Ikiwezekana bado mapema , uyo milinda lango wa f family apewe mukataba mapema sana, ila kwa usajili huu bado sana
@PAAKWAMEPAA10 сағат бұрын
Asante
@EGM-TZ19 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys tafuteni game za kirafiki nyingi zaidi ili kujijenga zaidi🎉🎉🎉Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
@harouniddy46262 сағат бұрын
Aiseee uwanja kama watu wapo mbugani kweli. Ila golikiba wa football family yuko vizuri
@rajabumdoe3527Сағат бұрын
GOLIKIPA WA FOOTBALL FAMILY AZINGATIWE NI 🔥🔥🔥🔥🔥
@MasoudSintufya-v3w19 сағат бұрын
Usajili mzuri mechi nzuri ya kirafiki,
@mariamshibanda335818 сағат бұрын
Ongera zenu mechi safi
@kudrathmohammed19 сағат бұрын
Mboneke nae apewe namba kengold maan nae anajua
@ameirzapy13188 сағат бұрын
Mbonekee😅
@Isackmanyonyi19 сағат бұрын
Mboneke ni hatari
@KudraTimbako20 сағат бұрын
Mboneke ni moto
@princeemma38684 сағат бұрын
Huyu kipa wa family timu kubwa zimuangalie anakitu
@kudrathmohammed19 сағат бұрын
kwani mvua imenyesha uko uwanja mbaya sana, kama vile ndoo panalalapo mbuzi🤣
@meshackmtalla3 сағат бұрын
Green city mvua inanyesha kama ugomvi. Jua hamn
@StevenKapugi-m4b19 сағат бұрын
Kwan hii timu nyingine ya wap?
@KanokiaThomas19 сағат бұрын
Zambia na imeshuka daraja 🤣🤣
@EGM-TZ19 сағат бұрын
Nakonde ni ya Zambia ila Football Family ni timu Mtaani tu hapa Mjini
@StevenKapugi-m4b18 сағат бұрын
@EGM-TZ duh timu ya mtaani tu ndio wamecheza vinzuri vile
@EGM-TZ18 сағат бұрын
@@StevenKapugi-m4b ndio inawezekana Mkuu ni timu ambayo iko organized vzr hapa mjini na ina vipaji vzr na wanajua Ball
@StevenKapugi-m4b17 сағат бұрын
Duh kweli balaa nikajua timu inashiriki ligi labda malawi huko
@eunicecharles61220 сағат бұрын
Uwanja mbona mbaya hivyo😢
@OmyCrez20 сағат бұрын
Usajili wa kengold utawasaidia wasishuke daraja
@samirsaidi83865 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 yan bwe bweezote izo hakuna bao labda wapige puchu wapate bao la mkono😂😂😂
@KamugishaSupe19 сағат бұрын
Naona wamejipanga
@UMMA_TV120 сағат бұрын
Wameokolewa na kipa kweli wamejitahidi ila watumie nafasi wanazozitengeneza tu
@josephmarwabukura384120 сағат бұрын
Kwa staili hii lazima washuke daraja
@harounali905718 сағат бұрын
Uwanja haufai kabisaaaaaa!!!!!!!
@GagahWilsone20 сағат бұрын
MBONEKE LIGIKUU ANACHEZA VIZURI😅
@SimonAmon-dr8xw19 сағат бұрын
Mc mboneke😂😂😂
@AlfaCharles-e8h20 сағат бұрын
Mboneke 😂😂😂😂😂😂
@yohanakananika35867 сағат бұрын
Mwamba kabisa mboneke
@nshaijatedy551220 сағат бұрын
Wamejitaid
@kbdmsafi_tz809410 сағат бұрын
Wapambane Hawa Vijana
@nellyofficial22256 сағат бұрын
85 mpira umeisha
@KudraTimbako20 сағат бұрын
Mbonele
@simpleboytz2555 сағат бұрын
Watutengenezee uwanja kama jaruba
@ericksonodhiambo996417 сағат бұрын
Kwani watz mnachezea mpira kwenye shamba la mpunga,duh!
@FahadAbubakari-y3f17 сағат бұрын
Jaluo unajifanya hujui viwanja vya kwenu ndo vimesababisha mashindano ya challenge yahairishwe
@ericksonodhiambo996415 сағат бұрын
@FahadAbubakari-y3f Wewe uliona lini Chan ikachezwa na team kumi na saba? Kama haujui sababu zote za mechi hizo kuhairishwa nyamaza mnaongea na nchi yenu haina ata umeme.
@AbrahamMbuta7 сағат бұрын
Kwa hiyo refa kaona kuondoa aibu amalize tu mpira mapema,,, ila kama wachezaji hao watacheza hivo ligi kuu kazi bado ipo......
@FahadAbubakari-y3f6 сағат бұрын
@AbrahamMbuta mzee unataka iyo mechi ya bonanza na kina mbonike wakaze ili wavunje miguu au hata wangeshinda Mia nayo ndo ingewafanya wawe bora kupambana kwenye ligi
@OmyCrez20 сағат бұрын
Mbona dakika 85😂😂
@EGM-TZ19 сағат бұрын
Match ya kirafiki hata dak 70 au 150 ni namna watakavyo kubaliana tu😂😂