunguru1352 6 күн бұрын
Shekhe nakuomba mufanye majadiliano haya live muandae mkutano
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 7 күн бұрын
Kwaza wayaudi wanampinga Yesu na wanasema ya kwamba Yesu ni ntoto wa zinaa. Pili Hakuna ukristo, Zakaria, Yohana ata Mariamu hawakumwabudu Yesu. Izi ni zenu tuu.
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 8 күн бұрын
Shafii nakupa jina Big Brian.
@TheAlman
@TheAlman 8 күн бұрын
Shukurani jazira
@MoustaphaMakokha
@MoustaphaMakokha 8 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪, asalam alaikum Sheikh Shafi? Ndo maana wanaamini kuwa Yesu ni mungu.
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 3 күн бұрын
Tunaamini yesu ni mwana wa mungu tukifuata amri zake tutapata uzima wa kale yohana 14:6 Quran ni kitabu cha mashetani kwa maana Mohammad si mtume wala si nabii
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 3 күн бұрын
Quran 46:9
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
Kitoto cha yesu kinatumia uislam kupata view
@KhamisiOmari-yo7jx
@KhamisiOmari-yo7jx 8 күн бұрын
Sheikh shaffi katoto ka yesu katayarishiwe mume tayari ili kakisilimu tukachangie kaolewe katuzalie masheikh pia kapelekwe kaka some dini insha ALLAH
@AliDinanga-jr4co
@AliDinanga-jr4co 8 күн бұрын
Mume tayari nipo ! Kakisilimu tu mimi nakuja Tanzania kumuowa!
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
😂😂😂kwakweli
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 3 күн бұрын
I break it in the name of Jesus Christ kwa maana ndani kwa bibilia mungu amekamilisha unabii wake kwa ustadi ila Mohammad hakufanya kitu na hakutumwa na mungu
@ChescoKitinya
@ChescoKitinya 8 күн бұрын
Hatufanani na Mungu kwa sura kama unavozani,,ni ktk upendo,huruma na haki..huo ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa mwanadamu kabla ya anguko pale Eden .. sasa wewe unanukuu kitabu cha isaya,kutoka,unategemea mungu aseme anamfano wa mwanadamu!.mfano wa Mungu kwa mwanadamu ulikoma baada ya dhambi kuingia ..yoeli 2.28 Mungu anaahidi kurejesha roho yake kwa mwanadamu kwa kumleta yesu ambaye ndio kipatanisho na mfano wa Mungu
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 8 күн бұрын
@@ChescoKitinya kwani Yesu ni nani katika Imani Yako?
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 7 күн бұрын
We unafanya haki? Haki yako inamapungufu ,ilo andiko uko nalo kinasema tunafanana na Mungu kinhaki,Tabia na huruma? Au umenukuu wapi ndugu
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule 8 күн бұрын
Shafii unapenda kumjua Mungu wa wakristo mtafute pastor Ndacha yeye amejaa maandiko acha kuendelea kujipotosha mwenyewe. La msingi hapa tambua kwamba Mungu wa kitabu cha biblia sio huyo mungu wa kitabu cha audhubilah.
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 7 күн бұрын
Soma ndugu yangu, amka usiku mlilie mungu wako akuoneshe ukweli ni upi, soma tafuta haki ni ipi tunaishi once duniani ukishaondoka ndio imeisha hiyo
@sizzle_tz
@sizzle_tz 6 күн бұрын
Acha ubwege kwa akili yako na upeo ulionao unaona kabisa kuna Mungu zaidi ya mmoja. Eti Mungu wa kitabu cha biblia. Mungu ni mmoja shida ni hitilafu za kiimani baina ya ukristo na uislamu na hitilafu hizi hazifanyi Kuwe na Mungu mwingine acha fikra za kitoto
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 6 күн бұрын
Huyo Ndacha wako hanalolote tunamjua vizuri kwa taarifayako shafii simgeni na Ndacha.shafii haogopi yoyote. Ndacha alisema anamtaka BIG BRAIN SHAFII akaambiwa andike barua mpakasasa haja andika.
@baloziwaziri338
@baloziwaziri338 7 күн бұрын
الله يعطيك ي استاذ
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 8 күн бұрын
Sheikh shafi s.s.p achana na katoto ka yesu kanapoteza mda kwanza kanatumwa
@ramazanzibar8264
@ramazanzibar8264 8 күн бұрын
Wapo weng watasilimu kupitia yeye mana yeye anafany kwa kiki ila kuna watu wanataka kujua ukwel na WAKRISTO weng huwa hawajajua washike wap
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 8 күн бұрын
​@@ramazanzibar8264umesema
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 3 күн бұрын
Na ko sawa juu anamwamini yesu ndiye njia ya mungu
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy 8 күн бұрын
Nashukuru umekubali uprofesa niliokupa
@legendaction202
@legendaction202 7 күн бұрын
Hichi kitoto cha yesu kinataka umaarufu basi nacho kitasilimishwa
@thehomeoffootballskills4358
@thehomeoffootballskills4358 5 күн бұрын
Takbir
@ChescoKitinya
@ChescoKitinya 8 күн бұрын
Agano la kale hakuna andiko Mungu ni mfano wetu ,mfano wake kwetu ulikoma baada ya ddhambi kuingia..soma bible kwa muktadha sio unajenga hoja kwa mstari mmoja ,,mbona husomi kutoka7.1 musa anaambiwa atakuwa Mngu kwa farao na haruni atakuwa nabii wako,,ktk isaya 40.25 na kutoka 9.14 hapo Mungu anataka tujue ukuu wake na nguvu alizonazo,,Mungu ni roho na sisi tunafanana nae ktk roho baada ya kumpokea yesu ,,soma yoeli 2.28 anaahidi kufanya hivyo
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
Huyo Allah c mungu n miungu mungu wa kwr atokan n muhamadi et mtume unarogwa,mtume unapigan vita unauwa,mtume unaoa wk kibao,mtume unakufa hf ujui unafufuka Lin,na shetan kawafany waisram vby Iko hv ht utende mema vp bl yesu ni swa na kupiga bomu mochwar afu ukajisifu umeuwa mema matendo lzm kumwamin yesu mbl na hpo n kupgia mbuz jukwaa kil mtu lzm aokoke achanen na din za kipepo yesu ndo nguvu ilotabirwa na c mtume muhamadi fully stop
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 8 күн бұрын
Sikiliza maandiko dawa ikuingiye vizuri matusi hayana mana
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 8 күн бұрын
Sikiliza acha mashetani kichwani Sikiliza kisha jibu hoja
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂shida makafir akil zpo makalion,labda nikuulize Mussa alikufa sio Mtume....???kwa akil hiyo ina maana humuamin Ibrahim humuamin Daud humuamin Nuhu na Manabii wote walio kufa,sasa ww unashangaa Mtume Muhammad kurogwa unashindwa kumshangaa Yesu Mungu wenu alie pigwa na watu mpk kuachwa na chupi😂😂😂😂😂
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
@huseinshedrack6180 hao n mitume lkn wadogo San kw yesu yesu alikuj kutiliza na kukamilish manabii wte wap chin yk na ndo atarud kuj kuukum ulimwengu na mtu wn kw maovu alotenda ataingizwa moton kw kuwapotoxh kupitia ndoto za majin okoka na uwe huru
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 7 күн бұрын
Onaongea bila maandiko, unaonekana huna elimu na hujui nini unafanya,,,,mitume hawaoi sio? Mitume hawana wake? Unaisoma biblia wewe? Ibrahim hakua na wake? Suleimani je? Yusuph?
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
Dini ya majin n uislam ndo mn mungu wao n shetan uwez mpate mungu w kwr kupitia uislamu
@JamaliBakari
@JamaliBakari 8 күн бұрын
Kipofu wa macho na kiziwi wamaskio
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 8 күн бұрын
Kipofu wa moyo ni hatari jibu hoja hizo acha ushoga
@IsmailSanga
@IsmailSanga 8 күн бұрын
Kwani anayosoma siyanatika kwenye biblia!! We endelea kuabudu Yule yesu mmarekani.
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g 7 күн бұрын
Kwan watu wote c wameumbwa na MUNGU mmoja, jiulize mbna wengne anakwenda kuwachoma. Ndo utajua sababu
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 7 күн бұрын
Kwaio tukiskia gari imetengezwa kwa mfano wa Mjapan,tujue kua gari io inafanana na sura za Wajapan😔Alafu mnajifanya mnajua maneno ya kiroho
@maulidimuhani
@maulidimuhani 8 күн бұрын
katoto ka yesu, Mungu wako ni jinsia gani sasa maana, sisi binadamu tupo ME na KE yeye ni mfano gani hapo????
@nancyenock5601
@nancyenock5601 8 күн бұрын
MWANZO INASEMA tumfanye mtu KWA mfano wetu bado ni MFANANO na kutoka nayo INASEMA hakuna wakufanana nae kwenye mapigo atakayo wapiga watu wa Musa hvyo ww unaunga UNGA maneno
@lilhydon452
@lilhydon452 5 күн бұрын
Wewe Shafii unapenda kuongelea chumbani,unamuogopa Ndacha...Mimi ndo kabisaa,hata mtume Muhammad haniwezi 😅😅
@OscarJr-yu9so
@OscarJr-yu9so 8 күн бұрын
Huyu dada anajitahidi kutaka kujifunza lakin hayupotayali kuelewa maandiko nikama yeye nimbishin tu kama wengine ame fundi shwa sana lakin yeyey bado et ajaelewa
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 8 күн бұрын
Asipoelewa basi tena
@babazungu3180
@babazungu3180 9 күн бұрын
Huwa najiuliza hawa watu wa roho mtakatifu huwa hawaoni hayo maandishi au ni vipofu???
@kdloon2030
@kdloon2030 9 күн бұрын
Ni vipofu wa nyoyo
@mbwanasendaro4707
@mbwanasendaro4707 8 күн бұрын
Masha Allah.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 күн бұрын
Hivi nyie mnasujudia Al hajar Al aswad lililoko kwenye hamshituki tu kuwa mnaabudu JIWE?
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
😂😂itakuwa vipofu wallah
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 8 күн бұрын
Vipofu wa nyoyo
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
Mumuambie sio kulhani ni qurani mbona anatamka vibaya kitabu kitukufu😢
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 8 күн бұрын
Yaani kweli Mtume atumwe na Mungu halafu waislamu wawe wana muombea hata baada ya kufa hadi leo??Sasa kama ninyi mnamuombea Mtume badala ya yeye kuwaombea ninyi watu wake nadhan ni kiroja .,shafii Ukristo sii mchezo hata Mohamad Ukristo ulimshinda kabisaaa na Quran imepinga mambo yote kwenye manabii wote na mitume wote na ndio maana huwezi kueleza Ukristo Wala manabii Wala mitume ktk Quran .
@soccertv293
@soccertv293 8 күн бұрын
Ww shafi humuwezi kasome kwanza ndio uje ,maana huna elimu kabisa ,hujui pia yesu anataka rehema kwa watu Kama mtume Mohammad? ,sikupi andiko nenda kasome maana mmezoea kutafuniwa tuu
@JohnKibajamdoe
@JohnKibajamdoe 8 күн бұрын
Mungu anahitaji wanaadamu wapendane na waongozane katika kumjua yeye. Leo hii Corani inasema msiwafanye wakristo wala mayahudi kwa ujumla wao kuwa marafiki? Yaani mkiwaona tu basi mmeona maadui. Kwaakili ya kawaida Mungu akiwaona Wayahudi ama wakristo anawachukia? Wala hapawezi kupatikani mtakatifu kati yao bali ni chuki na uadui hadi kiama? Na ukiwaona tu uwachukie? Yesu anasema Adui yako mpende tena umuombee maana hujui kesho yake. Baba uwasamehe maana hawajui watendalo.
@سيوابورندي
@سيوابورندي 8 күн бұрын
Shukurani
@ramazanzibar8264
@ramazanzibar8264 8 күн бұрын
HAKA KATOTO HAKANA ELIMU NA HAKITAKI KUJIFUNZA ANAFANYA KM MZAHA ILA WAKRISTO WENG WANAPATA FAIDA KUPITIA YEYE NA BAADHI YAO WAMESILIMU NA NAOMBA AENDELEE HV HV MANA WAPO WENGI WANAOPATA FAIDA ZAID
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 7 күн бұрын
Natena akae kwakutulia asome kwakituo bila kuhangaika
@Furahinikatkabwana
@Furahinikatkabwana 8 күн бұрын
Uislam sio dini ya Mungu,ni ya alla muarabu,hakuna Mungu anaewatenganisha watu kisa dini,tusinge achiwa upendo ndo amri kuu,huu uislam ni ushetan mkubwa
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 8 күн бұрын
Sasa nyie Wakristo muna mpaka Roho mtakatifu so hayo maandiko munakua hamuyaoni😂😂😂! Sasa ww mwenye Dini kipi unakijua? Kwa akili zenu Mungu aseme kamuamba mwanadamu kwa Umbile lake? Je Mungu anajunsia Ngapi maana kuna wanaadanu wa kike na wa kiume, Pili wewe ilipatikana kwa Manii so jee Mungu baba ake alikua nani? Mwamaadamu anaongopa so Je Mungu nae anaongopa? Mwanaadamu ana Matamanio mpaka Mbuzi anampandia so Je Mungu atakua km mwanaadamu? Kuna vitu havihataji hata D mbili 😂😂😂😅
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
Toa aya acha porojo wewe😅
@ashrafnuru6402
@ashrafnuru6402 8 күн бұрын
Sasa ndo umeandika nini ety siyo dini ya mungu ni alla , nini maana ya alla, au unadhan neno Mungu linatumika dunia nzima​@@TreasureMagumba
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
@@ashrafnuru6402 sijakuelewa
@MwijakaSwalehe-dg4hw
@MwijakaSwalehe-dg4hw 8 күн бұрын
Shikilia unachoamini,but kuwa tayari kuingia motoni,tumia akili
@OMARIFUNDI-k4d
@OMARIFUNDI-k4d 8 күн бұрын
Waona hayo maandi ila wanajitoa ufahamu WA na ubishi WA roho
@danielkamau2987
@danielkamau2987 8 күн бұрын
Katoto ka yesu nilikwambia ukuskia Quran toroka kabisa,mungu wa waislamu hana mfano.huyu Shafii anapotesha watu wengi kwa maana huko amesoma kwa bibilia mungu haongei mambo ya sura yake anaongea mambo ya nguvu zake..
@maulidimuhani
@maulidimuhani 8 күн бұрын
Toa andiko wapi Mungu kataja nguvu zake na sio maumbile yake, usimsingizie Mungu, mwenyewe anao uwezo WA kusema usimsemee wewe.
@FadhilZaharan
@FadhilZaharan 7 күн бұрын
Hawa wa2 nivipofu niviziwi ni mabubu hata uwafundishe vipi hawaelewi
@abuhassan9552
@abuhassan9552 8 күн бұрын
Tutawakubali vipi nyinyi ambapo muna amini miungu mitatu wengine mungu wawili wengine mungu ni yeso je tutaweza kuwa nayinyi ?
@RashidAhamed-kq6pt
@RashidAhamed-kq6pt 8 күн бұрын
Kwani hawa wakristo hawasomi àu hawayaoni haya maandiko mm nashangaa jamani du
@flomensiakinyaga1032
@flomensiakinyaga1032 8 күн бұрын
Sheikh Shafi, ameongea vitu vingi sana vya upotoshaji na naomba umjibu kila hoja katika video nyingine kama hutaweza kuzimaliza katika video hii.
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 8 күн бұрын
Mada itaendelea
@JumaMwanga-xd9gy
@JumaMwanga-xd9gy 8 күн бұрын
Ostaz shafi allh akuzidishie, Lkn kuna yule Abel Ndio mpotoshaj mkubwa mim naomba tumtafute alf tuweke hoja mizani jino kw jino.. Aseme Mfunzo yake anayatoa wap kudanganya watu tiktok
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 8 күн бұрын
Mimi ni fundi ujenzi naweza kutengeneza kitu kwa MFANO WANGU ivi nini utaelewa hapo Hii nyumba nimejenga kwa mfano wangu kwa hiyo mimi nafanana na nyumba? Mungu aliposema mfano wetu kwamba yeye ndiye mbunifu hakuna mwingine aliyebuni mtu yaani Yeye MUNGU NDIYE MMILIKI WA KIUMBE KIITWA MTU YALE MAUMBILE YEYE NDIYE KABUNI YAANI DISAIN YAKE NA SIO KUFANANA HUYO MGSLATIA ATAKUSUMBUA TU UKILISTO NDIO UMEWAPOTOSHA
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 8 күн бұрын
Shida inaanza wanaamini kitabu ambacho kimeandikwa na wahuni flani hivi na maandiko yana makosa kibao na maandiko yenyewe yanakinzana yani ni confusion😅😅😅😅
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
Quran n kitabu cha majin mmecopy biblia mkaiwek kwny kitabu cha majin ukwr wa maish na mungu umeanz kwny biblia shetan amefany vby waisram munguvwa kwr yup kw wakristo na huo ndo ukwr we fananih maish ya yesu na pepo muhamad utapat jbu
@DegalgalSarah
@DegalgalSarah 3 күн бұрын
Aty professor nan kaandika hiyo Quran juu wenye waliipewa hawakujua kuandika pia yenye Mohammad alipewa ilikua ya kukaririwa Quran 4:79 na yeye hakusiandika Quran 57:3 yeye inamaanisha nani na Mohammad si nabii wala si mtume wa mungu
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
Kitoto cha yesu kinajitahiiiidi kuukosoa uislam lakini wapi. Kina hangaika tu
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 5 күн бұрын
Huyu Dada hajui mambo ya dini anategemea midomo ya Akina ndacha shiriwa mwankemwa Lkn angesoma Kwa kutumia akili huru
@Furahinikatkabwana
@Furahinikatkabwana 8 күн бұрын
Mudi sio mtume ni jangili,shafi acha kupotosha,Mungu alikua na roho mtakatifu,Mungu anatamka roho anafanya,sasa ukiangalia uislam unaweza kulingana na ukristo kweli,
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 8 күн бұрын
Hapo ulipo unakoment kama mlevi😂😂😂😂😂mada Inasemaje😂😂😂😂
@Furahinikatkabwana
@Furahinikatkabwana 8 күн бұрын
@PasserbyMan-ju8ky ulev unaujua wewe,huwez kuingia din ya kuuza majin,walio anzisha uislam wenyewe niwauaji wakubwa,wewe na akilizako mgando unajiona mjukuu wa mwarabu,mchepuko haachi familia salama hata siku moja
@maulidimuhani
@maulidimuhani 8 күн бұрын
Na ukimuona au kusikia mtu anasema Mudi ni mtume ujue huyo ni Kafiri, maana Hajawahi kutokea mtume anayeitwa mudi Labda KWENU makafiri kama yupo??? Ila Kwa waislamu hawana mtume aitwaye mudi.
@Mohamed-vp7vn
@Mohamed-vp7vn 7 күн бұрын
Aa a😊
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 8 күн бұрын
Mpe huyo maana haelewi chochote chochote
@Naadiya001
@Naadiya001 2 күн бұрын
Hako katoto Hakan lolote kanautaka uislam kanajishaua tu
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
Km uislam ni din bc mm namin huyo mungu amefel na ntakuw tyr kuingia moton
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
Utaingia kweli usipotubu
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 8 күн бұрын
@Annalisejg2ur ni tubu kw mungu Jin mm na yesu alie hai na siyumbishw kw elimu za dunian
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
@Daudimakaza-s1v yesu si mungu
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
@Daudimakaza-s1v yesu yuko mbinguni kwa baba yake. Je baba yake yesu wewe nani wako
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 8 күн бұрын
Hii haezi jibu juu kajitia kitanzi mwenyewe​@@Annalisejg2ur
@danielkamau2987
@danielkamau2987 8 күн бұрын
Kama Quran ni kitambu cha mungu ( SHAFII)twambie nani alimtuma Muhammad?juu Quran in anasema(NASI TUMEKUTUMA KWA WATU UWE MTUME)Swali hawa Nasi ni akina nani?
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 8 күн бұрын
We kweli hamnazo
@legendaction202
@legendaction202 7 күн бұрын
Kwani ww n fyetu??
@legendaction202
@legendaction202 7 күн бұрын
Ww Huna akili walai mungu anatumia wingi juu n mkuu c mpaka kwa bibilia amesema na tumfanye mtu kw mfano wetu ,apo vp
@danielkamau2987
@danielkamau2987 7 күн бұрын
Rudisha swali kwa maadiko,sio matusi na Mungu alikuwa na yesu akiumba dunia dio maana alisema (NATUUMBE)
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 күн бұрын
Shafi kuna Aya Allah ni Nuru na Nuru ni kiumbe Allah ana mfano kulingana na 24:35 hapo vp ? Njoo mtetee waislamu
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 8 күн бұрын
Tatizo lako ni ufahamu wa lugha
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 8 күн бұрын
Kiumbe ni jua ama mwezi vinavyotoa nuru ila nuru sio kiumbe
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 күн бұрын
@nabiljumaothman5912 wewe mwanga au Giza sio kiumbe?
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 күн бұрын
@nabiljumaothman5912 mungu wenu ni mwezi nyie waislamu usipochomoza hamfanyi ibada mwezi WA Ramadhan ndiomaana Aya inadai alipouona mwezi akasema huyu ni mola wangu mlezi 6:77-78
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 күн бұрын
Nuru iliyokusudiwa hapo si mwanga unaouona wewe. Hapo imetumika lugha, kwanza ungejua misemo ya lugha. Maana ya kusema Mungu ni nuru kwasababu ndie muongozaji na kuwafanya watu waone mabaya na mema.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 8 күн бұрын
Maamuma Shafii hiyo Qur'an yenyewe inapingana Allah ana nafsi ana mkono ana mguu kama Mwanadamu hivyo Aya za Qur'an zinapingana?😂😂😂 Yaani Wasujudia Al hajar Al aswad hamjitambui
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 8 күн бұрын
Kafiri paul kwenye ubora wako wacha weeee😊
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 күн бұрын
Duuuuuuuu!!!!! Mtukufu WA daraja quruan 40:55 Quran 47:19 huyo mtume mtukufu kwenye hizo Aya VP hau amzioni ??
@JumaMwanga-xd9gy
@JumaMwanga-xd9gy 8 күн бұрын
Izo Aya inasemaje... Andika kama kwer unesoma
@prochesernest5439
@prochesernest5439 8 күн бұрын
@JumaMwanga-xd9gy hizo Aya dhinamdhibitisha mtume wenu ni mwenye dhambi Tena zinasema dhambi zako ndiomaana mnamuombea rehema kwasababu ya dhambi zake Muhammad mnamashaka naye kama yupo salama Kila siku mnamuombea mpaka Allah na malaika wanamswalia na hii Aya ni kituko kingine 33:56 Allah anamuombea nabii kwanani sasa Kama yeye ni Mungu? Kazi mnayo waislamu
@Furahinikatkabwana
@Furahinikatkabwana 8 күн бұрын
Ogopa mtume alie futa amr za mungu na kuweka zake,
@habibulalikila7444
@habibulalikila7444 7 күн бұрын
😂😂😂 daah elimu yako ni ndogo saaanaa.. lakini cha ajabu kuongei ili kujifunza bali UNATAFUTA KUPONDA.. basi Endelea kujifurahisha, maana haiko lazima ya kukusilimisha au kukufundisha wewe labda ukitaka​ Hayo(NITAKUSAIDIA) Kama hata Yesu (a.s = alayhi ssalaam= amani iwe juu yake) alivowasaidia waliohitaji.@@prochesernest5439
@laminiomar6207
@laminiomar6207 8 күн бұрын
Msikizeni huyu mwingine Ati Allh ni nuru na nuru ni mwanadamu. Hey nuru ni mwangaza. Vipi mwangaza unakuwa mtu. Au kwa kuwa kuna watu waitwa nuru. Hata kuna watu wanaitwa giza, upepo, maji nao vipi?
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 56 МЛН
Ruto's 90-DAYS of God's DETHRONEMENT...
1:14:07
REVELATION WISDOM MINISTRIES INTERNATIONAL
Рет қаралды 10 М.
DADA MMOJA ASILIMU HADHARANI ALLAHU-AKBAR NA MWALIMU ANWAR
1:09:06
EASTLEIGH DAILY-DAWAH
Рет қаралды 1,8 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 56 МЛН