Napenda sana mafunzo yako Mwalimu. Elimu tunaipata barabra
@HomeBoy-t5d4 ай бұрын
Yule ni Shetani wa Kuzimu alikuwa anazunguka huku na huko apoteze watu wa Mungu
@mycotv20204 ай бұрын
Nilitamani uongelee Zaid kuhusu kiboko ya wachawi kama kichwa Cha habari kilivyo andikwa
@Kissonlinemedia4 ай бұрын
KICHWA CHA HABARI HAKISADIKI YALIYOMO. 😢
@HenryTindwa4 ай бұрын
Mwalimu kwasasa kila mtumishi ataki cheo Cha uchungaji na ujiita nabii upenda kujiita manabii ili waende kufunguwa kanisa binafsi nakalama sote za kanisa tano atasema anazo
@edinahalexander53064 ай бұрын
umesema sahihi mtumishi.
@MrNoah-gr7rq4 ай бұрын
Mwalimu mwema😊
@GedeonBucumi4 ай бұрын
Amen
@zionembassytv56724 ай бұрын
Miongoni mwa watumishi wachache wenye ufahamu mkubwa💪💪💪🔥
@florchuri81754 ай бұрын
Gg
@florchuri81754 ай бұрын
H
@charlesboniphace22494 ай бұрын
Wewe ni walewale wapalestina wenzako weshakwisha kawateteee Godbless Israel
@fahadfaraj64744 ай бұрын
Uliona wameisha?
@JerrySmartfarm6 сағат бұрын
Saiv huna madini
@officialbutoki69124 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu tunaomba ufafanuzi kwanini baadhi ya dhehebu Huwa hazitumii baadhi ya vyakula mfano dhehebu ya wasabato na waisilamu hawatumii nyama ya nguruwe je kwa wale tunaotumia ni dhambi
@RajabJr-r6y4 ай бұрын
Soma Angano la kale WALAWI 7 : 11 utajua km inafaa ama haifai .
@PrinceHendry-hp8vv4 ай бұрын
Duuu hapo ishakua kale nataka kusikia kwenye upya maana kuna andiko lina sema tazama mambo ya kale yamepita yamekua mapya
@RajabJr-r6y4 ай бұрын
@@PrinceHendry-hp8vv Yesu hakuja kuipinga tourati bali kuitimiza : mathayo 5 : 17 sasa hilo andiko la mambo mapya mtafute aliyesema kwnz maana Yesu hakusema kua sasa mambo mapya bac mkule nguruwe na ukumbuke kua bibilia ina makosa zaidi ya 1000 maana waroma ndio waliyoifanyia uchakataji baada ya kuficha vitabu kw mda wa miaka 325 kisha ndio wakaita bibilia .
@trophywilson72114 ай бұрын
@@PrinceHendry-hp8vvKwenye Upya Yesu Alisema Kimwingiacho Mtu si Unajisi bali Kimtokacho kama Matusi na Mambo hayo mengine
@bettykinyami50964 ай бұрын
Ajenti
@CharlesMisungwi-f8t4 ай бұрын
Huyo hatakiwikabisa hapa ni Muuajina mshirikinamkubwa. huyoAskofu wa Roma anakamilisha unabii.uliotabiliwa kwenye ufunuo.
@AnnaNgobola-pm7fz4 ай бұрын
Maana wajìnga ndiyo waliwao
@PauloIdd4 ай бұрын
Bigup tichà
@IsackIsacksamson4 ай бұрын
Ana chet gan cha utcher?wabongo hamtak kushuhulisha akl zenu mnaamn kla mtu
@shedrackabdulrehman90844 ай бұрын
Nahukia kuona kichwa cha habari na habari Kama kuku na mwewe ebu badilika.
@African5114 ай бұрын
Tatzo watu hawasomi maandiko hasa wakristo😂😂😂 yaani mnadanganywa mnakubali
@trophywilson72114 ай бұрын
Wanasoma Ila Hawajui Kama Ni siku Za Mwisho
@WorshippersofGodarmy-ot1mk4 ай бұрын
Isaya ubarikiwe, pentecostal likisikika kosa basi watoto wa waganga wa kienyeji na wachawi huinua midomo, michafu, walevi na walawiti huinua midomo michafu, Hawa wengi wanaokoloma, wanawaabudu waganga wa kienyeji Hawa ndio tatizo serikalini, dini kubwa hizi ndimo uliojaa uchafu lakini taarifa za haya makanisa makubwa hatusikiagi wakijadili bungeni, sasa wasubili Hawa Wanasiasa hivyo, siku moja kanisa la pentecostal litaikataa serikali kwa upendeleo, wao, pamoja na Hawa vibaraka, wanajifanya wapentecostal bubu, wameshindwa kazi ya MUNGU wamebaki kudandia huduma za waliopewa nguvu na MUNGU, Hawa wachocheji tunawajua wasubili mda wao utafika, na aibu zao zitakuwa nje nje, mwakilembe, hivi shetani hakuwa malaika mtakatifu kabra ya kiasi? Sasa kama shetani alikuwa mtakatifu asiyeijua dhambi hapo mwanzo, lakini aliasi, mbinguni huko huko mbele za uso wa mwenyezi MUNGU, sembuse aliyezaliwa duniani kupitia mwanamke, zaifu, na akaitwa binadamu kwa sababu amedhaliwa na dhambi, heshima ni jambo la busala, hivi hao wanaokosoa Kila kuitwapo Leo, hawana macho ya kutazama hawana akili za kufikili, wao wamemaliza vyote wako mbinguni tayali, kweli nyani alimcheka nyani mwenzie eti unamkia wakati yeye mkia wake ndio mkubwa kuzidi hata wa huyo anayemcheka, tuhubili watu, wajitahidi kuingia katika ufalme wa mbinguni kwa sababu wengi wanataka lakini hawataingia kwa sababu ya kiburi na dharau, na haki waliochibebesha mioyoni mwao ya kuhukumu wenzao, wakati mwenye, kuhukumu amenyamaza akihubiri mda wake, utimie, lakini Cha ajabu mende wametawala nyumba,
@malkiarosemuhando33104 ай бұрын
Kweli kabisa, ni washirikina Huwa wanachukia upentekoste!
@hezekiamhapa73954 ай бұрын
Isaya 66:15-17 maana BWANA atakuja na moto na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli, ili atoe malipo ya ya ghadhabu yake ya moto uwakao na maonyo yake kwa miali ya moto. Kwa maana BWANA atateta na wote wenye mwili kwa moto na kwa upanga wake nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi. Watu wale wajitakasao na kujisafisha katika bustani, nyuma yake alie katikati wakila nyama ya nguruwe na machukizo ya panya watakoma pamoja asema BWANA.
@shedrackabdulrehman90844 ай бұрын
Hapo hoja yako ipi? Mbunge msukuma au kiboko ya wachawi?
@emmanuelkamando53144 ай бұрын
Mitume na manabii wapo kwenye vitabu heri wewe umechagua kua mwalimu
@DamianUlaya-l7g4 ай бұрын
We si ulikua unamtetetea kiboko ya wachawi leo umeumbuka unamkaataa turikwambia ukamtetea
@Faya8844 ай бұрын
Nishetani
@braystuskibassa38424 ай бұрын
Sina ni la mbaya huyo Msukuma mbaka akazungumza hivyo ameona yanayoendelea katika makanisa na misikiti yetu yanatia doa ukristo hivyo alitaka serikali itoa tamke au ifute baadhi ya madhehebu yasiyo fuata katiba nadhani hiyo ndo maana halisi
@trophywilson72114 ай бұрын
Roman sasa Wameruhusu Ushoga Kule Marekani Je Tuifute na Roman?
@mussamohammedy80144 ай бұрын
naomba ufafanuzi wa taurat ya musa 18:18 utabiri huo alitabiriwa nani?
@Visionofeagle96894 ай бұрын
Torati ina vitabu 5 ni kipi unazingimzia?
@RamadhanAlly-p8jАй бұрын
wewe isaya hakili hauna nabii mkuu mbona hausemi au kwakua hajakupa Hela yeye
@braystuskibassa38424 ай бұрын
Yale makanisa ni ya hovyo saana ingewezekana yafutwe kabisa vijengwe viwanda n.k wananchi wafanye kazi
@WorshippersofGodarmy-ot1mk4 ай бұрын
Tuonyeshe kanisa la kweli, ambalo limejaa malaika, wasiokosea, ufahamu ni mzuri sana tumtafute ufahamu,yesu kristo atulize mizimu ya kwenye koo tulimo Toka, maana sasa tunaongea maneno bila kupima unafikili, tumepagawa, nionyesheni kanisa la watakatifu, duniani, halipo, ndio maana yesu alimjibu mwanafunzi mmoja wakati ameuliza hivi, bwana je watakaoingia mbinguni ni wengi? Yesu akamjibu, nakwambia jitahidini, kuingia ktk ufalme wa MUNGU, maana wengi wanataka lakini watakaoingia ni wachache, kwa sababu, wahukumu, binadamu wenzao ni wengi kuliko wanaonyamaza na kumwachia muhukumu mmoja MUNGU
@nduwimanawardaАй бұрын
Kwani mwamposa anaomneya watubure kunamutumishi wamungu tanzania anaomneya watubure jamani acana namambo hayo wewe
@Hussein-gx4qu4 ай бұрын
Waachwe wapigwe hasa wanawake akili zao ni pungufu
@trophywilson72114 ай бұрын
Hata Za Wanaume ,Wale Walio naye ni Wanawake??Mbona Wana Ndevu??Amka