KAZI IMEANZA MCHUNGAJI USOKWA USO NA# Muhubiri Mwaipopo

  Рет қаралды 20,284

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 2 жыл бұрын
ina maana kuna wakati miaka 2000 yrs ago mungu alikua akitembea jerusalem,tena sasa wakati huo watu walikua wanasema mungu amepita hapo nje sasa hivi ameenda kisimani kunywa maji...subhanaAllah..maneno mazito na yanatisha
@musasaanane2758
@musasaanane2758 3 жыл бұрын
Nakukubali sanamwaipopo Allah akujalie naakuendeleze kufanya hivyo milele daima nitajitahidi kukuunga mikono
@sarahmussa7043
@sarahmussa7043 3 жыл бұрын
Muislam awezi kubishana na watu wasio na elimu na wakapata ushindi uwongo uwo uisilam ndio dini ya kweli tu uko sawa shekh mwaipopo.
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Yesu si mungu si mwana wa mungu ata katika quoran kunamajibu yake atayajibu sikuyakiyama kwakukana ayo pasta iko na sema ambayo alifundishwa nawanadamu wewe aca uongo huna elimu elimuyako ya kiroho nindogo
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu mwaipopo
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Jazakaallah, sheikh mwaipopo❤❤❤
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Allahu akbar, allahu albar, allahu akbar laailahailalah allahu akbar
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
Nilichogundua wote wanamwamin Mwenyezi Mungu tofauti ni njia tu lkn safar ni moja, Insha Allah Mwenyezi Mungu awatangulie
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Mashaa allah shekhe mwaipopo waelimishe dini ni unyenyekevu na sio biashara na kelele za nyimbo makanisani hapo utabishana nao sababu wako kwenye biashara ndo maana anasema yesu ni mungu mtihani sana
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
Mchungaji umepewa elimu ya uongo kichwani mwako omba Mungu akuzindue siku moja ujue ukweli kisha usome elimu ya kweli.
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 3 жыл бұрын
Yani msiba kwakweli
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 3 жыл бұрын
Yani mchungaji amemeza memory yanaporomoka kinchwani msiba kwakweli tena mtihani
@FammiFami
@FammiFami Жыл бұрын
Mchungaji mbona hutulii,kaa upate elimu ,jisalimishe kua muislam ndio dini ya kweli dini ya manabii wote ww ninnan ukatae
@faroukamir5484
@faroukamir5484 3 жыл бұрын
Mimi nashangaa na wakristo ..wengine wasema yesu ni mungu..wengine wasema yesu ni mwana wa Mungu..ss tushike yupi.. wakristo kuweni na msimamo moja...
@prochesernest5439
@prochesernest5439 3 жыл бұрын
Siumesikia Mungu mwenye nguvu usipoelewa utakaa ukaelewa mpaka unakufa
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
@@prochesernest5439 eti ananguvu km ananguvu mbona alisulubiwa km mavodai wenyewe?? Nani anakubali kufa km sikukosa nguvu nakuzidiwa Hadi kuuliwa acheni kujazwa ujinga nyinyi
@rahmatahmed1871
@rahmatahmed1871 3 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu to all Muslim brothers. Alhamdhulillah kwa Neema ya uislam...tutaipeperusha bendera ya lailaha Ila Allah muhamadan RasulAllah mpaka mwisho...Allah atujalie istikama katika dini na atujalie thabit kwa kauli zetu
@meisme7540
@meisme7540 3 жыл бұрын
AAMIIN YAA RABBI
@hillaryarande745
@hillaryarande745 3 жыл бұрын
Nashangaa na ndugu zetu waislamu wanakubali manabii,isaya anatabiri ,kuusu yesu ,naanapeana jina lake ni mungu mwenye nguvu
@sonyhusseinnzelevoko1221
@sonyhusseinnzelevoko1221 3 жыл бұрын
Nakushukuru Sana sheikh Mwaipopo
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 3 жыл бұрын
Mashalla allbdulilai ustaz maipopo wafundishe hawo wanyuwe mungo
@tututz100
@tututz100 3 жыл бұрын
Mashalah shk Mwaipopo Allha akujaalie na akupe ujasiri
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 2 жыл бұрын
Maashallah shekh mwaipopo Allah atuhifadhi sote waislam unamchalenji mchungaji anataka kukimbia maana kachanganyikiwa anacheza cheza kama mkojo umembana vile😁😂🤣😁
@athmanmohammedngana8977
@athmanmohammedngana8977 3 жыл бұрын
Masha'Alla.... sheikh Mwaipopo unaeleza ukweli ulio wazi kabisa
@Mohamedakida-i2r
@Mohamedakida-i2r Жыл бұрын
Inshaallah
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Masha"Allah
@tajulius4607
@tajulius4607 3 жыл бұрын
Shekhe mwaipopo mashaalah unaakiri nyingi sana
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 3 жыл бұрын
Shekhe mwaipopo Allah akulipekher
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 3 жыл бұрын
Pastor yuababaika kweli hajiamini na dini yake Allah amuongoze katika haki 🙏
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
Allah ndo kitu gani? Acheni kudanganyana waislam mlipigwa hapo , Qur'an ni Stori za kahawa alizokua akisimuliwa Muhammad Mambo yaliotokea zamani na nayy anaenda kuwasimulia warabu wenzie ambao waliokua awajaenda shule ndomana Bible inasema mshike Sana elim usimwache aende zake
@نووورنووور-ج5د
@نووورنووور-ج5د 2 жыл бұрын
@@francisjoseph1074 kudanganywa na nanini wewe sibiri ufe uende Motoni🔥🔥uislamu kama haungekua dini haingenea kwa haraka ivo duniani na hakuna dini ya kweli mbele ya mwenyezi mungu ila uislamu tu
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
@@نووورنووور-ج5د tatizo lenu shule nawasikitikia Sana na hiyo dini yenu ya mchongo, ata ukifuatilia historia ya Qur'an ni ya ujanjaujanja kingine mnachojidanganya eti issa ndo YESU , jibril ndo GABRIEL, huu ni uongo mkubwa ambao ulivunja recodi Dunia nzima, issa na Gabriel hivi viumbe havijawahi kutokea duniani wala mbinguni hakuna kitu cha namna hiyo, Bali mlidanganywa
@princerammy1543
@princerammy1543 2 жыл бұрын
@@francisjoseph1074 naham ningekua karibu nikuzabue kofi wallah ww kafiri ww
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
@@princerammy1543 kafiri ni wewe na Allah wako
@benjaminmwilaria1145
@benjaminmwilaria1145 3 жыл бұрын
Yesu ni mungu na si kumpigania
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 10 ай бұрын
Pole sana.
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Maashalah Yaalab niongoze katika dini ya kweli na haki bila kutetereka. Allahuma amiin
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 3 жыл бұрын
Mtihani
@husseindiaby5097
@husseindiaby5097 Жыл бұрын
Mwaipopo upo sahihi
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 10 ай бұрын
Yaani ummati wa waislamu wote tumuamini M'mungu Mmoja na kumfuata Mtume Muhammad (s.a.w) mtume wa Mungu. wewe kashasha usipoamini hivyo yadhuru nini yaani wewe ndio kama nani?
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 3 жыл бұрын
Asalam alykum mungu akusayidiye uyione haki na uyifate ishallah
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
Alhmdulillah ala neematil islam.
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 3 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh
@musasaanane2758
@musasaanane2758 3 жыл бұрын
Allah akijalia inshaallah
@hillaryarande745
@hillaryarande745 3 жыл бұрын
Na uyo yesu ataitwa mushauri wa ajabu, mungu mwenye nguvu
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 3 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 жыл бұрын
Mchungaji anasema anaamini alipoambiwa amuamini ‘MUNGU KWA JINA LAKE YESU’...!...Sasa si tayari ameshamaliza kwamba kuna MUNGU na kuna Yesu..!...hii imani ya Yesu kuwa MUNGU ni Imani tu Lkn haipo kwenye MAANDIKO....!....Msiba mkubwa sana kwa Huyu Mchungaji..!
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 3 жыл бұрын
Maasha Allah UST mwaipopo
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
Waisilamu wana dini lakini hawana mungu wa kweli.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Ssa hiyo dini tumeipata kutoka kwanani?! Maana Dini/njia/kanuni zote za jinsi ya kuabudu hutoka kwa (Allah) Mungu Mola Muumba. Ili ibada ipate/iwezekuwa ibada lazima iwe imeelekezwa na Mungu Mola Muumba. Hivyo Wakristo hawana/hafanyi inada za kweli/za haki sababu wamejibunia midumo ya kuabudu kutoka kwa Wapagani/Makafiri na ndomana Wakristo hawana dini !
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
@@alhaddajmohammed4768 Historia ya dini yenu ilianza kwa kikundi cha watu fulani, wakiongozwa na mohamad ambaye, wakristo na wayahudi walimpotosha, kwa wakati huo, ndio maana mandishi ya qurani yamechanganya injili kidogo, torati kidogo na upagani mwingi kutoka kwa makureshi wa maka. kwahiyo dini mnayo ila si ya mungu wa kweli, bali mungu wa kubuni.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 жыл бұрын
@@abelsteven3189 Tatizo lenu mmepewa elimu ya uongo mkaiamini mbaya zaidi hao waliowaletea hiyo dini ya uongo wenyewe hawaifati. Jitafakari acha kufuata dini kwa mazoea fanya utafiti binafsi kama anavyofanya mchungaji wako hapo. Mpe muda mhungaji wako utakuja utaona atakavyowakimbia.
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
@@abelsteven3189 hao walioleta dini nahawaifati nikinanani mbona hukuwataja?????
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
@@abelsteven3189 kwanza ukristo wenyewe ukiuchambua utakuta kila dhehebu lake limeanzishwa Ulaya au America na hakuna mtume yoyote alietokea pande hizo, sasa dini mmeitoa wapi?
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 3 жыл бұрын
Mashaaallah
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 Жыл бұрын
Yesu sio Mungu fikirini sana Mungu gani kakaa tumboni kwa Maria na kuzaliwa na kutahiriwa kala chakula na kwenda choo yesu hana sifa ya uungu yesu ni mtume kama manabii wengi walikuja kabla ya yesu
@AliAli-zg1kp
@AliAli-zg1kp 3 жыл бұрын
MashaAllah
@godmoontv4476
@godmoontv4476 3 жыл бұрын
Ilaa naomba musiogopane kwenhe dini ikiwa ni ukweli muambiane ukweli assante
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Kama Yesu kutokana na jina lakini niyuleyule Mungu bali amebadili jina mmmh...! Ukatowa mfano wa maji yana majina mengi mfano; Uhai, Afya nk. Pamoja na maji kuwa na majina mengi je maji yanaweza kuwa Samaki?! Mungu wa kweli hana sifa ya kubadilika kama Jini/Shetani/Malaika nawala (Allah) Mungu Mola Muumba hanasifa ya walizonazo Viumbe mfano kuzaliwa (mtoto), hana mama, hafi nk yafanywayo na Viumbe Mungu hana sifa hizo. Wakristo wacheni kukufuru..!
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 3 жыл бұрын
Wenyewe kwa wenyewe Mkiristo mstaafu na mkiristo aliyokazini subhana nlaaaa
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 10 ай бұрын
Hakuna cha wenyewe kwa wenyewe . Mwaipopo ni Muislam tu.
@abdullahsaleh9248
@abdullahsaleh9248 3 жыл бұрын
Safi napenda hii
@pascalsamwel3038
@pascalsamwel3038 3 жыл бұрын
I mani inaanza ndiyo dini inayofuata dini maana yake ni njia ya kufika kwa mungu mbona vitu vinaeleweka shekhe wetu mwaipopo.
@ramadhanabdala8611
@ramadhanabdala8611 3 жыл бұрын
Kashasha karibu kwenye uislamu, achana na yaliyovurugwa.
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Kama yesu alikua anisamehe dhambi kwanini auwawe kwajili ya dhambi ya watu....
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
Hilo swali ni gumu kwa wapagani, lakini ni rahisi kwa waaminio, kwasababu wokovu unatoka kwa wayahudi, Historia ya ukombozi wa mwanadamu vimeainishwa vizuri kwenye biblia, Ni ngumu kuelewa kama wewe ni mpagani. Qurani ipo ili ikosoe ndio maana imewataja wakristo na wayahudi wazi wazi (kupigana, kuwa na udui nao) , kuonyesha kwamba haikutoka kwa mungu muumba wa mbingu na dunia, bado kuna makosa chungu mzima ya kihistoria ya kisayansi, na ya kiimani.
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
steven samahani sana kama kuna mtu aliechanganyikiwa ni wewe yaani wewe na bibilia mumechanganyikiwa haya maneno yako umeandika hata hayaketi maana kabisaa a simple question unajibu utakavyo bila hata kufikiria unachosema....
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Kazi za Mungu hazichunguziki sanasana mnajitafutia hukumu
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Makosa jungu nzima mnayaona nyinyi mliokuja nyuma
@aishambega4118
@aishambega4118 3 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa muslamu yesu si mungu wala si mwana wa mungu noooooooo!!!!!!
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 жыл бұрын
Mtoto au mwana wa mtu, Je, si mtu? Je, kondoo aweza kuwa mwana wa ng'ombe, na Kadhalika. Je, ni ajabu Bwana Yesu Kristo kuitwa Mwana wa Aliye Juu, yaani Mungu; Na hivyo, kuwa ni Mungu pia? Very common logic and wisdom.
@OfficialAllytz
@OfficialAllytz 2 жыл бұрын
Msomaji wangu taratibu utazoea tu
@yusuphalawi6803
@yusuphalawi6803 2 жыл бұрын
Shekh mwaipop hao watakuchosha to achana nao
@moussashamba719
@moussashamba719 3 жыл бұрын
NENO LA MWISHO LA MCHUNGAJI ANASEMA MOYO WAKE UMEJAA MAHABA..ASANTE ALLAH KWA MJADALA HUU WA AMANI NA UPENDO,,KWA LENGO LA KUTUPATIA ELIMU SISI WAJA WAKO AMEEEEN
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 3 жыл бұрын
Mwaipopo rudi tu kwenye ukristo umepotea.
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 3 жыл бұрын
Asalam alaykum sheikh mwaipopo hapo hunamtu anarukarukatu huyo elim yake nindog san
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Kumbe yesu alisilimisha watu
@joezeno8
@joezeno8 3 жыл бұрын
Ni kweli msiba mkubwa Duniani ni dini
@michaelvicem6323
@michaelvicem6323 3 жыл бұрын
UKRISTO SIO DINI ILA NI IMANI NA SIO BORA KULIKO IMANI IMAN NDIO UKRISTO NA IBRAHIMU ALIPEWA IMANI NDO KITU BOLA NA SISI WA KRISTO NDO WATU WA IMANI,,ILA WAISLAM HAWANA IMAN AO WANA DINI DINI NDO SASA
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Wapewe Iman kwa dini ipi? Yesu akitangaza Iman kwa dini ya kiislam
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Waromi ndio wamekuja kukwanbiya yesu nimungu nimwanawamungu kafa kwazanbizetu musalabani uyo utabiri wakirom towa jasho apo huna elimu
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 3 жыл бұрын
Ujanja mwingi mchungaji
@saidswalehe2807
@saidswalehe2807 3 жыл бұрын
Waoo mwaipopo ingiza darasa huyo pasta
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 3 жыл бұрын
Mimi ninaamini Kuna watu wata pona baada ya majibu ya huyu mchungaji maana hayaeleweki na hayatoi majibu ya eti YESU ni MUNGU.
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 жыл бұрын
Mwalimu kashasha kapoooooooa
@hassanimouigni6648
@hassanimouigni6648 3 жыл бұрын
Lazma yafurahi
@sarahmussa7043
@sarahmussa7043 3 жыл бұрын
Muislam awezi kubishana na watu wasio na elimu na wakapata ushindi uwongo uwo uisilam ndio dini ya kweli
@pascalsamwel3038
@pascalsamwel3038 3 жыл бұрын
Nandyomana yesu alisema yeye ndiye njia ya kweli na uzima wamilele.
@jamilaalfarsi7712
@jamilaalfarsi7712 3 жыл бұрын
Njia yawapi??
@masoudshaban6609
@masoudshaban6609 3 жыл бұрын
Hata Yesu atawakana siku ya Qiyama
@sefunduwayo7388
@sefunduwayo7388 3 жыл бұрын
Pigania dini hiyi yau islam sheikh mwaipopo nasisi tuko nyuma yako. Napia number za i.pesa tumeziona
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Quran ishamaliza elimu zote haijaaca kitu yesu si Mungu si mwanawamungu namama yake si mama wa Mungu izo ni elimu zamakafiri yesu ni nabi wa Mungu tena alitumwa kwa wana wa israel nabi wawatu wote nimutume MUHAMMAD s.a.w ayo unayoyasema hapo wewe pasta huna hakibhujuwi unaloliongeya kunamaswali ata papa francis anajuwa nahana jobu mwi iyo bibilia kwasasababu wawo waroom ndiyo wamezulumu vitabo tatu nakuandika wanalolitaka nakugeuza hunanishu inabidi mwaipopo ndio akufunze aca kiburi fata elomu kweli ungali hayi
@pascalsamwel3038
@pascalsamwel3038 3 жыл бұрын
Hapana dini bila kua na imani na unachokihamini mwaipopo hachakupotosha watu.
@omarchuo2178
@omarchuo2178 3 жыл бұрын
Doooh anapotosha watu tena!! Ina maana huoni usikilizi huoni mchungaji hawezi kujibu maswali
@OfficialAllytz
@OfficialAllytz 2 жыл бұрын
Mchungaji unakataadini bibria unasomaje sasa 😭 daaa msiba
@rashidmshindo1527
@rashidmshindo1527 2 жыл бұрын
kweri wamesoma Ila bado awajaelewa shee
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Manyongeza Allah ashatangaza nakumali katikabizo imani unazozitapatapa hapo kasema iyo gifti ya pili na asiyefata uisilamu huyo atakuwa mwenye hasara kubwa sana peponi sasa hasara manayake nini? Mungu ashatangaza nakumaliza asiyekuwa muisalam huyo hamuabudu( basi) hakukutafutatafuta twambiye wapi Mungu binafsi kasema mucristo atakwenda mbinguni wapiiiii???????? Hupati ata wende vatikani kwenye makao ya ukirisu hupati pasta pole
@abubakarhaji5343
@abubakarhaji5343 3 жыл бұрын
Hawa jama Hawana jipya kabisa wanasuasua tu mungu amjalie ajue haki na aifate
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
Vp mchungaji kitii iko naaa mibaa mbon hutuliiiii
@hassanimouigni6648
@hassanimouigni6648 3 жыл бұрын
Andiko yalipate wapi? Mtukufa wa daraja hajatumwa na mungu katumwa na nani?
@hillaryarande745
@hillaryarande745 3 жыл бұрын
Bt naelewa watu wa mwilini aeawezi elewa mambo ya rohoni, ukisoma Quran inasema shetani alikua na kizazi,maanake ana uzao,waislamu Nina swali nani alikua mke washetani,kwa sababu tukisema yesu ni mwana wa mungu munauliza nani mke wake
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Aya gan inasema shetani alikuwa na kzaz😂😂😂😂
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Shk Saidi,huyo Msomaji,alisomea wapi?Anasoma kama mtoto wa darasa la kwanza!!!!
@zawia3154
@zawia3154 2 жыл бұрын
Tofauti kubwa ya wakristo na waislam Waislam wanasoma na kuelewa biblia na Quran lakini wakristo wanasoma biblia tuu na Quran hawaisomi hawaijui Wala hawaielewi
@benjaminmwilaria1145
@benjaminmwilaria1145 3 жыл бұрын
Huyo mwaipopo nimpinga kristo
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 3 жыл бұрын
Sheikh wao n kondooo walio potea mngu awaongoze kwenye kheri yesu c mngu Bali n mjumbe w mngu tu...
@aishambega4118
@aishambega4118 3 жыл бұрын
Mhh eti yesu ataleta kiama ?huu ni msiba 😏eee Allah wape utambuzi warejee inshaallaah
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Dini haimuingizi mtu peponi mmestak hapo ndio akili zinaishia hapo .mnasahau ya kuwa Mungu hachunguzuki
@mohamedafdhal9392
@mohamedafdhal9392 3 жыл бұрын
Saf Xana mwaipopo
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
Mwaipopo hamna kitu.
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 жыл бұрын
Uyo mchungaji Mbwa kwamu jibu wa biblia sasa Mbwa na binadamu nani amna kitu
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
@@ramadhanjuma610 Mbwa ndo hamna kitu.
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 жыл бұрын
@@abelsteven3189 kambwa amna kitu na Biblia ina twambia wachungaji Mambwa
@abelsteven3189
@abelsteven3189 3 жыл бұрын
@@ramadhanjuma610 sawa
@azamsaid5256
@azamsaid5256 3 жыл бұрын
mbona hutulii Bwana Kashasha Mara umeshika sharubu Mara Tai Mara suti tatzo nini mchungaji??
@rahmatahmed1871
@rahmatahmed1871 3 жыл бұрын
Umeonaeee
@godwillmanyaki7816
@godwillmanyaki7816 3 жыл бұрын
Shehe huyu hakuwa mchungaji. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndio huku. Yani kwa akili yake anadhani injili ni kitabu Kama quran, injili sio kitabu injili ni habari njema kuhusu ufalme wa mungu..
@hillaryarande745
@hillaryarande745 3 жыл бұрын
Mwalimu wa kislamu ,mashaka yangu ,nashangaa nilisima mtume eti aliowa mtoto wa mwaka sita je niukweli?
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Жыл бұрын
Ndio aliowa wa miaka 9
@abdillahramadhani2983
@abdillahramadhani2983 3 ай бұрын
Mchungaji Hana mandiko nasikia tu maelezo so mandiko
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Ukikuta na anyejuwa bibilia vizuri kama mazinge na sule na kinyogori njo watakunyoosha sawasawa samoja utakosa jibu kinywa kijae maji
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 жыл бұрын
Mchungaji kapewa kibano cha nguvu
@SeifumpeliMpeli
@SeifumpeliMpeli Жыл бұрын
Muulize Paulo ni mtume kapewa na nani
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 жыл бұрын
waislam hawana elimu kuhusu uungu wa YESU wala hawajui ROHO MTAKATIFU ni nani na anafanya kazigani kwetu na wakati yote yameandikwa kwenye QURAN Yao.
@masoudshaban6609
@masoudshaban6609 3 жыл бұрын
Qur'an haijaandika yesu ni Mungu, Qur'an haiwez mkufuru Mungu...endeleeni Mkufuru Allah...Qiyama yaja
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 3 жыл бұрын
Wewe ambaye una elimu hiyo ndo utufundishe kwa maandiko tuelewe kama unavyoelewa wewe nadhani utakuwa umetenda haki kwa wasiofahafamu.
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Mungu kujivalisha mwili wa mwanadamu ili Haje akae na sisi kisha tumchape mijeladi tumutundike msalabani duh kitu gani hicho kikubwa hadi mungu na utukufu wake ajishusha hadi kufika hapo jamani mambo mengine yazigatiwe....God the almighty the superior alfa na omega mungu mwenyezi malaika wamemzunguka eti ajishushe ajifanye mwanadamu....who are we mpaka mungu ajipendekeze kufikia Adhi hiyo....na akitaka nyote aminini sote tungeamini bila hata kutumia nguvu....
@princerammy1543
@princerammy1543 2 жыл бұрын
Hhhhhhhh hv ww soma lugha kwanza wazungu wenyewe walo wapa dini wanakataa there's no trinity in God . Kingine jiulize mungu anaweza tairiwa na binadam ?
@allymussa4646
@allymussa4646 Жыл бұрын
Atasilimu ipo siku
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 жыл бұрын
Wabishi hawa watu
@hillaryarande745
@hillaryarande745 3 жыл бұрын
Nani alisema ukiwa mwislami ni tiket ya kwenda mbinguni uwo nimusiba,ata kua mkristo sio tiketi ya kukupeleka mbinguni, watakatifu ndio wataingia mbinguni ,akuna dini ,Wala kabila ,lolote wanao ingia mbinguni niwatakatifu only
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Kashasha haki elimu yako ni chache sana maana unavyofafanua haingii akilini sote in waja wa mungu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 жыл бұрын
Achananae huyo hajuikitu utachokatu shekh yy anatafuta pesa kwenye ukirsto
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Mimi kama muisilam namupa gift ndogo tu Allah ashamaliza kilakiru kakiweka wazi hatuna haja yakuwasikiza waokuwa na ukweli ao elimu sahihi Allah kashamaliza kabisa kua Mucristo wakweli huamini quor an nakuifata basi yesu akisema imani yamutu imemuponya nikua uyo mutu yesu huwa amemulipa duniani uponyaji aca kudanganya watu
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 3 жыл бұрын
Sasa sheikh wetu huyo jamaa alishanongeya dakika 15
@khalidomar9866
@khalidomar9866 9 ай бұрын
Ww mchungaji jibu unachoulizwa acha ubabaishaji 😂unaiibika mtu mzima ovyoo ww
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 2 жыл бұрын
Mwaipopo,mueleweshe,huyo MASKINI YA MUNGU.
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 жыл бұрын
Wewe pastor uko nashida kubwa wewe umesema Ismael na isaac na agano mbili tena hapo wamuvua Ismael sasa kaa ni agano mbili itakuaje Ismael asitmbulike lazima wote watambulike tujue maana ya agano hizi mbili manufa kwa wanadamu na kwanini mungu aliwafanya agano mbili.....pastor hapo umechemsha
@sonyhusseinnzelevoko1221
@sonyhusseinnzelevoko1221 3 жыл бұрын
Amekuja kusoma umfudishe natufayidika
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 3 жыл бұрын
Yan unaulizwa ww dini gani unaanza kujizungusha! Ukristo kweli ni ubabaishaji!
@ibugharib389
@ibugharib389 3 жыл бұрын
Tutokujiami tu uweje ulizwe wewe jina gani unashindwa kutaja kifupi anaona aibu kutaja jina lake
SHEIKH ALIYESOMA SUDANI ABATIZWA NA KURUDI KWA WAISLAMU
41:17
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 143
WAKRISTO SASA WAMEAMUA KUSLIMU
44:36
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 11 М.
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
MATESO YA FAMILIA (V)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:14:00
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
Mwanamke wa Chemororoch aliyeongoza wanaume katika kusilimu
1:28:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
SHEIKH MWAIPOPO AWATIKISA WAISLAM MSASANI
41:28
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 9 М.
Part 2 ya Dawah Katika Kanisa la Glory Deliverance Ministry.
43:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 23 М.
Je Nabii Musa anatoka katika ukoo wa Nabii Nuhu? Sheikh Salim Ndenda.
1:04:56
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 8 М.
1 SAID MWAIPOPO...KWANINI NILIACHA UKRISTO 1/4
1:00:11
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 275 М.
مناظرة معرفة شخص المهدي عند الظهور كاملة | #وليد_إسماعيل_الدافع
2:15:04