Kauli ya rais Samia wa Tanzania yazusha mjadala

  Рет қаралды 13,673

DW Kiswahili

DW Kiswahili

Күн бұрын

Nchini Tanzania kumeibuka mjadala unaohusu mustakabali wa utawala wa kisheria na haki za binaadamu, baada ya rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli iliyotafsiriwa kwamba inatishia harakati za utetezi wa haki za binaadamu na mfumo mzima wa sheria. Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 27 wa jumuiya ya wanasheria wa Afrika Mashariki jijini Arusha Tanzania. #kurunzi

Пікірлер: 7
@AbdallahPetro
@AbdallahPetro 6 күн бұрын
Wewe ukiona ivo ujue unacho fanya sio atamimi sji ata ukinialika sasa iv vikao vyako fanya na unao wafaidisha ukweri sio Zambi ahutufai
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Kosa la exelence president Samia sluu tukuongea speech bila kuandaliwa such ward ni tayari udicteta ndio maana bila kumuandalia speech Anatola njee ya rally
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 10 ай бұрын
Kwa hiyo hata kama umekengeuka niku support kwenye ukengeufu wako???
@MaigeKatemi-pb1st
@MaigeKatemi-pb1st 9 ай бұрын
Nikweli mama utamshilikisha mtu anaye pingana nawewe wanini
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Huyu mama anaonesha failure yake she is not a leader
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@justinmbangukira7034
@justinmbangukira7034 6 ай бұрын
Kwann unasema sio leader mzuri
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22
JAMBO TV
Рет қаралды 38 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 21 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 42 МЛН
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
Top U.S. & World Headlines - September 25, 2024
10:41
Democracy Now!
Рет қаралды 168 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН