KUTOKANA NA MIDAHALO INAYOLETA TOFAUTI, JE WEWE KAMA SHEIKH WA MKOA UMECHUKUA HATUA GANI PAKA SASA.

  Рет қаралды 27,973

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• KUTOKANA NA MIDAHALO I... #KHIDMATV #SheikhwaMkoawaDaresSalaam #MidahaloyaTanga #SheikhMuhammedBachu

Пікірлер: 111
@mustaphasaid3404
@mustaphasaid3404 Жыл бұрын
Maasha allah shekh wamkoa mola akulipe Pia nimefurahi kumuona mwalimu wa hasan aluy diin
@saidmwakulika706
@saidmwakulika706 Жыл бұрын
Mashaallah alhabib Walid Allah azidi kukupa hikma na busara yukujuwa kuishi nao
@Zuuhtv
@Zuuhtv Жыл бұрын
Shekh walid allah akuhifadh
@MakTum-h8m
@MakTum-h8m Жыл бұрын
Masahaba wa mtume swallallaahu alaihi wa sallam walirudi Kwa mtume wakapata suluhu na sisi turudi Kwa Allah na mtume wake na kupitia ufahamu wa masahaba sababu wao ndio walimuelewa mtume kuliko sisi
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Kurudi Kwa Allah na mtume ndio huku kuweka Aya mezani kujua sahih na batli.hakuna NAMNA nyengine
@ZahraMaulid-y7j
@ZahraMaulid-y7j Жыл бұрын
Mashallah
@thedon8467
@thedon8467 Жыл бұрын
Mashaallah tabarallah
@mosule9262
@mosule9262 Жыл бұрын
Hicho kisa kipindi Hiko mtume alikuwepo Sasa Kuna vitu vimezuka mtume hayupo mnamsimguzia mtume mnamzushia haya hayawezi kukaliwa kimya hata kama tofauti haziwezi kuisha ,Bora muambiwe watu wajue Haq hata kama hawatoifuata ,Hili halitoondoa aman kwasababu ni elimu .
@HawaOmary-fb6wo
@HawaOmary-fb6wo Жыл бұрын
KWAIYO MTUME HAKUZALIWA ZUZU MKUBWA WEE
@mrishosudi1896
@mrishosudi1896 Жыл бұрын
😂😂 tena bonge la zuzu
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
acha ujinga, mizozo lumbere nyie nfo mwaitaka, kuna mambo chungumzima ya kuzungumza ya msingi ni midahalo tu, acheni ujinga baadhi mawahabi mishenz
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 Жыл бұрын
​@@HawaOmary-fb6woKazaliwa lkn hakufanya birthday party wala hakufundisha hilo na hatuna mafundisho hayo toka kwa waislam bali tunaona birthday party ya nabii I'isa kwa manaswara wanaiita (Christmas) na pia birthday party toka kwa makafir wa kishia hii mnayoita (maulidi).
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 Жыл бұрын
​@@mafiatv5479Nafasi hiyo ya hayo mengine unaweza na ww kuweka mdahalo wako ukawaita wengine mkanakishiana! Uwanja ni mpana
@amourmakame9795
@amourmakame9795 Жыл бұрын
Tofauti haziishi mpaka kiama. Ila tuitafute haqi tuache batwili
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 Жыл бұрын
Kuna muislam amekula ngurue akasema ni halal? Au unazngumzia batwil gañ?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Masufi acheni kuabudia makaburi
@FarahJey
@FarahJey Жыл бұрын
Wewe shehe wa mkoa mzima, Wasema tofauti zilikuweko, Hakukuwa na tafauti za maulidi hebu sema kweli.
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 Жыл бұрын
Ana maanisha tafauti ya kufahamu maneno ya mtume,na haya ya maulid pia ni hivo,kuna hadith yasema mwenye kuanzisha mwenendo mzuri katika uislamu atapata ujira,kwa hio yanayo fanyika katika maulid ni mwendo mzuri ambao umeanzishwa na yamo katika uislamu ikiwa utayaangalia kwa uadilifu .wala usibabaishwe na lile jina la mawlid.
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 Жыл бұрын
Hili jina la mawlid ndio la wasumbua watu wengi,hata wakashindwa kuangalia yanayo fanyika humo,ni kama kikundi cha watu waamue kukusanyika kusoma qur'an kila mwezi tarehe fulani kisha wakaipa jina siku hio (shahriyya)kwa vile ni jambo la kila mwezi ,sasa hapo hatusemi shahriyya ni bid'a bali tutaangalia kinacho fanywa ni kipi?
@FarahJey
@FarahJey Жыл бұрын
@@omarsakawa2070 Yaonesha huijui maana ya bidaa
@ustadhamiin5941
@ustadhamiin5941 Жыл бұрын
Mawahabi wana mangapi wanafanyaa hakuna hata swahaba, hadidghi, wala Qur'an na Karne tatu bora alie Fanya wao wafanya , kasomeni mwanzo musibabaishe watu na chuki zenu
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
wewe lete dalili km hakuna
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Ishu ni kwamba wanaozusha mambo ktk dini ya Allah lazma waambiwe
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo Жыл бұрын
Sheikh wng yepi wamezushwaa?.kama hupendi bora ka kimyaa kama mm nisiojua kitu.
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
we una uhakika km wamezua au ufahamu? kumbe nyie ndo mwaleta fujo ktk dunia hii, acha ujinga we kwako ukiangalia kuna watu hawaswali wengine makafiri waingizeni watu ktk nuru sio wakati wa kuzungumza mijadala kueni na adabu na hishma nyie mangapi mwafanya makosa mbn hatusemi, acha ujinga ndg
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
Ni lazima wajiweke wazi na aibu zao zibainishwe
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Жыл бұрын
​@@mafiatv5479wewe jamaa inaonekanwa ni mvivu wa kusoma,,bro soma kaka kitabu Cha sheikh jaafar barazanji kina uwongo ;shirki,na matusi.
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@ibnhassan9980 hakuna aibu hapo kwani twaiba? aibu kuiba tu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
TUKISEMA TUKAE KIMYA KWA TOFAUTI HIZI kuna mengi yataibuka. Kwamfano kuna mashia wanajiita waisilamu. Kuna watu watakuja na vitabu vyao watajiita waisilamu tutasema tuwaache kila mtu ashike upande wake. Kuja kuzinduka dini haina mwelekeo mpaka watoto tutawapeleka madrasa bila kujua kumbe mwalimu anafundisha yasiyo sahihi kwakuwa tunajua ni madrasa mtoto anasoma tu. Ataambiwa muziki unafaa, mapenzi kinyume na maumbile inafaa. Tena akiwapa ushahidi wa kiarabu kipana. MUNAQASHA wa Muhammad na Sabas umeleta nafuu. Tena inatakiwa minaqasha ifanyike sana tu ili wenye akili waelewe. Kuliko hizi za mmoja mmoja kwenye video yake anaropoka mpaka basi kumbe hana ushahidi.
@almasisadick9719
@almasisadick9719 Жыл бұрын
Kabisa
@ustadhamiin5941
@ustadhamiin5941 Жыл бұрын
Mashia walikuwepo wakati gani? Na WANAZUONI wakti huo walitumia hikma gani? Ndivyo anavyo maanisha sheikh walid, na cc tutumie hikma zao insha'Allah
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@ustadhamiin5941 Hata Rasul (s.a.w) kunasehemu alitumia hekma na kuna sehemu alitumia upanga. Na kwa bahati mbaya kipindi "ha wanazuoni palikuwa haki iko wazi sana tofauti na sasa batili imegeuzwa geuzwa mpaka uje kuigundua ni taabu sana. Juhudi kubwa inabidi kufanyika.
@ramadhanhajji
@ramadhanhajji Жыл бұрын
​@@ustadhamiin5941hikma ni kuwaraddi uwezi kuraddi Tunga kitabu utahadharishe maovuyao venginevo hakuna hikmatena ila ni kuacha dini ya Allah iharibiwe uku unalinda jahayakoww nimakosa usibebe kwa Allah lawama ya mwenye kulaumu uovu ondosha vyovyote iwavuo
@rajabudiwani9835
@rajabudiwani9835 Жыл бұрын
Ushia umekufanya nini?.ivi wafahamu maana ya shia?
@abeliever6823
@abeliever6823 Жыл бұрын
Assalaam Alaykum. Ni kitu ya kuhuzunisha sana kushughulika na mambo madhogo ya ikhtilaf. Wakati ambao kuna mambo mKubwa.
@AbuuAbdillah-hb8li
@AbuuAbdillah-hb8li Жыл бұрын
Wewe unaona kuzushiwa mtume uwongo na watu kuwaingiza kwenye ushirikina kwa yaliyomo kwenye barzanji unaona ni madogo wewe
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Hakuna dog ktk UISLAM.yote NI makubwa. Uovu NI WA kuondoa Sawa na mwiba njiani
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
NINI HIKO CHA SIRI MNACHOKIFANYA DHIDI YA MASHEKHE BADALA MUELIMISHE UMMA AU MNATAKA KUWATAFUTIA MAKOSA ILI KUWAFUNGE JELA NDO ZENU E?
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 Жыл бұрын
Ninyi watu wenye akili sikilizeni kwa makini haki mtaiona na batili mtaijua wengi vwa masheikh wanafata itiqadi zao tu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Hakuna itikadi zao wanamfuata mtume s a w itikadi gani zao ukiulizwa haya tujubu
@hamzahamza7565
@hamzahamza7565 Жыл бұрын
Waliiktilafiana watu katika majambo yaliyothibiti suala la maulidi halijathibiti ikhtilafu zinatokea wapi?
@Abusalim308
@Abusalim308 Жыл бұрын
Kwenye haki watu watafanya munaqasha ili mambo yawekwe wazi haki na batwil ijulikane hatuwez kukaa kusikiliza sheikh wenu anataka nini itafanywa kama mtume alivotaka. watu wakae watudanganye mambo ya uongo watuambie maulid ni ibada bado watu wakae watudanganye tu hatukai kimya abadani
@alvinsanga2428
@alvinsanga2428 Жыл бұрын
NYIE MNASHIDA SANA MJITAFAKALI SANA
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Sana
@adamkilembwe.
@adamkilembwe. Жыл бұрын
Hekma na busara zinahitajika kwa kweli,ili amani iendelee
@abusabirhassan1844
@abusabirhassan1844 Жыл бұрын
Sheikh haiwezi kuwa Sawa nahiyo tafauti hiyo kulikuwa na hadithi lkn hiyo tafauti hiyo haina hadithi ni uzushi
@ZahraMaulid-y7j
@ZahraMaulid-y7j Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@awatifomar5185
@awatifomar5185 Жыл бұрын
Je tofauti ya Maulid ilikuepo? Naomba jibu
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Жыл бұрын
Lakini wale masahaba wao hawakuzusha kwa sababu mtume amewakubalia rai za makundi yote Lakin sisi tunamzulia uwongo wa wazi je tusikosowane .. Elewa kuwa kwenye uwongo hakuna khitilafu hasa hasa kuzushia mtume
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Kama gani kazushiwa ongea tukuskie miwahabi akili hamna
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
Kwa elimu gan ulonayo weee
@hafidhsalum-jp2mw
@hafidhsalum-jp2mw Жыл бұрын
Jipange kuandamana na Allah kwanza usipomkuta shehe wako peponi Na usitubie tu maneno yako ayo ya kifedhuli jikute we big sasa;;;
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mtihani
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
Fedhuli n we hapo usokua na elimu hata kidgo
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
KUKAA KIMYA PIA NI TATIZO KUBWA ZAIDI .UZUSHI UNAHARIBU
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 Жыл бұрын
Hebu twambie umeharibu nn?
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
@@ahmadsalim4417 Kama NI makosa si unakuwa upotevu KW akizazi kijacho.wataitakid sivyo.? Unauliza kunaharibu NN wakati tunatakiwa tukemee
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Жыл бұрын
Uzushi ni upotofu ambao ni lazima kupigwa vita, sio kunyamaziana
@manyotamussa1328
@manyotamussa1328 Жыл бұрын
Shida sio tofaut tatzo ni kitu gani kilichopelekea watu kua na tofauti hiko ndo huzingtiwa
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Tofauti ilioko ni ya uelewa wala sio uzushi na kukuja na ibadah yasiyokuwa wakati huo kama sherehe ya maulidi, muache bid'a kwanza
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Жыл бұрын
Mashehe wengi was kisufi ni wapiga lamri na Hawana hofu ya kuzusha mambo katka dino Allah kakamilisha dino Nini mwaongeza
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Na wala hakuna walii wahabi wala mwanazuoni wahabi wala mchamungu Mkubwa Wa mawalii ni shekh Abdulkadir alikuwa sufi na Ahlul dhikr
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Kuna ikhtilaf na mizozo hii ya sasa ni mizozo na sio ikhtilaf za masahaba
@MustafaOyoo-qz7rp
@MustafaOyoo-qz7rp Жыл бұрын
Tafauti zitaondoka.sababu haki na batili haviendani.
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 Жыл бұрын
Ziondoe ss
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Masufi bachu kakukamateni ndipo hasa Kila mnavofurukuta masufi zimekaaa hkooni hoja 19
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Mjinga ndo ataona ni hoja
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 Жыл бұрын
..ikiwa hujui hata kama kilichosemwa hakina mashiko wewe utajua ni hoja za msingi!!
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
Undiminished kuwa ndo Muslim sahihi na we ndo mwenye haki tu au
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
majibu ya kisiasa mzee
@idriskinye1190
@idriskinye1190 Жыл бұрын
Tunataka wali wamaulid ukose wa2
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Жыл бұрын
Hakuna sufi hata mmoja ataweza kutetea uwongo wa barzanji
@sadiqabdullah1294
@sadiqabdullah1294 Жыл бұрын
Sheik hana uadilifu kabisa huyu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Huyu bwana kasema asipo mkuta mufti peponi wataandamana kwa allah Maneno ya kufru wala hakutubia mapaka sasa Mi skuskilizi Mie mashekh wabgu ni wakisalafi Mashekh wa bidaa siskilizi
@shabaniissa3464
@shabaniissa3464 Жыл бұрын
Umefuata nini hapa ?
@KGONLINETV-i7z
@KGONLINETV-i7z Жыл бұрын
Kasome sana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Kweli Mnakasga wa Tanga umewatikisa sana wateiqa Wallah Naaba sasa kila kukicha n yale yale Mfungo sita unakuja Utawafikia halafu kasida na nyimbo na ngoma mtakuwa hamja wamba!!😅😅😅
@princefeisla3692
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Ndio mukaambiwa hatuachii kaeni mutue
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
😂😂Hawatosahau hawa watu wa maulidi inawaumiza sana
@ZahraMaulid-y7j
@ZahraMaulid-y7j Жыл бұрын
Mashallah
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Ishu ni kwamba wanaozusha mambo ktk dini ya Allah lazma waambiwe
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Mambo gani yamezushwa kumsifu mtume s a w maswahaba walimsifu mtume s a w na Allah na malaika wake wamswalia
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
ww umeambiwa maulid ?ibada
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@fikafikan8484 tutsema kuraan ni ibada, sio maulid, maulid ni sherhe km sherhe nyengine tu, sio ibada
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 Жыл бұрын
Kwahyo hata ile quran tunayo ikusanykia pale taifa ni haifai?
@ZahraMaulid-y7j
@ZahraMaulid-y7j Жыл бұрын
Mashallah
@ZahraMaulid-y7j
@ZahraMaulid-y7j Жыл бұрын
Mashallah
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
Kakara kukuru mambo yapata moto swali la letwa kama mvua kumepambazuka
59:38
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,8 М.
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Senators react after impeachment of DP Gachagua
18:45
KTN News Kenya
Рет қаралды 17 М.