Pole sn mama kwa huo mtihani mzazi wng......kibomba tendeneza pasipoti mdogo wng uje dubai Kuna amani .....uje kupambana na maisha
@Teacher_01Күн бұрын
Dubai unataka ukamuuze.... 😂😂
@AishaMohamedhaidariКүн бұрын
Dubai kuuza k labda Maan huwez kwenda tu Bila connection @@Teacher_01
@Mtana-d2x15 сағат бұрын
😂😂 unataka ukamfanyishe ukahaba sasa uko dubai
@rahmahussein-m9oКүн бұрын
machoz ya huyu mama ni silaha kwa wote walioshiriki kumuharibu huyu bint naamin 2025 utakuwa kibomba mpya mwenye kupenda na kila mtu
@shanifesto9037Күн бұрын
Pole mama hakuna mkamilifu hapa duniani msamehe mtoto maisha yaendelea na riziki zitafunguka maisha anapanga mungu ubarikiwe❤
@shanifesto9037Күн бұрын
Fanya content zako kibomba na mungu atakusaidia na kwasababu umetoa yaliyopo kutoka mwanzo na umekuwa mpya na naamini sasa hivi hawatakufuatilia tena maana umeyaanika ,,hongera kwa kuanza maisha mapya tuko pamoja hakuna mkamilifu❤
@ismailmasoud6001Күн бұрын
Miaka 20 anakwambia amejiuza sana, sasa jiulize Mwanamke kama huyu anakuwaje ukiweka ndani,... mtihani Sana
@RahmaOmar-c2d18 сағат бұрын
Aaa mtihani sana wallahi
@HalimaMichael-x6xКүн бұрын
Kibomba wewe unamliza mama kiasi hiki jamani 😢😢 nimelia mimi wewe mbona unakuwa mjinga hivi wewe utajutia machozi ya mama hayo 😢😢😢😢
@GiftAbduly3 сағат бұрын
Jaman hatujakamika kweli lakn mtu yuko UK uko afu ww upamban na wabongo wenzio kweli haa pole halitakufika jambo lolote inshallah pole
@Khairath-c3xКүн бұрын
Jmn mama anapitia wakati mugumu sana😭😭😭😭😭😭😭😭
@samwa9496Күн бұрын
Watoto wa 2000
@NooorooaКүн бұрын
Pole mama 😢😢😢😢 kibomba jifuzeeee hy maisha cy
@FloraHwagoКүн бұрын
Inaumiza sn jamani kama mzazi mungu tutetee tu
@GlorydavidJeremiahКүн бұрын
Jmn Dunia kuna mengi kua uyaone basi sasa kuna watoto wetu wanafanya vitendo vya ajabu kumbe si kwakupenda ni kuazimishwa!!! Basi sasa tuwaombee wanaofanya vitendo vya kuogopesha si kwakupenda ni kazimishwa Mungu nusuru kizazi chetu
@mummytt15167 сағат бұрын
Vipi mzazi unakubali kwenda kwenye media kujidhalilisha
@HappynessJohn-q3cКүн бұрын
Poleni sana hii dunia ina mambo mengi sana kuweni makini mabinti msipende maisha rahisi yaletayo mateso kwa wazazi
@DottoJuma-k5j21 сағат бұрын
Subhuna Allah inaumiza sn😢😢mam kalia kwa uchungu
@BerthaFelisianКүн бұрын
Mungu akusaidie kibomba maisha yak hatatabaki kama yalivyokuwa
@salama1113Күн бұрын
Pole mama vijana cc ndomana alikuwa hataki atoke😢😢😢😢
@JahedaSalminКүн бұрын
Duuu pore sana mama
@queena.l.s2529Күн бұрын
Lake zangu apo niwakwanza leo ledyna mungu anakuona
@SalmaSamiry3 сағат бұрын
Kibomba mkavu hata halii unamliza mama ako kwa upuuzi wako badilika tafuta kwa njia nyingine utafanikiwatu
@halimammbaga7346Күн бұрын
Watoto mnaua wazazi kwa tabia mbaya
@mr_kajomba_og5719Күн бұрын
Juzi tu alikuwa anatutambia na uchi wake 😂😂😂😂😂
@nasramohamedi409521 сағат бұрын
😂😂😂😂Tena anajigamba na Yule mgomvi mwenzie Yule msagaji😅😅😅
@anethgeorge5474Күн бұрын
Watoto mnatuumiza jmn kwann hv😢😢
@doreenmsafari2945Күн бұрын
Mama amenitoa machozi aki mungu awasaidie 🙏🙏🙏🙏
@Nurdin-t9nКүн бұрын
Mshenzi kweli huyu kibomba
@nuruahmed4842Күн бұрын
Mama ameniliza mno jamani mungu awasimamie sana litapita na maisha mengine yataendelea
@SmilingFreshwaterLake-tg5qpКүн бұрын
Wewe Kibomba unaonesha sehemu zako za Sori mitandaoni kwenda huko
@kadiakirua7621Күн бұрын
Ww kweli mpumbavu yaani unafanya biashara ya kutukana watu kweli ww mwehu😅😅😅
@MapenziMalandaКүн бұрын
Nendeni kwa Mueshimiwa Makonda ata wasaidia, poleni Sana na Kristo awasaidie.
@MuniraMaulid-p4jКүн бұрын
Pole my kuwa jasri
@MwanaidiSaleheКүн бұрын
Man mpak nimejikuta nalia maskin kibomb mdogo wangu badilika hii Dunia ndog sana acha hayo mambo
@NassoMud22 сағат бұрын
Nani alikwambia ujiite kibomba nijibu haraka😮
@MarthaNgerezaКүн бұрын
Nimeumia sana jamani kumuona huyu mama analia😢
@tatu-lx1hy22 сағат бұрын
8:11 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@SelinaMdoe-jv1pu19 сағат бұрын
Utakubalije kubebw a ujinga na mtu kwa kweli ni upumbavu sana umeshajiweke a maadui wengi san a nyumbani Tanzani a mwenzio yupo ula ya huko
@AishaMohamedhaidariКүн бұрын
Mmmh huyu kajiuza mwenyw na kafanya mwenyw kaaah kwanz kukubal tu kuwa nmejiuz umejishusha thaman jaman wadada kwann tupo hvy machoz ya mama ako yatakulaan ww
@Yana_queen122 сағат бұрын
Na hiyo ndo pona yake..Endapo ataamua kuacha na kumrudia Muumba wake
@nasramohamedi409521 сағат бұрын
Bora acngekiri kuwa kawahi kujiuza! Ingekuwa cri yake moyoni😢
@AishaMohamedhaidari19 сағат бұрын
@Yana_queen1 yaani maisha haya
@AishaMohamedhaidari19 сағат бұрын
@@nasramohamedi4095 kwel yaan angebak nalo moyoni
@MuniraMaulid-p4jКүн бұрын
Pole mpenz kuwa jasri
@stacyjames6676Күн бұрын
Pole mama 😢😢 kibomba mhurumie mama
@DelightfulMacawBird-tl5hfКүн бұрын
Kibomba unamliza mama kimbukabmachozi ya mama ni mtihani😭
@SamirPeter-t4uКүн бұрын
Mdada macho makavu balaa
@MsFadhilaКүн бұрын
Huyu mama anaumia sana viatu vyake viziti
@rizikimohamed2449Күн бұрын
Jamani pole sana mama
@creativecontent517323 сағат бұрын
Toto kama hili hasara kisengee..Umemdhalilisha mama yako,umeona uende umvue nguo na kwenye TV
@user-sy6ty8qb3n19 сағат бұрын
Msimpe promo sio mfano wa kuigwa
@MwanaHussein-s2nКүн бұрын
Huyu mama analia kiasi hiki mbele za media sipati Pic akiwa peke yake 😭😭😭
@Shen_tzКүн бұрын
Nikweli Ana mzalilisha sanaa mama ake pamoja na family
@jumasaid3228Күн бұрын
Wewe mtoto nilikwambia wewe kibomba wacha mambo hayo ulinitukana Sana kibomba nilikwambia kibomba
@hanifaa1487Күн бұрын
Pole Sana mamaa
@WilbertMalula-vv7ml18 сағат бұрын
MUNGU AMEKUSAMEHE
@Yana_queen122 сағат бұрын
Miaka 20 lkn yupo km 35 aki daaaa😢
@mcmwitatv1951Күн бұрын
Hapo hakuna kitu Msamahaa wa kwelii sio wakushinikizwa mbele ya Camera Jamii ya sawa inaharibiwaa sana Na sisi Wenyewe. Binadamu Tupendane sana ukiona na kufurahi shida ya Mwenzako basi jua wewe ndio sababu. Ukikosea Mwanzo usitegemee kuwa utarekebisha.
@HajiAliSaidКүн бұрын
Si mnajiita watoto waefu 2000 na bado kitawalamba sana kwatamaa zakisenge ngoja nichake kidogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@elizabethmanyanga1448Күн бұрын
Ukicheka hakikisha huna kizazi Mungu ni wetu sote
@HawaAbdu-gt3yzКүн бұрын
Inaumiza san yaani mama analia hvi
@Husna-pn5ggКүн бұрын
akuna fltel hapo eeh😂😂ila umeamua kutoa ya moyon bas iwe kwel kibomba mung anatupenda
@Shen_tzКүн бұрын
@@Husna-pn5gg tushazo2ea kuona ako na mafilters nimestuka sanaa kuona huyu ndo yeye😆 😂 🤣 😅
@Husna-pn5ggКүн бұрын
@Shen_tz 🤣🤣kidog nitupe simu jamn mmh izi filter so mzur wallah ila kwakua kaomba msamah bas watanzania tumsameh mahan mim kuna ndug yan kamtukana na haongei nae
@IsmailYusuf-nb9jtКүн бұрын
Ume niwahi 😂😂😂
@Shen_tzКүн бұрын
@@Husna-pn5gg ila huyu bint Ana mdomo sanaa tena Ana maneno mabaya sanaa, asipo kuwa makini watampoteza wallah
@Husna-pn5ggКүн бұрын
@Shen_tz nikumsameh tu bas mahn mmh aise anatukan sana madhar kaomba msamah bas asije rudia tena
@MwanaHussein-s2nКүн бұрын
Akili za kushikiwa... Yaani unathamini pesa kuliko utu wa wenzio.. Mtt mjinga ni mzigo kwa mzazi wake.. Allah atupe subra wa mama wote duniani 🤲.. Mdada makavu mama anaumia Sana huyu Dada sio muungwana Ata kidogo
Usikute wamepanga walie ivi ili serikali iwasikie 😂😂😂😂serikali mkiwasikia hawa wakamateni wote kuanzia ao wa Uk mpaka hawa wa Tanzania Kamateni wote wanatuharibia vizazi vyetu na kama kinavuta bangi kipelekeni sober house labda hakipo sawa😂kamateni woteeeeeeeeee wanatuharibia jamii serikali serikali kamateni wote em ngoja nikawatag uko kuanzia gwajima mpaka police tanzania
@MwanaidiSaleheКүн бұрын
Dahh mama kashindwa kuongea
@NasraIbrahimu-n1yКүн бұрын
Pole san mama 😢
@Arsenal500023 сағат бұрын
Mshamba ww wakuue tu
@JoyceFrancis-r8oКүн бұрын
Jamn kibombakumbe bdo mdogo dah
@graxsamemmanuel3044Күн бұрын
Sahv yamekukuta ulikua unatukana sana tukikwambia unatulamba block hatimae yamekukuta
@middlemamba6062Күн бұрын
Kwa akili zako timamu umekubali ajira ya kutukana watu ,shetani kakugeuka wataka msaada kwa uliowatukana, We pimbi kweli.
@RayOmar-vk2nn23 сағат бұрын
Huyu mama alikua wapi binti akitukana watu online na huyu binti amekiri mwenyewe alikua analipwa kutukana baadae anasema kesi zake ni fake jaman as long as anamiaka Zaid ya kumi na nane sheria ichukue mkondo wake alikubali kulipwa azalilishe watu na bado naona maelezo hayajanyooka kuna mambo anaficha dj tuletee lady naa
@AishaZuber-z6gКүн бұрын
😢😢😢😢SubhanAllah
@arafaally2895Күн бұрын
Umri huo unamliza mamaako
@MiriamMpandujih-c7sКүн бұрын
🙆🙆💁🙆
@GloryEmmanuel-c5sКүн бұрын
Kusema kweli ulikuja unatukana watu Sanaa
@MwanaidiSaleheКүн бұрын
Yan me mpk nilishangaa huyu bint anamatusi Wallah 😢😢😢 mpk mtu akimshaur kidg usiwe hiv anakublock
@AMINASAIDI-mx7rsКүн бұрын
Tatizo tamaa 3:38
@ZahraAdam-e6cКүн бұрын
Ila ni muogo sana we mtoto
@ChocococoliamКүн бұрын
Alijifunua nguo mbele za watu alionyesha uchi wake kabisa 😂😂😂😂😂😂yeye mwenyewe mbele ya TikTok live watu walikuwa zaid ya watu mia 400 Hakuna content wanatuharibia watoto
@zaburi238623 сағат бұрын
Kwel kuzaa sio kupata mama wa watu anahangaika shauri ya vtu vya kijinga na utoto cjui umalaya wa mwanae kweli
@RoseJeremiahКүн бұрын
Afu kumbe sura y kawaida tu mbon TikTok unang'aa San
@rayahamisi118Күн бұрын
Kwani maana kibomba nn
@cheiknamouna2058Күн бұрын
Wadanganye wasikuona live tiktok,wee unaonekana umeharibika kitambo video zako ziko Telegram kuma pana kama shimo la panya achana na Lady Naa humfikii hata 🤌
@farajamwapasi75Күн бұрын
🙆🏿♂️
@Erickomondtz08Күн бұрын
Watoto wakike mnazalilisha san wazaz
@samwa9496Күн бұрын
Hata wa kiume.kuvuta madawa ya kulevya, kulewa ovyo
@elizabethmanyanga1448Күн бұрын
Na watoto wa kiume kuwa mashoga wazazi ndo hawaumii? Kuna aibu kubwa kama mtto wa kiume kulala na mwanaume mwenzie
Tuombeni salama watoto wa zama hizi Mungu awasaidie
@anethgeorge5474Күн бұрын
😢😢
@arafaally2895Күн бұрын
Tabia haina dawa.mtu anawatoto wawili lakini akili kisoda
@samwa9496Күн бұрын
Bangi mbaya sana
@SaidSeif-d4yКүн бұрын
hata angekuawa na watoto 10000?????!!! wanawake hawana akili....
@samwa9496Күн бұрын
@@arafaally2895 anywe maziwa yasio chemshwa yanatoa sumu ya madawa ya kulevya akili itakuwa sawa
@elizabethmanyanga1448Күн бұрын
@@SaidSeif-d4ywanaume wenye akili ndo hao wameamua kuwa wanawake idadi ya mashoga ni kubwa kuliko wanaume mfkirie kabla ya kuandika
@Shen_tzКүн бұрын
Single mother na anajichetua kama mwehu
@doreenmsafari2945Күн бұрын
Jamani 😅
@neemamassawe8091Күн бұрын
🤦♀️
@komandowainjiliyayesuКүн бұрын
MUNGU ATAMUNASUA KIPOMBA SERIKALI IMSAIDIE HUYU MAMA MAANA KIBOMBA KATUBU KAACHA KUFANYA MABAYA KIPOMBA NAKUOMBA UFUTE VIDIO ZA MITANDAO NAKUOMBEA KWA MUNGU NIMESIKIA UCHUNGU SANA
@Naju645Күн бұрын
Mjinga mmoja unatukana watu nakudhalilisha kisa hela muwe naakili mitandao isiwahadae
@nzegeatv6355Күн бұрын
Iki kidada kinafundisha mambo ya ngono mtandaoni afu kijeuli balaa
@samwa9496Күн бұрын
Amekiri na Mungu humsamehe alie tubu kwa moyo mmoja kwani kosa si kosa, kosa kurudia kosa akili zimerudi