Love this move❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya congrats🎉🎉🎉 Kelvin Victoria and lovenes
@MossesFilbert-qk6qb7 ай бұрын
Wakenya mko makin sana kwa kufatilia bongo movies hongeren sana😂😂😂😂😂
@ChristineMaloba-hk9je4 ай бұрын
😂😂😂lazima tuwe macho bana
@SosiSaeed-y6i3 ай бұрын
@@ChristineMaloba-hk9jeNa hatubanduki hata tukichelewa ni lazima tufike❤❤❤
@ChristineMaloba-hk9je3 ай бұрын
@@SosiSaeed-y6i yes
@Halema-op6kb3 ай бұрын
Moi
@Halema-op6kb3 ай бұрын
32:10
@ImanMbwilo3 ай бұрын
Hongereni sana kwa hii movie mme reflect yaliyomo
@rehemayussuf78388 ай бұрын
Kaka Kelvin polee saaaan,napia ninapend movies zako saan ❤❤❤❤❤
@Smileface-h3y9 ай бұрын
Am from Kenya... Kelvin nakukubali sana bro kwenye movie zako ❤❤ big up bro
@dolphomrcs8 ай бұрын
❤❤ le gars bien fait vautré série on beaucoup de conseille pour le jeune garçon et de jeune fille ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GraceKenya-i4j5 ай бұрын
Mapenzi shikamoo 😂😂 xx ivi mm sitaki kupendwa wala kupenda xx ivi nataka kupendwa n pesa basi 🙌🙌
@AloyceLuchagula6 ай бұрын
Et sikio la kufa halisikii dawa😄😄 ila Tinna bhana safi sana👍👍👍
@AminaJuma-sy4ib6 ай бұрын
Jamani hii move.😂 Kama wameniangalia kwa maa daa Ila mapenzi ❤ noma sana
@Jacksonicharles-py6mm Жыл бұрын
mko vizur sana sema hayo matangazo mnayoingiza kwenye movie ndo mmeharibu sana si kila mtu anaamini hayo mambo bora mtafute namna yakutangaza ila sio katika ya movie noo
@ChannyRichard-ui1xl9 ай бұрын
Kiukweli kupenda sio kazi kazi kumpata akupendaye
@PeterAnthony-e8y7 ай бұрын
Wow...nawakubal Sanaa 🎉 kelvin
@madamshifaa8503 Жыл бұрын
Ushauri wangu, tafteni jina fupi na la kieleweka lakin mnapoandika kijana masikini anaeuza maji kapendwa na Binti tajiri apo mnafunya ata mtazamaji aelewe kabla ya kuona, kwahyo ata akisema aangalie fikra inamtuma kwamba one day kijana huyo masikini atapendwa na tajiri!!! Ni ushauri tu🎉
@mkasihamad7225 Жыл бұрын
Uko sahihi yani umeongea kama watu 100❤❤❤🎉
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Kweli,uzuri huwa wanafanyia kazi ushauri
@matalumapetro Жыл бұрын
kweli , tunaomba hilo walifanyie kazi, kama mtaalamu pia wa multimedia nasupport, tunasema hiyo ni kukuza branding . ili mtu akiona title anavutiwa,.. mfano ''kijana muuza makopo''
@masungamartin1740 Жыл бұрын
Hapo nakuunga mkono
@samuelkamau2343 Жыл бұрын
For sure mfano "mapenzi hayana mipaka"
@housemanagmentfinishing1151 Жыл бұрын
Hongereni kwa ubora wa move pili tunashukuru kwakuzingatia mda
@Dontatv255 Жыл бұрын
Asante
@judithpendo9985 Жыл бұрын
Ama kweli unapenda usipopendwa Aya mapenzi shikamoo 😂😂acha nipendwe pesa kwanza love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wana Donta asanteni kwa mafunzo mazuri nawapenda sana Kelvin na kundi lako nikwa 🇸🇦🇸🇦
@DelphinFoma-pt1bn4 ай бұрын
Iko vizuri Tuna ikubali bana ya kongo 😊 🇨🇩🇨🇩ila Kulialia mbele ya mtu unae udumia ni uchuro ,utakuwa mchaga wewe kama sikosei
@Jajakanjaniri Жыл бұрын
Team Kelvin Nawapenda Sana Kbx ❤❤❤❤❤❤❤. Manshalla Ongera Sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
@braghtonmpyopyo328 Жыл бұрын
kelvin badili story basi ndugu yangu tunapenda kukuona kwenye upande mwingine wewe film zako zote KIJANA TAJIRI BINTI TAJIRI zipo kama zote kka wakati tunaweza toa vitu vikali bila hizo title hiyo moja tu mkuuuu 😢
Congrate team kelvin much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜
@VintaneAmany6 ай бұрын
Nakuku kubal sa kelvin unajua kuigiza mm shabiki wako nakukubal
@KeziaLucas-n8k Жыл бұрын
Kelvin anaupendo wa dhati❤❤
@Dontatv255 Жыл бұрын
Kabisa ❤️🙌
@MariamRiziki-o8x Жыл бұрын
Dada vicky mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani😂😂😂😂😂😂😂 likes zangu basi kama wampenda vicky from 🇰🇪 to
@DorcasAlii-eu9vu Жыл бұрын
Good work team kelvin ,,,,,
@Verokimwesh Жыл бұрын
More love team Kevin ❤❤❤
@ShaaniAthumani Жыл бұрын
16:03 ya mtia saip😅😮😮ni ya kiungo na mkataba😮😮
@halimamohammed7863 Жыл бұрын
Nice job ❤️❤️❤️
@Yonaszxxxzx2 ай бұрын
Mwanaume unapendwa alaf unaleta maringo njoo nikupende mm loveness npo single mm huu mwaka wa kumi naona tunaendana na ww mrembo❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I Love Youuu
@Shabz068 Жыл бұрын
Love 💕 it kelvin.good work
@Annyfiona-l4o6 ай бұрын
Naomba likes zawa Burundi wenzangu🎉🎉🎉 nawapend saan wa tz kaz nzuli saan❤❤❤❤
@AminaJuma-sy4ib6 ай бұрын
Ok what you we nem
@AminaJuma-sy4ib6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ usije ukachezea mapenzi ya takupeleka pabaya mwinzio nalia😂 kwa sababu ya mapenzi
@IrakozeOlene6 ай бұрын
Hello 🇧🇮
@ChondoChondo-p8z5 ай бұрын
Ndi napenda sn mv za kelvin
@SosiSaeed-y6i3 ай бұрын
Nawapenda sana,mariam usisahau pia Nelly anataka Tinah,😂😂😂😂😂😂😂
@KeaRashidi Жыл бұрын
Nzuri❤❤❤ Big up team Kelvin🎉🎉🎉
@madamshifaa8503 Жыл бұрын
Unaigiza kwa hisia kali yaani duuuuh❤ love u more
@FatimaFatima-bx8ez Жыл бұрын
Maryam Sasa umejionea mwenyewe. Ndio mana ukaambiwa akuabiacho mwenzako kaa utafakari Sasa umeona😊❤😮 nawapenda nyote washiriki..., oll the best 👌 👍
@anoldcharles Жыл бұрын
nilipoona mganga nilitaka kukanseli, kumbe ndo nimefika nusu😀penda sana cevin
@halimaali4885 Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri🙌🌹💕💞
@RammyanLewah Жыл бұрын
Kweli akupendaye haumpendi,na umpendaye hakupendi, love is pain, mapenzi shikamoo🖐🖐
@Dontatv255 Жыл бұрын
Hatari sana 😢
@fundileani10075 ай бұрын
Movie iko safi Tena nzuri ina fusa❤❤❤❤❤ sisi
@EmanuelKisinga7 ай бұрын
Nimeamini kuwa manawake awafai braza kefi umetufundi sha😢
@kiptuievans195810 ай бұрын
Much love team voke😂
@janetymwakupha4784 Жыл бұрын
Hongereni sana jamani 💯💯💯🎉🎉🎉
@IddiKaburu5 ай бұрын
Inauma sana pale unapo mhudumia mtu alaf anakuona izeeeee.dah....
@lommy4475 ай бұрын
Sure
@JoharyMikidady Жыл бұрын
Dah maisha ni mapito kweli siku zote unaempenda Sana ye hanaga mda na wewe tuwe waaminifu katika mahusiano jamani me nimejifunza kitu.
@ChristineMaloba-hk9je4 ай бұрын
😢😢😢mm pia napitia tu yenye kelvin anapitia saivi ata sijui nfanye nn jaman
@ShabaniMayuwe Жыл бұрын
Filamu hii ni nzuri sana lakini kitu kimoja tu rekebisheni Wengine ndokwanza tunaifuatilia hatujui episode 01 ni ipi na mwendelezo wake ni upi fanyieni kazi hilo 🎉🎉❤
@Sayd-pi5lq Жыл бұрын
Me ctk ata kusema wa ngap pia ctk like bt napenda kusema hii movie km utaitazama kwa makin bc utagundua km ime beba uhalisia wa maisha ye2 kwa sasa😭😭😭😭
@AgnessPaulo-m4i5 ай бұрын
Kaka kelvin yatapita tu najuwa yauma sana
@haluwahavla9740 Жыл бұрын
Hongeren team nyote ❤❤😂 🙏hii movie iko nw mafunzo mia kwa mia big up xn kelvin
@JosianeMaombi6 ай бұрын
Pole sana kelvin nakuonea uruma😱😱😱😱😱🤦🤦🤦
@AishaMwaka-q8p6 ай бұрын
Nimekubal hapo kelivin ❤❤
@tima5679 Жыл бұрын
si move ingeitwa the game of love tu😂😂
@HassanBakari-j6m6 ай бұрын
Umetishaaa Sana Kelvin
@JosefoAgustinho-wy7vr Жыл бұрын
Boa tarde mr kenin Khan bom trabalho para te aumentar lutar
@AbdulrazakNakwilinga-nd1bi Жыл бұрын
Nawapendaaa sana na napendaaaa kazi yenu muna ubunifuu sana 😢😢😢😢😢
@IsaacCharifuАй бұрын
Na sisi wanyarwanda tupo makini kwa kufwatiria bongo movies