Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Пікірлер: 256
@abdallahshomari7939 ай бұрын
SHEIKH ABUL FADHWL KASSIM MAFUTA ALLAH AMUHIFADHI NA AMPE UMRI MREF AZIDI KUTUPA ILMU YA KUITAMBUA HAQQI NA KUIFATA NA BATWIL KUIWACHA.
@idrisajarden12109 ай бұрын
اللهم آمين
@adennurahuka4027 ай бұрын
Amiin ya rabbi
@halididaudi72288 ай бұрын
Shekhe mafuta mwenyezi mungu Amlinde na Amuhifadhi
@AbuuRayhana-yf3xe9 ай бұрын
Allaah amuhifaadhi, Sheikh wetu Abulfadhli Qassim Mafuta. Elimu yake ni Bahri,
@iddijuma61529 ай бұрын
aamiin
@uwesusinde99769 ай бұрын
Ameen
@awadhally10529 ай бұрын
Amiin
@abdurrahmanis-haaq45889 ай бұрын
Na hawamuwezi hao wapuuzi ,,mashekhe ubwabwa macho yamewatoka kazi kujali tumbo Lao tu
@shabaniissa34649 ай бұрын
@@abdurrahmanis-haaq4588 Mafuta kasoma wapi
@suleimanabdul-karim12129 ай бұрын
Sheikh kassim Mafuta kiboko yenu Allah amhifazi ampe afiya njema na umri YaaRab
@JafariSaidi-ts7qu3 ай бұрын
Ushabiki
@ayuburashid90839 ай бұрын
Allah awahifadhi masheikh zetu wanao bainisha dini ktk misingi ile walio itumia wema walio tangulia
@NasibuJuma-e6u6 ай бұрын
Alla amuhifadhi sheik kasim mafuta mimi niko buja bujumbura
@pavillioncry52419 ай бұрын
Sjamuona apo wa kukaa chini kielimu na kasim mafuta Kasim hana mda wakupoteza muda wake wote anaumaliza maktaba akitoka apo darasan msikitini
Alhamdhulilah raddi zinawafikia mwatafuta upenyo wakutokea lkn wap umma unazidi kufungukuwa na talbiss za Masufi Ibada nyingi za Masufi ni za kubabaisha 2
@khalidabdulla6545Ай бұрын
Izo ibada zako unahakika km zinakubalika????? Muhimu tuombeane Allah atukubalie Ibada zetu mana sote tunataraj rehma zake
@abuurayaan3902Ай бұрын
@@khalidabdulla6545 Hakuna salafi mwenye wasiwasi Katina dini na Ibada zake Sababu tunatekeleza kama alivyo fundisha mtume na walivyo fahamu maswahaba Nyie masufi ambao Kila kukicha munazua Ibada kinyume na zilizo fundishwa na mtume kwa wema walio tangulia
@shabanimussa4269Ай бұрын
nyi nyi niwajinga Tena sio kidogo nyinyi niwanga wakubwa sana mnae jiita masalafi
@abuurayaan3902Ай бұрын
@@shabanimussa4269 Duh umeishiwa kweli Sasa sisi masalafi na nyie masufi nani wanga Wakati mashekhe wenu wanadhihirisha uchawi hadharani Na ishirikina ALLAH awaongoze
@twahakibole948011 күн бұрын
@@shabanimussa4269wew muogope allah kwa kuwasema masalaf
@suleimanmasudi38519 ай бұрын
Nilishawaeleza tuna bahat kubwa mno kuletwa Abulfadhil kassim mafuta katka nchii hii na Allah, Allah subhanallah waataallah amuhifadhi sheikh wetu ampe umri mrefu Kwa hakika miaka michache ijayo InshaAllah kundi kubwa zaidi litakuwa limekatika kutoka Kwa masufi na kuifaham Sunnah Allah atupe umri wenye faida tuje kujionea
@uwesusinde99769 ай бұрын
Hakika
@abdallahshomari7939 ай бұрын
Allahumma Aamiiyn
@shabaniissa34649 ай бұрын
Kasoma wapi Qaasim
@uwesusinde99768 ай бұрын
Alianza kusoma kwenye madrasa ya katatibu tawi la tamta kijijini kwao pongwe kisha tamta kwa sheikh mohammed ayoub kisha kisauni kisha yemen kwa sheikh muqbil rahimahu llahu alayhi kisha chuo kikuu cha kiislam madina hiyo ndio silsila ya elimu yake
@0stadhyMohamed7 ай бұрын
Mchafuaji wa dini kassim mafuta
@AbdallahMwambe9 ай бұрын
Jamani mafuta Allah amhifazi
@awadhally10529 ай бұрын
Amiin
@abdallahzuakuu9051Ай бұрын
Amiin@@awadhally1052
@ayuburashid90839 ай бұрын
Sasa unaelezeaje mwalimu mzuri ikiwa hata tawhidi huijui? Unasema masheikh zako ndio wanao pangilia maisha yako ya sasa na ya baadae Na vipi kuhusu ayat hii قل إن صلاتي ونسكي ومحياي ومماتي لله رب العالمين ، لا شريك له وبذلك أمرت وأنا أول المسلمين. سورة الأنعام: ١٦٢، ١٦٣ Mcheni allah kwenye kusifiana kwenu
@UB40X19 ай бұрын
Hawa wote kwa ujumla hawamfiki Sheikh Kassim Mafuta hata ukucha. Hawa ni watu wa kutafuta ukubwa tu hamna ilmu ni maneno ya kipuuzi tu.
@abdulazizmwipi92959 ай бұрын
Na hyo mafuta hamfkii hta kwa ukucha shekh mziwanda
@UB40X19 ай бұрын
@@abdulazizmwipi9295 😀
@ndutweshomari13663 ай бұрын
Huyo Shekhe Mafuta wa kusema TV haramu alafu yeye misafala yake anatumia TV.Hui si upumbavu.Shekhe alukuwa ni Hasan Ilunga sijaona kama yeye mpaka sasa.Wote wa sasa kazi yao kutoana Motoni tu.utssikia Bidaa bidaa lete Dalili lakini hawapambanii kuunganisha Uislamu na Waislamu.Kutwa kuongelea wewe Dhehebu gani toka hufai.Wakati mtume mpka leo hakuna anaejua alikuwa dhehebu gani.
@shabanimussa4269Ай бұрын
umeona huyo nae duuu nyinyi acheni upumbavu wenu nyinyi msifananishe watu na vihoba
@kassimabdillah59986 ай бұрын
Allah awahifadh masheikh wetu waliotuelimisha tukaijua dawahtu salafiyah maana utajua Michele na chua na wausia masufi wajaribu kukaa kwenye darsa za kisalafi hata Kwa mwezi mmoja tuu Kwa iklasi sidhani kama watarudi kwenye usufi
@jeffkakozi13958 ай бұрын
Sheikh Walid Allah Akupe umri wenye manufaa
@AliNgurudu-i4r9 ай бұрын
Mashaallah allah awabariki mashekhe wetu
@HatibuAmir-hq9nh9 ай бұрын
Yule kassm mafuta ni habari nyengine yani nyie mpaka mtanyooka2 mpaka muache uzushi katika dini
@taurehassan73999 ай бұрын
Na ndomaana anawapaka mafuta kw mgongo wa chupa...kw7bu yy mwnyewe ni mafuta
@shabaniissa34649 ай бұрын
Akamalizane kwanza na akina Hamis Ame na Abuu muawiya
@HassanHamad-rf9tq3 ай бұрын
Kassim mafuta abuu muawiya hamuwezi rahimahullah yule shekh alikuwa kiboko@@shabaniissa3464
@rashidhemed14446 ай бұрын
Ni kweli kabisa shekhe kasimu mafuta hawamfikiiii kwa sababu ni mtu hatari sanaaa ktk jamiii ya kiislamu ni fitnaaaa mtu ya kufarakanisha ummma wa kiislamu
@amemasudi57359 ай бұрын
Tatizo mnayoambiwa ni ya kweli lkn hamtaki kubadilika mpo kiserikali zaidi badilikeni
@kendricklamah92878 ай бұрын
Kassim mafuta allah akulinde na madhwalm na akukinge na shali na uwe mkweli katika din uwendelee kusema kwel hivo hivo
@IsmailiIdarusi9 ай бұрын
Huyu sheikh walid allah amuongoze aifate haqqi maana kiukweli allah kamruzuku sehemu katika elimu na akiongea huchoki
@muddymuzungu43579 ай бұрын
Maa Shaa Allah umesema kweli
@pavillioncry52419 ай бұрын
Kasim mafuta ndo kiboko cha watu wa bidaaaa Allah kamleta maalumu
@taurehassan73999 ай бұрын
Km yy ni kiboko bc tembo mziwanda alitangaza mjadala na yyte wa kiwahabi ajitokeze mpka namb zke z cm ktoa mbna hyo kiboko wako hajajitokeza kw tembo wetu?
@mubaarakmuhammad82999 ай бұрын
@@taurehassan7399dini sio kama mchezo wa boxer mzee kwamba ukijiskia tu njoo tupigane
@manhajnnubuwahtz36329 ай бұрын
hana muda w kupoteza na wjinga
@radhiambwana33539 ай бұрын
Mashaa Allah mie nimepata faida sana kupitia darasa hiz za shehe Walid Allha ampe umri mrefu inshaa Allha.
@abdurrahmanis-haaq45889 ай бұрын
Tafuta watu wakusikiliza sio huyo mpuuzi
@radhiambwana33539 ай бұрын
@@abdurrahmanis-haaq4588 Najikinga Kwa Allha namaneno Yako hayo hakika kupitia darasa zake amenifundsha kutokumshrikisha Allha nakuacha maasia nakusimama kiyamu lail nakuleta swalat alanabii zaka na swadaka mpaka nikilala ndoto zangu nikutia udhuu na baada ya hapo nasoma Qur'an ktk ndoto je ww MTU huyu ndo unampuuza? Mtume wa Allha anasema waliowema niwale wanazuia ndimi zao Kwa waumin wenzwao na Allha anasema enyi watu msiwapuuze waisilam wenzenu huwenda wao wakawa Bora kukushndeni nakuusia Ndugu yangu ktk Iman umuogp Allha kumuogp kukubwa na kabla hujasema kitu mkumbke sana MTUME wa Allha utasalimika ww na sisi umati Muhammad. Nisameh kama nimekukwza ktk kujb kwangu shkran.
@allyMtowa-t3f2 ай бұрын
Waisilamu someni acheni ushabika katika dini someni
@AbuSuhaylah-b6f9 ай бұрын
Baba kuwa mwalim wa Quraan na Mama kuwa mwalim wa Quraan sio hoja bwana, sisi tunaangalia je Aqeedah yako imesalimika maana huyo ndiye aliyesema hasipomuona mtu Fulani (Jina Kapuni) hayupo peponi ataandamana na hajafanya Tarajo hadi sasa sasa yeye kuwa mwalim wa Quraan kumemsaidia nini ikiwa anaongea maneno ya Kufuru?
Jamani lnna maal muminuna ikhwa watu wasomesha wafanya daawa wasalisha kwa ijtihadi kubwa sana tuhashimiane.
@ibnayub23749 ай бұрын
Sina la kusema lakn masufi hamuwezi fikisha dini kwa watu katika uhalisia wa dini ilivyo, hata mkimchukia sheikh Qasim mafuta hamuwezi funika haqq anayo itangaza katika umma endeleen kushindana katika maulidi, na kuwalea mashia na makafiri.
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Ww kasome na kasim mafuta akasome wacha kua mjinga hata Allah kawaumba yy makafiri na anawapa riziki ila ww kumuita Shia kafiri utajipanga kiyama
@ibnayub23749 ай бұрын
@@saba-gv3mj Shia ni makafiri kwa Itikadi zao, ndio maana nakuambien nyie hamtakaa KUFIKIA kazi anayo ifanya Qasim mafuta katika DINI hii chukie na mfe na chuki zenu kamwe hamtafikia juhudi yake, labda muachane na Bida'a na mrejee katika DINI yenu.
@hamishatibu10079 ай бұрын
Kasome wewe na huyo Mafuta wako umekaa kichuki tu na kuwatia watu kwenye ukafir laana mkubwa ww
@ibnayub23749 ай бұрын
@@hamishatibu1007 hahahaha ukafiri wa mashia uko wazi wew endelea kujitia vibanzi masikion na machoni.
@abdallahshomari7939 ай бұрын
@@ibnayub2374 Yan bado tu hajui kama mashia ni makafiri kwel bahasha zinafanya kazi aisee
@omarymakange84499 ай бұрын
Wallahi Ahlsunnah tuna masheikh, Allah atuhifadhie hawa..
@saidimkwinzu91069 ай бұрын
Ahlul bidaa
@omarymakange84499 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106ameshindwa ibilisi, Abuu jahal nk.. Utaweza wewe.. Elimu yenyewe huna
@bashirusalumubashirusalumu71409 ай бұрын
Uwe na dalili siyo vitisho uislaam unasimamiwa na Quran na sunna si vinginevyo
@nurdinmfamau34939 ай бұрын
Unaweza Ukawa Umefahamu Lakini Ukawa Ujaelewa Nahilo Lakuelewa Nalo Linahitaji Kusomeshwa Nasi Kujisomea Kama Watu Tulio Wengi Tunakimbilia Madukani Kununua Mavitabu Nakujisomea Pasi Nakusomeshwa Na Wanaostahili Kutusomesha.
@sherytime9 ай бұрын
Mbwembwe zikizidi unakufuru wapangiliaji wa maisha yetu yasasa na ya baadae hiyo sifa binaadamu Hana niya Allh pekee
@khalifaallyibnadam99839 ай бұрын
Acha vijembe
@saba-gv3mj9 ай бұрын
Kasome ww wajua kufuru ama kukufuru mawahabi munashida kasomeni
@abubakarymaulidy56819 ай бұрын
Acha chuki utaolewa roho ya kike unashindwa kuwarispekti wanaume wenzako ushamba huo umekaa kama mtu na mke mwenza
@sherytime9 ай бұрын
Huo ndio ukweli Haki inauma ila kateleza huyo kwani yeye malaika asikosee?
@taurehassan73999 ай бұрын
Km vile alivyokufuru ibn taymiyah au?
@أبوفيصل-د3ش9 ай бұрын
Masufi bhna Hawana lolote...Wanajiona wao wakuji compare Na Sheikh Abulfadhil Qassim maftah.!?Hiv kwel Watu wa Qaswida wakajilinganishe na Wasomi wa Dini ambao historia zao zinajulikana.Doh
@Harunery8 ай бұрын
Masufi ALLAH awatoe kizani,dawa salafaiyya hamuiwezi abadan
@dr.a.s.mwinyi8143Ай бұрын
Comments zilizojaa humu ndo zinaelezea kwanini Uisilamu wa Tanzania hauendelei kwenye mambo muhimu.. Inasikitisha sana.
@YusuphuYahya9 ай бұрын
Shekh kasimu mafuta Simba wa masufi wakimuona hata kama hajapiga miyayo wanakimbia
@adamh17519 ай бұрын
We acha ujinga ongea kama mtu ana akili,sheikh khasim mafuta Allah amempa tauqfiq katika dawah salafiyah!
@KassimuAhamadi063 ай бұрын
Salafiyyat ni kikundi Cha America
@amasashikelly78999 ай бұрын
Uupuuzii tuu, kazi kuchekesha na na visa visokuwa na natija kwenye uislamu, na kurundikana sifa zisokuwa na ukweli. Kweli hakuna sufi hata moja mwenye akili
@boisalym99359 ай бұрын
Ukipunguza chuki km muislam utapata faida saana haswa kwa masheikh zako
@husseinyusuph53334 ай бұрын
Muumini wa kweli hawezi kuwa na chuki na muumini mwenzie kila kitu masufi usufi ndio nini au usalafi ndio nini tusiwachanganye watu kwa matabaka WW fundisha watu sio kupandia mafundisho ya watu
@anuaryally62049 ай бұрын
Dah , dinii imevamiwa , hapa hakuna kitu Zaid ya kufanya komedi
@saadayoub71798 ай бұрын
Hawa masufiy Allah kawanyima uwelewa
@abuushakiraddausiy86669 ай бұрын
Sasa kama na mamake anaingia humoo twasema haja zaliwaaa!!!!? Au nimesikia vibaya!?? Shekh walidi kua makin sanna na maneno Yako!!!!
@alhandumtalemwa84688 ай бұрын
Sjekhe walidi ndio shekhe was waisalmu wooooooooooooooooote
@manhajnnubuwahtz36329 ай бұрын
hapo ni kuwaambia watu hatuwezi kuwafata wema waliotutngulia na kwamba wao wanataka kuja na uislam mambo leo muda wa kua salafiyun wapo hai hili jambo lenu halitawezekana mpaka kiama kitasimama hata mukiungana watu wabidaa nyote
@aishathabit37329 ай бұрын
Unakusudia salafy hawa wanao unga mkono kuuliwa kwa waislamu Ghaza kwa kutii tawala za kibagani za kisaud?
@aishathabit37329 ай бұрын
Sasa Upwani una nafasi gani kwenye uislamu? دعوها فإنها منتنة Sheikh mwenye fikra za ubaguzi uasabiya ni fikra za kijahili na ni aibu kubwa
@IbraFareed5 ай бұрын
sheikh unajua imetumika lugha ya kiswahili hapo Sasa kwenye lugha ya kiswahili kuna TAMATHALI ZA SEMI embu kaa darasani usome bhana TATIZO HAMTAKI kusoma afu mnaleta ubishi ubishi LUGHA INA UFUNDI WA KUTUMIKA KWENYE MAONGEZI NA HAINA MAANA ULOMAANISHA WEWE YA KIPUUZI ukitafsiri kwa njia potofu utapata maana potofu UFAHAMU NAO RIZIKI 😂😂
@allympemba61239 ай бұрын
Asante shekh letu
@rizikimagoma45608 ай бұрын
🙏🙏
@sirajramadhan75429 ай бұрын
Wanachukiasana zinapotajwa bidaazao nakuonawatu hawana adabu ilawalipoingiasipo mafuta nihabari nyingine mulizeni alihadi musa saalimu
@TheIslam1681_9 ай бұрын
Admin umekosa uadilifu kweli, yani walidi umemwita shekhe, sheikh Kasim mafuta umemwita kasim mafuta. Hv ktk hao waliokaa hapo wote kuna mwenye kumpata kwa ilm sheikh kasim mafuta?
@AdamuChenchere9 ай бұрын
MashaAlah
@athumanikhamisi33779 ай бұрын
Màasha allah nimejifunza mengi ❤
@DuniaSultan-wt1ryАй бұрын
Yani wrote awa mwenye ndevu mmoja tu kweli hu msina.
@أبويوسف-ق1ل6د9 ай бұрын
Kaz kuvishan vyeo tu
@AbdallahMpemba8 ай бұрын
Nyie masufi msijadili watu wa wanaozungumza haki jailing familia zenu km sio waislaam mnavyoishi majumbani kwenu.Hamfai kuwa viongozi.
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
Gwiji la kisufi linaleta taawili mumelisikia gwiji la ubaguzi eti wapwani huo ni uvundo ambao umeuleta apa mbele ungea dini upwani ubara apa hauna nafasi
@msafirimalilo97649 ай бұрын
Nachukia mnoo Kuona taarifa muhimu za kidini zikitanguliwa na upuuzi😢
@AliJuma-z9v9 ай бұрын
Mashaallah
@anthonymgina38939 ай бұрын
Masheikh wa siku hizi wana semana hovyo hovyo inaonekana hawana mawasiliano mazuri hata kwa simu tu yaani wamekuwa ni tatizo, wanatia unyonge kwa waumini na hata wale ambao waliokata shauri kutaka kuja katika Uislam.
@topfreelancer51519 ай бұрын
Kusoma dini yako ni wajibu wako sio Masheikh, kwahio utofauti wao usikupe udhuru wa kutojifunza dini yako. Tafuta chuo cha Sunna ukasome dini yako
@IbrahimNtirenganya4 ай бұрын
Masufi ubingwa wenu nikupambia maneno kwa yule ajasoma Ilumu anaweza azani kama ni Ilimu ya Dalili
@arrawaahiyahtv98009 ай бұрын
Maashaallaaah, tumeelewa sana Sheikh, asiyeelewa basi tena
@@idrisamara6510sheikh unajua imetumika lugha ya kiswahili hapo Sasa kwenye lugha ya kiswahili kuna TAMATHALI ZA SEMI embu kaa darasani usome bhana TATIZO HAMTAKI kusoma afu mnaleta ubishi ubishi LUGHA INA UFUNDI WA KUTUMIKA KWENYE MAONGEZI NA HAINA MAANA ULOMAANISHA WEWE YA KIPUUZI ukitafsiri kwa njia potofu utapata maana potofu UFAHAMU NAO RIZIKI 😂😂
@sharifuteacher50259 ай бұрын
Vitu vitamu kabisaaa mashaallh
@fadhilmsawa91959 ай бұрын
Mashekhe wa bidaa utawajua tu,kazi kusifiana na kutaka kuchekesha watu. Mtu anataka publicity na sio radhi za Allah.
@IbraFareed5 ай бұрын
Sheikh umejuaje ya ndani ya Nafsi ya MTU 😅😅😅
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Huyu anaesema muawia dhalimu ni kafir wa kishea nini maana wale jamaa sheitwani kawatoa aibu juu ya maswahaba utukana mitusi mikubwa na kufru zao za kishia
@almusawyusuf26089 ай бұрын
Sawasalm
@AbdilahiAbass9 ай бұрын
Ww mbele y sheikh qassim una nin?!! Mzushi mkubwa wee
@AbdalahMtambuka-rh1dp9 ай бұрын
bakwata nimtiani tupu
@AbuujureyjKhaniy4 ай бұрын
HIZO NDIO SIFA ZA MAGHURAFI HUUNGA MKONO LOLOTE AMBALO LIPO MBELE YAO ILI WASIVUNJANE WENYEW KWA WENYEWE MASHEKH WASERIKALI WENGI UNDAN WAKE HUONGOZWA KINYUME NA MATAKWA YA SERIKALI
@almunawwarahonlinetv58846 ай бұрын
Mmmh pepo ya kwenu nyie na kasim mafuta
@Dr_ochuu9 ай бұрын
Tatizo la masalafy wengi wanakosa hekmaaa na busara SHEIKH WALID ALHAD ALLAH AMUHIFADHI MANENO YAKE MAZURI NA YANA HEKMAAA NDANII YAKE,, SISI MASALAFY NI WAZEE WA JAZBAA KWELII TUNATUKANA SANA MAKUNDI MENGINE NA PIAH TUNAWATUKANA ATA WAZEE MISIKITINI, SHEIKH WALID ALLAH AKUHIFADHI NA UINGIE KATIKA SUNNAH 🤲🤲 NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH
@isihakamgeta54339 ай бұрын
Ni Bora jazba katika Sunnah kuliko hekima katika bidaa
@isihakamgeta54339 ай бұрын
Halafu hakuna salafi asie na hekima ,Wala hakuna salafi asiewaheshimu wazee Wala hakuna salafi wanaotukanana , bali kutofautiana kupo na hilo halikwepeki
@mohammedmataucar669 ай бұрын
Sasa unasema ttzo la masalafy alafu unakuja Tena kusema wewe ni salafy 😂😂😂mikhurafi bhna
@aliabdulla53959 ай бұрын
Ww khurafi sio Salafi, ukawaseme vibaya masalafi na uwasifu makhurafi. Ww ni khurafi mwenzao
@topfreelancer51519 ай бұрын
Hata Umari bnil khatwab Allah amridhie alikuwa mkali vizuri na watu walinyooka, kwahio usijifiche kwenye kichaka hicho. Kila Dai ana style yake aliyoafikishwa na Allah katika kufikisha, hivyo kama upo katika Sunna umeona mwalimu huyu ni mkali nenda Kwa mwalimu wa Sunna mpole ila sio khurafi
@silimakhamis70889 ай бұрын
❤❤❤
@IbrahMiracle-em4sh9 ай бұрын
Masufi hivi hapo kuna mtu alie pewa barka kwenye daawa yake kma kasim shekhe kassim anawanafunzi zaid ya elfu moja na co mzururaji kama hao ana fundiaha na aliwafundisha na saiv ni mashekhe ni wengi mno
@MahdSalum8 ай бұрын
Sheikh unampinga sheikh au unapinga maneno yake?
@sabdiduwil84369 ай бұрын
Wewe ulimuona mbona binaamu zake walimpinga
@pavillioncry52419 ай бұрын
Mziwanda kagombee udiwani kwenu kigoma ukoo
@taurehassan73999 ай бұрын
Na ww gombea wenyekiti kwenu
@mtutulaclassic62079 ай бұрын
ikifundishwa na sheikh walid usipoelewa hutaelewa maisha
@mohdkhatib2239 ай бұрын
Katika usufi hakuna shekh
@mafiatv54799 ай бұрын
@@mohdkhatib223jibwa wewe, sufi babako na mamayo
@abuurayaan39029 ай бұрын
Masufi kama kawaida yao kulishana matango pori Dah kweli hakukosea aliesema usufi ulemavu wa Akili
@mafiatv54799 ай бұрын
@@abuurayaan3902 babako na mamako emavu mbwa mwitu
@mafiatv54799 ай бұрын
@@mohdkhatib223 na wahbi kuna mashoga mbwa wa kwanza wewe
@Marjeby9 ай бұрын
Wallah mie kila siku nasema jaman elimu ya shule pia inahitajika sana kwa hawa mashekhe wetu pamoja na elimu kubwa za dini walizo kuwanazo kwanini wenzetu upande wa pili wameliona hili fanya ufanyavyo huwezi ukakuta padri tu acha askofu anaelimu ya darasa la saba au elimu ya form four. Hiyo inawasaidia sana kujenga hoja mbele za watu kuangalia nini chakuongea na contents ya sehemu husika mfano huyo Mziwanda unawezaje kusema mbele ya mic 🎤 eti sheikh Walid unabahati kuwa mtu wa pwani!?haya sio maneno yakuongea mbele za watu kabisa kwasababu kinyume chake waliozaliwa Bara ni watu ambao hawakupata bahati huo ni ukilaza wa mwisho kabisa na haya sio Maneno ya mziwanda tu Mashekh karibu wote hata Walid pia ndio maneno yao na sababu hawana elimu ya shule pamoja na elimu zao za dini walizo nazo. Mie ni mtu wa Pwani kwa baba na mama sina hakika kwa kiasi gani watu wa bara wamejisikiaje ila nachojua hawajajisikia vizuri tenaa sana.
@jabirhussein41809 ай бұрын
Yaani umeongea maneno ya kipuuzi sana shule shule,shule ndio nini Mtume wetu alisoma shule gani au maswahaba walisoma shule gani maimamu walisoma shule gani? Kama mtu we unavyoona kakosea kukosea kuko kila mahali kwani walio soma shule ndio hawakosei ktk mazungumzo yao? Hivi we unajua elimu ya dini ni nyepesi nyepesi yaani mtu kakomaa mpaka hapo alipofikia halafu una taka kumfananisha na maaskofu wasio kua na uongofu wowote hebu tuondolee ujinga wako kwa mashekhe zetu
@omarimamboleo26349 ай бұрын
Wewe jamaa inaelekea akili yako nindogo na hujielewi ndio maana unatuletea mifano ya maaskofu napia unatatizo na watu wa pwani maneno yote hayo umeona hilo la watu wa pwani
@abuusalum9289 ай бұрын
Maaskofu wana akiri ndio manawana sapoti usho ....a,na elimu zao za shule lakini wanabariki usho ..ga
@AbubakarTwaha9 ай бұрын
Fitna ni mbaya kaka KWA harakahara unavoonekana ni mtu unae bomoa DINI ya ALLAH hatakama unachuki nao ila nakushaur jilazimishe kuwapenda mashekhe wetu KWA maana hao ndo DINI yenyewe
@Maalim_Samatta9 ай бұрын
Yaani wewe zwazwa unazungumzia hizo elimu za hao maaskofu wako??? Sasa ngoja nikufahamishe kitu kwa uwelewa wako hao mapadri TU ndo wamefika vyuo vikuu Kwa elimu Yao ya kizungu sasa hawa hapa masheikh wamefika JAAMI'A ambayo ndio University tatizo ni kuwa hao mapadri wako wamesoma elimu ya kizungu ya kuchambia karatasi badala ya maji na Kwa kuwa inapromotiwa Kila uchao. Boya ww. Kwani mfano dollar ya kimarekani kutumia DUNIA nzima ndio ikudanganye kuwa ndio pesa yenye THAMANI kuliko zoote?? Mbona kua Oman riyal ambayo THAMANI yake hata dollar haiingii. Tatuzo lako HUNA elimu zwazwa ww.
@abubakarshaban61189 ай бұрын
Mnataka skaykh Kassim Mafuta Allah amuhifadhi awe mlaini kwenu nyinyi mliokubuhu ktk bidah.. Na sisi tunasema pia تباذرو يتعمر لكم Na nyinyi kuweni kama Abu Dhar ili Shaykh Kassim awe kama Umar.. La sivyo ni raddi tu kwenda mbele.. Mpaka mtanyooka..
@kheirahmad40649 ай бұрын
Sijaelewa mashiko yake kwamba mafuta awe kwenye bidaaa. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana ndugu walid dawa ya Sunnah haitishwi hivo badilisha watu uwaongozao wakae ktk njia sahh. Poa jenga ukweli wa dhahir ktk dhahir yake. Achen Faida ya matumbo yenu kwa kuupoteza Ummah. Pole sana Walid nyooka ww na nauwangozao itakua bora zaidi. Mafuta Allah akuhifadh unapambana sana ktk Bidaa kwa miaka mingi sana kwa sasa.
@saba-gv3mj9 ай бұрын
@@kheirahmad4064 ww na mafuta wako mwisho wa siku atakukanga na mafuta yako kassim mafuta mpotoshaji tu utake usitake
@HatibuAmir-hq9nh9 ай бұрын
Watanyooka2 ishaallah Allah amhifazi shekhe kassm mafuta
@abubakarshaban61189 ай бұрын
@@saba-gv3mj ameshawakaanga watu wa bidah kama nyie mpaka mmeungua... Inatosha.
@JosMatty-bq9ii9 ай бұрын
umuwezi changany mafuta na maji
@BakariBinuri4 ай бұрын
Nyie mashehe siasa dunia itawapeleka wap?
@UmmuJauzan9 ай бұрын
Amende pepeoni kwa maulidi? Kwanza huyo Abubakar mganga kuhani mshirikina
@abdullahmasakata1709 ай бұрын
Huo ndio uwahabi ninao ujua mimi bila matusi au dharau au kukufirisha maulamaa hauendi.
@abdullahmasakata1709 ай бұрын
Wewe na madhehebu yako ni jinga taipu one nani alie kwambia kwenda peponi ninyi mnajua na kumwona alie peponi enyi wakufurishaje Wa maulamaa.?
@rushu12329 ай бұрын
Maneno mazuri sana nidhamu mzuri ajabu kuona watu ku comment bidaa khurafi mbona chuki zenu zimetupa mipaka mpaka akizungumza maneno yasawa bado mwachukia.
@abdulazizimohamed42478 ай бұрын
Sema uliepost hii video caption na maneno alosema walid yaani umeyakuza kinoma😂😂😂 walid hana uwezo wakumrad mafuta
@MURIDIWASHEIKHE7 ай бұрын
Wapofu nyie wote... Kassm mafuta ya nyonyo au mafuta ya nazi...bonge la muhabi hana lolote. Uliandaliwa mjada huku kwetu Tanga Kwa sisi, akaulza yupo kijana aitwa Abdallah alipojbiwa yupo..akasema siji.
@muhammedomaryshembilu85398 ай бұрын
Allah kiboko yani lazima kue na kikundi kinacholingania mpaka kiama kisimame allah amemuandaa abulfadhwil qaaasim mafuta kwa wajinga k ama Hawa masuf
@almunawwarahonlinetv58846 ай бұрын
Eti kaletwa maalum😂😂😂😂
@Markazabuuhanifa9 ай бұрын
huyu jamaa ni msanii tu mbwembwe tupu
@mombasa00769 ай бұрын
Msanii ni bibiyo
@hassanmsami76709 ай бұрын
Kassim mafuta ni kiboko yenu na bado mpaka muache huo upuuzi wenu waone mijitu mikubwa lakini inaongea upuuzi ndio maana watu wanawakimbia siku hizi hamfundishi dini kazi kuzua katika dini.
@NurdiniShabani-ut4rv9 ай бұрын
Wallahh nyie mnaojiita watu wa sunna wengi hamna hoja isipokuwa jazba tu zimewajaa
@abuuaisha90959 ай бұрын
Unataja maswahaba kama unataja wauza mahindi halafu wajidai wewe ni msomi..?Makhuraf kweli mzigo..!!Mafuta(Allah Amuhifadh) ni level nyingine..!!Allahu musta'aan..!!Mngelikuwa wajuzi kuliko Mafuta msingelishirikiana na mashi'a kwenye mambo yenu ya kidini..!!
@abdullahmasakata1709 ай бұрын
Wewe unaumia ulivyosikia vitu adimu ambavyo mashekh wenu hawawambii kwasababu ya chuki na hila zenu na itikadi yenu imejengeka juu ya dharau na kujivuna na kujiona wajuaji na kwamba ninyi ndio mpo sahihi na hivyo hata mkikosea hamwombi radhi au msamaha kwa wale mlio wakosea, Ndio maana kwenu matusi ni Kawaida na kuwadharau maulamaa ni Kawaida na wala hamwezi kujifunza wala kusema jambo fulani hatujui au hatuna elimu nalo, Ninyi mkifanya bidaa ni halali kwenu lakini akifanya mwingine huo ni uzushi, Nyie ni hatari zaidi maana hamleti umoja kwa waislam wala mawaidha ya mashekh zenu hayalengi kufundisha zaidi ya kuleta chuki kwa waislam na kutugawa makundi makundi ,Hamfanyi harakati za kiislam za kusilimisha watu zaidi ya kupambana na waislam wenzenu mnaotofautiana madhehebu .Nyie mnataka mvune msichokipanda wakati hao wenzenu wanapambana nyie mnaanza kuleta uwahabi wenu ndio utumike kwenye kutoa mawaidha au kufanya mihadhara au kusilimisha watu wasio waislam. Acheni kutugawa.
@AhmadMuhammad-l2k9 ай бұрын
Kwani mashia wanahusika nin katika hi mada. Ukosefu wa elim ni nimzigo kwa wenye elim.unazani wewe kuwa muhabi usie na upewo utajifananisha na masun na mashia wasomi? Acheni kukosa adabu kwa madhahibu zingine ban.linganieni ambao hawana neema ya uislam nibora zaid.😂😂😂😂😂
@mombasa00769 ай бұрын
Akili ni nywele
@ibrahimomari24589 ай бұрын
Ukweli ni kwamba muawiwa alikuwa ni zwalim na fasiki....acha kupamba pamba mambo...
@idrisamara65109 ай бұрын
umepotea shia ww
@ibrahimomari24589 ай бұрын
@@idrisamara6510 @ aliepotea ni muawiya na yazid na kizaz chake na wafuasi wake wa zama zote...
@abdutv46369 ай бұрын
😂😂😂😂
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
Gwiji la kisufi linaleta taawili mumelisikia gwiji la ubaguzi eti wapwani huo ni uvundo ambao umeuleta apa mbele ungea dini upwani ubara apa hauna nafasi
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
9:42
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
9:42
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
9:42
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
9:42
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
Porojo tu naona Hakuna hoja hapa wela Dali ni sifa za kusifiana tu 😊
@shifaaplusherbalmedicine8 ай бұрын
Kuwa kiongozi ndio kuizuru Dawa salafia hautoweza kuizuru hata uongee nini