HUKUMU YA INSPEKTA JENERALI WA POLISI GILBERT MASENGELI

  Рет қаралды 6,888

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Kaimu Inspekta Jenerali wa polisi Gilbert Masengeli atahukumiwa hii leo baada ya kukaidi amri ya mahakama kujiwasilisha binafsi mahakamani kuelezea waliko watu watatu waliotekwa nyara na polisi zaidi ya mwezi mmoja unusu uliopita katika eneo la kitengela. Masengeli amewasilisha ombi kortini akitaka kuondolewa kosa hilo la kudharau mahakama. Masengeli anadai kuwa watatu wanaodaiwa kutekwa nyara hawako mikononi mwa polisi na kujitetea kuwa hakufika mahakamani kwasababu alikuwa kwenye shughuli za kikazi. Ombi lake la kuhudhuria kikoa cha mahakama kupitia mtandao lilitupiliwa mbali na jaji Lawrence Mugambi.

Пікірлер: 13
Kaimu Inepskta mkuu wa Polisi Gilbert Masengeli ahukumiwa miezi sita
12:00
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 36 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 18 МЛН
Masengeli: We reject coercion, intimidation of Police
4:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 21 М.
SENTENCING OF ACTING INSPECTOR GENERAL OF POLICE GILBERT MASENGELI
19:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 44 М.