Masharti ktk mkataba huo yalikuwa zaidi ya malipo. Kulikuwa na Sharti pia la Coastal Union kumpeleka mchezaji Simba akapimwe afya kabla ya mara tu baada ligi keisha. Pamoja na kuwa sehemu kubwa ya malipo Lawi hawakumpeleka kupima afya.Sharti hilo hamlizungumzii. Ninyi mnajidai ni wajuzi wa kila kitu na kuwahukumu Simba kuwa wanamakosa lakini kiukweli hamjui chochote zaidi ya uandishi wa habari. Ndiyo maana kesi hamkuletewa ninyi muamue bali zimefuataa taratibu na sheria zilizopo. Mnapaswa kuwa wasikilizaji kama sisi na si kuwa waamuzi na kuwasema wenzenu kwamba wako unprofessional.
@twahakabajemi97163 ай бұрын
Hili ndo tatizo la club ndogo kujifanya chawa wa timu nyingine kubwa huwa mnawaachia ushindi waachieni na mchezaji
@edsonleonci51133 ай бұрын
Miye ni mwananchiiiiiiiii …. Ila makolo wana haki na mchezaji huyo ….. Ila kwenye kesi hii watashindwa kutokana na viongozi wa TFF wana vina saba na Coastal union …!! Msisahau huyo mchezaji ata kadi nyekundu ya Lawi ilifutwa dhidi ya YANGA …!!
@JumaSuleiman-np3eb3 ай бұрын
Wachambizi bhana
@PrinceMgambwa-h7r3 ай бұрын
Mbona hamjawahoji viongozi wa simba
@malkavoice25703 ай бұрын
Ukisema Tamaa hata wachezaji pia wanahusika. Uzuri ni kwamba TFF sio ccm wanaweza kusimamia haki,Mchezaji anaweza akawa kajikanyaga na Costol pia wamejikoroga ila kwa Simba hawana hata doa,wajitathmini kisha wajilipue wenyewe kumaliza huu mchongo
@mwanangusana3 ай бұрын
Katibu wa Coastal Union yupo smart sana😂
@drallan68793 ай бұрын
ulizeni lawyers tamaa ni watu wa coastal
@drallan68793 ай бұрын
huyu mzee wa coastal hajitambui case wamepoteza
@malkavoice25703 ай бұрын
Hawa wazee hawakupaswa kufika huku 7bu wanatia huruma mno ilibidi wasije mtandaoni ili simba wawahurumie na kuwaachia 7bu ni mchezi muhimu kucheza kwao,pengine hata wangempewa kwa mkopo 7bu Simba kwa kikosi chake sasa ataanzia banch au kucheza half tu. Kwann hawa wazee wamechagua ubabe na wanaijua sheria vema watungaji wao na wakanyagiaji wao,siku wao wakija kuvaa viatu vya Simba itakuwaje?
@silasjacob-j2l3 ай бұрын
acha ujinga kwahio pesa mliyopokea toka simba mlikopeshwa au?