Hawa waandishi wa habari wengine sasa unaposema mtamzania amepewa hizo heka zanzibar unamaanisha nini kuwa zanzibar sio tanzania ujinga ni mzigo
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Sisi watanzania siwaelewi sababu ni mzawa basi comments za wengi humu ni kukatisha tamaa angekuwa mgeni sifa tele. Tuibadilike tutiane moyo. Nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe.
@julianaswai7846 Жыл бұрын
Kweli kabis
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Ahsante kwa kuona madhaifu tuliyonayo, yani ngozi nyeupe tu nawaona mungu mtu, Ina kera🇹🇿kwanza🙏.
@ahadisalum1989 Жыл бұрын
Dar bro we unajitam ya sana sana tunge lijua Hilo tungefika mbali 🤝🤝
@AbdullahOmar-be4wy6 ай бұрын
Hakuna kukatisha tamaa ni fikra zako tu kwani wakawa wangapi wameekeza asilimia kubwa ni wazawa wageni ni kidogo
@frolencejovenary667 Жыл бұрын
Kaka Millard, niaeza kupata contact za huyu jamaa maana nina tons kadhaa za Vanilla
@frolencejovenary667 Жыл бұрын
nikipata hizo contacts nitakuwa sehemu nzuri sanaa
@josephlorri4313 ай бұрын
Huyu mtu ni kama mr manguruwe au ndo mwenyewe
@dominicmyumbilwa1657Ай бұрын
Ndio Huyo Huyo, Hii ya Vanilla Sijui Hata Iliishia Wapi 😂
@selestineramadhani7325Ай бұрын
Tayari ameshafikishwa majakamani kwa kuwaobia watu wa njombe kuwa atawalimia vanila
@TeophilBuildingАй бұрын
Narud baada ya kuwaliz watu wengi San ktk taasis mbali mbali mwamba ni bonge la tapeli
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Well done, mfano wa kuigwa
@ussiussi3413 Жыл бұрын
Hiyo ni pilot wise tu, bado kabisa kilimo cha vanilla, na hakujawa na uhamasishaji. Vanilla farming si kilimo cha mzaha kama kinavyofikiriwa, chukueni mfano wa Madagascar mjifunze.
@zahormohammed44764 ай бұрын
Huyu ndio Yule aloshitakiwa kuwatapeli wananchi wawili mbele ya mheshimiwa makonda
@YohanaTumainiLadislausАй бұрын
Ahadi za malipo ya huyo mwelezaji ametuchinjia baharini. Atafutwe na atulipe
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Viongozi Wengine Sijui Vipi Mnaacha Kuwambia Wananchi Walime Vitu Vyenye Tija Kwao Mmevukia Vanila Zao Ambalo Alina Chakula Kwao Ebu Angalieni Faida Ya Chakula Kwanza Nasio Kuwajengea Tamaa Wananchi Wawe Malimbukeni Siku Za Mbere Walie Njaa
@BenjaNetanyahu Жыл бұрын
Nimejalibu kufuatilia soko la vanilla duniani hakuna hicho kitu, haya ndo mambo ya Babu wa loliondo na siasa tu. Wa Tanzania tulime vitu vyenye tija na sio ubabaishaji.
@alextercisio Жыл бұрын
Mwenye kununua wa campuni hiyo ya vanilla ndiye amepeana zabuni ya kulima vanilla Sasa unasema hakuna soko na hiyo campuni ndio inanunua ?
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Kwamujibu Wahali Zadunia Au Kama Binadamu Hauwezi Kujua Kilakitu. Maranyingine Ile Hali Yakukaa Kimyaa Ndio Bora Naunaweza Kujifunza Kitu.
@PLAYPROGAMING568K Жыл бұрын
Ur not correct I'm the one who receives several order vanilla from industries from overseas several asked vanilla for essence and several pest and power for export not for used in bakeries evej medical companies and price is start lower is 400,000 tsh pet kg upto 1mil depending on. Vanilla plant so is trueth in this vanilla plants
@PLAYPROGAMING568K Жыл бұрын
Sometimes if ur not businessmen or even no idea of something stopping commenting fake politics will going go keep u in issues and Rip our president may be ur mistakes his the one welcoming this investors for vanilla manufacturing companies and said stopping bringing. Goods from overseas or foods from overseas minwhile is Tanzania processing this raw materials and going overseas and coming back we buying same essence fake vanilla minwhile is plant 🌿 which growing in tz so his the one welcoming investors and said we need manufacture industry not ensembles companies ,we need farmers to processing upto manufacturing to been plant in Tanzania and Tanzanian can learn and getting labour his the only president do all and our mother nation mama samiha she tried to reach and complete his tusk where he promised Tanzanian to work on it so please don't said wrongly ,support ur country dear don't monopolies public and Tanzanian
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Caption haiendani na ukweli, pesa za watu tusubirie mwisho wake, hizo media ni propaganda tu
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Kweli zafarani inauzwa ghali sana , limeni na hiyo
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera kwake
@Ali-uh9wb Жыл бұрын
Vp Mwana tz upo
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@Ali-uh9wb nipo, vipi na wewe?
@Ali-uh9wb Жыл бұрын
Upo wapi
@mwanatz5980 Жыл бұрын
@@Ali-uh9wb Unguja
@Ali-uh9wb Жыл бұрын
@@mwanatz5980 woooo kwetu hpo lkni mm niko nje ya Tz
@yohanemellau3220 Жыл бұрын
Tupate ujuzi zaidi inaonekana kilimo kizuri Cha biashara
@samweljudica3233 Жыл бұрын
Hivi vanila ndio nini kwanza? Maana mnanichanganya
@sarajames768 Жыл бұрын
Hahahahah
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Bora upande nyanya utatengeneza kachumbari
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆
@ahadisalum1989 Жыл бұрын
🤝🤝
@hmk.. Жыл бұрын
tunaomba revisit after 1 year . watanzania tuwe tuna follow up hii miradi after ku trend.
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Me sijaona vanilla zaid ya vichaka
@maryamaliy8509 Жыл бұрын
Hujui kit et
@raphaelrwakimwaga7995 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@mudarisuburhan7182 Жыл бұрын
Naitwa mudarisu nakuomba uone kazizangu you tube bonyeza hiyo M ya Blu kwenye acaunt yangu utazipata samahani kwa usumbufu
@mudarisuburhan7182 Жыл бұрын
Naitwa mudarisu nakuomba uone kazizangu you tube bonyeza hiyo M ya Blu kwenye acaunt yangu utazipata samahani kwa usumbufu
@raiderking4637 Жыл бұрын
Mambo madogo ayo
@joviangeofrey6918 Жыл бұрын
Nililima Zaid ya Miche 200 ikaanza kutoa matunda Kwa msimu wa pili. Ila Sasa ivi naumia kuona mtalaka wangu kazingoa zote. Nataman nilime upya coz f this video
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Nilikua simuelewi huyu jamaa lkn naaza kumuelewa hiv
@baumbachogero9410 Жыл бұрын
Polepole ataeleweka tu. Tusubiri siku ya kuvuna!
@salehaliy7198 Жыл бұрын
Yule mzee wa mtambwe je mnamfikiriaje?
@julianaswai7846 Жыл бұрын
Mimi Nina shamba heka1.mbegu z vanil zinauzw shiling ngap??
@julianaswai7846 Жыл бұрын
Jekibah ulipanda hilozao l vanil zinaotaa??
@tanzaniansangalala9623 Жыл бұрын
Vipi mbegu Za vanila twazipata wapi?
@abuukamugisha5994 Жыл бұрын
@@tanzaniansangalala9623 nenda bukoba zinalimwa kwa wingi
@abuukamugisha5994 Жыл бұрын
Vanilla inalimwa kwa wingi huko bukoba inauzwa sio zaidi ya laki na nusu
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Na mimi nimetamani kujifunza je nafika je huko? Napenda Sana kilimo.
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Kilimo gan
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
@@jofreymsigwa85 wanacholima hapo shambani Ndicho nitakacho jifunza, Niki elewa vizuri na mimi nianze kilimo biashara🙏.
@AbdullahOmar-be4wy6 ай бұрын
@@aishaamwalimu2887uje Zanzibar
@raiderking4637 Жыл бұрын
Kiki hizo
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Duh hii ingekuwa rahisi hivyo kila mtu amekuwa tajiri