KHUTBA YENYE KUSISIMUWA ||KUFANYA JUHUDI NDANI YA RAMADHANI ||Muhammad Bachu. KENYA 17/3/2023.

  Рет қаралды 10,782

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@salehothman6144
@salehothman6144 Жыл бұрын
Sheikh Mohamed Bachu mm mara nyingi nafaidika na aina ya ujumbe km huu raddi mara nyingi nakua siziangalii, Allah akuhifadhi inshalah.
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 Жыл бұрын
Baba yako mtupu, Mashallah. Allah amrehemu na atujaalie mwisho mwema
@paidenasra4548
@paidenasra4548 Жыл бұрын
Naam sheikh wetu. Tuelimishe. Ahsante kwa hutba mzuli, Allah akuzidishie hilmu
@ukweli19
@ukweli19 Жыл бұрын
Like father like son.. FACTS
@swalehmohammed3491
@swalehmohammed3491 Жыл бұрын
Mashallah
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Shukran jazzakka ALLAH kheir, kwa ukumbusho wa khutba kwa wakati wake n mwezi yake uliokaribia ,ALLAH atujalie tuwe miongoni mwa kutubaliwa ibada zetu kwa mwezi mtukufu uliopo mbele yetu
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Maashaa Allaah Khutba yenye kuelimisha safi sana kwa ujumbe mahiri. Allaah akulipe kila lakheri, na akuhifadhi na shari za waovu wote kuanzia majinni na masufi waovu, wenye chuki na roho mbaya na hasad..........
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn Жыл бұрын
Nakupenda Kwa Ajili ya Allah...Allah akuhifadhi
@salehchani879
@salehchani879 Жыл бұрын
Mashalla mawaidha mazuri sn km una mazingatio bc zingatia
@abynduwimana1767
@abynduwimana1767 Жыл бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh shukran kwadawa nzuri allah akulipe pepoyake nakingine shekhewetu usisahau lilegenge lawasherekea maulidi wanazidi kuongopa sana kuhusu balua walokuagizia namatusi kuhusuwew
@SalimSalim-eg6bi
@SalimSalim-eg6bi Жыл бұрын
Jazakallah shekh allah akuhifadhi na uadui naomba kufahamishwa ktk swala ya taraweeh mtume (s,a, w) ameswali rakaa ngapi kwa ushahidi sahihi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mpigie sm atakujibu lnshaallah
@SalimSalim-eg6bi
@SalimSalim-eg6bi Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 Sina Nampa ndugu ktk iman
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Alhamdulillah kwa mungu aliyenilinda kutoka maafa ya masufi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Allhamdulillah maashaallah
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Ma asha ALLAH , MUNGU akupe umri wenye baraka na mavuno ya kheir, njema na amali , na akuzidishie ilmu zaidi uweze kutufikishia amiin
@KhalidSalum-zg8ds
@KhalidSalum-zg8ds Жыл бұрын
Mashallah
@mohdsilima8828
@mohdsilima8828 Жыл бұрын
Mashaallah baraka Allah fik
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 Жыл бұрын
Baaraka Allah laka, Allah akulipe kheri na akupe thabati kwenye hakki
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Mwenyezi atulinde na adhabu ya nari na kwa wale wanakataa kuachana na shirki na bid'a na kueneza chafu katika ummah wa kiislamu na kuchafua aqeeda zao basi hii ikuwe funzo kwenu
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi.ila raddi ziendelee juu ya mganga yussuf diwan na genge lake akina sabas alkubraa
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
Sıku hiz kaapunguza kusoma vitabu vya uganga . Kiukweli dawa sunna alsalafiyyu inafanya kaza sawaswa Übnu Bachu na wenye Allah awahıfadh sana. Sasa hıv Madufu ngoma hatuzısııkıı sanaa Khıtimaa kwisha kaz Mıskıtını ALFATİHAA hakunaa kabsaa. Lkn pia mnawaganya sasa hiv waanze kusoma Hadith upya.. Maana watu weng wa Twarila hadth hawaxısomı cjuı kwanının!!!!
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Hii mwezi wa Ramadan kaka na naamini ustadh Hana time ya kujibu wale shenzi, watampotezea fursad ya kutumia baraka ya mwezi
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
@@mohagurey2214 chungeni midomo ndugu zangu hii dini sio simba na yanga! Et wale shenzi....! Mtaulizwa ndugu zangu kwa haya.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
@@sama-_8368 Sawa ndugu nimekupata lakini mtu mwenye anatetea bid'a na shirki za kila aina na anapinga sunnah ya rasuul na kuita majina kila mwenye kutetea sunnah ya mtume basi utamwita vp mtu kama huyo???
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Sheikh bachu tunakuomba utuelimishe kuhusu Sala ya tarawehe ipi inaofaa, kuna baadhi ya misikiti kila rakaa mbili wanasoma dhikri na misikiti mengine hawasomi zile dhikri , shekh Muhammad hebu toa ufafanuzi ni upi USA hihi ,dhikri kila rakaa mbili au bila dhikri
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Ma Shaa Allah sheikh letu Allah akuhifadhi
@allydaud117
@allydaud117 Жыл бұрын
Masha Allah. Allah akupe umri mrefu na afya njema sheikh
@othmanali7408
@othmanali7408 Жыл бұрын
mashaAllah .
@naahla19
@naahla19 Жыл бұрын
Maasha Allah.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Jazzakallah khaillah
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Жыл бұрын
Mashaallah
@omarsaidbarisa4677
@omarsaidbarisa4677 Жыл бұрын
Maa shaa Allah shukran Kwa faida ya elimu ulioitoa .
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Maashaa Allaah Tabaaraka Arra'hmaan, Fitna za washirikina na wazushi wa kisufi ndio sbb ya Ummah kukosa kheri na faida kutoka kwa Maulamaa na Madu'aat wa haqqi. Kama sio fitna ya Masufi wa offes ya .......tungekua nawe Shekhe ndani ya Ramadhani kwa Tawfeeq ya Allaah.
@sama-_8368
@sama-_8368 Жыл бұрын
Amefanywaje kwani hadi hamko nae? Au ndio kukimbia munaqasha? Ndio Fitna hiyo?
@sabrimohd753
@sabrimohd753 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@binseifalsuleimaniy503
@binseifalsuleimaniy503 Жыл бұрын
MashaAllah ,kisomo kizuri san kimetulia
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Baraka lahu fika
@mtukwaomedia
@mtukwaomedia Жыл бұрын
Asalaam waleykum warahmatullah ustadh mimi nina shida nawewe nitapata vipi mawasiliano yako?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
yaaan tangu nıanze kumsıkılıza Yusuf diwan nılıanza kujıfunza dawa tu lkn nılpoanza kukusukılıza ıbnu Bachu nımeıjua Tawheed ya sawasawa
@Klement84
@Klement84 Жыл бұрын
Shekh hiokomo umeifunika unasalivipi viungosaba vinatakiwa viwewazi viguse unaposujudi wewe unasujudiya kilemba salazako hazikubaliki jiepushe na mfumohuo
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg Жыл бұрын
Una dalili?
@ameirhaji5944
@ameirhaji5944 Жыл бұрын
@@hudhaifahsadru-xr2gg dalili ipo, suali la msingi ashawahi kumuona akisali na bila ya kuondoa kilemba hapo kikomoni? Kabla hatuja muuliza watoto wanapatikanwa vp? Hahahahaha
@amoursaid4589
@amoursaid4589 Жыл бұрын
Mashallah
@hashimiddy4142
@hashimiddy4142 Жыл бұрын
Mashallah
FAIDA ZA TENDO LA NDOA || Muhammad Bachu || 7/8/2022
58:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 12 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
RIZQI YAKO ITAKUFIKIA KAMA KIFO CHAKO KWA NINI UBABAIKE????
36:19
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 30 М.
#LIVE🔴KHUTBA SHK OTHMAN MAALIM: HIVI NDIVYO WATU WALIVYO NDANI YA RAMADHAN
1:35:35
RADDI KWA MTOTO WA BIEDH MUONGO WA MAMBRUI || Muhammad Bachu.
45:06
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 17 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 18 МЛН