Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI NA KUBADILI FIKRA ZAO 🙏🏿
@rosemarysulle928816 күн бұрын
Ameongea point ya msingi na muhim sana,haikuwahi kuongelewa toka tuingia kwenye mapinduzi ya kilimo.madalali ni shida kubwa kwenye hii nchi
@rosemarysulle928816 күн бұрын
Asanteni sana Aje farms.mm nimkulima wa mbogamboga kwakweli niliamua kufungua tu gengeangu mwenyewe niuze mbogamboga mwenyewe,maana nilikuwa naonewa mno na madalali.
@aje-farmsmashambayanayotem739216 күн бұрын
Hello, Rosemary! Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI NA KUBADILI FIKRA ZAO 🙏🏿. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Unaweza pia kuwasiliana nasi kwa WhatsApp:0757757968.
@rosemarysulle928816 күн бұрын
Asante
@paschalpaul386217 күн бұрын
Mkulima kulima pasipo na vyanzo vingine hawezi kuona faida pia tafsiri ya mikopo ya kilimo ni siasa maana ili upate mkopo wa kilimo lazima uwe na nyumba sasa mkopo ni wa kilimo nyumba inahusikaje?? Hiyo ndiyo inawafanya wakulima wasipate mikopo matokeo yake mnaishia kutembelea mizengo pinda ambaye shamba linatunzwa na pesa za walipa kodi
@aje-farmsmashambayanayotem739217 күн бұрын
Ni kweli hakuna wakulima ambao hawajawahi kupata mikopo ya kilimo hasa mashine za kilimo na mashine hizo zikatumika kama dhamana pekee? ??! Yaweza kuwa huna taarifa sahihi !
@paschalpaul386216 күн бұрын
@aje-farmsmashambayanayotem7392 taarifa ipi sahihi sasa,mimi nilichosema kama ni mkulima huwezi kukopa pasipo dhamana nyumba kama uamini nenda benki yoyote useme unataka mkopo wa kilimo kwa kuonesha shamba tu isiyo na nyumba tuone kama utapewa mkopo