#kichomi #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #dumafilms SUBSCRIBE CHANNEL YA DUMA TV ILI KUTAZAMA FILAMU ZAKISWAHILI ZENYE KUFUNDISHA NA KUBURUDISHA
Пікірлер: 283
@user-ji9tw7jw4o2 ай бұрын
Jmn mm kani surpise jmn welu sengo kumbe yupo vizur akiwekwa sehemu yoyot nimemzoea mama romatic2 upo vizur san❤❤❤🎉 nakukubali
@liliangodfrey-kl4jo8 ай бұрын
😂😂😂😂 sengo umenifanya nifungue hiii video team sengo likeeee🎉
@Julitha-vs9ee8 ай бұрын
Yani nimemuona tuu nikaona niangalie huku uswahilini kaigizaje hahahaaaaa
@mwanatumu7012Ай бұрын
Mm pia kadhalika
@husnabilali309910 ай бұрын
Jaman wote wadada wa kweny hii movie nawapenda San mnajua mungu azid kuwalindia kipaji chenu 🎉🎉❤❤❤
@nasraabdallah856610 ай бұрын
Nimekuja kuangalia movie kwa ajili ya welu sengo tu nampenda kinoma uyu dada❤
@zawadichalale404710 ай бұрын
Me too pamoja na habiba chorage
@zena620310 ай бұрын
Kama kawaaaa
@rozeyousef982310 ай бұрын
Yani analeta mvuto kwa movies
@LatefaLatefa-ld3qy10 ай бұрын
Welu anajua bhn❤❤❤
@MissgloryPrince10 ай бұрын
Same same welu tuu
@user-po2ks6qr8q9 ай бұрын
Mimi nimeiangalia movie hii kwa sababu ya cholage habiba namkubali sana sana huyu dada jmn mungu ambariki kwenye kila jambo lake❤
@kitwanathabiti8 ай бұрын
Malikia mweusi
@NeemaEdwin10 ай бұрын
Tupo wengi tunaompenda welu❤❤❤
@aminamwivita76909 ай бұрын
Tuko wengi ❤❤❤
@angelrichard89910 ай бұрын
Kweli welu mm pia nakupenda xana dear
@notykapinga897010 ай бұрын
Jaman sengo kumbe uswahil unauwez jamn😂❤
@agencyforruraldevelopmenta950210 ай бұрын
Amenenepa sanaa WELU jamaniii but i luv you
@happyfaniabatromeo801010 ай бұрын
Ilete azam bhana 🔥🔥🔥🔥habiba anajua bhana Dada sengo big up sanaaa 🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@DinaGulesuАй бұрын
Mungu akubaliki sana kipenzi cha wàtu ❤❤❤❤
@DinaGulesuАй бұрын
Napenda movie zenu san
@LatifaAbdalla-jb3ns2 ай бұрын
Naangaria muvi hii kwa ajiari ya welu sengo ❤
@omanbahla151110 ай бұрын
Nampenda habiba chorage 😂❤
@gloryemmanuel758010 ай бұрын
Jamani Wellu wng nakupenda ❤........yn nmeangalia hii movie coz ya ww jmn
@seyyactor141810 ай бұрын
Hongera KWA DUMA amejua kum tengeneza welu kutoka kwenye uzungu hadi kuwa mswahili kabisa kaz kubwa mmefanya ukiangalia welu lugha ya kizungu haigi ni kama ipo tu kama sehemu ya maisha na kumfanya kucheza kwa muundo huu ❤❤❤❤❤❤
@mwanaelmwinbe-pb5qv9 ай бұрын
Nimeangaliaa hiii muvii sababu ya welu basii
@swaumujuma563610 ай бұрын
Duma umetisha baba chukka makop❤❤❤❤❤❤
@masikajuma99739 ай бұрын
Inaoneshwa kwenye chanel gani
@user-pl4ns8sb4k10 ай бұрын
Jamani kwani mlichagua wote vibonge😂😂😂 kichomi kweli
@JennyJma10 ай бұрын
Nimekwama hapo kwenye msuko wa huyo Tatu mwenye tii 3 Habiba chorage pembeni kijani katikati kijogoo😂😂😂😂😂
@lucymarko56299 ай бұрын
Mi nilidhan kaweka headphone
@user-zm5wh8ef2b5 ай бұрын
Mm nmechek😂😂😂
@zulfahamidu776210 ай бұрын
Habiba cholange😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nampenda huyu dada na Govinda,siwawa kombolela jmn ila movie za uswahilini tamu sanaaa
@LydiaMwakabenga-nv2vb10 ай бұрын
Duma fanya uilete Azam Tv basii 🙏
@aishamohamedy529 ай бұрын
Welu mlipo mpeleka uku sio pake mambo Aya wezi mpole sana
@princessleonard952210 ай бұрын
Jaman nimeangalia hii movie kwa sababu ya Welu sengo na huyo mwingine waliokuwa wanabishana nawapenda tuu bure.
@glorianikiza394010 ай бұрын
Movie za duma zote ni 🔥
@official_thedon7 ай бұрын
Kali
@TinnaMajaliwa-zz9ge10 ай бұрын
Jamn sio nyie tuu mnaompenda wellu sengo, mi pia nampenda sana wellu sengo ❤❤❤❤❤❤
@maligeltabatholomeo812810 ай бұрын
Weruuuu🎉 na habiba dah
@MarthaSteveny7 ай бұрын
Team sengo mpoooo❤❤
@tanzaniaoman642310 ай бұрын
Daah kweli kichomi uswaxi kumechangamka yani maeneo ya mburahati kagera manzense😁 yani maisha ndio hayahay
@aishasalum44609 ай бұрын
Mie welu umenileta uku nakupenda. Mnooo 😁😘😘❤️
@punguamazima556510 ай бұрын
Kazi nzur sana. Hongera kwako DUMA.
@devothamkinga56639 ай бұрын
Nampenda habiba chorange na coreta jmn mpo moyoni
@user-xl9wc6ob4v4 ай бұрын
Jmn mery upo ADI kweny kichomi nakuoendag mery WA jua kali ❤️
@queendollie879210 ай бұрын
Welu hii character sio yake na nishaona akiifeli, maybe kama the director atampa training zakutosha! She has tried but not yet, Welu I love you a lot n am so excited umepewa character ambayo hujawahi kuAct, like this is your way to prove that you can fit in popote, zaidi ya haya Duma anaupiga mwingi sana🙌🏻🔥
@mugishaayvess697210 ай бұрын
Kabisa na mimi nimeona kbs iyi role ambaye wamempa kwa kweli hayimpendezi....muonekano wake sio wauswahilini kbs ....iyo nafasi yake wangeyimpa coletha afu yeye wakaampa iyo nafasi ya coletha
@NasraNasa-mp7mf10 ай бұрын
Jamani me nampenda coletha
@RizikiZiki10 ай бұрын
Nilicekewa naona mambo ni 🔥
@babykisura108910 ай бұрын
welu bado sn kuigiza uswahilini sbb pumzi ya kubwata mfurulizo hana ila habiba yupo vzr hii mibwato inahitaji pumzi ndefu haswaa😂😂
@JennyJma10 ай бұрын
Ila amejitahidi fresh tu
@sophiamgina742910 ай бұрын
Mary wa jua Kali yupo waooh❤
@GracieTyno9 ай бұрын
Nimeplay kwa sababu nimemuona wellu kwenye thumbnail😂😂😂i love that lady❤
@Mwajuma-pp2mr10 ай бұрын
Ata mm pia nimekuja kuangalia movie kwajil ya Wellu sengo yan nampenda xan
@chinoibrahim5410 ай бұрын
My fvrt kichomi🙌🙌🙌
@KoroboiCharles12 күн бұрын
❤🎉🎉🎉
@wemamgata5 ай бұрын
Mm hapo malaika mweusi mzuri dunia nzima
@zawadichalale404710 ай бұрын
Congratu Duma umetuwekea waigizaji wazuri woteee illa kafupi mno jamani
@uwizeyimanazuwena82510 ай бұрын
Nzuriii jamanii
@SashaKhalid-bj2tl10 ай бұрын
Mashallah Kaz nzur san mim shabiki yko kutokea zanzibar Allah azidi kukufungulia mirango ya barka kaka Duma
@aminahhuawei113310 ай бұрын
Kweli hichiii kichomii maana waliyomohumu ndani wote nawakubali😂😂😂😂❤❤❤
@AtukuzweKinyamagoha-ih5oo9 ай бұрын
Nawapenda wote jamani♥️♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰
@SolangeSoso-qb5ft10 ай бұрын
Malikiya mweusi uyo kweye kombolewa na mpenda sana
@NancyBrayan-wi2lr10 ай бұрын
Habiba cholage🥰
@rosemarenga83210 ай бұрын
Nampenda sana well
@user-tu7rv7pn1j8 ай бұрын
Nampenda Cheus kwenye movie ya mtaa wa kaza moto anauwa sana uyo dad ngoja nione na hii
@TinahRobert-mf5mf9 ай бұрын
Wellu unaupiga mwingi dada hongera sana...❤️ so much