Naitwa Anitah Ruth kutoka Kenya aki napenda movie zako sana kaka mungu akubariki sana kwa kazi yako alafu nangoja ingine Kali Sana lakini msikuwe mnaikalisha sana hivo
@saumucharo32395 ай бұрын
Asante kaka kelvin ❤❤
@bausiboy65905 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤
@IbuniKilapaya5 ай бұрын
Asa namna ya kuidownload ndo kipengele
@bausiboy65905 ай бұрын
Abarikiwe kaka kwa kazi zako nzuri....pia tunapata mafunzo mengi kupitia movie zako.....naitwa Aisha kutoka Kenya......keep going brow❤❤❤
@sarahnjeri-tz8eu5 ай бұрын
Mwenye kuuskiza huu wimbo lakini anakumbuka mahali ametoka gonga like 👍👍👍 kuna Mungu anayejibu maombi yetu🙏🙏🙏
@HarunaHaruna-c1i17 күн бұрын
Sawa tuu
@HarunaHaruna-c1i17 күн бұрын
Oky ngependa Sana kuuuimbaaa saaaana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@judithpendo99855 ай бұрын
Unyama mwingi saaana team Kelvin nawapenda nyote ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ love from team strong 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦mmeua walai
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Tulokuwa tukiisubiri kwa hamu hii nyimbo gonga like twende sawa❤❤❤
@Dontatv2555 ай бұрын
Imefika 🙌
@HappyGuitarPedals-xx5ck5 ай бұрын
@@Dontatv255i like it so much maybe you should try both being a actor and being a singer
@bensonchaula42535 ай бұрын
naomba kuuliza huyu kelvin instagram anatumia jina gani?
Wowow nyimbo nzuri sana yenye ujumbe mzito hongeren San kaz nzuri
@yussufshaaban94175 ай бұрын
Najua mtabisha Ila me ndio wa kwanza like zangu nipewe 😂
@MichaeljohnMashimbe-bx9ok5 ай бұрын
Kwa mliorudia zaidi ya mara moja kuuangalia huu wimbo ungana namm kwenye like🎉🎉🎉
@Dontatv2555 ай бұрын
Asante
@LUKASNGOMBANIZA3 ай бұрын
Kaka kelv kwakweli nawapenda Sana nyote ila zaidi napenda vipande vyako vyote umeigiza vizuri Sana mungu azidi kukubariki Sana. @@Dontatv255
@MichaeljohnMashimbe-bx9ok5 ай бұрын
Acha nijidai leo nimeingia top 3minutes kwenye huu wimbo kuuangalia ❤❤❤❤
@nuevacancion12425 ай бұрын
I was suggested here while listening to the song “Dupe - Stick” 😅
@SimonOmari-dk2qu5 ай бұрын
Wakwanza kutoka USA ❤
@MwaJuma-x3t6 күн бұрын
Mashallah nyimbo tamu alafu yauzunisha aki😢😢😢❤❤❤❤❤❤
@AlphonsinaSilayo-ff3pe5 ай бұрын
Hongera sana kaka Kelvin nyimbo nzuri sana
@AsaniAnsufati-jc3yv5 ай бұрын
Katika vitu nafuraiya kwako nikusikiliza maoni yetu na unayafanyiya kazi nilikuwa naisubiri uyu wimbo kwaukumbusho wamaisha kama kuna mutu eko nayapitiya aya maisha gonga like kwa ajili ya Kelvin daktari wamapezi unafuraisha na kuelimisha mungu akubariki kwakazi yako yote👏👏👏👏👏🇨🇩👈🇿🇲💪
@SarahDastan-i2zАй бұрын
Hii movie nimelia sana
@zulfayusra87475 ай бұрын
Mnaweza Hadi mnabore bana.. congrats team donta
@WinfridaBruno2 күн бұрын
Kelvin nimekukumbali sana kwa sanaa zako nzury na zinafundisha
@MariamRashid-r5mАй бұрын
Bado mtutengenezee nyimbo ya mtoto wa boss na dada wa Kazi i like it 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@JupeMorisho4 ай бұрын
Na mipenda sans tena niko na mifata sana tana kijana masikini Kevin courant🎉 niko Congo
@nafsajuma62695 ай бұрын
Aiseee hii movie ni nzur sana yeny ujumbe mzito sana kama Kun watu watakiwa kujinza bas hii movie iko na mafunzo mazuri san ndan yake ili Anza kufatilia mwanzo adi mwisho nawapenda sana tim nzima ya kelvin ❤❤❤
@leakeyojiambo14235 ай бұрын
Kutoka Kenya, kazi nzuri
@hamzaamry62515 ай бұрын
Shida matatizo hutufunza uvumilivu maisha hayana likizo kila siku maumivu kesho yangu dah😢😢
@Malesa255..15 ай бұрын
❤❤❤
@Asianyanje14 күн бұрын
Sijawahi kukoment lakini leo nimekoment kwajili ya hii nyimbo from Kenya
@hawaahadi56375 ай бұрын
Nyiye Kelvin ana talent pote kwenye movie na music ❤❤❤Kelvin fanya pote tuko apa kwa juu ya kuku support ❤❤❤
@IsalmuMajumba5 ай бұрын
❤❤❤❤❤ Kesho yangu kwa kweli munaitaj tunzo mmefanya kweli ❤❤❤❤❤❤ sijaacha ata moja kuitazama 🎉🎉
@Nyanchama-c1n5 ай бұрын
❤❤huu wimbo ukiimbwa naona ni kelvin😢😢😢 I love you kelvin very emotional song
@Asianyanje5 ай бұрын
Japo nimechelewa kuiangalia lakini mimi nimeipenda sana mimi nilikua naimbanga mwenyewe lakini leo nimeweza kusikiliza hadi mwisho na nimeangalia zaidi ya mara mbili nimepitisha hata sema asante sana kwa mafunzo yako ni mazuri sana Allah awe nanyi nyote
@LilianKila-br2md5 ай бұрын
Imenifanya nimiss kwetu ,wooooi wimbo zuri kweli❤❤❤❤
@avekikibombo65595 ай бұрын
yaaan kati ya seheem umenikosha nyoyooo nii hii nyimbo nimefurahiii
@ningamwita19485 ай бұрын
Daaaah kweli usilo lijua nikama usiku wagiza 2tumuombe sana mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😮😮😅😅😅❤❤❤❤
@MohammedyJuma-wf3jc5 ай бұрын
Wakwanza mm dadeq 🎉🎉 sauti ya kevo ni good melody lyrics
@MiriamSharon5 ай бұрын
Woow 🎉🎉
@ruthgloriaobonyo5 ай бұрын
Wimbo mtamuuuuu❤❤❤
@LilmmyCrazyfficial5 ай бұрын
DONTA TV 🔥 🔥
@Faith-zb6wo5 ай бұрын
Wah kwaza niliipenda mahali ilikuwa refu n part 22 ya kesho yangu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ naipenda na ikanifanya nilie kuona vile kelvin alivyoteswa 😢😢
@appsplay43245 ай бұрын
Woooow nilikuw nasubir sana
@نورة-ذ3غ2ث5 ай бұрын
Wau ahsante sana Kelvine Kwa kweli umenibamba sana hii nyimbo naipenda tu sana hongera sana
@goodboy-sc2ek5 ай бұрын
Nimewah sana 😮😢maana niliumja kumaliza ichi chuma
@Dianaf7745 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉woow nimependa sana
@WilbertMmary8 күн бұрын
Safi, nyimbo ina ujumbe maridhawa.
@HawaaMalau5 ай бұрын
Nyimbo nzuri mashallah,, nawakubali Donta TV family 🎉🎉🎉❤❤❤
@AbdulRahman-q2x2h5 ай бұрын
Kelvin najifunza mengi sana kwa kupitia kwako blother, hongera sana mngu akupe umli mlefu blo
@LoiceKatana-ci1tx5 ай бұрын
Wow nilikua nasubiria sana hii nyimbo aki ni nzuri aky ina encourage.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera sana kelvin
@FatimaFatima-bx8ez5 ай бұрын
Naikubali sana ❤❤huwa nikiisikiliza inanikumbusha mbali sana 🙏 😢 😢😢😢
@جاااحظمجنون5 ай бұрын
Asate sana brother Kevin Maua yako kakangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FrenkFilbartАй бұрын
Woow!!!! Nawapenda bure nyie watu❤
@MariamRashid-r5mАй бұрын
Ilkuwa nzur sana hii nyimbo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HarunaHaruna-c1i17 күн бұрын
Aliimba Sanaa nyimbo hiii my love your
@HarunaHaruna-c1i17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@faithnyansera11245 ай бұрын
Hii song Iko sawa kabisa inafanya uwe na kilio but uvumilivu ndio kitu ya maana sana , congratulations kelvin na wezako❤❤❤
@CatherineKirugumiCathy5 ай бұрын
Kazi nzur kelvin na wenzako watching from taif saudi
@acleitpumps5 ай бұрын
Daah mmeua😂👍👍
@MohamedAbdirahman-qs4pl5 ай бұрын
Ndege rukaa uende kijijini hadi kwa mamaa, kamweleze bado napambanaa , kamweleze daar kugumu saana , bado natafutaa kilichonileta bado sijapataa mbele yangu naona ukuta (mbele yangu naona ukutaaa ) Shiidaaa matatizo, hutufunza uvumilivu maishaa hayana likizoo kila siku nimaumivu , Shiidaaa matatizo, hutufunza uvumilivu maishaa hayana likizoo kila siku nimaumivu Daa ii nyimbo imenigusa. Nimem'miss mama yangu 😔
@Dontatv2555 ай бұрын
💪
@Anita-c4n9m5 ай бұрын
We nomaaa nimerudia mara mbilii mbili ❤❤❤❤
@CharoJohnson5 ай бұрын
Nmhiii nyimbo nitamu nimemiss kesho yangu ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@Saripa234-u7g2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@EricMbilinyi5 ай бұрын
Hapa mumenipatia sana Nilikuwa nataka nitoe wazo hili hili kuwa mwisho wa series muwe mnatoa na wimbo wake
@doricemwakasengo11675 ай бұрын
Huuu wimbo naupenda sana mzuri sana naomba ufanye remix na fid q achane kidogo itakua unyama sana
@sadahamad61585 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa ❤❤❤🎉🎉😂😂😂😂 tena kuna wanaume pia wasema wa kwanza nipe like mabwabwa kweli
@Dontatv2555 ай бұрын
Asante
@princessleahluvuno5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@maimunachuma79945 ай бұрын
Hii wimbo ni mzuri sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@fgfvgggf69935 ай бұрын
Wow hongera bro Kelvin mungu akujalie utoe nyimbo nyingi zaidi
@JeremiaYusuph5 ай бұрын
Donta tv mpo vzr mnooo mnatupa kitu roho ipendaaa. Raha sana yaani
@roudhamahmoud7635 ай бұрын
Mohamed Abdalla hongera kwa kuiandika nyimbo yote🎉🎉🎉
@DonCreator-hy5hs2 ай бұрын
Nakubali music hii
@ntungwanayoodette7525 ай бұрын
Yani huyu mwimbo ipo poa❤❤🇧🇮🇸🇦
@VIZBOYDOGOFIRE5605 ай бұрын
Mimi apa wa kwanza Kaka Kelvin froom congo drc 🇨🇩
@AshaHassan-b9f17 күн бұрын
Duuuu pole sana kaka mngu akupe subir ndani nakipindu ichi kigum ulichonacho
@KonjaMbauna2 ай бұрын
Daaaaaaaaaaaaaaaaaa???? Mnapiga mwingi sanaaaaaaaaaa My brothers and sisters.❤❤😅😅
@SagandaSamson5 ай бұрын
Naaminia Sana KAZI yenu nawaombea kwa Mungu awape nafasi zaida ya kuuelimisha ulimwengu hasa sisi vijana tulojaa tamaa nakusahau kuwa tuna nguvu nazo akili pia,,, conguratration 2ua gange
@MwatimeRatili4 ай бұрын
Nmeikubalia kesho yangu💪🥰
@donaldwanyonyi68565 ай бұрын
Alafu mimi natamani nitoe na nyinyi movie na niko kenya sijui itakuwa aje Kelvin Khan tunakupenda sana
@HoseaKasisi-i5c5 ай бұрын
Aaaaahhh mmeuwa sana wanangu nawaombea tu Mwenyezi Mungu awazidishia mzidi kuwa bora
@aishaabeid81065 ай бұрын
Umejuaje jmn naupenda sanaa❤❤❤
@SaimoniAloisi5 ай бұрын
Mmesikia kilio changu jamani asanteni sasa❤❤❤
@ndahalizaarchimede45865 ай бұрын
Kelnin miye ni archimede ndahaliza niko Lubumbashi nakubasa sana iyo vidéo yako 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏✅
@كازاكاهيند5 ай бұрын
Hii movie imenifudisha jinsi ya kuishi na watu ,,lkn kunambi pia ww nathani umejifunza kitu yote uliyoyatenda kwa kelvn ona sasa yy ndiye aliyekuwa mtu wakwanza kukusaidia ,binadamu tunajifunza kupitia makosa ..anyway nice job nawapenda nyote ❤❤kenya 🇰🇪 kilifi
@ReyFocus5 ай бұрын
Mm hapa wa kwanza
@domtuxhi43945 ай бұрын
Kelvin the song is so educating,,i love it kazi njema kwa mwisho wake nilirudia kama mara kumi❤❤
@SIDDHARTHSOURCE-jk4is5 ай бұрын
kweli Kelvin n'a Vicky mume fahamu kazi sana, nasuriya wimbo wenu wa kwenye filamu ya dada wa kazi
@CalustarMusic5 ай бұрын
Naiona donta tv itafika mbali sanaa.kweli mnandoto ya kuichukua nafasi ya great film.
@CristarpellАй бұрын
Napenda kusikiza hii wimbo Sana hongera Sana kwa Kuimbo zuri❤❤❤
@ashamwanganzi64005 ай бұрын
Mashallah much love san wallah❤❤❤❤❤🎉🎉
@prettyney38125 ай бұрын
Tunaomba na ile ya kupenda sio kazi kuoendwa ndo kazi mr Calvin kama hutojali😢😢😢😊❤❤❤❤
@PaulineNasoro5 ай бұрын
Huo wimbo uko sawa sana kelvin ❤❤❤❤
@Meddy9935 ай бұрын
Au sio wakwanza kutazama leo
@CdeUbwa-he8si5 ай бұрын
dah mme2tendea hki kwel yan ngoma nrkuw naitka sana hii walai mmetsha sana
@joycemuenimutua45065 ай бұрын
Bytha iyo wimbo ni mzuri ❤❤❤❤❤twawapenda sana 🇰🇪
@SifaSanchging5 ай бұрын
A sante sana kwa wimbo❤❤❤❤
@RizikiZiki5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤unaweza Kelvin khan ❤
@josephineuwizeye82505 ай бұрын
Oh làlà ina itiyahuruma nilikuwa na itafuta sasa na iona❤❤❤
@UmuuEddy-s3c3 ай бұрын
Sometimes natamani niwe nalala na simu nisikize tu🎉🎉🎉❤❤
@SylviaNyanchama-m1b5 ай бұрын
Kweli jamani nikama mnayaona mahisha yangu jamani mungu anipe uvumilivu
@suzanajackson19103 ай бұрын
Hivi kumbe wanyalu kuimba tunajua jamn big up naisubiri mpya
@EliseMasoka5 ай бұрын
kazi nzuri sana kaka Kelvin
@cutezyzaa14995 ай бұрын
Favorite ❤
@JupeMorisho4 ай бұрын
Muna ni furahisha sana donta kelvin mungu amipe akili ya ziyada
@davidlelo61925 ай бұрын
Wimbo naupenda sn ❤❤❤❤❤
@FatherofBrightRoshan5 ай бұрын
Natowa jambo kwa nyinyi 🙌🙌nasikia tani kitu kizuri sana katuletea kelvin❤❤much love guys be blessed❤show love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ExsonandezZizou20 күн бұрын
Eeeh mungu wa mbinguni tusaidie na sisi tupate
@ginafaruque53353 ай бұрын
Nakukubaly sana kelvn ❤❤❤ duuuh.mungu akujariyee ❤❤❤❤