Aseee hyo bibi kwa sehemu yke anajua kucheza vizuri namupa maua yke🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jacklineteresia26296 ай бұрын
Mm mutaniuwa mbavu zangu 😂😂😂 move nzuri Sana ongera doko🎉🎉🎉🎉
@Mikeallyradjubu5 ай бұрын
Bong la picha hapa ume petia sanaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@user-xm7yc7qz7g6 ай бұрын
Sonia kumbe anaweza kufoka nikajua GA mpolee jamn kila uhusika anauweza Asante doko tunasubiri sehemu ya nne❤❤
@DaudiJonas6 ай бұрын
Mfinanga hapa kwenye kutangaza soko zima duuuh 🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👏
@Mwana85Mwana85-wz1ol6 ай бұрын
Ww mama kiboko 😂😂😂😂 eti umenilete maiti hyoo bonge la eda doko 😂😂 mwaka wako akutaki ww marehem mtarajiwa ww mama kaenda zake gest doko muache ujui mama apewa nn Kwa mfinaga mpeleke moto hyoo 😂😂😂 mfinanga kumbe bad yup makasriko nyoko ww kiboko mama mfinaga mpeleke mapenz shikamo mama anaukuruuuuu balaa hyoo mama kiboko ajapata wauni 😂😂😂 akipata wauni agepelekwe moto kisawa saw
@lvanyDaniel_pw7kk6 ай бұрын
Hilo kofi la mama doko Wallah mimi uku hoi aisee mapenzi hayana adabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bibi haelewi mamaee 😅😅😅😅
@lvanyDaniel_pw7kk6 ай бұрын
NASEMA UKWEL KUTOKA MOYONI SIJUTII KUWEKA BANDO LANGU MAANA YOU TUBE KUME NOGA UKIKAA HIVI KIKONGWE UKIGEUKA FAMILIA YA MZEE KICHECHE UKA INAMA UNA KUTANA NA MISTAKE ❤❤❤❤❤ MUNGU AWABALIKI SANA WASANII WETU
@AminaAmani-nl9yt5 ай бұрын
Pamoja yaan
@user-rn1jh4fe2u6 ай бұрын
nipo mwanza ila ni mkwele wa chalinze nakufuatilia sana kaka doko na timu yako 🕵️
@Tdm_nissa6 ай бұрын
Hii movie mumetisha nacheka mwanzo mwisho waallah jamanii🤣🤣🤣🤣🤣
@Mwana85Mwana85-wz1ol6 ай бұрын
Kumekucha Kwa baba yake doko mweje mama akusi baba doko ww kipara tuliya ww 😂😂😂😂 doko mwaka huu utapewa Lana ww na mama yako ww hii movi Kali San na tamu San ngombe azeki main doko hyo aliyekupigy cm muogo sio kila mtu anayeigia gest sio kama kaenda danga kafata kazi tu za kufuu mashuka
@aishaomar22876 ай бұрын
Sawasawa tu na mwenye dada hakosi shemeji 😂😂😂🙌 🙌 🙌 🙌
@Mwana85Mwana85-wz1ol6 ай бұрын
@@aishaomar2287 kabisa
@mamamunira70756 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nimecheka doko alivyombeba mamaake juu juu😂😂😂😂😂
@aishaomar22876 ай бұрын
@@mamamunira7075 🤣🤣🤣hataki baba
@mahmoudnajad2176 ай бұрын
Mama Doko ana timbwiri timbwiri...ila anakiwasha km asha ngedere😂😂😂
@achila2546 ай бұрын
😂😂doko alimutowa wapi yule bibi mzee😂😂 Ndouzuli 😅
@johnantony71786 ай бұрын
Aiseee doko umetisha sana nakufatilia sana kila tamthilia unayo toa jitaidi bac uwe unatuwaishia maana utam kama wote Kwa kikogwe
@bienfaitjunior6 ай бұрын
Bien grand nakukubali sana,🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bienfaitjunior6 ай бұрын
Courage bro
@matukiotvonline63666 ай бұрын
Nakubali kazzz kikongweiko Good ALLY SULE HAPA FROM PEMBA UPEMBANI 🏝️🏝️ nawakilisha
@user-hc8lf2vt8r6 ай бұрын
Pemb sehem gan
@mpenzisamaki94886 ай бұрын
Bonge la movie bongo movie wakasome
@TALLUBOY6 ай бұрын
Doko ni bonge la mtu Unatunga movie kinomaa Duh hatari movie kari sanaaa Na bibi anajua kinomaaa Nakupend %99 kuwa munajua Sana DOKO NA GANG YAKO MUPO VIZURI KINOMAAA
@mpencel79806 ай бұрын
Mfinanga noma sana, nimemuona Sherukhan wa bongo, 😂😂😂😂 eti makasiriko nyoko, majirani usiku laleni bana watu wanamambo yao wanafuata haki zao usiku wa manane
@user-km8sk5dw2s6 ай бұрын
Kiukwer mm binafs yangu Doko unajuwa kuliko you tube yoyote Tz ila hujazingatiwa tu, Naimani wataelewa mda c mlefu mana dah,,, 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@everlinekenga4376 ай бұрын
Mfinanga,Doko na Sonia nawapenda sana ❤❤❤
@stevegahimbare6 ай бұрын
Asante sana DOKO kwa move nzuri kari tena tamu
@user-ut7kb4gm2y6 ай бұрын
Oy doko nimekuona leo mwanangu umepiga unyama km mond nawakubal xan xema nn mnachelewexha kz jidahid kidogo
@PrettySalmah-tt8bh6 ай бұрын
Hivi mmeona kofiii la *Kikongwe* kwa mwanae🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣et ameletew maiti 😂😂😂😂😂big up kikongwe👌👌👌👌kwakwel hii movie inanip raha ❤️❤️❤️
@stellanyamuhogota18326 ай бұрын
😂😂😂😂
@PrettySalmah-tt8bh6 ай бұрын
@@stellanyamuhogota1832 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@emanuelyohani596 ай бұрын
Mimi ningekuwa mfinanga nahama kabisa
@MoTalentTz6 ай бұрын
Sonia vs mfinanga na 😂😂😂😂😂
@ahmadichumbueni62616 ай бұрын
Wooooow naskia TU kna like embu nielkezen
@gabrielmiatus38866 ай бұрын
Nakupenda sonia sikuachii🤕🤕😁😁😁😁
@user-cj1jt9qw9f6 ай бұрын
Sonia ni mrembo sana
@user-bs8no6vg9x4 ай бұрын
Mfinanga mpakie iyo mzee kikogwe mkongo atoludi tena kwenye maisha yako
@johnkalela28106 ай бұрын
Bi mkubwa anatufata haki yake😂😂😂😂😂😂 watching Zambia Lusaka
@azizaagustino8756 ай бұрын
Nakupenda sana sonia unanikosha mnoooo ila muonee uluma uyo mkaka jmn nimelia sana unaweza sonia💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@user-kx7vd6zp2v5 ай бұрын
Nimechelewa sana kuifatilia hii but!!! Sijachelewa sana! Tupo pamoja #doko good job and god bless you
@aishaomar22876 ай бұрын
Yani bibi mkongwe ila hataki mkongwe mwenzake😂😂😂😂eti kaletewa maiti 🙌 🙌 🙌 🙌
@kibibiabdalla14516 ай бұрын
😂😂😂 bibi anamatatizo
@Bahati-wu4bs6 ай бұрын
Anataka kupelekewa moto😅
@aishaomar22876 ай бұрын
@@Bahati-wu4bs assalalaaaaa
@millicentgitaari99656 ай бұрын
Sonia tafadhali mhurumie mweje
@user-sm3kb2wu1v6 ай бұрын
Let us gather here for love❤of Tanzania actors I'm from Kenya
@user-lz8kb9ds8k6 ай бұрын
Doko na mamake😂😂😂😂😂
@onesmongulo37706 ай бұрын
Daaaa😢😢 mfinanga hii script ya kumpenda sonia sokoni ulipwe milioni tatu daaa
@erizabethjohson4 ай бұрын
Bibi nimemuelewa so powa bibi eh bigappy sana sijutii kuweka bando❤❤❤
@stellanyamuhogota18326 ай бұрын
😂😂😂sijawahi kukoment kweny hii chanel ila nacheka jamani ma Mwazo mwisho🎉🎉😂😂😂
@majutomajuto63046 ай бұрын
Makasiriko Nyoko nimekirudia hiki kipande mara 200
Eei DOKO una mama bwana big up kasi nzuri ni Professor kutoka BUSIA border Kenya 🇰🇪
@azizaagustino8756 ай бұрын
Sonia iimuvi umeitendea haki kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hamzaamry62514 ай бұрын
Huyu bibi kaupiga mwingi sana hongera sana kwake 🙌🙌🙌
@MoTalentTz6 ай бұрын
Doko mnyama 💪💪💪🖐️🖐️🖐️
@user-yl7vb9oh9o5 күн бұрын
sonia msikilize mfinanga anaumia kwako pia jasili jamani pokea 🌹🌹🌹🌹
@princepepeofficial6 ай бұрын
love from kenya doko....natamani siku moja kuigiza na ww.....napenda wenye vipara hawachekeshi
@user-mk1lj1vz3u6 ай бұрын
Kazi nzuri ❤
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq6 ай бұрын
Ili jipicha letu nkifikiria kwa haraka haraka , mfinanga atampenda uyo mshna aliemwagiliwa maji n b kikongwe ,alafu Sonia atamkubali mfinanga baada ya kuachwa n uyo jamaa yake, kma
@azizaagustino8756 ай бұрын
Sonia unawezaaaa mamaa🎉🎉🎉🎉
@blackstone44886 ай бұрын
Mfinaga kazi unayo 😂😂😂😂😂
@princekillian36406 ай бұрын
wakwanza from kenya 🇰🇪🇰🇪 much love 🔥✊
@ByamunguHerick5 ай бұрын
Umemkimesha kabisa By Dole gumba from vunja mbavu family
@JOHARI4226 ай бұрын
Nime cheka mimi mpaka basii. 😅😅😅😅😅😅
@MiriamSanga-gm1hb6 ай бұрын
Love from tanzania
@RUUAhmed6 ай бұрын
😂😂😂😂😂Ni hatareeee bib kikongweee
@user-sm4sz2eh6m6 ай бұрын
😂😂😂😂iyi movie inanipa raha saaana
@FakiBuzwhite-no6re6 ай бұрын
Mfinanga you are genious
@user-tp4sy6ym7q6 ай бұрын
Doko🎉🎉🎉safi sana
@khadijasaleh8986 ай бұрын
Doko ahsanteni sana kwa kazi zenu nzuri tunakupendeni sana
@Amani-k9d6 ай бұрын
Heeeee ili libibi alijatuliya kbs makubwa
@user-oj8uk6fq5x6 ай бұрын
Nawapenda ❤❤love❤
@user-js6lu4my3o6 ай бұрын
Jamani doko style gani ya kunyoa
@aljazisalem46926 ай бұрын
😢😢bibi weww mapenzi haya changui
@Alim-Rachel6 ай бұрын
Doko man mko vizuri sana naomba mfikishie mfinanga salamu zangu 🙌
@Reyb-oi2hp2jq5u6 ай бұрын
Yup msonyooo wa bibi kikongwe 😂😂😂
@user-ss8zw7ep1z6 ай бұрын
Doko kubali matokeyo ya baba yako ni mfinanga😂😂😂😂 big ❤❤❤❤❤❤ from Saudi Arabia