Yaani Mummad Bachu ni kompyuta ya kielimu kwa kweli
@MussaMtingwa25 күн бұрын
Shkh bachu wallah,umeeleweka. Shida upeo wa uelewa hatufanani. Allah akulipe. shekh kidawa Allah Amuongoze
@aliboy353626 күн бұрын
Mashallah bachu Allah akuzidishie. Hiyo mikono mingi niwazi wengi wamekuelewa na wameijua haki mashallah
@NurainAbdaallah26 күн бұрын
Mashallah mashallah mashallah tunapata elimu kupitia sheikh Mohammad allah akuhifadhi kuna mengi tunayajua kupitia wewe allah atuekeew
@AbAlhuraas26 күн бұрын
Abuu Nuwaiy Akram Na Mwalim Muhammad Bachu ,Allah akubarikin Sana
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@abdul_azeez_almaamir26 күн бұрын
Ila mwenye kiti wa upande wa shaykh kidawa maashallah amenyooka sana
@AllyHozza26 күн бұрын
Mashaa Allah shekhe bachu Mimi sio mfuasi wa wahabi ila nimekuelewa sana Allah akuzidishie ilmu
@salumhassanallymkurdistan700625 күн бұрын
LAKINI MAWAHABI NDIVYO MNAVYO SEMA KWAMBA KILA KITU LAZIMA KIWE KIMEFANYWA WAKATI WA MTUME NDIYO KIWE SAHIHI SASA MMEULIZWA SWALI NI KITABU GANI ALICHO WACHA MTUME CHA HADITHI? AU MNATUMIA VITABU AMBAVYO NI BIDAA KUJIBU UTATU WENU WA AKIDA? NYINYI MAWAHABI MNATAKA KILA JAMBO LIWE LIMEFANYWA NA MTUME SASA HIZI AKIDA ZENU HAZIJAFANYWA WAKATI WA MTUME ZIMEFANYWA NA AKINA SHEKHE FAUZANI NA MOHAMED ABDULL WAHABI NA SHEKH ALBANI TENA KWENYE VITABU AMBAVYO HAWAJAAMRIWA KUANDIKA WALA KUTOA MALUKUKI YA SHEREHE ZA VITABU ILI KUVITUMIA VITABU VYAO VIONEKANE NI MISAHAFU YA MAWAHABI YA KUWAPOTEZA WAISLAM MAWAHABI NI VIBURI SANA SANA SANA MAANA WAKITENDA WAO NI SAWA LAKINI WAKITENDA MASUFI SIYO SAWA MAWAHABI NI WANAFIKI NA WAONGO KATIKA DINI YA ALLAH HAWANA DALILI HATA MOJA VITABU VYOTE VYA KIWAHABI NI KAMA VITABU VYA AHAMADIA NA MASHIA NI VITABU VYA KUWAFARAKANISHA UMMA WA WAISLAM MAWAHABI MUMEAMINISHWA KATIKA VITABU VYA MASHEKHE ZENU HAMSIKII HAMUONI KISA SHEKHE KASEMA SIYO MTUME KASEMA KUWENI WAANGALIFU NA HIVYO VITABU VYENU MUNAVYO VIAMINI KAMA NI MISAHAFU ALLAH AKUONGOZENI NYINYI PAMOJA NA SISI AMIN

@musadzombo25 күн бұрын
Umemuelewa nini na hajui anachoongelea
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
Msome kwanza shekh abdulwahab umjue, na ujue kwanini walimchukia shekh abdulwahab!!!soma nikugusie kidogo alikataza kujengea makaburi na akayavunja yaliojengewa
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
Ma sha allah, shekh bachu unajibu kielimu kabisa wallah kama mtu haelewi hapa ni ushabiki tu
@binbajoun791823 күн бұрын
Shukran Muhammad bachu tumekuwlewa sana Allah akubarikie elimu zaid Amin na Allah amzidishie shekhe kidawa elim pia
@husseinmongolare341727 күн бұрын
Shukran sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah nilikuwa nime miss video zako mupya kama izo ❤❤
@qwerqasd859726 күн бұрын
Mashallah tabarakallah kuna ubaho na mwalimu na wanafunzi basi mimi kama mwanafunzi nimekuelewa
@qwerqasd859726 күн бұрын
Sheikh bachu
@fatmasuleiman271025 күн бұрын
MashaaAllah sheikh unaeleweka vizuri sanaa Allah akuhifadhi .
@MuhajirinaTv26 күн бұрын
Allah akuhifadhi pia akupe nguvu uzidi kubainisha haki
@HashimSalim-qj7zn24 күн бұрын
ALLAH AKUHIFADHI MOHAMMAD BACHU AMA KWELI WEWE NI JEMBE MAANA ALIE KUA HAJAKUFAHAMU HAPA HUYO TUMUEKE KWENYE MEZANI YA UBISHI TU
@sheikhabuusakakin324326 күн бұрын
❤❤❤جزاكم الله خيرا وجعله في ميزان حسناتكم ونسال الله ان يوفقكم لما يحبه ويرضاه
@rashidabdulrahman678427 күн бұрын
Mashallah sheghe Muhammad bachu allah akulipe ishallah kufata gur an na sunna asilimia100 nakupa
@nurdinayoub289426 күн бұрын
Mche mola wako weee ndugu unampaje asilimia Mia moja mwanadamu?
@aooshosho425526 күн бұрын
Sheikh Mohamed kitu nimekuja kuona watu wenye una wajadiliana nao elimu yako iko juu juu sana hawakuelewi...mana sisi hatuna elimu kama wewe na wao lakini tunakuelewa na unachosema kiko wazi....tunakuelewa sana sheikh nassoro ume elimisha sana Allah akuzidishie elimu ya nafiya .
@azamomar992024 күн бұрын
Amiin
@feizalmas26 күн бұрын
Wallahi leo ni kiasi gani nimetambua bachu na watu waki ni wanafiki na hawana elimu. huna ulichotetea kwenye mada zaidi ya kukikubali kitabu cha barazanji kwa kukitumia kutetea weupe wako wa kielimu kwa hili mungu kakufedhehesha rudi chini usome utafedheheka zaidi.
@pavillioncry524126 күн бұрын
Chizi we
@rahiminrashid26 күн бұрын
@@pavillioncry5241Bachu hana ajualo katika Maulid amekomaa kusema ooh Barzanji uongo 😂😂😂 Maulid yatasomwa mpaka qiyama huyo Bachu wenu aropokwe, alie, anyamaze aruke ruke , asimame , akae , aseme Maulid ni bid'aa, aseme sio bid'aa hatuachii😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎉
@MussaYasini26 күн бұрын
Hahaha nimegundua kua nyie hamfanyi kitu ktk bidaa et kwa7b nihaqqi bali mnafanya2 kwa7ab mnapenda
@IbraFareed26 күн бұрын
@@pavillioncry5241 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@salehrashid-fx9rq24 күн бұрын
Masufi akili zao ziko kwenye matumbo yao. Kwakweli masufi ni vifuu tundu
@mohammadswaleh690026 күн бұрын
Al Akh Muhammad bachu Allah Akuzidishie ilmu ili tuzidi kupata faida,ila mm maoni yangu usifanye mijadala na hawa Masufi kwasababu haijawahi kutokea na Wala haitatokea Hawa watu wakaukubali ukweli na Haki,Hawa unawapatia umaarufu kupitia kwako Kama vile Dj Saidi ulivyompatia umaarufu wa bure wakati Munaqasha haukufanyika Mwisho wake wakakufanyia kejeli.Bora Al Akhi Raddi TU zinawatosha na tunakufahamu vzr kupitia Raddi.Shukran Baraka'Allahu Fiik
@qwerqasd859726 күн бұрын
Kweli kabisa dj hakuna aliye kuwa anamfahamu
@husseinadnanhussein594826 күн бұрын
Lakini huyo DJ kamfanya chapachapa hii ya leo ameruka ruka na hajatoa jawabu
@mohammadswaleh690026 күн бұрын
@@husseinadnanhussein5948 basi hamujui nyinyi ndio mumemuenua Bachu kwa hali ya juu imeonesha wazi kua Mashekhe wenu Ni kama wanafunzi wa Raudhwa eti wamemwamgia maji kiti Cha bachu alafu Wanamfanyia istihzai,Mazuka kabisa walioyafanya
@IbraFareed26 күн бұрын
@@qwerqasd8597 Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@IbraFareed26 күн бұрын
@@mohammadswaleh6900 na yale makosa ya lugha na misamiati
@Abuassma36020 күн бұрын
sheikh bachu Allh akuhazi kila la kheri
@SurprisedCurling-si9yr26 күн бұрын
MashAllah bachu Allah akuhifadhi
@footballmagichighlights26 күн бұрын
Inafaa tukiwa tunaombea Masheikh zetu Allah awape Umri Mrefu basi tusiwe tunachagua yupi anafaa kupewa Umri Mrefu, Kwani Hawa wote wanazonafasi zao Kwa Allah kwa mazuri wanayofanya, Hivyo Allah awape Umri Mrefu Wote hapa wazidi kueneza Elimu ya Allah na awaswamehe iwapo kuna mahali wanakosea AHSANTE
@rahiminrashid26 күн бұрын
Maombi yetu kuombea watu umri mrefu huwa hayana uhusiano wowote na siku ya kufa mtu ikifika ndugu yangu😢
@Upanga83325 күн бұрын
Mashaallah sheikh muhammad bin bachu tumekuelewa sanaaaaaaaa!!
@Kassim-k6h24 күн бұрын
Allah Atuekee Bachu wetu , mimi naona kama kuna watu hawa taki kuelewa
Jazaaka llaahu kheir shekh Bachu ama kweli kwa mtu aliyesikiliza kwa mazingatio pasina kufuata matamanio ya nafsi yake na ubishi usio wa kielimu amepata darsa kwa Shekh Bachu
@mohagurey221426 күн бұрын
Mungu akulinde na Vitimbi zao mbaya ndugu Mohamed
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@yasirsaid846427 күн бұрын
MAA SHAA ALLAH.. ALLAH Akubaariki shekh Muhammad bachu
@bagalucha26 күн бұрын
Mohammed Bachu baharı ya elimu
@samkaka221826 күн бұрын
Huyu Shehe Kidawa ni Pasua kichwa ata ufahamu wake unaonekana pia sio mzuri ALLAH AMUHIFADHI SHEIKH MUHAMMAD BACHU HAKIKA YAKE NI SWADAQATUN JAARIA YA ALMARHUM SHEIKH NASSOR ABDALLAH BACHU
@alwiyiynmission282026 күн бұрын
@@samkaka2218 UKIAMINI AMA KUKUBALI KAMA WAPO WALIO NA UFAHAM WA KUPASUA KICHWA,BASI JITAHIDI UADILIFU HUO HUO UHAMISHIE HATA KWA ZAMA HIZO ZILOPITA....TUNAPATA MASHAKA SAANA KUAMINI KILA WALICHOFAHAMU WAO KUA NI SAHIHI,KAMA KWAMBA MTUME ALIIACHA DINI ILI IENGEZEWE AMA KUFAFANALIWA KWA UFAHAMU WA WENGINE ASIE KUA MTUME. TUWE NA UADILIFU,
@mussaissa679626 күн бұрын
Wewe hiyo elimu yenyewe unayo!!?
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@AbuuCholo-q5i23 күн бұрын
Kiukwel nimemsikiliza shekhe bachu anaufahamu nzur elimu anayo na anajua Nini anaongea mungu akuzidishie shekhe
@sheikhabuusakakin324326 күн бұрын
نصر من الله وفتح قريب❤❤❤❤❤
@IbrahimKassim-i8h23 күн бұрын
Allah akuhifadh sheikh bachu lakn pia allah amuongz huyu sheikh daw maan anrejea mule mule dh ?
@bagalucha26 күн бұрын
Hapo imezungumzwa elimu kubwa,Allah barik
@balkisamisi213125 күн бұрын
Sheikh KIDAWA Allah aku jaliye kila la kheri, Pia na Sheikh Muhamad na furai kuona nidhwamu ilivyo lindwa katika Munaqasha huyu
@ashekhajabir246926 күн бұрын
AHSANTE SHEH BACHU
@rashidabdulrahman678427 күн бұрын
Nashukuru nimepata faida mashallah sheghe Muhammad bachu
@Athumaniomari-ge2gs27 күн бұрын
Jazaaaka llahu khayran
@husseinadnanhussein594826 күн бұрын
Bachu Fanya ziada kwenye kusoma
@jumakitadu867426 күн бұрын
Mzaa chema kaenda zake. Nlikuwa nampenda sana. Lakini katuachia chuma
@KhamisMajlo18 күн бұрын
Mashallah kun muda tuweke pembni mapezi shekh bachu anatembea n dalili kulko mwamba uy mwengn yeye yup Hana Elim kam mm
@samirrubeya237926 күн бұрын
Mashallah Bachu Kiboko
@YussufKhamis-y5h26 күн бұрын
namuona shekh Abuu Nuayim Allah amhifadh sana
@abdul_azeez_almaamir26 күн бұрын
Yuko wapi
@NuryaMusa26 күн бұрын
Naam Abuu nuaymi aqram raashid
@abdul_azeez_almaamir26 күн бұрын
@@NuryaMusa ndio yupi au ndio huyo alie kaa na sh Muhammad Bachu
@NuryaMusa26 күн бұрын
@@abdul_azeez_almaamir Naam ndiyo huyo. Mwanafunzi wa shekh wetu Abuu muawiya Hassan awadh ALLAH mtukufu Amrehem
@abdul_azeez_almaamir26 күн бұрын
@@NuryaMusa maashallah tabaarakallah
@masoudmohammed425826 күн бұрын
Alhamdhulillah alaa neematul islaam wassunnah
@MohammedAli-ud8so25 күн бұрын
Acha uongooo bachu uooo umepigwaaaaa
@EpcDistributor0927 күн бұрын
Tupo pamoja sheik wangu
@JumaOmar-ku6cr26 күн бұрын
Mohamad unashindana na watu wa kaskazini wanasumbua sana hawa mimi kwetu uko wabishi hao
@hasanisaidishabani387926 күн бұрын
Shekh bachu rudia hii video mara 12 kisha sikiliza kwamakini ondoa ushabiki utaelewa tuu mm nipo apaa
@HashimSalim-qj7zn24 күн бұрын
TUMEFAIDIKA KWA KWELI KWENYE HUU MUNAQASHA ALLAH AMUHIFADHI MASHEIKH WOTE
@NassirHimid26 күн бұрын
Bachu unawanyoosha vizur sana ila jitahid sana ufanye kwaajil ya mola wako
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@issahassan836126 күн бұрын
Ilo jambo la kuandika vitabu ilikuwa umpige kwa hadithi kbs. أخرجه البخاري وغيره حين قام وقال للرسول صلى الله عليه وسلّم بعد خطبة ألقاها: "اكتبوا لي"، فقال رسول الله صلى الله عليه وسلّم: "اكتبوا لأبي شاه
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@medimisi693026 күн бұрын
KUNA FAIDA KUBWA sana tumeipata kumbe ndo maana hawa MASUFI hawana elimu maana wanaonasema kusoma vitabu ni BIDAA kwaio hawataki kujisumbua kwa kusoma elimu..ALLAH akuweke bachu na utupe faida zaidi.
@mchamakame26 күн бұрын
Hujafahamu hoja
@masoudmohammed425826 күн бұрын
Mashallah sheikh
@idrisjames939226 күн бұрын
Naona mwisho km kidawa kapanic 🤔 bachu noma sana nakutoa mchezoni kbs
@mwinyihajihassan929926 күн бұрын
Maa shaa Allah kheir
@aooshosho425526 күн бұрын
Huyo sheikh alikata kulizwa maswali juu hajamini kaa kweli yuajamini angelienda sawa sawa kaa sheikh nassoro bachu juu yuajamini kwa elimu na vitabu.
@newttechog7526 күн бұрын
"JAWABU FUPI NI KWAMBA HAKUNA BIDAATUN HASSANA BIDAA ZOTE NI DWALALA, SHARTI KWAMBA TUKUBALIANE KWAMBA HILI JAMBO NI BIDAA" NAOMBA KUULIZA SWALI KWA WALIO ELEWA YANI WAKUBALIANE KIVIPI NA WAKUBALIANE NA KINA NANI NA ALLAH ALISHASEMA KATIKA QURAN SURATUL MAI'DAH AYA YA 3 KWAMBA DINI IMEKAMILIKA SASA WAKUBALIANE NA NANI?! NA KWA MINASABA IPI YA KUKUBALIANA?!😢😢
@RashMash-l1b27 күн бұрын
mashaallah al akhey bachu,lakini nakhurafi watabaki kuwa na ubishi tu,hoja zote hizo kisha eti mtu awe hajaelewa tu! wazushi wanashida sana bidaa itabaki kuwa bidaa na tauheed lazima iwe juu.وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا
@CheniShauri27 күн бұрын
Hakika wewe Ahlwa kakuchagua uwe kiongozi wa wakati huu Ahlwa akuhifadhi na chuki za walimwengu! Ameeen
@universitylink27 күн бұрын
Allah si Alwa sheikh wangu
@AlhajiMswaki-de3kb26 күн бұрын
Nyie mawahabi niushabiki c din kaulizwa hakujib chochot lkn nyie mawahabi akil zenu nikama yeye
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@bagalucha26 күн бұрын
Muhammad Bachu simba Allah
@feizalmas26 күн бұрын
Unakufuru kisa mapenzi ya kijinga haliyakua elimu
@feizalmas26 күн бұрын
Huna acha wehu
@bagalucha26 күн бұрын
@@feizalmas Vitimbi mlimfanyia mambrui kwa makusudi,kumzuia,mtume alifanyiwa hayo lakini mwisho haki ikasimama
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@saeedqaseem317224 күн бұрын
Hawezi kuelewana nao Hawa....unaonyesha uhalisia wa vigawanyo vya tawheed yeye hayuko uko kabsaa... Nakumbuka maneno ya Dr Islam Muhammad baada ya mnaqasha wako na Said kuwa mnaqasha lazma muwe na nia kutafuta haqi na kukubaliana na haki ikithibiti la sivyo hakutakua na faida itapatikana... Nakumbuka Allah awaongoze na sie sote
@Upanga83325 күн бұрын
Hizo ndio skendo za wazushi ukiwapa suali likiwashinda waenda nje ya ulichowauliza. Mfano wa2 wa nabii Ibrahim walipopewa suali gumu nana nabii Ibrahim swalawatullah wasalaamuh wakatoka kwenye mada walio ulizwa
@TwahirBurhan23 күн бұрын
Shekh wa Kisufi hoiiii!!
@iddijuma142826 күн бұрын
Shekh wangu hawa masufi wakaidi ,ni Bora ufanye mihadhara katika Chanel yako na miskitini
@jumamukoko666225 күн бұрын
Ugawaji wa tahudi ni ukristo, Roho mtakatifu ni mtenda kazi
@41Company-g5d25 күн бұрын
Shekh bachu uko vizuri ila una kijiasili cha kibri... Acha kucheka cheka unapojiandaa au unapojibu lakini kumpa maneno ya karaha mwenzio itamfanya akose kukupa muda wa kukuelewa.
@izmamuizmamu652126 күн бұрын
Kidawa kazingua 😂 MashaAllah sheikh bachu
@jumamukoko666225 күн бұрын
Muhammad Bachu ameshindwa kwa sababu ameonyesha mambo mengi mtume hakuya fanya lakini hayaitwi bidaa, ila yale yalio kubaliwa na maima wao hata kama mtume hakufanya basi kwao masalafi hayo siyo bidaa
@kikosahani793721 күн бұрын
Kwani mtume Muhammad saw alifanya maulidi ya kuzaliwa kwake?au
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
Bidaa ina kipimo unajua inapimwaje? Kitu ambacho mtume akufanya wakati wake kulikua na kikwazo ya kutokifanya? Au mazingira yalikua hayarihusu? Mfano adhana ilipigwa na bilali alikua anapanda kwenye ukuta, so kutumia mike kulikua na kizuizi kwasababu technologia ilikua haipo
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
Usipotumia akili utayumbishwa hawa wanatetea maulidi ni upuuzi mtupu na haiwezekani sherehe za kikufari zifanane na zakiislam, yani washerehekee x-mas na sisi tusherehekee maulid
@kikosahani793712 күн бұрын
@@rajabumsuya-hg8jd mwezi ujao Desemba vilevile utasherekea tena kuzaliwa kwa jesus Desemba 25 ,maulid na Christmas sawasawa ,wanaoshekea maulid vilevile wanashekea jesus birthday Desemba siku ya kiyama mtawekwa pamoja na wakilisto ,enjoy Desemba maulid ya jesus
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
@kikosahani7937 wanatuharibia dini, sasahv kuna matapeli kibao na wao wanawa support
@bagalucha26 күн бұрын
Kidawa kaokolewa,knockout
@Upanga83325 күн бұрын
Mashaallah
@KhalifaSaid-lg5dh27 күн бұрын
Ukwel bachu ameshindwa Walllah tena ushabik kando
@alwiyiynmission282027 күн бұрын
Dhambi kubwa Ambayo MASHEIKH na Mashabiki WAO wataenda Kujibu...ni KUKATA CLIP KWA MASLAH YAO,NA KUBUNI VICHWA VYA HABAR KWA UTASHI WAO. HII NI DHULMA ILOKUSANYA KEJELI, DHARAU NA KWA BAHAT MBAYA ZITAISHI HATA WAO WAKIFA,KWANI ZITAENDELEA KUWEPO KWENYE MITANDAO
@AbdulIssa-o7e26 күн бұрын
Uwezi kumuongoza aliopotea, hiyo ni Jambo gumu alompoteza Allah huwezi muongoza, hata mtume aliambiwa hayo na mola wake mfano ww hapo ni kipofu umesimamia msimamo wako huo na hali mtu kaogelea kwenye vitabu na ushahidi wa wanazuoni hutaki unasema shekh kashindwa unataka usaidiwaje, hutoweza ongoka kamwe hata jiwe linaweza ongoka mbona hoja zipo wazi kabisa hata mbumbumbu darasani anaweza elewa lakini musiba wa moyo ukawa na upofu wa kuongoka
@Khalidniya38026 күн бұрын
Kama wew umekuja kiushabiki ebu endelea kushabikia sisi tunacho kitafta ni elimu
@alwiyiynmission282026 күн бұрын
@@AbdulIssa-o7e REKEBISHA UFAHAMU WENU,HAKUNA ALIEPOTEZWA NA ALLAH. Tatizo MUNAPOKWENDA KWENYE HAYO MALUMBANO AKILI ZENU HAMUWEKI HURU,BALI MUNAONGOZWA NA MAKUNDI YA KIUSHABIKI.. HII HAITOLETA NATIJA ,KUNA MENGI YA KUJADILI KUHUSU HALI ZA WAISLAM DUNIANI NA KATIKA MIJI YETU HATIMAE MNAACHA YA MALENGO HALAFU KUSINGIZIA MPOROMOKO WA DINI UNATOKANA NA UADUI WA NJE YA DINI ..KUMBE WAPINZANI WA DINI NDIO MNAOONGOZA MAKUNDI KWENYE DINI..NA KUJIVALISHA USHEIKH. TUJITHIDI NA AMANA TULIZONAZO
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@jumamnemo838321 күн бұрын
Ahhh. nimesikiliza mdahalo huo Shekh Mohammed Bachu,Shekh amekuburuza mpaka ukaonekana huna hoja.
@babasao299721 күн бұрын
Sija waelewa wote labda kidoogo kidawa majibu yalikua yanatoka kichwani mwake kupitia aya za M/MUNGU na hadithi za mtume MUHAMMADI swala LLAHU ALEYHI WASSALAM bachu yeye mbaka agugo
@vuaiali378026 күн бұрын
kila siku mipasho, inawasiaidia kitu gan
@uiavajiwgav544126 күн бұрын
Tauhidi tatu ziko wazii kwwnye Quran suratul fatiha alhamdulilah hiyo nitauhidi uluhiya rabil alamina hiyo nitauhidi rububiya anahmani arahiim hiyo nitauhidi asmau waswifatu kwahivo mungu ndio ame igawanya
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@jumamohamed62823 күн бұрын
Tume hadithi inayotuelekeza hivyo
@uiavajiwgav544123 күн бұрын
@jumamohamed628 shekh kuna zaidi yaqurani suratulfatiaha aya yakwanza mpaka 4 suratul anami aya nambiri 19 suratul baqra aya nambari 16 suratul araf aya nambari 54 fungua kitabu al fatawa utamata maelezo kuhusu tauhidi tatu hadithi ulo pokelewa naimamu muslim nambari 92 yote hayo yazungumza tauhidi tatu tuacheni ushabiki jamani
@KubwaKuliko-dk4bm26 күн бұрын
Shk bachu hii mijadala tunapata faida haswa lilipo ulizwa swali la pili shk letu alipo vikataa vitabu akasema vitabu ni bidaaa KWAKWELI TUNAPATA KUJUANA WAISLAM FAHAM ZETU ALHAMDULILLAH
@jumamagoma174320 күн бұрын
Msoma.maulidi.kakimbia.maswali.bachu.kichwa
@hassanmzandy142125 күн бұрын
Dah usufi kweli ni uchizi
@Bombwejr1827 күн бұрын
Sheikh Muhammad bachu nakuomba hii mada uizungumzie kwa Upana zaidi kuhusu hili la Tawhid ukipata wasaa lizungumzie hili kabisa maana hili pia mm lanitatiza zaidi na naona linawatatiza wengi Tunaomba mada kuhusu hilo ukiona hii comment naomba sheikh ulifanye kazi 🙏
@maximusalnono642526 күн бұрын
Sheikh khabith anazijua na anazikubali ila bado kashikilia maulid 🤣yaani watu wa maulid kelele zote izo kisa wameambiwa kucheza ngoma bidaa 😃ila tukubali pia bachu ni umiza kichwa 😂Allah awahifadh Mashekh wetu wote
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@maximusalnono642521 күн бұрын
@ inawezekana kabisa mjadala hujauwelewa rudi tena ilo swali limeshajibiwa nabachu vizuri sema kama hujaridhika na alichojibu basi iyo ni juu yako sina uhakika kama ulifatilia mjadala
@ameirameir434926 күн бұрын
Munaqasha huu umefanyika wapi ?
@mzeemmwinyihajihatibuhatib933126 күн бұрын
Subhana llah huyu Akhui kidawa ni mpoto na haelewi anachozungumza. Yuwawakana ma ghulamai then yeye yuwawafuata huyu kajikoroga الله المستعان
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@RajabuBakari-uq3jf26 күн бұрын
Shekhe nakufuatilia sana darasa zako ila ili jambo la kucheka kwenye mijadala sio zuri
@IbraFareed26 күн бұрын
@allybobsaith Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@AllyMohammed-fv6nf26 күн бұрын
Alhamdulillah kwa kupata ufahamu kumbe huyu kidawa hajielewi ata anachofanya shehe wa wapi huyu mbna anatia aibu
@SaidMadai26 күн бұрын
Bachu we muhuni w level y juu ktk dini kwaiyo Mungu ndio akuhukumu kufanya hiyana y elmu wkt ukweli hujathibitisha n kujikita ww n cw ktk iman yk y tawhid y vigawanyo lkn haina mashiko kutokana n mafundisho shh y Mtume
@Hamis-ks1sy26 күн бұрын
Sema hajajibu kama akili yako inavyotaka ila wenye akili wameelewa we unataka ajibu vipi?
@IbraFareed26 күн бұрын
@@Hamis-ks1sy Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@Hamis-ks1sy26 күн бұрын
@@IbraFareed Kwani alogawa nguzo za swala ni nani? Na walitumia dalili katika qur an na Sunna? Jibu utalipata hapo ndio maana sheikh wenu kuna masuala aliruka kujibu halafu mnasema tunataka kufanana na Manaswara kwa kugawa tawheed kwani alokwambia Tawheed ni Mungu ni nani?😁😁😁Ulamaa wametumia.qur an na Sunna kugawa tawheed katika sehemu3 sasa nyie masufi hao ulamaa wenu bidaa wanazoleta wametumia dalili zipi?
@AhmedAlharithiy-sg5cq26 күн бұрын
Wakiristo wanasema mungu baba namwana naroho mtakatifu ( ndio vigawanyo vya tauhidi)
@bashkamohamed304126 күн бұрын
Unajiskia kitu unasema hakuna mtu ansema mungu tatu hapa uko n shida ya akili rudia kujua tofauti ya mungu tatu n hodih
@OmarAlly-iz8ot26 күн бұрын
Mi naona hakuna ubaya kufanya niqaash na wazushi kwa sbb walio chini yao hua wanapata kusikia na kuelewa ambavyo hawakupata kuviskia hapo mwanzo. Nahawa ndio wanao badilika na kuacha uzushi. Ndiomana ukakuta wazushi wanafanya juhudi kubwa na kutumia nguvu kubwa ili kuwalinda walio chini yao. Lakini kila siku wanaelewa na kutoka kidogokidogo kwenye uzushi. Mimi ushauri wangu kwa Shekh Muhammad Allaah amhifadhi, aweke vipindi kufafanuwa maana ya bidaa, kwa mifano ilio wazi, khalafu hao wanao sema kua Kuigawa Tauhiid sehemu tatu ni bidaa, watashindwa kulisema tena neno hili na hata wakisema watu wakiwauliza maswali watashindwa kujibu. Kwa sbb yote haya nikwa kuto kujua maana halisi ya bidaa, na bidaa inaingia kwenye nini na kwenye nini haingii. Shukran
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@silimakhamis708826 күн бұрын
AH BACHU UMESHINDWA BWANA,UMEULIZWA IYO AQSAMU KAGAWA ANI,NA IYO AYA KATAFSIRI NANI KAMA ULIVYOTAFSIRI WEWE? UMEIKATA HII CLIP,ILA FULL TUNAYO MWANZO MWISHO
@ShafiiHabibu24 күн бұрын
Kweli
@mohagurey221426 күн бұрын
Bid'a ni maasala ya ibada ama ujinga ya kila mtu atenda ama anena
@IbraFareed26 күн бұрын
Siku zote mnasemaga LAU KAMA NI KHERI MASWAHABA WANGEFANYA ? je kugawanya TAWHEED kumefanywa na maswahaba مَنْ يَهْدِهِ اللَّهُ فَلاَ مُضِلَّ لَهُ وَمَنْ يُضْلِلْ فَلاَ هَادِيَ لَهُ وَخَيْرُ الْحَدِيثِ كِتَابُ اللَّ Je Mtume Muhammad ﷺ amegawanya ? Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى amesema TAWHEED 3? Je Maswahaba wamesema TAWHEED ni 3? Kama jibu hapana nyie kueka TAWHEED 3 Allah alisahau kugawanya au Mtume Muhammad ﷺ amefanya hiyana ya kutofikisha UJUMBE ? Sasa maelezo haya ya TAWHEED 3 yanayotaka kufanana na wanaswara meyatoa wap ? HOJA YANGU IPO KWENYE HAYO MASWALI VERY SIMPLE na salafy ni watu wa KITABU NA SUNNAH naamini utanijibu kwa kitabu na sunnah 😂😂
@KitasaWaaction-gm9zr25 күн бұрын
Mda mnaeka mchache sana somo linachanganya ndio mda unakata wapeni mda mwingi watupe madini
@IbrahimKassim-i8h23 күн бұрын
Sheikh daw bwn machale ymemcheza kuwa yupo mtegoni ashindw kujibu xwli l sheikh muhmad
@aprosaawards649217 күн бұрын
Niwawekee tu hili swali likae hapa kwa wenye akili wataelewa. Kwa maelezo ya Sheikh hapo kwamba kwakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) hakuthibitisha kuhusu vigao vya Tawhidi, basi ni bidaa... kwali ni je, vigao vya hadith (Swahihi, dhwaif, Naugdhuu) vigao hivi vipo?! Na kama vipo ni wapi Mtume kavifundisha?!.
@ameirameir434926 күн бұрын
Kidawa kachomoka mapema
@babatidaawa655026 күн бұрын
Mbona ghafla ila sio mbaya tupo pamoja In Shaa Allah
@rajabumsuya-hg8jd12 күн бұрын
Huyu ghurafi hana hoja kabisa aisee, subuhanna llah
@MrFella-e9w26 күн бұрын
Niliposikia Sheikh anaitwa Kidawa tu 😂😂😂😂
@mosule926226 күн бұрын
Hii mihadhara iendelee inafundisha sana ,na hii itabaki milele hata mkienda mbele za haqi mashekh vizazi vijavyo vitaziona hii midaharo .
@HarunaArmani23 күн бұрын
Sasa kama umekubali kua hata kama mtume hajafanya jambo fulani lakini kama wanazuoni wakilipitisha jambohilo linafaa, kwanini ukate MAULIDI?
@hassanjuma614426 күн бұрын
Kiukweli bachu bado ana itaj kusoma sn hakun anacho faham