KIJANA MZALENDO AMVAA BASHE NA RC TABORA"AMEPATA WAPI MIL 300/RC KASHIBA NA KALEWA MADARAKA AHOJIWE"

  Рет қаралды 11,849

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@RichardMadebe-f1m
@RichardMadebe-f1m 16 күн бұрын
Ccm Kwa wakati huku inatakiwa ijitafakari inchi hii imekuwa kikundi cha majizi tu wanainchi wametelekezwa
@tosh7671
@tosh7671 15 күн бұрын
😂😂😂😂 ila tuache utani huyu mwamba namkubali sana
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 15 күн бұрын
Brother unajitahidi kufikisha ujumbe ni majizi kutawala kwanguvu utaitwa utalazimishwa ukaekimya. Watamtetemesha au atatekwa hii nchi kunasiku mungu atawafadhehi hi chama kinadhani nii nchi nimaliyao
@JohnGerman-l8u
@JohnGerman-l8u 16 күн бұрын
Hongera sana
@jamesswai1683
@jamesswai1683 16 күн бұрын
Fuatilia vizuri sakata la sukari..utajua kapata wapi hela
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 15 күн бұрын
Uko vizuri ngosha tunakuelewa sana mbona ila Kuna wateule wengine ambao sio waziri baadhi yao
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 15 күн бұрын
Wewe umejaa dhana Marehem Mh.Abdulhamid aliyekua mbuge wa kwahani amejenga ofisi tatu za ccm na shule mbili kwa Pesa yake mwenyewe na huyu sio waziri je atakuwa amekula rushwa wapi? Tatizo lako upo kwenye zama za Azimio la Arusha hivi sasa limepitwa na wakati,kiongozi hakatazwi kufanya biashara pia kufanya uwekezaji mkubwa.
@Majebelemathias
@Majebelemathias 16 күн бұрын
Wizi uendelee
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 15 күн бұрын
Tatizo kila kona kinga kinga huyu ana kinga huyu ana kinga. Duh
@stevenntahondi-md6xe
@stevenntahondi-md6xe 16 күн бұрын
Mbona Bilion Ni hela ya kawaida sana wewe yupi bora anayejenga na kusaidia wananchi na anayepeleka nje, we ni mjinga una njaa kiswahili yenyewe hujui,
@NyamkungeAli
@NyamkungeAli 15 күн бұрын
Wewe pia unataka uongozi, usituchanganye apo ulipo kama hujatuibia basi baba ako alikua mwizi mkubwa, wezi wote mnajuana msitupigie kelele
@AntoniWerema
@AntoniWerema 12 күн бұрын
Huyu msomali alipiga dili la sukari tunadanganywa na vpikpik😅😅😅
@willymgaya7618
@willymgaya7618 16 күн бұрын
KATIBA YA TANZANIA INA MKANGANYIKO KWELI KWELI. MSIKILIZE HUYU MWANA CCM.
@makusaro2289
@makusaro2289 4 күн бұрын
Si wanakula kuliko urefu wa kamba zao? Si kibali kutoka juu? Je unafahamu akitoa bilioni moja amebakiwa na shilingi ngapi?
@tilusubya3043
@tilusubya3043 16 күн бұрын
Wakemewe
@UpendoEliya-i7l
@UpendoEliya-i7l 15 күн бұрын
Samahani Watz wenzangu Naomba kusaidiwa kirefu cha herufi CCM na maana yake kiuhalisia. Asante
@paulmathias810
@paulmathias810 15 күн бұрын
Chukua chako mapema😂😂
@UpendoEliya-i7l
@UpendoEliya-i7l 15 күн бұрын
@paulmathias810 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tafadhaliiiiii hebu ngoja ngoja nione na majibu ya wengine!!
@juliusdonard933
@juliusdonard933 15 күн бұрын
N kwel kabsaa
@Habaujr
@Habaujr 15 күн бұрын
Duh, kumechangamka
@universitylink
@universitylink 15 күн бұрын
Wewe unataka awe anapata hela kiasi gani kwa mfano na nani anasema huwezi kupata hiyo hela mnataka kutuletea mambo ya zamani ukiwa una gunia ya mchele ni kuhujumu nchi kwanza unatakiwa ujue mtu ana kipato gani na uwe na data ya kutosha si kulalamika. Sasa wakupe majibu gani wakati huingei kwa data
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 8 күн бұрын
Wewe mjinga mtu anasaidia ccm halafu unalalamika wewe mjinga 360 million ni hela ndogo bora kaa kimnya ungepata heshima
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 15 күн бұрын
Hako kajamaa kaizi sana hicho kisomali kiizi sana
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 15 күн бұрын
MBASHE ACHUNGUZWE KULIPA SHS MILION 360 UJENZI WA OFISI YA CCM HIZI NI. FEDHA CHAFU. SEREKALI YA RAISI SAMIA VIONGOZI. WA. SEREKALI WACHUNGUZWE DHIDI YA MASHAKA YA UFISADI. BILA KUWAKINGA.
@IssaOmary-u2t
@IssaOmary-u2t 16 күн бұрын
Anaongea au anafokea watu....athibitishe madai yake ya kuwepo rushwa au wizi....sio alete theory za kichwani pasipo na ushahidi
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 15 күн бұрын
Nyinyi viongozi mnapopewa madaraka nendeni mkaibe nimenukuu tu😅
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 15 күн бұрын
Bashe amejenga gholofa kubwa Dodoma na ma v8 na jamaa anapiga hela sana lkn ni dalili za rushwa ukimuona panya anamdhihaki paka ujue shimo liko karibu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 15 күн бұрын
Kweli baba uishimiaka mingi
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 15 күн бұрын
Kiswahili yenyewe hujui fala 2
@giztony2009
@giztony2009 16 күн бұрын
Chombo kikubwa kama mwanahalisi hamna Ac
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 15 күн бұрын
Kwako unayo?
@universitylink
@universitylink 15 күн бұрын
Sasa thibitisha hiyo rushwa kama una dalili
@EddySempay-qf1on
@EddySempay-qf1on 15 күн бұрын
Kaka bashe hawezi kosa milioni mia3 ambae hatuna ni mimi nawe
@MohamediIsdori-l3o
@MohamediIsdori-l3o 15 күн бұрын
Aweke wazi biashara zake tujue
@VcentPaul
@VcentPaul 15 күн бұрын
Kwa mshahara upi?
@EddySempay-qf1on
@EddySempay-qf1on 15 күн бұрын
Mshahara mzuri ni waziri na nimbunge namarupurupu anapata
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 13 күн бұрын
Kwa nn wew huna? Wew sio binadamu kama Bashe?
@AlexTito-y9n
@AlexTito-y9n 16 күн бұрын
Pengine amech🎉angiwa na marafiki,pia mh mbashe
@universitylink
@universitylink 15 күн бұрын
Kwani umeoga au ni jasho za jazbah tu. Wewe huna sifa ya kuwa kiongozi kabla ya kuja kwa wananchi ulikuwa ukutane nao upate data ili ukija kuongea uwe na evidence ya kutosha.. Wewe utakuwa una matatizo ya akili
@JoisSebastian
@JoisSebastian 15 күн бұрын
Tulihamo ngosha unasemaukweli
@simonmagembe7416
@simonmagembe7416 15 күн бұрын
Mbona hiyo Hela ni ndogo Sana kwa waziri yoyote kwenye bunge letu?
@JosefuSwai
@JosefuSwai 15 күн бұрын
Kweli mazuzu ni wengi daah
@Fesary
@Fesary 15 күн бұрын
Pambanua mishara na posho zake ili ueleweshe
@KambaMbovu
@KambaMbovu 15 күн бұрын
Mwamba chapa maneno
@HamisiKitalika
@HamisiKitalika 15 күн бұрын
Wewe una jambo lako tu na bashe kwani mawaziri na wabunge wangapi wanatoa misaada kwa wananchi wa majimbo yao? Wee kila ukihojiwa ni bashe tu na wewe tukisema unatumika na watu ambao wana vita na bashe tutakosea? Unaongea maneno bila ushahidi huoni unatumika wewe? Onesha hata picha au document ambayo inaonesha kapewa rushwa
@omarkapula588
@omarkapula588 15 күн бұрын
Kwa hio wewe zinakuuma njaa yako sema nayo unatoka povu kwa njaa zako
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f 15 күн бұрын
SKILIZA MKUU KABLA HUJAANZA KUSEMA HEBU JIFUTE MAJASHO KWANZA MAJASHO YANAKUSHINDA TAFUTA KAZI UFANYE USIINGILIE MAMBO YA WATU AKILI ZAKO HAZIKO SAWA MKUU
@annasitaziakamtewe
@annasitaziakamtewe 15 күн бұрын
Hakuna kabila la mswahili Kila mtu ana lugha na kabila lake,baadhi yenu wa tz hamjitambui.
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 15 күн бұрын
Huenda n miongoni mwa wanaokula kodi zetu
@zunyagapeter4647
@zunyagapeter4647 15 күн бұрын
Mbona unaswet sana unatumia nguvu nyingi sana kuongea ss wasukuma jmn duh
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 15 күн бұрын
Uko vzr sana. Wajinga tupo wengi mno!
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 15 күн бұрын
Wewe ni chizi Huwa huna hoja, ccm haikuhusu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 15 күн бұрын
Mwehu wewe unaakili
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 15 күн бұрын
Watu wanamsimanga mtu mpaka kiswahili chake! Watu wengi sana kiswahili sio first language je hilo nalo kosa, hivi nani ndio ana kiswahili Safi? Nani?
@KatemboSaidi
@KatemboSaidi 12 күн бұрын
Hili jinga tu kupenda sifa za kijinga
@adiaygo8546
@adiaygo8546 16 күн бұрын
Chizi mpya mjini😅😅
@Haruna-e5r
@Haruna-e5r 15 күн бұрын
Wanaotoa kwenye mpira mbona husemi hm rais Samia kagawa pikipiki inchi nzima mbona hauhoji hela katoa wapi au anafanya kazi Gani mbona hauhoji mjinga wewe huyo anang'ombe zaidi ya 3000 mpumbavu mkubwa wewe kwani ccm wanachangia wangapi kenge wewe
@elmiaxmed6870
@elmiaxmed6870 15 күн бұрын
Ww endelea kuropoka2 sema Huna pesa Stupid ww utafungwa vibaya K ww
Vimbwanga vya wiki: Hoja za hapa na pale siasani
6:48
NTV Kenya
Рет қаралды 213 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
LISSU AWAVAA COVID 19,  ACHAMBUA UBUNGE WA VITI MAALUM....
3:57
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 76 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
UTEUZI WA TUNDU LISSU, HAWA NDIO WAJUMBE WA KAMATI KUU
13:04
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 1,5 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН