❤❤❤❤❤❤❤❤❤JAMANi tuokoe taifa letu CCM ni timu kidogo sana wanao jifanya wanakiburi hawataki kusimiliza wanainchi Tena niwahuni
@vancelarrimore97169 ай бұрын
✊🏾
@elizalutiga62879 ай бұрын
Looooooh
@frankmaeda42849 ай бұрын
Nakuona Kama Yoshua ktk Biblia
@saidnassormohammed95899 ай бұрын
Nimekuona sana unasema ukweli sana ww sio sawa na Musiba
@isaacnewtonmmary33779 ай бұрын
Who is this Guy actually...
@Globalpeace1239 ай бұрын
Kwa kweli umesema kweli kabisa kwa mtu yeyote anayeipenda Tanzania na watanzania lazima ataitetea nchi na sio viongozi wanaofaidi na kikundi kidogo cha watu na wakati watanzania wengi karibu 95% wanaishi maisha ya duni kabisa na nchi ni tajiri sana lakini ni watu wachache waliokabidhiwa madaraka wanajinufaisha shame on them