Je Yesu alileta Uislamu au Ukristo? , je sinagogi ni msikiti? Je Ukristo ni dini?

  Рет қаралды 62,542

Habari Njema TV

Habari Njema TV

Күн бұрын

Пікірлер: 772
@simonmwambene4441
@simonmwambene4441 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu ushauri wangu tafuta vijana wafundishe habari hizi maana kanisa linaangamia Kwa kutojua haya utapata thawabu Kwa Mungu
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
Kanisa la mungu la kweri ni la ISA yaani (KAN-ISA, Aliye kufa msalabani yaani INRI I =ISA, N =NAZARESI , R=REXLUDAERUM I =ISIRAER. Yaani mungu wa Ibrahim Isaack Isiraeri ndiye Isa masiah. Huu ndio ukweri. Walio ktk aya majina apa chini ni ya lile kanisa lire MALAYA (Ufunuo 17:5-6. ZEWUSI YESU YEZU JESUS Walio ktk
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 жыл бұрын
Safi sana mtumishi wa Mungu kwa kuweka bayana Kati ya msikiti na sinagogi kuwa ni mkutano.
@ErentrudisKihwili
@ErentrudisKihwili 6 ай бұрын
Upo Vizuri katika ufafanuzi Safi sana Mtumishi.
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 7 ай бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi mzuri. Mungu akubariki.
@ErentrudisKihwili
@ErentrudisKihwili 6 ай бұрын
Upo vizuri sana Mtumishi Mungu akubariki sana napenda uendelee kutuelisha
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Uko sahihi mwalìu mafundisho yako niyakipekee mutumishi mungu akubariki
@grdcgv7ufdwdfghh633
@grdcgv7ufdwdfghh633 3 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho ya kina
@linetligono1371
@linetligono1371 5 жыл бұрын
Amen mchugaji asante sana kunielimisha mungu akubariki Sanaa
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 ай бұрын
Ubalikiwe mungu. akusaidie
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
asante sana mtumishi ubarikiwe sana
@bendit4476
@bendit4476 3 жыл бұрын
Umechambua vizuri sana. Nimekuelewa vizuri
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Nimekupata vzr Mtumishi ubarikiwe
@georgealoyce4452
@georgealoyce4452 5 ай бұрын
MUNGU azidi KUKUPELEKA VIWANGO vinginee pastor
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Asante sana aman
@esterjoseph670
@esterjoseph670 2 жыл бұрын
Nimekuelea sana kamanda,nimekupenda bule.
@mgejadldm1
@mgejadldm1 9 ай бұрын
Yaani waislamu nawahurumia kwa kweli
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 6 ай бұрын
hatuhitaji huruma yako asee
@advesproduction9622
@advesproduction9622 5 жыл бұрын
HAPO SAWA KABISA. Yaani asiyeelewa atakuwa na sikio la kufa. Kumbuka tu kuna wana wa upotevu. Endelea kutupa masomo mengine mtu wa Mungu
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Labda wafuga majini
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 жыл бұрын
Pr. Dominiki hongera hii kazi unayoifanya, ni kubwa mno!! Mungu akubariki sana baba, waelimishe waede Mbinguni.
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 5 жыл бұрын
Barikiwa pia
@njiasalamatv4794
@njiasalamatv4794 4 жыл бұрын
Amina Mary nashukuru
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Wataeleweje wafuasi wamalehem?
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 4 ай бұрын
​@@petromachanga5538tunakuja na kwa sababu na wewe ni marehemu mtarajiwa
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 жыл бұрын
Ubarikiwa amen
@allyissalipawe7072
@allyissalipawe7072 3 жыл бұрын
Ona umepiga shungi la kislam s mnapenda kukaa
@allyissalipawe7072
@allyissalipawe7072 3 жыл бұрын
Uchi
@johnmnonjela9809
@johnmnonjela9809 6 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 2 ай бұрын
Huu uchambuzi wa ajabu sana kwani hujui kuwa Kristo ni jina la mtu? Na sio Dini? ✍️✍️✍️
@CharlesSimtaji-pq7ys
@CharlesSimtaji-pq7ys 4 ай бұрын
Safi sana unajua kufundisha ukweli ili watu waelewe ssafi sanaaaa
@samuelmuiruri4405
@samuelmuiruri4405 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana..tunaomba utuletee mada ingine
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Sio ingine, Ni nyingine acha upotoshaji
@kelvinyohana4178
@kelvinyohana4178 5 жыл бұрын
Nimejifunza k2 hapo mchungaji asanteee can mungu akubariki sanaaaa nitamuaminii yesu maisha yangu yote
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 4 жыл бұрын
tatizo dini yenu nyinyi wakristo.!! makolokocho mengi imekuwa kama movie yaani uongo mwingi kuliko ukweli au wewe huoni!!,
@sabrikhvuai2327
@sabrikhvuai2327 4 жыл бұрын
Dah kwaiyo unamtogoza Nani ?
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
@@sokakilumbi9293 kwa taarifa yako uongo ukiutaka hata kwenu upo uislamuni ndo maana watu husema hekma ikzd huondoa maarifa kwahyo wamefunyua kuitafuta hekma na nia zao so lazma haya yatokee
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Wafuasi wamalehem
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Utamfataje malehem???
@lileoh3893
@lileoh3893 3 жыл бұрын
Hayo ni maneno yako mungu anasema issa na wanafunzi wslam
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 2 жыл бұрын
Issa anasema wapi kwenye Quran au
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
mmh hatuna Hilo Andiko ndani ya Biblia
@allymohamedy6715
@allymohamedy6715 3 жыл бұрын
Asante sana tumekusikia sana ila unajuwa uisilaam au neno uislam ina maana gani na kama ukijua maana yake ndy utajua kuwa uislam hakuuleta mtume muhammad bali aliuleta mungu mwenyewe
@abrahambash6687
@abrahambash6687 5 ай бұрын
Poleni Wakristo hawo walowaleteya ukristo wajerumani, wa anglican na wazungu wengineo sasa wanaukimbiya Ikristo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Kwahiyo, miaka yote mnasema hivyo hivyo na Israel anazidi kuwachapa
@MussaHamadi-s5c
@MussaHamadi-s5c 3 ай бұрын
Nawachape hao lakin ukweyutabaki kua ukweli 2​@@FridayMwassa
@abrahambash6687
@abrahambash6687 3 ай бұрын
Ukweli mlokuwa hamna ilimu medanganwa kuwa hawa ni wa israel, hawa niwazungu kutoka poland, ukrain na ujerumani hawana dini na wanapiga mpaka wakristo si wa islam tu.
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 6 күн бұрын
Uislamu uliibuka mwaka 600 hivi baada ya Yesu Kristo kusulubiwa na kufufuka. Hivyo msikiti haikuwepo kabla ua wakati wa Yesu kwa kuwa Uislamu haukuwepo. Je kuna faida yoyote ya kujadili mada hiyo? Kwa upande wangu naona hamna faida yoyote tunayoipata katika masuala ya dini.
@luiskiwale3145
@luiskiwale3145 3 жыл бұрын
Amina
@moseskatega8441
@moseskatega8441 6 ай бұрын
Yesu ni mmoja kati ya Kristo wengi
@masta_android
@masta_android 3 жыл бұрын
Pastor Habari. Naomba Mualiko Tujadiliane Kuhusu Maandiko.
@barakambise7866
@barakambise7866 3 жыл бұрын
Kaka nimekupenda pure uko vizuri
@allyissalipawe7072
@allyissalipawe7072 3 жыл бұрын
Yesu akimsujudia mungu wake ww ninyi mnafanya ivyo
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 жыл бұрын
Macho ya mwili yanasumbua kutambua ya rohoni. Sivizuri kuosha kkmbe nje ilikpendza watu na ndani kichafu
@abrahambash6687
@abrahambash6687 5 ай бұрын
​@@jacksonnzai1593hueleweki anamaanisha nini
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Nipe hilo andiko
@jacksonnzai1593
@jacksonnzai1593 3 жыл бұрын
Nakubali sana maelezo na utafiti wako. Waislam ni janja nyingi kuhadaa watu
@issackabdi7001
@issackabdi7001 2 жыл бұрын
Wapi yesu alihingia kanisa 😂😂😂😂 kama hii imani ya ukiristo
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w 3 ай бұрын
Acha upuuuz yeye ndio kanisa atajiingiza mwenyewe ndio maana waislam munakuaga wazito kuelewa Jambo
@MahamudJamala
@MahamudJamala 6 ай бұрын
TATIZO WAKRISTO NA VIONGOZI WENU,HAMUJIBU MAASWALI
@josephmtemi5658
@josephmtemi5658 6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maarifa zaidi
@rajabally2431
@rajabally2431 5 жыл бұрын
Af ww muinjilist ww uciwe mfinyinu wa mawazo cio kila ukiona neno njia ndio huaga lina maanisha dini, coz kuna cku nimeshakusoma njian ya mbagala utasema ni kiristo nayo,
@queen.christelle1
@queen.christelle1 3 жыл бұрын
@@rajabally2431 heshima ni kitu cha bure
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
@@rajabally2431 hahahaaaa Elim ya madrasa
@leonardgewa5875
@leonardgewa5875 6 жыл бұрын
Safi sana mtumishi wanapenda kutumia hio mistari kupotosha watu
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 жыл бұрын
Leonard Gewa wapoteshwa wwe
@jouriasfaveur7450
@jouriasfaveur7450 5 жыл бұрын
3. Siku moja nitakuwa mwamuzi wa watu wote kama vile kila nabii atakuwa mwamuzi wa kizazi chake. Imeandikwa ya kwamba mitume wataamua makabila kumi na mbili za Israeli kuhusu wakati Bwana Yesu Kristo alikuwa duniani. Warumi 2:16 inasema kwamba Paulo atakuwa mwamuzi wa watu wote kwa muda ambao yeye alikuwa duniani. Na mimi Kacou Philippe ambaye naongea nanyi, nitakuwa mwamuzi wenu mbele ya Mungu. Angalieni marais wa mataifa. Angalieni viongozi wa kidini na viongozi wa mashirika kama vile UM, UNESCO, wanasiasa, wakuu wa makampuni...mtahukumiwa wote kupitia Injili yangu mimi Kacou Philippe.
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 7 ай бұрын
Uko vizuri mno
@lukmanbakari2318
@lukmanbakari2318 4 жыл бұрын
Kwanza wew Mtumish umeongea uwongo na unajaribu kuwapotosha Wakrito wenzako na watu wengine, uislamu haukuanza mwaka 622 kama ulivyosema bali mwaka huo ndio kalenda au tarehe ya uislamu. Hebu rudi ukasome tena Qur-aan tuquf halafu urudi tena.
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
622AD Muhammad alianzisha ilo diini. ISA MASIYA NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA. Muhammad mwenyewe alikubali injili ya Isa masiya ila akupata mafunzo ya kina akawa amefanya kinyume na injili iyo.
@MaryMuigai-zj8fz
@MaryMuigai-zj8fz 7 ай бұрын
Yesu alileta ukristo hakuleta uislamu
@bernarddaudi9657
@bernarddaudi9657 5 жыл бұрын
Hongera sana!!! Mungu akubaliki sana umemwinua bwana wetu Sisi wakristo tunamsubiri Yesu kumlaki tukiwa hai au mauti.Ninawaonya wale wasioujua Ukiristo wasijiweke kuwakilisha wakristo.
@binyamina8850
@binyamina8850 4 жыл бұрын
Kwanza kabisa Sio baliki bali ni kubariki Pili Yesu akija atakuwa nasi sisi waislam nasio nyie
@davisrotich116
@davisrotich116 6 жыл бұрын
Nawapenda sana walimu wa kristo kwakua mnafatilia kwa yakini jambo kabla hamjafundisha nanyi mnafundisha yalio yakweli. Mungu awape uezo maana twawaitaji kina Mazinge wabatizwe waache kuwadanganya waislamu
@yaobleestelle2513
@yaobleestelle2513 5 жыл бұрын
30. Jua kwamba unapozaliwa, baraka zote na laana za familia na za wazazi tangu Adamu zinakuwa juu yako. Lakini unapofikia umri wa ufahamu, sio wachawi lakini vitendo vyako vya kwanza huamua uchaguzi wako. Na suluhisho ni kumrudilia kwanza Mungu kupitia nabii wake kulingana na 2 Mambo ya Nyakati 20:20. Tafuta kwanza wokovu. Na wokovu ni tu kupitia nabii aliye hai wa wakati wako. Sio malaika wala kitabu kinachoitwa Biblia au Korani. Sio nabii anayeitwa Musa, Yesu wa Nazareti au Muhammad. Lakini maneno ya mtu aliye hai pamoja nawe. Na wewe, ingawa shida na mateso unayopitia, jua kwanza ya kwamba chanzo ni wewe mwenyewe. Na katika kutafuta suluhisho, hutamwendea nabii ovyo na haifai mtu ovyo akuwekee mikono. Hutabadilisha wokovu wako na faraja ya muda tu ya shetani katika kanisa katoliki, protestanti, ya kiinjili au ya kibranhamisti. Katika Mwanzo 50, Yusufu aliomba kwamba mifupa yake yatoke Misri pamoja na nabii Musa. Na wewe, ikiwa wewe ni mchaguliwa, hupaswi kufa kabla ya kukubali Kacou Philippe, nabii aliye hai wa wakati wako.
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI.
@mebbukatibalo787
@mebbukatibalo787 2 жыл бұрын
Wewe ni bingwa kiukwel umetusaidia watu ni wabishi sana👏👏
@timoteokajinaki7306
@timoteokajinaki7306 3 жыл бұрын
Yesu ni njiia ya uzima
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
Usidangwanwe mungu wa Ibrahim, Isaack Isiraeri ndiye Isa masiya. Mumgu INRI
@parfaitkouassi9478
@parfaitkouassi9478 5 жыл бұрын
3. Kisha, njiwa wawili wakaja kwangu na wakaenda mara tena juu ya maji. Na kukawa na patwa jua (mwezi), halafu mtu aliyefanana wingu na mwenye kushika Upanga akashuka toka Mbinguni pamoja na mwana Kondoo na dunia ikaangazwa tena. Walisimama juu ya maji na mwana Kondoo akaanza kusema nami kwa lugha isiyo julikana. Sauti yake iliingiya ndani mwangu na nikaanguka kama mfu. Nafsi yangu ikaenda kusimama pamoja nao juu ya maji wakati mwili wangu ulilazwa juu ya mchanga wa bahari. Alipo maliza kusema nami, nafsi yangu ikanirudilia na nikawa tena hai lakini sikuwaona tena. #pkpchaneltv
@Nim68182
@Nim68182 8 ай бұрын
Huuu ni ushuhuda au ,sijafaham
@kessyrojas9549
@kessyrojas9549 2 жыл бұрын
omba friend match na ustadh mazinge kama ujatokea dirishani!
@Nim68182
@Nim68182 9 ай бұрын
Mazinge hana kitu😂😂😂😂 umekos wengine wakutaja hapo
@nasmiriti3141
@nasmiriti3141 11 ай бұрын
Basi waislam na wahubiri injili ya yesu kama yesu ni muislamu
@eshuchimukholi2890
@eshuchimukholi2890 4 жыл бұрын
Asante. Huwauliza waongeze somo mpaka Yesu anasoma kitabu cha Isaiah. Swali ni vtabu gani vinasomwa katika sinagogi?
@adamally404
@adamally404 6 ай бұрын
wakati wa ibrihim ili uwe muislam inakubidi uamini kua mungu ni mmoja na ibrahim ni mtume wake wakati wa mussa ili uwe muislamu inkubidi uamini kua mungu ni mmoja na mussa ni mtume wake wakati wa yesu ili uwe muisllsmu inskubidi uamini kua mungu ni mmoja na yesu ni mtume wake wakati wa Muhammad (S.A.W) ili uwe muislamu inakubidi uamini kua mungu ni mmoja na Muhammad (S.A.W) ni mtume wake hivo ndivo ilivo kwa mutu wa Allah wote na hio ndio maana ya shahada ili Yesu awe muislam ilimpasa kuamini kua mungu ni mmoja na yeye Yesu ni mtume wa mungu na hivo ndivo alivokua akiamini.
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 6 ай бұрын
Imeandikwa wapi au ni maneno yako tu
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 4 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe Sana! Naomba unielekeze wapi napata hivi vitabu
@allyissalipawe7072
@allyissalipawe7072 4 жыл бұрын
Iviiiiiii ww bado tu hujui huyu anaongea kwa matamanio yake tafsiri iko wazi inasema kama kawaida yake yesu anaenda ktk sinagogi kufanya ibada kanisa halikuwepo kanisa limekuja baada ya kuondoka yesu kanisa halijui ninyi mnaingia kwa kumfua nani yesu au Paulo kazi kwako
@sokakilumbi9293
@sokakilumbi9293 4 жыл бұрын
MSEMAJI kutoka Vatican ameshangaza kutangaza rasmi kuwa kurejea kwa Yesu Kristo mara ya pili kunaweza kukosekana baada ya kusubiriwa sana, japo akiwarai waumini kuendelea kuwa na imani. Kadinali Giorgio Salvadore alisema kuwa maadhimisho ya 1981 katika Jiji la Vatican yatakuwa ya mwisho, kuhusiana na kusubiri Yesu kurejea duniani. “Tunahisi kuwa Yesu harudi duniani tena kulingana na jinsi mambo yanaonekana,” akasema Giorgio, “Imekuwa miaka mingi. Huenda anafanya mambo mengine ya muhimu kwa watu mahali pengine.” Alikuwa akisema haya kutokana na hadithi ya Biblia kuwa miaka 2000 iliyopita, Yesu aliahidi wafuasi wake kuwa atarejea tena. “Kuna maboma mengi huko anakoishi baba yangu, na ninaenda kuyaandaa kwa ujio wenu. Kila kitu kikiwa tayari, nitarejea kuwachukua ili muwe name milele,” Yesu akaahidi wafuasi wake, katika kitabu cha Yohana 14:1-3. Lakini mkatoliki huyo wa Vatican alidai kuwa wakati alipokuwa akisema maneno hayo “huenda alikuwa akinywa mvinyo.” “Sote tunaweka ahadi ambazo hatuwezi kutimiza tunapokuwa walevi. Yesu alikuwa hivyo tu,” akasema Salvadore. Kanisa hilo sasa limesema kuwa litaangazia kujenga heshima yake duniani, japo bila kupoteza matumaini kuwa Yesu anaweza kuja tena. kama unabisha click iyo link hapo chini usome mwenyewe taifaleo.nation.co.ke/?p=26260 Eti mungu wenu alikuwa mlevi a.k.a chapombe !!! na hao waliosema kuwa yesu alikuwa chapombe ndio mabosi katika kampuni yenu ya ukristo!!! Thsy nasema ukristo ni kama movie ya kihindi uongo mwiingi!!!
@barnabasanga7552
@barnabasanga7552 3 жыл бұрын
@@allyissalipawe7072 sinagogi ni kanisa.
@loner_wolf
@loner_wolf 7 ай бұрын
MTU Wa content tu , hauna point.
@gamelahg4613
@gamelahg4613 5 жыл бұрын
Amen asante kwamafundisho Mucungaji ubalikiwe sana
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 жыл бұрын
Waislam wanajenga hoja kwamba Yesu alitawadha kwahiyo ati ni mwislam.
@medinacheronohildah7933
@medinacheronohildah7933 3 жыл бұрын
Dini ni upotovu wapendwa wa mungu nina imani mungu hakuumba dini wanadamu ndio walijigawanya na kuanza mambo ya dini ....mimi si mdini ata juu nshakua confused mungu ni yeye ataniongoza katika maisha
@allyissalipawe7072
@allyissalipawe7072 3 жыл бұрын
Akili zako kama Paulo endelea kuwapoteza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Paulo tena
@barnabasanga7552
@barnabasanga7552 3 жыл бұрын
Tatizo la hawa wenzetu wamerisishwa tu h
@petromachanga5538
@petromachanga5538 3 жыл бұрын
Endelea na akili za malehem mhammadi mkafiri wamaka
@aminashaaban5846
@aminashaaban5846 Жыл бұрын
@@petromachanga5538 kafiri baba ako na mama ako alokutoa ktk uislamu akakubatiza ukawa ukafiri,
@martinmkoba361
@martinmkoba361 4 ай бұрын
Huo ndio ukweli ndugu tatizo mnapotoshwa na kina shafii
@abrahambash6687
@abrahambash6687 5 ай бұрын
Kwanza Neno Biblia halimo ndani ya Biblia.Mimeandika juu. Kwadababu yesu hajataja
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 7 ай бұрын
Nyakati za mwisho hizi kila mmoja atakuja na elimu yake kikubwa ni Kumwamini Mungu na kutii sheria zake maana mwanadamu ana mavumbuzi mengi na ndio maana alitushindwa lakini anatuoa neema ya uhai sababu sisi ni viumbe wake na anatujalia mema japo sisi tunamtenda uovu
@MaryMuigai-zj8fz
@MaryMuigai-zj8fz 7 ай бұрын
BwanaYesu hakuleta ndini ndini ni mpango wa shetani
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
Financial Loan. Muislamu Wa Kwanza Si Mke Wa Muhammad Rehema Na Amani Ziwe Juu Yake. Muislamu Wa Kwanza Ni Nabii Adam. Soma Wacha Kukariri.
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Toa andiko basi ktk vitabu vya kale tuone adamu alipo kua muislam...kweli waislam ni 0 wkt mama w Mohammad mpaka amekufa ajui neno uislam sasa adamu uyo vp?Mohammad kazaliwa ajakuta uislam kweli mwalimu wenu kipofu na kawaroga kweli kweli maana mnamshobokea yule mbakaji kamlala Aisha akiwa na miaka 9 so sad moto wa milele umchome yule kafiri wa kiarabu
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Muislamu wa kwanza ni mke wa mutume Muhamadi alimsilimisha waislamu tumieni akili zenu
@omakywazamani6696
@omakywazamani6696 4 жыл бұрын
OK
@barackamosi4116
@barackamosi4116 7 ай бұрын
Kristo siyo dini Bali ni YESU mwenyewe Bali wafuaai wa kristo tunaitwa wa kristo wakristo ni familia ya MUNGU yohana 1:12-13 wote walio mpokea walifanyika kuwa Wana sisi ni familia ya MUNGU na dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta MUNGU
@josephkirimi5453
@josephkirimi5453 2 жыл бұрын
Waislam sio wayaundi. Wayaundi ni waisraeli. Leo nikiingia msikiti wa waislam, nitaitwa muislam?
@bezckmosam-bh4gu
@bezckmosam-bh4gu Жыл бұрын
Soma BIBIRIA Original
@loner_wolf
@loner_wolf 7 ай бұрын
Uislam hujui , sijui huko pengine lkn uislam umedanganya , Uislam hakuleta Muhammad , isipikuwa m/mungu mwenyewe ....na manabii wte pamoja na Yesu akiwemo walikuja kutangaza uislam . Muhammad ni mtume wa mwenyez mungu na alipewa kitabu cha Quran kama Yesu alivyopewa Injili , Mussa alivyopewa Torati na Daudi alivyopewa Zaburi . soma WAKORINTO WA KWANZA 4:15 Paulo anajisifu kwa kuwapotosha ninyi msio mwamini mungu wakweli , Kisha soma YUDA 1:4 uone KAFIRI NI MTU GANI . 😅😅😅😅
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
shida una qkili finyu kuelewa ndio ngumu qmini yesu uokolewe
@ushahidifilms2011
@ushahidifilms2011 4 жыл бұрын
συναγωγήν yaani sinagogi ni sehemu ya kukusanyika ndio maanake katika Kigiriki. Yesu aliingia katika Sinagogi kufanya nini? Luka 4:17 Alisoma kutoka kitabu cha Isaya. Na mimi niko tayari kuingia msikitini kusoma Isaya. Maana Isaya Alifahamu kwamba Yesu na MUNGU! Soma Isaya 9:6-7 Waislamu mko tayari??
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
KANISA LIRO HAI NI LA ISA. Yaani (KAN-ISA KAN =NIWAFUASI WA ISA KANISA.
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
Akuna diini yeyote ipelekayo watu mbinguni bali NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE NI ISA MASIAH asiye badilika milele. Aya majina yaliwekwa ili watu wasimujue mungu wao wa kweri. Yesu kristo Yezu kristu Jesus christ. Mungu wa kweri abadiliki ata na jina lake alibadiliki au kubadilishwa ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA.
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 3 жыл бұрын
Mbona viongoz wa kiroma hwapendi kuingia ktk mijadala
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 8 ай бұрын
Hamuwaoni kwa sababu Roman Catholic ndio waanzilishi wa Uisilam.
@husha6372
@husha6372 5 ай бұрын
Mchungaji umesahau Yesu alipo sema je sikuwatuma NYinyi thnaashara yaani KUMI na MBILI the Sahara Ni kiarabu
@zachariabin5400
@zachariabin5400 5 жыл бұрын
We unawapotosha bibila kwa wakristo wenzio
@eliasmpanilehi3221
@eliasmpanilehi3221 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi.Umeeongea na kufafanua vizuri sana. Kama mtu anania ya kujua ukweli atakua amejua,ila shida ya wenzetu,Wanakalili na sio kuelewa.Maana kama wanaiamini biblia na kujua kuwa Sinagogi ni Msikiti.Kumbe inawapasa kuifuata biblia yote.
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 6 ай бұрын
Nilitegemea utatoa andiko ukristo ni dini Naona unatumia nguvunyingi bila kuthibitisha andiko yakwamba sinago ni kanisa
@sullecom
@sullecom 5 жыл бұрын
Kweli mtumishi
@ommyomario3069
@ommyomario3069 4 жыл бұрын
Kwanini sasa unalazimisha ukweli mtumzima ufikirilesho?
@rizaram123yes7
@rizaram123yes7 3 жыл бұрын
Nimejifuza mengi sikukuwa naelewa mungu akumbariki sana
@neemafelister9584
@neemafelister9584 2 жыл бұрын
Musalabani kuna INRI,
@rashidkassimjuma4320
@rashidkassimjuma4320 8 ай бұрын
KITABU CHA KWELI HAKITAKI MANENO MENGI KIKOWAZI SANA WAMBIE WATU UKWELI
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 8 ай бұрын
Soma ufunuo wa 3;9-hio die wa waislamu jini akasilimu akawa muislamu sawa?
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 жыл бұрын
Umri unaenda. Haki bado hujaijua au makusudi? Mungu hafanyiwi makusudi.. We endelea. Hujasoma Mungu Anavyowaangamiza wanaofanya makusudi
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 ай бұрын
ubalikiwe
@salimucvales7495
@salimucvales7495 4 жыл бұрын
Puuu
@josephkirimi5453
@josephkirimi5453 2 жыл бұрын
Yesu hakuleta uislam.synagogi sio msikiti bali ni nyumba ya kuabundia la la waisraeli ukristo ni ndini.
@samsoni6873
@samsoni6873 2 жыл бұрын
Ast san bro nimeelew
@eliakanyika5379
@eliakanyika5379 2 жыл бұрын
Waulizwe waislam Kama Yesu aliingia katika sinagogi siku ya Sabato je wao wanaigia kwenye sinagogi siku ya Sabato?
@romeobraoua7009
@romeobraoua7009 5 жыл бұрын
9. Neno la kiebrania kuhusu nabii ni nabi na neno hili maana yake:”msemaji” Hapana mwenye-kuja na miujiza au mwenye-kuleta upako lakini “msemaji”. Mnaona? Nabii-mjumbe ni sifa na tukio ya Neno la Mungu kwa kizazi chake.
@alimuniira5436
@alimuniira5436 5 жыл бұрын
Shame on you
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 5 жыл бұрын
romeo braoua unacho Ongea wewe na mada inayo ongelewa hapo nitafauti kabisa,so subri ufundishwe uskalili
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 5 жыл бұрын
Upo tayari kwa muhadhara ?
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 7 ай бұрын
Ukristo na msalaba umekuja baada ya kusulubiwa msalabani yesu. Wakati wa uhai wa yesu kuli kuwa hakuna msalaba Wala neno kristo je yesu alihubiri dini gani
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 5 ай бұрын
Yesu hajaubir din ila wanafunz wake ndio walioitwa wakristo (wafuas wa njia ya kristo)
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 5 ай бұрын
Mungu hakujui sabab ya dini ila Imani yako ili upate rehema zake
@mohamedkhatib4691
@mohamedkhatib4691 2 жыл бұрын
Sholoom ni neno la kiyahudi lenye maana ya Amani kiarabu salaam tupe asili ya neno synagogi kwa kiebrania pia hoja hizo mngekuwa na mazinge Ile kuchambua
@RastaSuma
@RastaSuma 6 ай бұрын
Ukristo ulianza baada ya yesu kuondoka. YESU hatambui ukristo bali anatambua uislam kwani manabiii wote walimuabudu mungu mmoja na siii 1+1+1=1
@rojac-uq1sc
@rojac-uq1sc 6 ай бұрын
Shida hapa ni pesa za Warabu zilizotumwa na kuwafikia Akina Lusekelo
@gidongailo7174
@gidongailo7174 7 ай бұрын
Yesu Kristo hakuja kuanzisha dini duniani. Hakuanzisha dini yoyote wala hakuagiza dini fulani ianzishwe kwa niaba yake. Ukristo wenyewe sio dini ila ni ufuasi tu
@AbdulMohamed-c8e
@AbdulMohamed-c8e 4 ай бұрын
Yesu hajawahi kuwa mkiristo
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 жыл бұрын
Mtahangaika San ila hakuna dini inaitwa ukristo au vitabu vya dini vinaitwa biblia
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 ай бұрын
Wewe unajina lako lkn unaitwa mkristo kwasababu dini yako ni mkristo sasa vipi tena nikuulize dini yako wakati tayari ni mkristo.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 жыл бұрын
Hakuna vitabu vinaitwa biblia Wala dini inaitwa ukristo
@ramazecha2877
@ramazecha2877 3 жыл бұрын
Itamazinge ama mwaipopo mje mchambue usiwe pekeyako
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Wacha uongo wewe hakuna dini inayotwa ukiristo iliyo anzishwa na nabii yeyote, ukiristo umeletwa na Paulo matendo 11:25-26
@ezlanshakilbhanji4133
@ezlanshakilbhanji4133 2 жыл бұрын
Yeah amefata mtume Musa na mafundisho yake. Kwa hiyo Musa alikuwa muislamu na yesu kumfata inamaana naye muislamu
@dahabomahmud3539
@dahabomahmud3539 3 жыл бұрын
Wacha kujificha marika jumba nenda huko ukajitambulishe wacha kufunza watu uwongo
@MaulidMtopa-sh6in
@MaulidMtopa-sh6in 7 ай бұрын
Apo unatetea Kwani ata Kwenye qur an. Lipo neno klisto sasa waliitafsili wakilisto?
@SusanaSimoni
@SusanaSimoni 7 ай бұрын
Hizo dini unazosema hazipo dini zilizopo zimetajwa na maandiko matakatifu soma yakobo 1:26-27
@icicestlafamille2603
@icicestlafamille2603 5 жыл бұрын
1. Injili ya Ufalme wa mbinguni kila mara hutoka mbinguni kupitia malaika japo kuna injili ingine itokayo shimoni kupitia shule la wachungaji kwani Mungu hujaza moyo lakini shetani hujaza kichwa. Kumbukeni jinsi mnamo Aprili 24, 1993 sauti yake ilingia ndani yangu nami nikaanguka kama mfu. Mnaona ? Ni shetani aliyeanzisha shule ya wachungaji. Kwa maana kama nikimtuma mtu kumwita mke wangu aliye safiri kijijini, mjumbe huyu hana maelekezo ya kupokea kutoka yeyote. Ni mimi peke naweza kumwambia nini atamweleza mke wangu na ninajua atamwamini. [Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "].
@mwetajoseph1989
@mwetajoseph1989 4 жыл бұрын
Mbona husemi neno linalosema ni ukweli
JE YESU ALIKUJA KWA ULIMWENGU MZIMA AU ISRAELI PEKEE?
1:00:21
Habari Njema TV
Рет қаралды 4,1 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,7 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
Wasifu wa Yesu. Na Pr Dominic Mapima
1:14:36
Habari Njema TV
Рет қаралды 7 М.
039 2 DEBATE   ASILI YA UISLAM NA UKRISTO NI UPI Pt 2
2:18:59
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 108 М.
katiba za afrika
50:14
Habari Njema TV
Рет қаралды 12 М.
VUNJA NGUVU YA UISLAMU NA MAJINI | Sikiliza Ushuhuda wa Shekhe Aliyeokoka.
1:38:46
Neno la Ufunuo Ministry
Рет қаралды 10 М.
Siku ya Kweli ya Ibada || Mch. Dominic Mapima
50:28
Mwenge SDA Church
Рет қаралды 1,1 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:08
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31