SHEKH WA KISUFI AKIMBIA MASWALI YA WAUMINI BAADA YA KUCHANGANYIKIWA KWENYE MJADALA | Muhammad Bachu

  Рет қаралды 2,880

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@AllyHozza
@AllyHozza 39 минут бұрын
Mashaa Allah shekhe bachu Mimi sio mfuasi wa wahabi ila nimekuelewa sana Allah akuzidishie ilmu
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 51 минут бұрын
Mashallah tabarakallah kuna ubaho na mwalimu na wanafunzi basi mimi kama mwanafunzi nimekuelewa
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 51 минут бұрын
Sheikh bachu
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 6 сағат бұрын
Shukran sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah nilikuwa nime miss video zako mupya kama izo ❤❤
@mwinyihajihassan9299
@mwinyihajihassan9299 55 минут бұрын
Maa shaa Allah kheir
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 2 сағат бұрын
Al Akh Muhammad bachu Allah Akuzidishie ilmu ili tuzidi kupata faida,ila mm maoni yangu usifanye mijadala na hawa Masufi kwasababu haijawahi kutokea na Wala haitatokea Hawa watu wakaukubali ukweli na Haki,Hawa unawapatia umaarufu kupitia kwako Kama vile Dj Saidi ulivyompatia umaarufu wa bure wakati Munaqasha haukufanyika Mwisho wake wakakufanyia kejeli.Bora Al Akhi Raddi TU zinawatosha na tunakufahamu vzr kupitia Raddi.Shukran Baraka'Allahu Fiik
@qwerqasd8597
@qwerqasd8597 Сағат бұрын
Kweli kabisa dj hakuna aliye kuwa anamfahamu
@rashidabdulrahman6784
@rashidabdulrahman6784 6 сағат бұрын
Mashallah sheghe Muhammad bachu allah akulipe ishallah kufata gur an na sunna asilimia100 nakupa
@nurdinayoub2894
@nurdinayoub2894 3 сағат бұрын
Mche mola wako weee ndugu unampaje asilimia Mia moja mwanadamu?
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 сағат бұрын
❤❤❤جزاكم الله خيرا وجعله في ميزان حسناتكم ونسال الله ان يوفقكم لما يحبه ويرضاه
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 5 сағат бұрын
MAA SHAA ALLAH.. ALLAH Akubaariki shekh Muhammad bachu
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 сағат бұрын
نصر من الله وفتح قريب❤❤❤❤❤
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 5 сағат бұрын
Jazaaaka llahu khayran
@rashidabdulrahman6784
@rashidabdulrahman6784 6 сағат бұрын
Nashukuru nimepata faida mashallah sheghe Muhammad bachu
@footballmagichighlights
@footballmagichighlights 3 сағат бұрын
Inafaa tukiwa tunaombea Masheikh zetu Allah awape Umri Mrefu basi tusiwe tunachagua yupi anafaa kupewa Umri Mrefu, Kwani Hawa wote wanazonafasi zao Kwa Allah kwa mazuri wanayofanya, Hivyo Allah awape Umri Mrefu Wote hapa wazidi kueneza Elimu ya Allah na awaswamehe iwapo kuna mahali wanakosea AHSANTE
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 4 сағат бұрын
Mashallah Bachu Kiboko
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 4 сағат бұрын
Mashallah sheikh
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 сағат бұрын
Mungu akulinde na Vitimbi zao mbaya ndugu Mohamed
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
@mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 2 сағат бұрын
Subhana llah huyu Akhui kidawa ni mpoto na haelewi anachozungumza. Yuwawakana ma ghulamai then yeye yuwawafuata huyu kajikoroga الله المستعان
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 сағат бұрын
Yani shekh muhammadi huwa unakosa kazi kujadiliana na watu wa bidaah, kunafaida gani ikiwa watu mnajadiliana nao kila siku hawabadiliki, mioyo yao hao wazushi ishapigwa chapa,hawaoni mbele kuna kiza Sabu washaigeuza kwenye upotevu na Allah akaigeuzia kule watakako wao, kujadiliana na wazushi ni sawa na kuzisambaza bidaa
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 2 сағат бұрын
Alhamdhulillah alaa neematul islaam wassunnah
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 2 сағат бұрын
Tauhidi tatu ziko wazii kwwnye Quran suratul fatiha alhamdulilah hiyo nitauhidi uluhiya rabil alamina hiyo nitauhidi rububiya anahmani arahiim hiyo nitauhidi asmau waswifatu kwahivo mungu ndio ame igawanya
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Сағат бұрын
Bid'a ni maasala ya ibada ama ujinga ya kila mtu atenda ama anena
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 21 минут бұрын
Wakiristo wanasema mungu baba namwana naroho mtakatifu ( ndio vigawanyo vya tauhidi)
@YussufKhamis-y5h
@YussufKhamis-y5h 4 сағат бұрын
namuona shekh Abuu Nuayim Allah amhifadh sana
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 сағат бұрын
Yuko wapi
@EpcDistributor09
@EpcDistributor09 6 сағат бұрын
Tupo pamoja sheik wangu
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 25 минут бұрын
Mohamad unashindana na watu wa kaskazini wanasumbua sana hawa mimi kwetu uko wabishi hao
@medimisi6930
@medimisi6930 35 минут бұрын
😂hahaa mikono inaenda kwa BACHU mbona haiendi kwa KIDAWA jaman hii kuonesha kua bachu WANAMKUBALI SN.mashallah .yule wa mambrui alitaka kwa makusudi ili kuharibu😂.
@jumakitadu8674
@jumakitadu8674 2 сағат бұрын
Mzaa chema kaenda zake. Nlikuwa nampenda sana. Lakini katuachia chuma
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 21 минут бұрын
Sheikh khabith anazijua na anazikubali ila bado kashikilia maulid 🤣yaani watu wa maulid kelele zote izo kisa wameambiwa kucheza ngoma bidaa 😃ila tukubali pia bachu ni umiza kichwa 😂Allah awahifadh Mashekh wetu wote
@KhalifaSaid-lg5dh
@KhalifaSaid-lg5dh 5 сағат бұрын
Ukwel bachu ameshindwa Walllah tena ushabik kando
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 сағат бұрын
Dhambi kubwa Ambayo MASHEIKH na Mashabiki WAO wataenda Kujibu...ni KUKATA CLIP KWA MASLAH YAO,NA KUBUNI VICHWA VYA HABAR KWA UTASHI WAO. HII NI DHULMA ILOKUSANYA KEJELI, DHARAU NA KWA BAHAT MBAYA ZITAISHI HATA WAO WAKIFA,KWANI ZITAENDELEA KUWEPO KWENYE MITANDAO
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 сағат бұрын
Uwezi kumuongoza aliopotea, hiyo ni Jambo gumu alompoteza Allah huwezi muongoza, hata mtume aliambiwa hayo na mola wake mfano ww hapo ni kipofu umesimamia msimamo wako huo na hali mtu kaogelea kwenye vitabu na ushahidi wa wanazuoni hutaki unasema shekh kashindwa unataka usaidiwaje, hutoweza ongoka kamwe hata jiwe linaweza ongoka mbona hoja zipo wazi kabisa hata mbumbumbu darasani anaweza elewa lakini musiba wa moyo ukawa na upofu wa kuongoka
@issahassan8361
@issahassan8361 47 минут бұрын
Ilo jambo la kuandika vitabu ilikuwa umpige kwa hadithi kbs. أخرجه البخاري وغيره حين قام وقال للرسول صلى الله عليه وسلّم بعد خطبة ألقاها: "اكتبوا لي"، فقال رسول الله صلى الله عليه وسلّم: "اكتبوا لأبي شاه
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 6 сағат бұрын
mashaallah al akhey bachu,lakini nakhurafi watabaki kuwa na ubishi tu,hoja zote hizo kisha eti mtu awe hajaelewa tu! wazushi wanashida sana bidaa itabaki kuwa bidaa na tauheed lazima iwe juu.وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا
@SaidMadai
@SaidMadai 2 сағат бұрын
Bachu we muhuni w level y juu ktk dini kwaiyo Mungu ndio akuhukumu kufanya hiyana y elmu wkt ukweli hujathibitisha n kujikita ww n cw ktk iman yk y tawhid y vigawanyo lkn haina mashiko kutokana n mafundisho shh y Mtume
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 18 минут бұрын
Sema hajajibu kama akili yako inavyotaka ila wenye akili wameelewa we unataka ajibu vipi?
@mosule9262
@mosule9262 25 минут бұрын
Hii mihadhara iendelee inafundisha sana ,na hii itabaki milele hata mkienda mbele za haqi mashekh vizazi vijavyo vitaziona hii midaharo .
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 2 сағат бұрын
Kidawa kazingua 😂 MashaAllah sheikh bachu
@AliBuya-nv3ym
@AliBuya-nv3ym Сағат бұрын
Mohamad Bachu Nenda ukasome na uwache dharau
@bashkamohamed3041
@bashkamohamed3041 38 секунд бұрын
Ashasoma ndio maana anawafahamisha wenye akili hapa alipo kama unaona haufaidiki ju akili yako ndio shida
@alyumaraos
@alyumaraos 4 сағат бұрын
Bidaa ni maradhi na yakisha kuingia ktk kifua cha mt bc mt huyo mpaka afanyiwe operation tena mkubwa vyenginevyo haelewi chochoteeee.
@allybobsaith
@allybobsaith 2 сағат бұрын
kuna shekhe mmoja nilimsikia kwa maskio yangu mubashara anasema unaweza kusali sala za sunnah kwa kukaa au kusimama kwa mapendekezo yako na swala za fardhi ni lazima uwe umesimama dahhhh hv ni kweli au zushi
@CheniShauri
@CheniShauri 6 сағат бұрын
Hakika wewe Ahlwa kakuchagua uwe kiongozi wa wakati huu Ahlwa akuhifadhi na chuki za walimwengu! Ameeen
@universitylink
@universitylink 5 сағат бұрын
Allah si Alwa sheikh wangu
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 2 сағат бұрын
Nyie mawahabi niushabiki c din kaulizwa hakujib chochot lkn nyie mawahabi akil zenu nikama yeye
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Сағат бұрын
Mbona ghafla ila sio mbaya tupo pamoja In Shaa Allah
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 3 сағат бұрын
Mi naona hakuna ubaya kufanya niqaash na wazushi kwa sbb walio chini yao hua wanapata kusikia na kuelewa ambavyo hawakupata kuviskia hapo mwanzo. Nahawa ndio wanao badilika na kuacha uzushi. Ndiomana ukakuta wazushi wanafanya juhudi kubwa na kutumia nguvu kubwa ili kuwalinda walio chini yao. Lakini kila siku wanaelewa na kutoka kidogokidogo kwenye uzushi. Mimi ushauri wangu kwa Shekh Muhammad Allaah amhifadhi, aweke vipindi kufafanuwa maana ya bidaa, kwa mifano ilio wazi, khalafu hao wanao sema kua Kuigawa Tauhiid sehemu tatu ni bidaa, watashindwa kulisema tena neno hili na hata wakisema watu wakiwauliza maswali watashindwa kujibu. Kwa sbb yote haya nikwa kuto kujua maana halisi ya bidaa, na bidaa inaingia kwenye nini na kwenye nini haingii. Shukran
@RajabuBakari-uq3jf
@RajabuBakari-uq3jf 3 сағат бұрын
Shekhe nakufuatilia sana darasa zako ila ili jambo la kucheka kwenye mijadala sio zuri
@allybobsaith
@allybobsaith 2 сағат бұрын
kaa ujue shekhe acheki kama raha, anacheka kwa masikitiko ya wa tu wa bidaa watu wa bidaa wanaongeaga pumba siku zote😂😂😂😂
@ameirameir4349
@ameirameir4349 3 сағат бұрын
Kidawa kachomoka mapema
@ameirameir4349
@ameirameir4349 4 сағат бұрын
Munaqasha huu umefanyika wapi ?
@allymwinkyambi9689
@allymwinkyambi9689 41 минут бұрын
Mbona hujajibu
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 2 сағат бұрын
Fikra zangu, Bachu anatamani kuwaelewesha lkn hawaelewi...wao wanataka kujua pameandikwa wapi hiyo vigawanyo vya Tawhid...lkn kwa maelekezo ya quran ukifuta suratul ikhlasw yote inajielekeza Tawhid...ila binafsi yangu nawapendeni masheikh zangu nyoteni...tumeamrishwa kuwa tukitofautiana basi turejee kwenye kitabu na suna za Mtume wetu (saw)
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 2 сағат бұрын
Kwanini sasa waogope maswali! Hawajiamini😢
@medimisi6930
@medimisi6930 39 минут бұрын
KUNA FAIDA KUBWA sana tumeipata kumbe ndo maana hawa MASUFI hawana elimu maana wanaonasema kusoma vitabu ni BIDAA kwaio hawataki kujisumbua kwa kusoma elimu..ALLAH akuweke bachu na utupe faida zaidi.
@silimakhamis7088
@silimakhamis7088 2 сағат бұрын
AH BACHU UMESHINDWA BWANA,UMEULIZWA IYO AQSAMU KAGAWA ANI,NA IYO AYA KATAFSIRI NANI KAMA ULIVYOTAFSIRI WEWE? UMEIKATA HII CLIP,ILA FULL TUNAYO MWANZO MWISHO
@MaulidiMrisho-uj1tb
@MaulidiMrisho-uj1tb Сағат бұрын
Huyu katolewa wapi mbona kama hastahili hata kuwepo hapo katika mdahalo mana hata haelewi 😅 Hawa wa Bida hawa wanajiaibisha sana
@husseinsalehe6506
@husseinsalehe6506 5 сағат бұрын
Wakati unapambana kutenganisha umoja wa waislam kumbuka hali ya waislam ni mbaya sana kule Lebanon,Ghaza Palestine na maeneo mengine mengi,laiti mngejua hali ya ndugu zetu msingethubutu kufanya ujinga huo bali mngeimarisha umoja,ndio maana huwa tunawaambia uwahabi ulitokana na falsafa iliyojifisha ya kuvunja umoja wa kiislamu Duniani.
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Hawa hawana kazi wallahi huko kaka ni mbali hapo Tanga tu watu wanaritadi chakula hawana kivazi hawana nashaangaaa wao wametumwa kutenganisha waumini wawemakundi makundi
@husseinsalehe6506
@husseinsalehe6506 Сағат бұрын
@@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch Subhaanallah,mimi huwachukulia kama watu wasiojieewa kabisa.
@MaulidiMrisho-uj1tb
@MaulidiMrisho-uj1tb Сағат бұрын
Inasikitisha sana yaani waislam wanao onekana wana elimu kumbe hata akili ya kutafakari hakuna , ilimradi tu kutetea upande wake hata kama ni mbovu
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 2 сағат бұрын
Mbona huyu kidawa hajibu maswali anayo ulizwa😂😂😂
@HajraRashidi-w6k
@HajraRashidi-w6k 25 минут бұрын
aya hiyo iliyo gawa tawhiid mtume s a w hakuiyona???
@MaulidiMrisho-uj1tb
@MaulidiMrisho-uj1tb Сағат бұрын
Mimi nina elimu ndogo lakini kuna watu wamenizidi ujinga
@medimisi6930
@medimisi6930 2 сағат бұрын
lini umefanyika huu
@seifsaid9905
@seifsaid9905 5 сағат бұрын
HATA UNGENIPA MM HILO LIJISHEE LA BIDAA NIGELIWEZA KW SAA MOJA TU YAAN ALIJUI BIDAA KISHERIA
@fakijuma8713
@fakijuma8713 4 сағат бұрын
Lahaula
@HamdiHamdiAbdi
@HamdiHamdiAbdi 4 сағат бұрын
SASA JAMANI KUSEMA KWELI TAQSIMU NI BID'AA AU SI BID'AA..?
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 2 сағат бұрын
ههههههههه Bachu bwana Mkorofi sanaههههههه
@HajraRashidi-w6k
@HajraRashidi-w6k 27 минут бұрын
bachu tukuulize na sisi???
@medimisi6930
@medimisi6930 30 минут бұрын
kama hapo wanakiri kabisa kua huo msikit mbele kuna makaburi ila duuh😂😂
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 17 минут бұрын
Unatitia aibu watu wa kaskazini usiwe mjinga ivo kuandika vitabu bidaa duu
@medimisi6930
@medimisi6930 Сағат бұрын
Hahaa inafurahisha leo mashekhe wa bidaa ndo wanaatetelea kua bidaa zote ni mbaya.na wanasema karne bora ni zile tatu ila ,leo wamekataa maulid
@seifsaid9905
@seifsaid9905 4 сағат бұрын
Nimelisikiliza Hilo LIJISHEE la BIDAA hanma kitu kila swal linapita chooo daah nakuomba na mm niligalagaze Kwa elimu ya iptidaiya tu Hilo yaan hamna kitu kbs hpo
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Сағат бұрын
Masufi wahaha
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Nendeni mikowani huko Kuna sehem hata uwislamu haujulikani mukatangaze dini hvi wenzetu kweli wanavitiwa nanini ikiwa sisi kwa sisi ndio tunakaaa kufanya mijadala hiii Kuna Maimamu wakubwa walopita walikuwa wanaendewa na baadhi ya maswali ila walikuwa wajibu hili silijui Hawa mabacho kila kitu anajuwa yeye
@allybobsaith
@allybobsaith 2 сағат бұрын
huyo shehe ubwabwa kashindwa kujibu maswali😂😂😂😂😂
@universitylink
@universitylink 5 сағат бұрын
Ali RA aliandika kitabu kinaitwa Al Qataday
@allynyange2536
@allynyange2536 4 сағат бұрын
Tangazeni dini huko vijijini. upande wa pili wanatusikiliza tunavyopasuana hadharani. wanajifunza nini?
@hamisishabani4333
@hamisishabani4333 Сағат бұрын
Watu humundani wanamaofia bachutu hawaamgalii amesema nini
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Wacheni hayo mambo mukatangaze dini
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 сағат бұрын
Kwani wao natangaza nini hapo kama sio dini
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 5 сағат бұрын
Huu ni wenda wazimu munaingiza katika dini
@mohammedhassan-o9s
@mohammedhassan-o9s Сағат бұрын
Hhhh mi sijaon mjadala mlomshinda bachu bali matamanio yenu na kutaka kuharibiana t kaaeni chini somesheni dini.
@khalifamohd5992
@khalifamohd5992 4 сағат бұрын
Huyu shekh hamna kitu😂 anaulizwa swali anazunguka
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 2 сағат бұрын
Duuh anasema kuandika vitabu ni bid'aa Ina maana qur'an haikuandikwa katika zama za mtume au qur'an sio kitabu: Na vip hakukua na waandishi katka zama za mtume
@fakijuma8713
@fakijuma8713 4 сағат бұрын
Suali jibu kuwa Kuna bidaa hasani?
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Baada ya kufata watu sehemu mbali mbali ambao hata uwislamu hawaujuwi leo wtu wakaaa kujadili mmbo haya hvi huyu mtoto wa bachu tu ndio kawa msomi pekeeee anaejuwa dini tu kila kinachofanywa yeye anakijua ???
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 4 сағат бұрын
Kuwa watu Tanga juzi tu 25 wameritadi hawana chakula mskiti hawana wenzetu walipoliona hilo wakalifanyia kazi wakawaletea kila kitu mwisho wa siku wakaingia kwenye ukafiri nyinyi hamna kazi ya kufanya mnaleta mada zetu ili iweje
@MgazaMhina
@MgazaMhina 4 сағат бұрын
Jambo ni la tauhid sasa unaulizwa maswali yanayohusu tauhid hujibu
@Bombwejr18
@Bombwejr18 4 сағат бұрын
Sheikh Muhammad bachu nakuomba hii mada uizungumzie kwa Upana zaidi kuhusu hili la Tawhid ukipata wasaa lizungumzie hili kabisa maana hili pia mm lanitatiza zaidi na naona linawatatiza wengi Tunaomba mada kuhusu hilo ukiona hii comment naomba sheikh ulifanye kazi 🙏
@AbdulmajidAbdallah-mu1uy
@AbdulmajidAbdallah-mu1uy 3 сағат бұрын
Ajabu ni kwamba huyu sheikh anadai kua kuandika vitabu ni bidaa wakati huo huo anasema ameandika kitabu😂
@ali_ford
@ali_ford 3 сағат бұрын
😂info ya channal yako ina music vipi halal music?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Сағат бұрын
Sheikh Mohammed plzzzz fanyia munaqasha ya uongo ndani ya barzanji na huyu, tuone kama atajibu zile hoja 19
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 4 сағат бұрын
Vitabu vyao vimeandika vimeandikwa
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 5 сағат бұрын
Waislamu tumekosa kazi kiasi hichi inna lillahi wainnaa ilaihi raajiuun
@Smart_jarm
@Smart_jarm 4 сағат бұрын
UKIONA HIVI UJUE KILICHOZUNGUMZWA KINEGUSA MASLAHI YAKO
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 сағат бұрын
​@@Smart_jarm Swadakta
@kassimumikdad1611
@kassimumikdad1611 4 сағат бұрын
Je, wewe huko Ghaza umesaidia nn ili hao unao wauliza unawataka wafanye nini?
@rashidmahmoud1418
@rashidmahmoud1418 2 сағат бұрын
We umesaidia nini huko Gaza?
@omarali797
@omarali797 5 сағат бұрын
Unapotosha. Wewe umesema hakuna Bid'ah Hasanah. Sheikh ndiyo akakuambia kama hakuna mbona unasoma vitabu ambavyo havikuandikwa na Mtume (SAW)?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 сағат бұрын
Kwa maelezo ya mtume kulu bidat dhwalala kulu dhwalala finnarri kila bidaa ni upotevu dhibiti hapo mtume kanusha kila bidaah ni upotevu hakusema kuna bidaah nzuri kulu bidat dhwalala kila bidaa ni upotevu, sasa mwanazuoni haambiwi kafanya bidaah kwakuwa akiogelea kufafanuwa jambo kwenye aya au hadithi akwandika vitabu huyo hajafanya bidah itaangaliwa kauli yake kategemea wapi katika kitabu na sunnah huyo anakuwa kafanya jitihada akiptia analipwa ujira mara 2 akikosea analipwa ujira mara 1 kama alivyosema mtume, na akipatia tunakubali kauli yake kwakuwa imecheza kwenye aya na hadithi akikosea tunamuachia kauuli yake saasa vigawanyo vya tahweed 3 akuanza mawahabi kama mwenavyo nyie hiyo ni jitihada za wanazuoni na wema walotangulia tahweed rububiya tahweed rubudiya tahheewd asma wasfat wameitoa kwenye surat maryamu wanazuoni akiwemo imamu abu hanifa, na shekh wako alitaka kafanya nani ndani ya karne 3 msemazo nyie wahabi amepewa mwanazuoni huyo abuu hanifa na wengine walomfatia, sasa ukisema hivyo tahweed 3 ni bidaa unataka tuambia Hawa walifanya bidaah sio? Arafu mwanazuoni kafafanua aya hiii tahweed namna ya kumpwekesha mungu na sifa zake ajagawiwa mungu shekh kidawa anasema vitabu ni bidaah 😂😂😂 basi asisile maulidi pia kwani mawlidi yametajwa kwenye quruan na hadithi si akuna!!! Ikiwa anansoma barazanji ndo aliandika vitabu hivyo anavyosema vitabu ni bidaah😂😂daaah mtu ukielemewa jambo utaongea hata lisilostahili inamana hata kina imamu nawawi kina bukhari muslim kina bin hajari buhari na wengineo vitabu vyao ni bidah ilmu haiendi hivyo ndugu zangu hiyo ni kuchupa mipaka katika dini.
@SaidMadai
@SaidMadai 2 сағат бұрын
Swali l mustwafa n balbala je akiwa m2 ana rububiyya 2 pekee uluhiyya n asamaa waswifat hana ktk kuitakid je si muislam n kafir😂 acha uhuni ktk dini
@AllyHozza
@AllyHozza 35 минут бұрын
hawataki watu waulize kuhusu tauhid😂
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp 5 сағат бұрын
Acha khiyana kubali haqqi ktk mjadala huu nikweli umeshindwa sasa sheikh kukimbia maswali ya waumini kwan munaqasha ulikua ni kati ya waumini au ni wewe na masheikh? Bro sio aibu kurudi kusoma kasome kwanza alaf uje uchokoze vita
@idisaidi287
@idisaidi287 4 сағат бұрын
Wew umesoma wapi ??
@KhamisJuma-mu4rm
@KhamisJuma-mu4rm 2 сағат бұрын
Yaani sheikh Muhammad unahitaji kuu elewesha umma ila mbona unajadiliana na wajinga.
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 Сағат бұрын
wewe bachu hujielewi nan kakimbia ama wewe ndoo ulishindwa hata kujua Aqsam za bidaa na sheikh wenu Ibn taimia amegawanya wewe chizi fresh wallah hujui hata maana ya bidaa ni nini😂😂😂😂😂😂
@SaidMadai
@SaidMadai 2 сағат бұрын
Hhhhh bachu hamna ki2 je aksam tawhid bidaa 😂 or si bidaa n km c bidaa leta hadithi swahihi kutoka kw mwalimu w huu umma alipofundisha 😂 htr mzee w balbala unarukaruka huna mashiko sabit y unachikiamini sibitisha hoja ww balbala
@medimisi6930
@medimisi6930 Сағат бұрын
umejibu mbona na akatoa mfano wa nguzo za sa swala kumi na nne ni ijitiha ya ufafanuz wa wanazuoni hauitwi bidaa. au hujasikia hiyo. na kuandikwa vutabu 😂😂😂 eti ni bidaa na mmoja aliwahi kusema feni ni bidaaa. 😂ckiliza vzr hao msufi wanalazimisha iwepo bidaa nzr ili wayachomeke maulid yao
@ismailowino2866
@ismailowino2866 Сағат бұрын
Yaani huyu Sheikh kusema kuandika kitabu ni bida'ah ni maana ya bida'ah haelewi au vipi?
@MgazaMhina
@MgazaMhina Сағат бұрын
Wanapinga vitu ambavyo wanavijua usahihi.
@alisudiramadhan3151
@alisudiramadhan3151 5 сағат бұрын
Muhammad wewe umeulizwa vyengine wajibu vyengine hujajivu swali hata moja hapo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 сағат бұрын
Haki ya kweli ukipata uwongofu umshukuru mungu na ukiona una moyo mgumu kuelewa ni hatari xana, Allah hawezi muongoa mtu agatae matamanio ya nafsi yyake atakuongoza yule moto wake alouweka tayari kukubali hakki, moyo ukiipa mgongo hakki huwezi ongoka sasa ulitaka maelezo gani? Nakati bachu kaogelea kwenye vitabu vya wanazuoni walosherehesha hiyo aya katika surati mariamu wakagawanya vigawanyo vya taheed ni sifa za mpwekeshaji Allah kwa kumpwekesha katika sifa 3 na shekh wako ametaka karne 3 bora alizotaja mtume amemtajia imamu abu hanifa imamu wa karne ya 3 bora alizotaja mtume, sasa mtume amesema wanazuoni warithi wa mitume wakipatia wanalipwa ujira mara 2 wakikosea wanalipwa ujira mara 1 sasa wanazuoni wamefasili aya kwa vigawanyo vya tahweed vipi unakataa? Na wameogelea katika aya ww hii quruani ungejuwa kama hukufasiliwa na wanazuoni? Kina imamu shafii, imamu Maliki, imamu abu hanifa, imamu ahmadi bin hambari ungejuwa? Arafu shekh wako alipokosa hikma anasema kuandika vitabu ni bidaah subuhana llah vitabu vya wanazuoni ni bidaah? Wao wamefafanua aya na hadithi za mtume mfano mtume akieleza havikuwa wazi sana wao wakaja kufafanuwa, mfano mtume amesema tofauti ya mwislamu na kafiri ni kuacha swala, inamana mtume alivyosema hivyo mwislamu asieswali swala 5 ni kafiri ila hakutaja sababu lakini wanazuoni wakafafanua zaidi mfano wa mtu asie swali kwa kukabuswa swala hataki kwa makusudio huyo amekufuru kweli, yule anaeona swala ni muhimu anapitwa kwa uvivu si kwa makusudi huyo hajawa kafiri kwa msimamo wa imamu shafii, na wenzie kasoro imamu ahmadi yeye kaona hata mwenye kutoswali kwa uvivu huyo ni kafiri sasa Hawa ni wanazuoni sasa utasemaje walifanya jambo wamefanya bidaah akati dalili wanatoa kwenye aya au hadithi wanazifafanua bado shekh kidawa atafakari ilmu vzr
@mjasiriamaliforum6815
@mjasiriamaliforum6815 2 сағат бұрын
Kipofu wewe, na maskio yako yametiwa uzio
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Сағат бұрын
@@mjasiriamaliforum6815 vipofu nyie masikio yenu yametiwa pamba mtu anawatolea dalili kwenye vitabu wanazuoni ndo walosherehesha hiyo aya kwa kigawa tahheewd 3 akataja alifanya nani katika karne 3 bora ametajiwa mwanazuoni imamu abu hanifa ni wa karne ya pil huyo alizotabiri mtume hamtaki arafu anasema kuandika vitabu ni bidaah hapo hapo yeye anasema akwandika kitabu huoni talbis hizo et kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidaah subuhana llah subuhana llah mtu ukikosea ilmu msiba mkubwa, arafu huyo kakwepa maswali anajuwa mtupu amewatia aibu kusema kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidaah hivi mtume aliposema wanazuoni ni warithi wa mitume wakipatia wanalipwa ujira mara 2 wakikosea wanalipwa mara 1 kwahiyo mtume alikusudia watakuja kuandika bidaah sioo yani hoja hazina kichwa wala miguu unapinga tuuh, madamu mashekhe wako wanapinga sio kutaka hakki arafu nimeufatilia huu mjadala mwanzo mwisho bachu, alimtolea na mwanazuoni sufi aliandika kitabu cha mawlidi simtudula ametuhibitisha jambo la tahweed 3 Kagawa mtume so wahabi huyo ni msufi wa kitabu chake kuthibitisha sifa za Allah katika vigawanyo vi 3 ajagawanywa Allah zimegawiwa sifa shekh kidawa kamkataa hadi shekh wake wa maulidi leo, wakati kwenye mawlid anasoma vitabu vyake pia.kwenye hili amemkana mwanazuoni wake yani nyi watupu kabisa ndo haya juzi akatokea shekh wa bakwata anatafsili aya kwa matamanio yake mwenyewe kuwafurahisha viongozi wa serikali et mwenge wa uhuru umetajwa kwenye quruani bila woga ajui anamsingizia urongo mwenyezi mungu ndo akaulizwa tafsili uliotoa ww nani alokutangulia katika mwanazuoni akasema hivyo jawabu hakuna anatapa tapa tuuh!!
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 2 сағат бұрын
Sasa sheikh si ujibu tu hayo maswali mbona unawanyima faida waumini 😅😅😅😅
@ZogoMtaani
@ZogoMtaani 5 сағат бұрын
Kisha ewe mtoto unataka kusema mwenye kuitakidi nyota ndio hasa inayo teremsha mvua atakua amefanya shirki katika rububiya peke yake bila ya kufanya katika uluhiya ?. Huoni kusema hivyo ndio ushirikina halisi?. Huoni huko ni kumgawanya : الله . Na kusema pana : الله الربوبية Na mwengine : الله الالوهية . Ambao wawili hawa unaweza kumfanyia mmoja shirki na usiwe hujamfanyia mwengine ?. Huu ndio utatu halisi wa ukristo. Ujinga ni kitu kibaya sana
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 4 сағат бұрын
bumunda
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 сағат бұрын
Aliopotea huwezi muongoza na aloongoka huwezi mpoteza, alompoteza Allah huwezi muongoza ww hata siku moja, kwakuwa Allah hawaongozi watu madhalimu waloipa mgongo hakki, Sasa unatakaje shekh kaogelea kwenye vitabu vya wanazuoni walofasili Aya katika namna ya kumpwekesha Allah tahweed rububihiya na tawheed ruhuhiya, muhammadi bachu kataja vitabu vya wanazuoni waloisherehesha hiyo Aya katika surati Mariam, mnakanusha na hamtaki nyi watu wa bidaah, miyo yenu imekuwa migumu kama jabari, arafu mnasema kuandika vitabu ni bidaa subuhana llah mtume kasema wanazuoni ni warisi wa mitume, wakipatia wanalipwa ujira mara 2 walikosea wanalipwa mara 1 sasa vigawanyo vya tahhees toka kina imamu abuu hanifa imamu wa karne ya 3 bora alizobashiria mtume na so huyo tuuh wapo wanazuoni wengi walosherehesha hiyo aya ya vigawanyo vya tahweed, hata shekh wako alotunga maulidi simtudula kathibitisha hayo lakini Leo shekh kidawa kamkataa Hadi shekh wake wa mawlid anakazania wahabi wahabi ndo mmeleta Hilo, huyu wa mawlidi nae wahabi?? Arafu Leo mmegundua kitabu na sunnah, mbona sikuzote tukiwaambia mnakuwa wakaidi Ila Leo mmekubali kwa maslahi yenu, kitabu na sunnah mbona hatukuti mawlid kama alivyodai shekh kigawa hapo atakae ushahidi wa kitabu na sunnah mbona kwenye kuthibitisha mawlid hataki kitabu na sunnah au mnakubali lile lenye maslahi kwenu
@anyeresa928
@anyeresa928 3 сағат бұрын
Tatizo hapa ni kwamba kuna tauhidi na elmu tauhidi...ukijua mambo hayo utakuwa huna shida
@HajraRashidi-w6k
@HajraRashidi-w6k 11 минут бұрын
aya hiyo iliyo gawa tawhiid mtume s a w hakuiyona???
#masufi RADDI KWA KHURAFI MPEVU OSTADH KUSOMA | | Muhammad Bachu.
38:02
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 13 М.
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
KIJANA ANAEFUATA VYEMA NYAYO ZA SHK OTHMAN MAALIM
22:21
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 122 М.
WAISLAMU WALIZWA  MSIKITINI
28:59
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 112 М.
MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
17:20
DARSA TV
Рет қаралды 151 М.
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН