KIGWANGALA AJICHANGANYA, MSAMBATAVANGU AMUWAKIA "NAKUSHANGAA WEWE NI MWANAUME HALAFU DAKTARI"

  Рет қаралды 22,531

Wasafi Media

Wasafi Media

2 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 167
@westserengeti5608
@westserengeti5608 2 ай бұрын
Wewe kweli ni mama, Asante kwa kumsemea mtoto wa kiume
@mudathirbaalawy813
@mudathirbaalawy813 2 ай бұрын
Asante muheshimiwa natamani niku hug from 🇴🇲
@Tg.7_7
@Tg.7_7 2 ай бұрын
Huyu tunatakiwa kutoa Sadaka ya Shukrani kwa ajili yake!! 🙏
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 ай бұрын
Kichwa chako wewe😂😂😂🙌🙌
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 2 ай бұрын
Huyu mama alindwe kwa galama yeyote ile nahayo ndio maagizo ya mwenyezi mungu ubarikiwe sana mama
@user-zj1rl4qu6d
@user-zj1rl4qu6d 2 ай бұрын
Sio wewe mama ni mungu anakuongoza dada yangu barikiwa sana
@ErickMwashambo
@ErickMwashambo 2 ай бұрын
Shukrani sana kwa kututetea mama yetu wanaume sasa hivi tunaonewa sana
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 ай бұрын
Bora mama umetutetea sisi wanaume mwenyez mungu akubariki
@Zaburi-
@Zaburi- 2 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Mwanaume mwenzio akili kisado alafu eti ni doctor 😢😢😢😢😢 ningepata nafasi ngemkata pua😢😢😢😢😢😢😢 baba atabaki kwenye nafasi yake kama kiongozi wa family
@simonmlelwa440
@simonmlelwa440 2 ай бұрын
HEKO sana kwako Mama … quite a point!
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 2 ай бұрын
Safi Sana usawa wa kijinsia mlango wa mapepo
@barakahosana6579
@barakahosana6579 2 ай бұрын
Huyu Mama nimempenda bure kwa kweli👏👏
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 2 ай бұрын
Asanteee mama Bora hata umeongea
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 2 ай бұрын
U.esema kweli kabisa kuna wanaume wananyanyasika sana hawasemi tu wanaugulia miyoni barikiwe
@gadrontz9042
@gadrontz9042 2 ай бұрын
Mama wewe ni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 ай бұрын
KUMBE KUNA WABUNGE WENYE AKILI❤❤❤❤DUHHHH!!!??
@haizuruMakombo
@haizuruMakombo 2 ай бұрын
Nashukuru mama kwa kuongea point.ila nakuhurumia kwasababu nchi zetu zinapangiwa na mataifa yaliyoendelea kwasababu ya utegemezi na woga
@faridmnyamike556
@faridmnyamike556 2 ай бұрын
Mama yangu Msambatavangu Shikamoo, Asante sana Mama, Hiyo Motion yako imeshiba.
@MenelusCzar
@MenelusCzar 2 ай бұрын
ASANTE MAMA ❤ Huyu ni MAMA NA NUSU 🔥🔥🔥
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 2 ай бұрын
Da mama Mungu akusaidie
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 ай бұрын
Wasikuache kukuchaguwa kwenye Jimbo lako. Unahakili sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 2 ай бұрын
Inashangaza sana Dr. Kigwangala unatoa comment ya hovyo namna hii. Yaani huoni hilo tatizo. Wanaume tunanyanyasika anatokea mwanamke anatetea wewe unampinga. Mungu si mjinga kumfanya mwanaume awe kichwa cha familia. Sasa hivi watoto wa kiume hawana mtetezi wanageuzwa kuwa mashoga kila kona. Wanawake wanakuwa ma single mother wanalea watoto bila baba zao matokeo ni ongezeko la mashoga.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Huyu tumwekee kwenye kundi like la wababa wanaolawiti na kubaka watoto wao mwamke kaona hatari yee kaona sawa MUNGU mfungue ufahamu, hii haki sawa hapana
@user-bp2cc9eo6g
@user-bp2cc9eo6g 2 ай бұрын
Hii ndiyo kuongea,unaongea points tena kwa HERUFI KUBWA,safi sana mama Tanzania🎉🎉🎉🎉🎉
@salehemcharo
@salehemcharo 2 ай бұрын
Huyu kigwangala ni shoga 😂😂😂😂 anatutia aibu yani mwanamke anatutetea kigwangala anatoa hoja za hovyo. Sijapenda mungu amuweke huyu mama. Aisee
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 2 ай бұрын
Ukiwa Dr halafu ukaongea point less aibu sana. Kwa hii Dr ni Huyu Mama, big up mama
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 2 ай бұрын
Dah tumepata mtetezi Huyu mama anafikiria tofauti sana ,program zote za kijamii zimebeba agenda ya mwanamke,
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 2 ай бұрын
Agenda ya kuwadogolesha wanaume ilianza Beijin. Huu si mpango wa Mungu. Shetani anataka kuua taasisi ya familia. Sasa hivi kuna wanaume wanaolewa na wanaume mabasha. Huu ni ufidhuli mkubwa unapaswa kupiga vita.
@DeusRobart
@DeusRobart 2 ай бұрын
kigwangala dishi limeyumba😂😂😂
@josephjulio6112
@josephjulio6112 2 ай бұрын
Alaniwe kabisa pamoja na watoto wake
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Limejifunika kabisa 😂😂😂😂😂
@m.e.ssofttech2806
@m.e.ssofttech2806 2 ай бұрын
Ndio maana mashoga wanaongezeka na single mother wanaongezeka
@RevocatusWilliam
@RevocatusWilliam 2 ай бұрын
Hii ndo lugha inayotakiwaa kutoka sasa kwa mama zetu.
@zephaniahfanuel8444
@zephaniahfanuel8444 2 ай бұрын
Huyu mama wa Iringa hatakagi michongo ya usingle mother ni ushetani huo, Tungekuwa na mama kama hawa hakungekuwa na ushoga wala usagaji TZ
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 2 ай бұрын
Asante sana mama mwenyez mungu akusaidie sana
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 2 ай бұрын
Wewe ndie mama mwenyemaono, naumelelewa, nakweli mwanamke ukimgusa kidogo tayari unawekwa ndan nahilo kweli limewachosha wanaume matokeo yake kutelekeza familia
@charlessamwel7581
@charlessamwel7581 2 ай бұрын
Mama uko vzr
@FelisterLigazio-mw3hh
@FelisterLigazio-mw3hh 2 ай бұрын
Sema mama, Mungu akubariki tuku pamoja nawe
@JasbaKipingu
@JasbaKipingu 2 ай бұрын
Hakika Waume tumechanganyikiwa keli leo mwanaume anatukana tunatetewa na mwanamke eeee mungu tuvushe tuko hatarini sisi waja wako
@dericktouch5723
@dericktouch5723 2 ай бұрын
Asante sana ni uwepo wa mungu umetuonekania kwa huyu mama no ushoga tanzania tamaduni zetu haziruhusu kabisa
@magomadamian3468
@magomadamian3468 2 ай бұрын
Safi Sana Bora hata umewatetea hao wanawake bila kujijua Ka wametetewa maana siku zijazo zitakuwa mbaya sana.staeleweka na wengi ila wachache tu
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 2 ай бұрын
Kigwangala bhana , hilo si ndilo analosema lirekebishweeeeee? Huu uchawa bhana umekuharibu sana, utabaki kubebea wanawake mabegi tuu weweeee
@ErickBandushiEtien
@ErickBandushiEtien 2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu ubarkiwe
@ALINUWILAMKONONGO
@ALINUWILAMKONONGO 8 күн бұрын
Utashangaa wanapuuza hoja za huyu mama wanashadadia trab and trat 😭
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Ай бұрын
BIG UP MAMA🤣 👏👏👏
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 ай бұрын
Bora hata umeongea naona watu sasa akili zimefunguka
@cholesilwela5186
@cholesilwela5186 2 ай бұрын
Asante Sana Mama Kwa kututetea sisi wanaume
@madinaMussa-hm8in
@madinaMussa-hm8in 2 ай бұрын
Asantee mama
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 2 ай бұрын
Taifa linaangamia tulud kwenye njia maana tumepotea kwa kumwinua mwanamke na kumshusha mwanamme
@2.12carrental6
@2.12carrental6 2 ай бұрын
Mama Yangu Jeska Mungu aendelee Kukupaq Sauti Ili Kuteteaaa
@meshackpatrick6981
@meshackpatrick6981 2 ай бұрын
Apewe uprofesa Ikiwezekana ajengewe Sanamu
@Butondo
@Butondo 2 ай бұрын
Well said mama. Tatizo hizi haki za wanawake inashachukua kila kona
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 2 ай бұрын
Wanaume siku hizi ni kama mabinti, tusemee mama achana na hao wanaoleta taarifa za hovyo .
@omarimketo8621
@omarimketo8621 2 ай бұрын
Asante mama
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 ай бұрын
Safiiiii saaana Mama pongezi kwako 🙏🙏🙏
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 2 ай бұрын
Kuna raisi kila sherehe zamashoga yupo hao kinaharmonaiz dimond nawengine ndio maajent wakubwa
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 2 ай бұрын
Yani akili kubwa kama hii inapatikana Tanzania,eeh MUNGU ibariki Tanzania
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 ай бұрын
Mama hongera ila nashauli (thyroidectomy ) ni nzuri kwa afya kwa wenye thyroid hyperplasia
@ImanueliMwakajinga-ry8ig
@ImanueliMwakajinga-ry8ig 2 ай бұрын
Waooo awa ndo wabunge tunao wataka
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
Wanafanyiwa lakin awana pakujitetea kabc jmn yaan nihuruma sana wanawake wamewekwa mbele sanaa na ndo maan utaskia mwanamme kamuuwa mke kwasababu anauchungu mwingi na mambo mengi anashindwa pakuyasemea
@PaulinaLwena
@PaulinaLwena 2 ай бұрын
Mbunge ustaili hongera sana
@user-oj3lv6et4n
@user-oj3lv6et4n 2 ай бұрын
Ningekuwa Rais ningekupa uwaziri wa jinsia maana umeupiga mwingi sana mpaka shoga kigwangara aumbuka
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 ай бұрын
Nampendaga sana mh Jesca udumu mama
@raphaelmethod5599
@raphaelmethod5599 2 ай бұрын
Fact mama bora
@jameswissa9981
@jameswissa9981 2 ай бұрын
Huyo Daktari aliyetoa hiyo taarifa apimwe akili..
@YusuphMnyachimo
@YusuphMnyachimo Ай бұрын
Uyo mwishimiwa mbunge wakiume alieomba muongozo tunamashaka naee
@michaelmlacha5670
@michaelmlacha5670 2 ай бұрын
Tukiongea ukweli bila kupepesa macho, hiyo WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, ilipaswa kuitwa WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, WANAWAKE, WAZEE NA WATOTO. Hamna kitu wanafanya Kwa ajili ya WANAUME aisee.
@user-xc5lt3jm6p
@user-xc5lt3jm6p 2 ай бұрын
Hii sauti ya mama imetoka Kwa mamlaka ya mwenyezi Mungu sauti haipingwi hiyo imeenda
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 ай бұрын
Hakika uzao wa kiume uko kwenye moto mkali jamani... wanaume wamechoka sana jamani...mifumo umeua wanaume imemaliza watoto wetu wa kiume...uuuuwiiiii
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 ай бұрын
Hongera sana!
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 ай бұрын
Safi mh jesca umetuwkilisha vzur
@user-cu3cl4yy5s
@user-cu3cl4yy5s 2 ай бұрын
Asante mama umesema yaliyokweli
@jovianusrweikila8595
@jovianusrweikila8595 2 ай бұрын
Well said Mama...
@JOHNKKULULINDA-pc6gy
@JOHNKKULULINDA-pc6gy 2 ай бұрын
MAMA, MUNGU AKUBARIKI SANA.
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 2 ай бұрын
Umeongea vitu vya point sana nakuombea sana uwe ww waziri
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 2 ай бұрын
Safi Sana.
@alinanusweedward2952
@alinanusweedward2952 2 ай бұрын
Dah Mitano tena kwa Mama Msambatavangu
@st.alvincollege6184
@st.alvincollege6184 2 ай бұрын
Alikua mgeni rasmi wakati namalza Form 6 mwaka 2012 ni hatar kabisa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Huyo kigwangala hana akili huyo,huyo huenda anatumiwa na wazungu kuongeza mashoga
@user-sn9ip6qr3l
@user-sn9ip6qr3l 2 ай бұрын
Kwakwel nashindwa cha kukoment mama umeongea mno ila hawa kuna muda huwaga naifikiria sana serikal hii ina nin jaman afadhali umeongea mama ang vitoto vyetu mtaan vinabakwa mno tuu huku na mibaba 😢😢
@user-xp8fe3iz8w
@user-xp8fe3iz8w 2 ай бұрын
Aaah we mama unajua umuhimu wa kijana wa kiume sana
@user-zm5co2rf6z
@user-zm5co2rf6z 2 ай бұрын
Dah uyu mbunge anaakili sana
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 2 ай бұрын
Kwa kweli
@RashidKidolingo
@RashidKidolingo 2 ай бұрын
Asante mama yangu,mpaka nimelia
@nurdinswalehe
@nurdinswalehe 2 ай бұрын
Kweli huyu mama kweli
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Huyu ndo mama wa kazi" sio yule dhaifu toka kizmkazi"
@mansooranam831
@mansooranam831 2 ай бұрын
Hiyo kigwangala mwanaume mwenzetu au?? Acha ujinga wewe, tutetee na ss mama
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 ай бұрын
Kigwangala hovyo sana aise
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 2 ай бұрын
Tena akil zake chache sana yaani mwanaume unatetew bado yy anaona haki kwa wanawake au shoga nn😂😂😂
@issaomari5297
@issaomari5297 2 ай бұрын
Kila siku woman empower halaf bado wanalalamika vijana hawataki kuoa stupid kabisaaa....mama kaongea fact sana ..wazungu wametuletea vita ya kifikra tuamke sana na viongoz wajitathimin sana
@MakukaNyango
@MakukaNyango 2 ай бұрын
Mama mungu akupe miaka mingi duniani na ikibidi mwakan gombea uraisi maana una mtazamo chanya juu ya wanaume,kuna muda tuulizane ,kama wanaamini wanawake wanaweza mbona kwenye harakat za ukombozi wa bara letu pendwa la africa hakutokea mwanamke rais kwahyo tukae chini tujitafakari
@westserengeti5608
@westserengeti5608 2 ай бұрын
Yaani huyu mbunge, kwa neno Hilo, hata kama una dhambi, Mungu akusemehe, yaani Leo umenena vema.
@YusuphShabani-wk5bv
@YusuphShabani-wk5bv 2 ай бұрын
❤❤❤❤ 👍
@LightnessMunisi-uo5pd
@LightnessMunisi-uo5pd 2 ай бұрын
Asante mama yetu
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 2 ай бұрын
Na mkiendelea na sera za kiboya hizo mtajaza masingle mother nchi nzima endeleeni kukandamiza wanaume
@user-kc3dx3fd8g
@user-kc3dx3fd8g 2 ай бұрын
Kigangwala kweli kazi ipo kashapotea huyu mzee
@user-zg9cu7jp3q
@user-zg9cu7jp3q 2 ай бұрын
Mungu azidi kukupa kibali
@amirimkuchi
@amirimkuchi 2 ай бұрын
huyu mama hana namba ya tigopesa tumchangie ela ya soda 😮
@christerlymakala791
@christerlymakala791 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 ай бұрын
Hoja ya kigwangala ina maana ....lakini kakosea context ya mada....
@JOHNKKULULINDA-pc6gy
@JOHNKKULULINDA-pc6gy 2 ай бұрын
MAMA KUMBE MPO MAJEMBE. TOBOA MAMA, SIASA ZA KUJIKOMBA KWA MATAIFA NA MILA ZAO NI USHETANI.
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 2 ай бұрын
Akuna chakipaumbele ataloboti nilakike liwepo nalakiume
@DeusRobart
@DeusRobart 2 ай бұрын
maisha malefu mheshimiwa nakutakia
@josephmwinuka3982
@josephmwinuka3982 2 ай бұрын
Kigwangala huna jipya 5:44
@RichardZachalia-ph3ot
@RichardZachalia-ph3ot 2 ай бұрын
🎉🎉
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 2 ай бұрын
Fact
@ErickBandushiEtien
@ErickBandushiEtien 2 ай бұрын
Nitmie namba yako hatakama unanizidi kipto nikutmie kahawa
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 9 МЛН
Workshop | AI: A Serious Look at Big Questions (360°)
2:34:24
Harvard Data Science Initiative
Рет қаралды 56 М.
Детство злой тётки 😂 #shorts
0:31
Julia Fun
Рет қаралды 4,8 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 12 МЛН
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 8 МЛН