Mashabiki wetu wa yanga mliko uwanjani mnanifurahisha sana pale mkiwatunza player wetu mungu awazidishie vipato nyote mnao jitolea kuwatunza wchezaji wetu.
@EuniceRaphael-y1j2 күн бұрын
Nikwek honger san
@mwajumahamisi-w1y2 күн бұрын
Allahuma amiin Allah awaongezee InshaAllah zaidi ya walichojitolea
@emmanuellupiga2 күн бұрын
leo amecheza vizur kweli cjui ni baada ya kuongea na injinia kuna mda alikuwa anadelay sana kutoa pas na pasi zake mara nyingi hazikuwa na faida ila leo salute
@Joseph-572 күн бұрын
Kifaransa sio kwa kila mtangazaji🔥🔥🔥🔥🔥hongera alwatan
@damianmcba95252 күн бұрын
Waoo watangazaji wawili tu wanaokijua yy Alwatan pamoja na yule dogo alietoka manara Tv sasa hivi yupo Crown TV. nae yupo vizuri Kifaransa ba kingereza
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Hongera injinia hersi said kumletana profesa pacome 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AminoKhalif2 күн бұрын
Yanga bingwa tena gusa achia twende kuwa bingwa inshallah love u yanga yetu 💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
@AishaAdili2 күн бұрын
Yanga peke yake imeunda Sheria ya kumtunza pesa man of the match na hii Sheria haivunjwiii kama unakubal like👍...👈
@kodakblack38362 күн бұрын
😂😂😂 kubali ukatae ndio imeshapitishwa hiyo wizara ya maokoto siwapingi bata wahed ndegless 🤣
Nawakubali Sanaa Wananchi wenzangu, hamna baya wala Ubahili wa kubania pesa. Hongerani sanaaa
@BenoBeno-c4l2 күн бұрын
Felicitation l'homme du match PACOME on est derriere vs nos stars de yanga bn annee a tous...
@aishabakari80402 күн бұрын
WANANCHIIIIIII WEZANGU HAMNA MPIZANI MUNGU AWABARI NA AWAZIDISHIENI i🔰🔰🔰🔰🔰
@josephgalandu1282 күн бұрын
Mungu akubariki ila usisahau kuokoka kaka❤
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Asante semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯 mwenyewe wa wasemaji 🌍
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Yanga🎉🎉🎉🎉
@saidikomba31202 күн бұрын
Mungu atufanyie wepesi talehe 4
@neemaadam92562 күн бұрын
Pacome 💪🏾🔥⚽ safi sana Wananchi kutunza ni upendo wa dhati, ila pia tuwe makini sana sababu kwenye msafara wa Mamba na Kenge wapo. Mungu Ibariki YANGA 🙏🏾🤗
Alwatan naomba ukamfundishe kifaransa yule kijana hansi anaye wasumbua kule insta maana anajiona yeye ndo yey kisa tu yuko pale crown fm na bint kazumar😂😂😂😂😂
@SylvesterKameo2 күн бұрын
Huyo siyo binti, bjnti gani kikongwe? Huyo ni kibibi Kazumay!
@NeemaAkyoo-s4s2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂umenishinda tabia sasa au tumwite bibi zuuu tu🤣🤣🤣
@amaniomar17552 күн бұрын
Mwamba kwelikweli 🎉🎉🎉
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Wapi issa mbuzi 5
@awetumtengera11472 күн бұрын
Ameingia zizini
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
@awetumtengera1147 akome kamdomdo kwisha 5
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Pacome 🎉🎉🎉
@OmaryMajivuno2 күн бұрын
❤❤❤ good 👍👍👍
@saidikomba31202 күн бұрын
Tupate ushindi mkubwa
@BraitonMkondya2 күн бұрын
All the best
@EvaNdayishimiye-n5o2 күн бұрын
Petit à petit iposiku utaonge vizuli français unajitahidi sana
@StawaIsmail-q9j2 күн бұрын
Jamani nampenda xn wachezaji wa yang
@rachelcheyo-p5z2 күн бұрын
Love yanga
@Sumaiyafisoo2 күн бұрын
Pacome 🎉🎉🎉🎉🎉
@Dorkasdabali2 күн бұрын
Tunashukulu kwa kutufafanulia wengine hata kiswahi shida kiluga tu kinapanda
@DeboraJumah2 күн бұрын
❤
@DoryGeorge2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@mwinjanavil2 күн бұрын
nitafutieni reporter wa makolo anayeweza kuongea lugha ya mchezaji yeyote wa timu yao tofauti na kiswahili na brocken english yao..
@FatumaMwage2 күн бұрын
apo imeongeleka luga gani
@fatmasuleiman38852 күн бұрын
Hii ndio yanga gusa achi twende kwao
@josephgalandu1282 күн бұрын
Anastahili
@unclegmihale4552 күн бұрын
🔰🔰💪😊
@AishaMsungi2 күн бұрын
Pacomeeeeeeeeer
@Evodmedia2 күн бұрын
sio pw pacome
@marthageorge50432 күн бұрын
💚🔰💛🔰💚🔰💛🎉🎉🎉🎉
@MussaTabora2 күн бұрын
Haka kamchezo ni kazr xnaa
@NoshadiRajabu-w9o2 күн бұрын
Daa" huu Mpira na hii yanga inamzuka kishenzi yaani Leo nimejikuta natoa ela yangu ya nauli ya kurudi kwetu chanika 😢😢 nimempa pacome elfu 10 yangu imeenda na maji Kwa ajili ya mzuka na kuiga watu " bila ya mzee juma mwananchi mwenzangu huyu Leo ninge lala mwenge 😂