we mwenyewe unahitaji mabadiliko tena makubwa sana
@MmohamediSaidi17 күн бұрын
Unatafuta basha wewe
@RomanMwinyi16 күн бұрын
Ana uzaa mkundu uyuu
@leonardramiye820716 күн бұрын
Mbowe must go Kwa masrahi ya chama na taifa
@LomanaLomy17 күн бұрын
Big up mahinyila bro
@PaullyzmundaPaullyamunda17 күн бұрын
Naona Mbowe akishinda, atakuwa na wakati mgumu sawa na hawa vijana!
@Amani_eliastz7 күн бұрын
😂
@paulinebogohe-pi8gn17 күн бұрын
Huyu kijana akili kubwa sana, Chadema this time mmetuletea Jember kweli kweli
@IsmailAlmas-ur7rm13 күн бұрын
Uko sawa kijana👏👏👏👏👍
@maximilianludovick540716 күн бұрын
Huyu dogo sio smart. Hana guarantee kwamba Lissu atashinda kwenye uchaguzi huu. Badala ya kusimama kama kiongozi mwenye kuunganisha vijana wa CHADEMA kuwa kitu kimoja, yeye ndio kwanza anaanza kuwagawa wanaBAVICHA.
@reginas183215 күн бұрын
He is very smart. Ana hofu ya Mungu hakuna unafiki
@jangalaalexbubehi765814 күн бұрын
Hana unafiki
@innocentlethisia41617 күн бұрын
GOOD BOY
@AllyMachalila17 күн бұрын
Kazi Njema Kamanda✌️
@FintanMkeshi16 күн бұрын
Pambana home boy
@goodluckswai749614 күн бұрын
Chama akiendeshwi kwa mihemko
@TomasiklistophaMwinuka12 күн бұрын
Pongez mwenyekiti Bavicha utupeleke nchi yahadi mpambane sana
@uredmwasembo857916 күн бұрын
Safi Sana
@azammaganga910113 күн бұрын
Eti huyu ndio kiongozi wa bavicha😂😂😂😂 hiki chama kinapoenda sijui
@innocentlethisia41617 күн бұрын
Good intellectual
@JCMaxima16 күн бұрын
Amelewa madaraka ... tayari... mmh! 🤔🙆🏾
@reginas183215 күн бұрын
Hapana. Kuwa mnafiki sio kitu kizuri anakuwa muwazi@@JCMaxima
@Peterchipemba17 күн бұрын
Dogo umekuja vizur sana,,nimekukubali dogo
@melch309717 күн бұрын
Kwasasa, subiri baada ya miezi3
@FrancisThomas-jc8wq16 күн бұрын
Dogo tulia kwanza, ujitafakari juu ya jukumu ulilopewa, na kujiweka kwenye upande flani imekuharibia kabla haujaanza kazi ya bavicha, pole sana haujajua uzito wa kazi yako.
@thepresidenttobe548116 күн бұрын
Tuliza komwe bwege wewe. Unataka asiwe na upande ili awe mnafiki? Idiot
@jangalaalexbubehi765814 күн бұрын
Ameanza vizuri , Ulitaka asemeje ?
@OdiloMagungu-uf5is17 күн бұрын
Fam must go
@joannoel-g3r13 күн бұрын
Lait ningekua kwenye kamati kuu wakwanza wakufunzwa adabu ungekuwa ni wewe mwenyekiti wa bavicha maana umechaguliwa juzi uku kwaandishi lema amekudamganya nikweli tunamuunga lisu mkono ila haina haja ya kuja kwenye media nakujiongelesha
@ChristerKok16 күн бұрын
Nenda taratibu.Ngumi hata wamama tunakunja ngumi sana,wengine tulipiga kura ya kwanza kabisa kumpeleka Dr.Warid Kabouru kutoka mkoa Kigoma kuingia bungeni akiwa mbunge wakwanza wa Chadema,mpaka sasa tupo na Chadema hiyo ni nguvu kubwa sana kutoka kwa wapiga kura ni watu muhimu muwatambue na kuwaheshimu mawwzo yao.
@AloniTete12 күн бұрын
Nyookoo weee
@danielmuro570716 күн бұрын
Kijana weka akiba ya maneno yako
@fetehomar2717 күн бұрын
Chadema safari hii 😅
@ramahkesh936014 күн бұрын
Hichi kitoto kimekwishaaaa😂😂😂😂😂
@japhetlaisangai459213 күн бұрын
💪
@gabrielkitia680816 күн бұрын
Sema dogo anamihemko sana
@kennethmwakatobe283216 күн бұрын
Watanzania kalibu wote tunakuhitaji lisu
@subiramussa142812 күн бұрын
Sio wote
@EmmanuelJeremiah-r2s16 күн бұрын
Punguza kas kuwa na akba ya maneno
@barryrioba393416 күн бұрын
LISSU ☑️ HECHE ☑️ LEMA ☑️ DEO☑️ MBOWE ❌ WENJE ❌
@MwakaHappy16 күн бұрын
Mbowe must go
@AloniTete12 күн бұрын
Hana hakili huyu jamaa walimchagua
@VitalisMmassi-oh4jb15 күн бұрын
Dogo hapa umechemka unatakiwa usubiri sanduku la kura liamue mwenyekiti wako ni yupi na sio kuja na miemko isio na mana.
@reginas183215 күн бұрын
Sioni mnafiki
@JacksonMartin-pb2vq16 күн бұрын
Kweli hakuna chama hapo wewe kwa sasa hutakiwi kuwa na upande ni kiongozi wa wote
@MariamFrancis-uo9bc17 күн бұрын
Utaweza alioyaweza nakuyafanya pambalu?
@honestmosha620316 күн бұрын
Hapa chadema mmepigwa hana busara za kiongozi. Nashangaa kashinda
@melki-kabalu75915 күн бұрын
Unaijua "busara" wewe??!
@kennethmwakatobe283211 күн бұрын
@@honestmosha6203 unae sema chadema tumepigwa hauji tambui au bado unaishi nyumbuni kwa wazaz wako ?
@JumaMartin-e4v14 күн бұрын
Sio swala la bahat ni jinsi uchapakaz wako na umeaminiwa.ukisema bahasisawa
@MushiroseAlberth14 күн бұрын
Hivi mpaka sasa chama sio hai kipo hai na kitaendelea sana kila kitu utaratibu
@ZachariaIsack-e5g15 күн бұрын
Unyama mwingi
@phabiankagoma514417 күн бұрын
Ni vema kutoa muda.!!!
@mussakilo491616 күн бұрын
Tabia ya kujiita makamanda 😅😅😅😅haya
@Obamamarusu13 күн бұрын
DOGO MBOWE HASIPOPITA MM NITAMSHAURI HAJE CCM AU HAENDE ACT WAZALENDO.,MUONE HIZO TAMAA ZENU ZAKUTAKA KUMPINDUA YEYE MUONE NA NYIE MTAPATA NN.,WAPUMBAVU SANA VIJANA HAWA CHAMA TAWALA NAJUA KUNAKITU WANAJIFUNZA PIA KWA HAWA VIJANA WA HOVYO
@gadielmungure971117 күн бұрын
Kijana umechaguliwa usiwe kenge ukakengeuka. Vijana wanayo akili watachaguwa kwa siri yao. Wewe unaanza makeke uchaguzi haujaisha kitakushinda vijana waje dar kufanya nini? Unahemka kijana vijana watakushtukia
@karakairasa216114 күн бұрын
Mihemko.
@sskondopoleani961617 күн бұрын
Mtanzania mimi sina mpango na CHADOMO
@JCMaxima16 күн бұрын
Cha what?! 🤦🏾🤭🤭🤣🤣🤣🤣
@jangalaalexbubehi765814 күн бұрын
Hujalazimishwa
@MushiroseAlberth14 күн бұрын
Wanachokiongea mtajutia siku moja kabla ya tenda fikiri
@dianasamson931114 күн бұрын
Acha mihemuko wewe.... juzi tu hapa... leo unakakamaa.😂
Huyu ndio wa bavicha hana hata siku nyingi analeta hizi sana vinginivyo hawezi fika mbali kina lema watu makini ktk chama
@AbdullahAhmed-t7p6l17 күн бұрын
Awe makini sana vinginevyo ataleta power vacuum kwa vijana tunamapa ushauri kachaguliwa siku mbila anaanza kukurupuka hata km ni mwanashiria soma upepe wa siasa kwanza lema ni mtuu anapendwa na watu saycolgy na sheria hivi ni vitu viwili tofouti km elimu ni sheria ya lila kitu basi wapo kina ally bashru kina masumbuko lamwai kina professor baregu Acha bwana mdogo hawa elimu kubwa watunga vitabu umechaguliwa jimalize mwenywe tunampaa taazari huyu bwanamdogo manyila asije lewa madaraka chadema itakosa nguvu
@Onetouchstudiotz16 күн бұрын
M/kiti unachokonolewa na nani tena?
@allymaimuna868816 күн бұрын
Weka akiba ya maneno
@leonardmunuo499115 күн бұрын
Huna point sijaona umeongea kitu
@ameirzapy131815 күн бұрын
Dogo 😅 aaaah mchanga sana ki siasa, unaanza kuegemea tena kumueka kushuto aliekuwa Kamanda mkuu wa chama? Tena upo chadema wakati wake😢 inafikirisha sana
@PIUSSEBASTIAN16 күн бұрын
Hiv nyinyi huwa mnasema mnakomboa nini
@Lubango-gj3ud16 күн бұрын
Dogo mkali kinoma
@MwakaHappy16 күн бұрын
Adante toto tunamtaka lisu pia
@VictorMbowe17 күн бұрын
Sasa mojawapo si Lema?
@AbdullahAhmed-t7p6l17 күн бұрын
Bwanamdogo hana ubaya ila na yeye akizingua tutamueleza bila kumuogopa asilete ushindi alafu ulete usisimu bwana mdogo tutakupa ukweli sisi hatuna chakupoteza tunataka kuona chadema iliyo na watu tafutii bwanamdogo uwe makini
@joscamwoshezi298617 күн бұрын
Duh. Hajielewi anachoongea.
@MmohamediSaidi17 күн бұрын
Utakuwa unafilwa sio bure
@charlesolomi951415 күн бұрын
Mbowe akishinda huyu hana kazi😅 kamdomoooo mdomoo
@charlesshaban191514 күн бұрын
Haaahh
@mussakimaro558816 күн бұрын
ZITO HANA WATU NDO WANACHADEMA TUNAELEKEA HUKO TUKIONA HAWAELEWEKI TUNARUDI TU CCM TUJUE TUNACHAMA KIMOJA CHADEMA BYEE BYEEEEE
@allymaimuna868816 күн бұрын
Hata kazi haujaanza umesha jiweka upande
@jangalaalexbubehi765814 күн бұрын
Ameshaanza kazi
@saimonseleka879217 күн бұрын
Kama sijamuelewa 😮
@deodathsilayo363916 күн бұрын
Wewe dogo tulia dogo fuata maneno ya wahuni mje mkamatwe hapo muanze kulia lia kabla hamjaanza kazi😅
@VictorMbowe17 күн бұрын
Kwa hiyo mbowe anaitaka chadema ife acha upuuzi wewe
@tobiaspaul920317 күн бұрын
Hawa hajui lolote Wana nguvu ya kuongea tu ila nguvu ya kupambana ccm hola
@revocatuscharles93417 күн бұрын
Huyu ameshafeli kabla hajaanza
@CloephasMulokozi17 күн бұрын
Usipo kuwa muangalifu kazi itakushinda mapema kama hutaacha mihemuko
@melch309717 күн бұрын
Huyu hataweza tena anataka aishi kama Akina lema na tundu lisu dakika 2 wako Canada na Belgium
@HellenLemilya17 күн бұрын
Kijana utaweza mazito ya ccm ?kuna kupigwa chuma,kuna kupotezwa, kuna kamatakamata , nakuombea kwa Mungu muongoze kwa mafanikio na kuishi , watanzania wanawapenda chadema ila positive changes are not easy be strong and be ready to be in high risk
@SaraJinalangu17 күн бұрын
Kuhusu kukamatwa kashakamatwa na kakaa jail miezi 8 kwa ajiri ya hiyo hiyo Chadema ila kwenye kutekwa ndo mtihani maana Sasa hivi wachonga ramani wanatokea kwao
@tobiaspaul920317 күн бұрын
Ataunga juhudi mda si mrefu
@melch309717 күн бұрын
Ngoja aging we misumari ya nyao, akitoka hapo kimyaa
@melch309717 күн бұрын
Huyu hakuna kitu,bavicha kwisha
@mailacamillius16 күн бұрын
😂......mara pap MBOWE kaiba zake kura, CHICHIEM wamemsaidia, KAWA MWENYEKITI.......kutakuwa na mpasuko mkubwa katika uongozi wa chama
@Afsa-z2v16 күн бұрын
KwHiyo na ww ulitoa rushwA
@zuberikupaza118416 күн бұрын
Ungesubiri baada ya tarehe 21
@groungreen401317 күн бұрын
We ni fara kabisa
@tuyagamateo677116 күн бұрын
Kwa nafasiuliyochaguliwa kijana nikubwa sana ilatayari umeanza mapema kuichafua nafasihiyo,akichagaliwa usiyemupenda utajiuzuri au utayarudisha manenoyako mdomoni?!.
@jangalaalexbubehi765814 күн бұрын
Anaongea yaliyoko moyoni mwake
@deodathsilayo363916 күн бұрын
Lema mpaka sasa Hana sifa zakuitwa mheshimiwa mpaka sasa
@EmmanuelJeremiah-r2s16 күн бұрын
Pole endelea kukalilishwa
@WilbertManjonda13 күн бұрын
Kwani kwako mheshimiwa ni nani?
@paulmwacha987017 күн бұрын
Sijamuelewa huyu Dogo
@benimlisa605617 күн бұрын
Kwani shule ulikuwa unaelewa??
@andrewIzdory-sk4cu17 күн бұрын
Utamuelewa mbele ya safari, saiv Kaa kwa kutulia
@damianminsno131712 күн бұрын
Achana na lema wewe,huna adabu dogo
@gadielmungure971117 күн бұрын
Lisu na Heche ndio wamewaandaa kuongoza chama na nchi je huyu ataweza aspopata kiongozi bora kama Mbowe amfundishe? Bavicha hapa mmelowekwa majini.
@tobiaspaul920317 күн бұрын
Hapo hamna mtu
@EvodiusChikawe16 күн бұрын
Mbowe ni ccm@@tobiaspaul9203
@tobiaspaul920317 күн бұрын
Dogo utapoteana gafra
@PIUSSEBASTIAN16 күн бұрын
Utajua tu wakubwa zako walishindwa wew mdogo san acha jazba