ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO

  Рет қаралды 553,040

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
Wabunge Zitto Kabwe na Cecil Mwambe leo Alhamisi Juni 28, 2018 wamemuomba Spika Job Ndugai kuitaka Kamati ya Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge kumhoji na kumchukulia hatua Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Adelardus Kilangi kwa madai kuwa amekipotosha chombo hicho cha Dola.
Zitto ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na Mwambe (Ndanda-Chadema) wametoa kauli hiyo leo bungeni mjini Dodoma wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2018.
Mwambe alipingana na maelezo yaliyotolewa na AG siku mbili zilizopita kuwa fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje ni za umma na Serikali ndio yenye mamlaka ya kupanga matumizi yake, akisema kuwa fedha hizo ni za wakulima.
Mara baada Zitto kueleza hayo, Mwambe alimuunga mkono akitaka mwanasheria mkuu huyo wa Serikali achukuliwe hatua.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 438
@seniornyungu9718
@seniornyungu9718 6 жыл бұрын
Zitto kabwe ndio CHUMA CHA RELI SIO MCHUNGAJI FULANI. You are the pride of KIGOMA, the Pride of the NATION.
@josealute323
@josealute323 5 жыл бұрын
Wenzangu na Mimi mnaoangalia kwa ushabiki kama Mimi naombeni like zenu jamani!!!! Mimi mnanitengaga sana bhana
@husseinmucky829
@husseinmucky829 5 жыл бұрын
Dah mh.Zitto Mungu akujalie maisha zaida,very logic kwa kla unachokiongea kiac kwmb ata speaker mwenyew kawa mpole
@halid494
@halid494 6 жыл бұрын
The charisma of Mwl.Nyerere,the courage of Amina Chifupa and the confidence of Zitto Kabwe.
@dr.rimack8484
@dr.rimack8484 6 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah! Huyu jamaa namkubali Sana asee, Hongera yke. Mungu ampe maisha marefu na SIHA NJEMA
@mashalawamba2836
@mashalawamba2836 6 жыл бұрын
Bin Chipatu yaana zitto gudi
@bakariomary320
@bakariomary320 5 жыл бұрын
Usomi unaonekana kwa vitendo broda,,,gud sn kabwe,,hazna ya taifa
@daudhenry8909
@daudhenry8909 6 жыл бұрын
Mungu akusimamie ktk yote mhe Zitto kabwe upo vizuri sana
@yasintamwalukisi4060
@yasintamwalukisi4060 5 жыл бұрын
Daud Henry Yaani Rais angempa Wizara Zitto..yupo vizuri saana huyu jamaa
@bettylemanya4041
@bettylemanya4041 6 жыл бұрын
Nampenda sana Zitto yuko vzr sana! Big up to you
@camiliusmasao303
@camiliusmasao303 5 жыл бұрын
@joshuasinda1996
@joshuasinda1996 6 жыл бұрын
Mh.Zitto! You are very much bright and talented in reasoning! Well said Honourable!!!
@vitalesmgenge6984
@vitalesmgenge6984 5 жыл бұрын
Yaan leo nimefarijka kwa kusikiliza maelezo ya huyu jaama zito! Kweli selekar iangalie tena juu ya mpango wakuuwa upinzani, maana kuna vichwa ambavyo vikipotea kuvipata, cjui! 👏👏👏👏👏 Ahsant zito zuber kabwe
@oliverwabwire2836
@oliverwabwire2836 5 жыл бұрын
What a fine legislative mind!! Kenyan MPs, please 'look and learn' ...the craft of building up an argument in a livid debate!
@gmark3754
@gmark3754 6 жыл бұрын
Sir Zitto Kabwe unawaonea wabunge wa ccm hata spika hawaelewi sheria wanazozitunga na hawana tabia ya kufanya rejea ya kisheria wavivu wa kusoma ata wanasheria wenyewe hawazijui... Hongera sana kaka unaona mbali sana
@ezrantaluka1035
@ezrantaluka1035 5 жыл бұрын
Zitto kweli umesoma na unajua unachokizungumza. Tunahitaji wabunge 100 kama Zitto kabwe. Live long brother
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 6 жыл бұрын
Huyo mama yukoje lakini? Zitto wewe ni kichwa sana Kamanda.
@buguzajemedar3631
@buguzajemedar3631 5 жыл бұрын
Zito kibokooooo wallah,hongera sana muheshimiwa
@kingwawi8977
@kingwawi8977 5 жыл бұрын
Zito + Lisu = na umbozi wa watanzania
@WorldView24hrs
@WorldView24hrs 2 жыл бұрын
Mungu akuweke miaka mingi ishaAllah...wewe ni Hazina ya Taifa
@dr.rimack8484
@dr.rimack8484 6 жыл бұрын
Huyu Speaker wa Bunge, Yuko vizur I never seen before,
@beatricelucas1454
@beatricelucas1454 6 жыл бұрын
Zito nakukubari sana
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 6 жыл бұрын
Zitto ni Genius👏👏👏 ila huu mjadala angekuwepo Lissu ungekuwa mtamu zaidi, hutoona baadhi ya wabunge wanaoongoza kwa kusema hovyo wakichangia kwenye hoja kama hizi za kutumia vifungu vingi vya sheria na akili nyingi
@simonbaro6886
@simonbaro6886 6 жыл бұрын
huo ndo ukweli hapo kibajaji,msukuma,kessy,na mlinga wamejificha hapo shule inafanya kaz yake
@emmanuelmkoma5920
@emmanuelmkoma5920 6 жыл бұрын
Fazeel Shomary 😂 hapa huwez kumuona MLINGA
@magorahassan3491
@magorahassan3491 6 жыл бұрын
Fazeel Shomary Lisu angekuwepo ingekuwa nzuri zaidi maana namjua Lisu kwa history na legal perspectives ni hatari
@stephenulomi8364
@stephenulomi8364 5 жыл бұрын
Fazeel Shomary hahahaaa
@araphatiddy141
@araphatiddy141 5 жыл бұрын
Uposawa
@wiza2309
@wiza2309 6 жыл бұрын
Nchi hii imebarikiwa, Mungu akutunze kijana wetu, ni hazina na tu u kuwa kwa Taifa hili.
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Kwelliiii
@dominickmbuke
@dominickmbuke 6 жыл бұрын
akili ni Mali!!! Endelea mkuu haahhahaha!! mpka spika wa Bunge kamuuongezee muda!!! safi sana Zitto.
@jeremiahkiberenge834
@jeremiahkiberenge834 6 жыл бұрын
Zitto ww ni JEMBE, KICHWA, KIFAA.......naomba tuchukuwe wabunge wote kama zitto waunde bunge LA jamhuri ya Mungano wa tz, wabunge kama lusinde,mlinga na msukuma waunde bunge LA SHILAWADU tz. Vichwa vipo upinzani. Zitto Mungu akubaliki.
@octaviangervas8425
@octaviangervas8425 6 жыл бұрын
jeremiah kiberenge kweli aisee
@roilertemba4749
@roilertemba4749 5 жыл бұрын
Kichwa mashaallah
@sylvanusinjomango2169
@sylvanusinjomango2169 6 жыл бұрын
Uyo jamaa yuko sahihi sana jamani duuu
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Naaaam,spika Ndugai unapomlinda asikilizwe hapo unajinyakulia heshima kubwa!
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 6 жыл бұрын
Sheria zinatungwa Kwa Lugha ya Kiingereza, zinajadiliwa Kwa Kiswahili. Kazi tunayo, Sheria zitungwe Kwa kiswahili na zijadiliwe Kwa kiswahili, sisi sio waingereza!!!!
@mwalamimshamu331
@mwalamimshamu331 5 жыл бұрын
yanga Vs biashara
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 3 жыл бұрын
Eti namuona Joshua nasarri nar anapoga makofi...daaaaaah pole mwanangu...turu usariver kula hela za yatima
@emmanuelshayo9623
@emmanuelshayo9623 6 жыл бұрын
Be blessed
@molegend2672
@molegend2672 6 жыл бұрын
Kama hauja mkubali zito utapata tabu sana tena sana
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Ww ovyoooo hauoni ukwell au hujasomaaa
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Oya nimemkubaaliii zito kiboko.
@mzeewaburudani2888
@mzeewaburudani2888 6 жыл бұрын
kweli zito hakurupuki jaman
@MM-oe2eo
@MM-oe2eo 6 жыл бұрын
Zitto huwa yuko vizuri sana, kama nchi ni kama tuna mmissuse
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 жыл бұрын
Mwenyekitiiiiiiiii.Hiko ni kichwa cha Mungu kw ajili ya wa Tz
@vakwawesanga733
@vakwawesanga733 6 жыл бұрын
Zito ni mwanasiasa mzuri sana na tunakuunga mkono na ndo mwongozo wetu wa siasa kasoro mwaka 2015 ulikubali kuyumbiswa na siasa za bongo hicho kilikuharibia sana
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 6 жыл бұрын
Wewe kijwa mheshimiwa Zitto Kabwe Kigoma oyeeeee
@shaabanikabwe5670
@shaabanikabwe5670 6 жыл бұрын
Lazima watu waelewe tu Akili kubwa sana hiyo Mh Zitto Kabwe thanks brother
@WorldView24hrs
@WorldView24hrs 2 жыл бұрын
Duuh..Zitto kabwe.. upo vizuri sana Broo
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Ай бұрын
Zitto upo vzr sana kijana mwezetu
@denisadrian9765
@denisadrian9765 5 жыл бұрын
Daah mwana yuko nondo yuko duki balaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 anatoa shule nzito yaan ni kama messi vile anavyo wapoteza mabeki 🙌
@danieliskander9680
@danieliskander9680 6 жыл бұрын
Jumbe mbili zinaweza kupatikana-moja ni kurejea makubaliano ya 65 35 kama alivyoeleza kwa umahiri kabisa Mh Zitto, ama Serikali inaweza kuona haja ya kuleta ushuru wa namna hiyo hiyo kwa yaho mazao mengine ya kuuza nje. Ila busara itumike- ni wazi kuwa utaratibu huu wa makusanyo ya kuboresha kilimo cha korosho- ingezeweza kusaidia kuendeleza mazaomengine ya kibiashara. Zitto- shukrani kwa ufafanuzi
@kabisadu8541
@kabisadu8541 6 жыл бұрын
President Magufuli mtu km huyu unakoseje kumuweka sehem mhimu serkalin? Tunamkubal sn sio kwa ushabiki ni kichwa na mtaalam duh Mh Zitto it' s dangerous
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 6 жыл бұрын
Kabi Sadu Ndugu yangu kwani hujui mpaka leo serikali ya ccm haikuchagui mpaka ufanye ubaya kwa wananchi ndio unapeiwa cheo kwa mfano Makonda,Ummy mwalimu, Nape, na wengine wengi tu
@amanzisandali317
@amanzisandali317 6 жыл бұрын
Ivi ndosaf mbunge aongelee Jambo kwa maslah ya nch pia na Jimbo lake ongera sana zito
@alinanmpamba8471
@alinanmpamba8471 5 жыл бұрын
Kabi Sadu hapana,,,abaki alipo ingewezkan Angelrejoin CHADEMA
@florianmuganyizimuganyizi5709
@florianmuganyizimuganyizi5709 6 жыл бұрын
Ur smart brother very smart, they understand you, spika knows ur position what a smart guy bless saana
@daudikassimu4574
@daudikassimu4574 6 жыл бұрын
Big up mwami👍 Kichwa kimoja sawa na wabunge hamsini wa fisiem!!!
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 жыл бұрын
Pole Zito kwa kupambana kwa sababu ya Watanzania.
@alphoncekachira6414
@alphoncekachira6414 3 жыл бұрын
Tunakuombea urudi bungeni tena,
@davidolemollel4962
@davidolemollel4962 6 жыл бұрын
Mh.kwa kuweka tofauti za vyama vyetu pembeni...Umejitahidi Sana kwa uwezo wako wote kujenga HOJA.HAKIKA WEWE NI MZALENDO.
@sadaramustafa8401
@sadaramustafa8401 6 жыл бұрын
Zitto tu anatosha kusimama na wabunge wrote wa ccm
@juliaslaizer341
@juliaslaizer341 5 жыл бұрын
Daaa kweli be blessed kamanda
@ilumbukibi4169
@ilumbukibi4169 5 жыл бұрын
This Guy is very SMART!
@inobuzika5720
@inobuzika5720 6 жыл бұрын
mungu akuzidishie mshimiwa ZITO ambaye shule haijamsaidia hawezi kukuelewa.
@sultantz7635
@sultantz7635 5 жыл бұрын
Kweli shule ni muhimu jamani...duh zitto respect
@adrianhilary1241
@adrianhilary1241 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana swahiba..sometimes najuta kwanini nilipoteza kura yangu 2015, majinga mengi ndani ya ccm
@luganobwenda8590
@luganobwenda8590 6 жыл бұрын
Zitto is one hell of an intelligent character... afunguo chuo atufunze namna ya kujenga hoja na kupambanua vitu
@shizoshop2469
@shizoshop2469 3 жыл бұрын
Zitto alimuelimisha vzr sana zuzu letu hili li ndugai, yaani ni bogazi la htr swali lake lilijua hataweza kulijibu bwege kweli kweli yani livyobebwe na ccm linajua wote ni vilaza kama wao
@ramadhanmohamedy5931
@ramadhanmohamedy5931 3 жыл бұрын
Zitto mkuu nakufuatilia san nakinacho nifanya nikufatilie kuwa uwez ongea kitu kma ukijui kwakina big up san mkuuu
@andrew29468
@andrew29468 6 жыл бұрын
Brother ur so bright,hongera kwa kuwapigania watu watz bila kujali ukanda Wala ukabila
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 6 жыл бұрын
Mh. Zitto,pamoja na hoja zako nzuri na kugusa mawazo ya
@shabanikibana4279
@shabanikibana4279 6 жыл бұрын
Duuh!! Huyu zitto msomi kwelikweli anavyo dadavua mambo mpaka sisi wenye elimu ndogo tunamuelewa vizuri kabisa namshangaa huyo mbunge mbumbu anashindwa kuelewa jambo lepesi kama hilo!! Alafu eti ana digrii? Atakuwa bashite huyu maana anatia hasira kweli
@melejishangai6054
@melejishangai6054 5 жыл бұрын
Mi niliipenda sana mbunge huyu Kwa hoja safi na maelezo safiiiiiiiiiiiiiiiiii
@ibrahimmaganga3429
@ibrahimmaganga3429 5 жыл бұрын
Kwa kweli ztto ni mtu makini sana
@muhidinally3753
@muhidinally3753 6 жыл бұрын
Zitto you are 1000 people person. Excellent excellent excellent excellent
@ahmadimaarufu6367
@ahmadimaarufu6367 6 жыл бұрын
Jamani zito Mwaka 2020 njoo ugombee mtwara (v)
@abdulkareemally8371
@abdulkareemally8371 5 жыл бұрын
Zito you're so wise
@mohamedishabani7662
@mohamedishabani7662 6 жыл бұрын
mh. zito kabwa mungu akubariki sana naakulinde ili elimu yako iendee kutuelimisha hususani ss wanyonge.
@mukhsinraibi1738
@mukhsinraibi1738 4 жыл бұрын
Amewasaidia Sana jamaa Huyu Zitto yupo vizuri sana
@BRIGHTERMANGO
@BRIGHTERMANGO 5 жыл бұрын
Well said
@twalhatwalha7758
@twalhatwalha7758 2 жыл бұрын
Zitto kabwe Ruyagwa 2022 still nipo na wewe🔥
@misalabacharles2728
@misalabacharles2728 6 жыл бұрын
Zitto ni kichwa kilichobarikiwa Aiseee
@donaldsinkamba4867
@donaldsinkamba4867 6 жыл бұрын
Nimependa mpk raha
@makalanimau4649
@makalanimau4649 6 жыл бұрын
sasa ni vizuri wabunge wote wawe na elimu ukipata wabunge kama hawa 100 abuluzwi mtu tena
@sajidikaskazi2273
@sajidikaskazi2273 4 жыл бұрын
Huu ndio upinzani ninaoukubali like nyingi tafadhali
@johnsobu4062
@johnsobu4062 6 жыл бұрын
Namkubali sana jmaa huyu
@eliyamaganda8180
@eliyamaganda8180 5 жыл бұрын
Your so bright honourable zitto kabwe"""_
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 жыл бұрын
Sitakuja kumshauri mwanangu kuwa hata na kadi ya ccm hata kama marehemu wangekuwa wanaongea!..
@emmykagemb7993
@emmykagemb7993 5 жыл бұрын
Mimi na we ni mapacha
@edinamwanilwa8094
@edinamwanilwa8094 4 жыл бұрын
Ndaro Gamba Hata mm aise atakuwa huru
@hassanmbonde4391
@hassanmbonde4391 6 жыл бұрын
zito mungu akupe maishamalefu
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 5 жыл бұрын
huwa nakukubali sana. ila hapa Tz watu werevu hawanaga nafasi na huwa wanaonekana wahuni.
@albertosanga7744
@albertosanga7744 6 жыл бұрын
Information is power
@janetmtei5892
@janetmtei5892 6 жыл бұрын
Zito uko vizuri sana yani unachambua mpaka nasikia raha
@ezranairo8195
@ezranairo8195 6 жыл бұрын
Asante kwa kuwapa dalasa.100000%
@shaibunamtita7879
@shaibunamtita7879 5 жыл бұрын
Ezra Nairo zito kichwa
@andrewmgoyo8008
@andrewmgoyo8008 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua bwana dah Mh ndugai anaona km muvi ya kihindi hadi raha
@chamgegeseba6367
@chamgegeseba6367 6 жыл бұрын
saf zto kabwe nakubal umemalxa kla ktu ahsante na mungu akulinde
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 5 жыл бұрын
Nionacho Mimi kuna watu vihiyo sana ktk serikali na wanaoangusha uchumi wa mtu mmojammoja na hata vyama vya ushirika,
@saidjagger.5543
@saidjagger.5543 4 жыл бұрын
Dah chadema always is back, napenda chadema in love
@abdullyamiry6901
@abdullyamiry6901 5 жыл бұрын
zitto kweli Wewe ni mzito Kweli
@kasyupamwakibibi1615
@kasyupamwakibibi1615 5 жыл бұрын
zito kichwa sana lazima wa2 wajipangeee sana
@abuusofian1224
@abuusofian1224 5 жыл бұрын
Upo vizuri muheshi miwa
@consolathahugo2238
@consolathahugo2238 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Zito,
@jastinefaustin9982
@jastinefaustin9982 6 жыл бұрын
Big up Sana Zitto kabwe
@teclanemes5166
@teclanemes5166 5 жыл бұрын
Uko vizuri Kka!
@tysondeo501
@tysondeo501 6 жыл бұрын
mimi kusema za kweli hua simuelewi uyo mama anaetoaga taarifa katikati ya mada muhimu
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 6 жыл бұрын
Tyson Deo hajawahi kuwa sawa msamehe bule
@khadijaaziza7586
@khadijaaziza7586 6 жыл бұрын
Tyson Deo yani hata mm namuona sana huyu mama atulii yani utakuta mada za maana utasikiya taarifa yeyety
@meckymwandambo3977
@meckymwandambo3977 6 жыл бұрын
Tyson Deo mapovu sasa ya nini shauri tu serikali itakuelewa
@beatrckombe2617
@beatrckombe2617 6 жыл бұрын
Tyson Deo ccm sunawajua?
@salmaazard9793
@salmaazard9793 6 жыл бұрын
xana
@brianbasela1160
@brianbasela1160 6 жыл бұрын
Smart sana bw. Ruyagwa.unatoa mawe sana.
@adamaabdallah7767
@adamaabdallah7767 6 жыл бұрын
Respect this man
@Aisha-qe8oc
@Aisha-qe8oc 6 жыл бұрын
Hongera sana
@bernardbenedicto1373
@bernardbenedicto1373 4 жыл бұрын
Ndugai hapa watanzania ulitutendea haki na munguu atakubariki.
@agabalufulani7247
@agabalufulani7247 6 жыл бұрын
umechangia vizuri sana.
@donatuskabuje3401
@donatuskabuje3401 6 жыл бұрын
zitto namtabiria makubwa sana 💪
@mohamedsaidy2641
@mohamedsaidy2641 6 жыл бұрын
safi sana zito kabweeeee
@anuaromary4753
@anuaromary4753 5 жыл бұрын
Kichwa hicho cha tz nice sana zito
@artsonkimath2917
@artsonkimath2917 6 жыл бұрын
Duh vizuri sana, wapi Mhagama leo na miongozo yake?.Inaelekea amekubali hizo nondo .Ndugai wengekuwa upo hivi kwa kila jambo wengepata heshima kubwa kwenye hili Taifa kuliko marehemu Sitta
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 6 жыл бұрын
Fact
@mussaamiry9823
@mussaamiry9823 6 жыл бұрын
we ndo hero apa tanzania kwanza napenda unavyo ongea yani ii ni sign kuwa we ni msomi mzuri sana
@WorldView24hrs
@WorldView24hrs 2 жыл бұрын
Zitto Zidane Zubeir Zizou Kabwe Fundiii..a.k.a THE TEACHER.
@stephenulomi8364
@stephenulomi8364 5 жыл бұрын
hawa ndio wabunge wanaotakiwa bungeni
@sadaramustafa8401
@sadaramustafa8401 6 жыл бұрын
Uko sawa baba
@messithedon3114
@messithedon3114 5 жыл бұрын
Zito Ww Kichwa Sanaaa Aisee
Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
15:02
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 660 М.
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 31 МЛН
터키아이스크림🇹🇷🍦Turkish ice cream #funny #shorts
00:26
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 29 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'
5:47
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 662 М.
ZITTO YAMKUTA BUNGENI / WABUNGE WATAKA AADHIBIWE / HUU NI UMALAYA
28:51
Gangana Info Channel
Рет қаралды 103 М.
MBUNGE BWEGE: "Mnaua, Mnateka tu, Mlitaka Kuninunua nikakataa"
11:46
Global TV Online
Рет қаралды 749 М.
Zitto Kabwe aliposimama kuuaga mwili wa Samuel Sitta
8:02
Millard Ayo
Рет қаралды 315 М.
MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"
11:04
Global TV Online
Рет қаралды 111 М.
Hoja za Zitto Kabwe alipochangia bungeni kuhusu reli ya Dar - Kigoma
7:56
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 31 МЛН