Рет қаралды 379
Leo team ya AJE-FARMS imekutana na kijana Madole mkazi wa Dodoma aliyemaliza darasa 0 (hakuwahi kuingia darasani tangu amezaliwa) lakini aliiona fursa ya biashara ya viazi Ulaya na kwa sasa ni sonko (tajiri) wa biashara hii.Hununua viazi hivi kutoka Njombe na kuviuza kwa jumla jijini Dodoma. Kupitia kwake utajifunza kupambana, kujitoa na kushirikiana na wengine katika kujiletea maendeleo na kuwa kazi zipo ila ajira hazipo kwa sasa !
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII KABLA YA KUANDIKA MAONI AU MASWALI YAKO CHINI YA VIDEO HII.
#viralvideo #farming #ajefarms #business #mashambayanayotembea #kilimo #kilimokwanza #kilimoufugaji #kilimotz #ajira #viazi #agribusiness #ufugaji #mashambayanayotembea #fyp #viralvideo #duet #youtubeshorts #subscribers #reels #tanzania #africa #agriculture #smartfarming #vijana #kaziranga #kenya #masoko #marketsurvey
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA