KIKWETE, CCM WATAJWA KWENYE MKASA MZITO MBELE YA MAKONDA, "NIMENUSURIKA KUFA MARA TATU"

  Рет қаралды 67,936

Uhondo TV

Uhondo TV

5 ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 108
@Imaniamockgmail
@Imaniamockgmail 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mheshimiwa makonda❤🎉🎉🎉🎉🎉
@mercypeter162
@mercypeter162 5 ай бұрын
Sikua Na mpango wa kupiga kura. Ila ukkgombea MAKIGOMBEA MAKONDA ntaenda kupiga kura
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 ай бұрын
Mpaka mzee anatia huruma na ametumikia kwa uaminifu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 ай бұрын
Sheria za utumishi wa umma ni dhaifu inapaswa zifanyiwe amendment
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Katika kitu chaakili ulichosema kifanyiwe kazi amendment
@froma3732
@froma3732 5 ай бұрын
Wakili msomi unasoma hiyo
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 5 ай бұрын
Sawa kabisa
@othumanomari1589
@othumanomari1589 5 ай бұрын
Nssf 😪😪. Mpaka nimeamua niwaachie michango yangu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Wazanzibari wanakungoja kwa ham
@user-ss5wb3sj1i
@user-ss5wb3sj1i 5 ай бұрын
Mungu akubariki baba yetu ameteseka kwa malipo yake. Amepata Muujiza.
@marundaye3613
@marundaye3613 5 ай бұрын
Makonda , Mungu akupiganie . Dr Samia oyeeeee!
@lauriankajugusi1776
@lauriankajugusi1776 5 ай бұрын
Watanzania wote tujiulize, Mh.Makonda kaumbwa na Mungu yupi,nasi hususan wake walio na nafasi za kuweza kuyafanya haya yaliyo mema kwa wenzao na sisi tumeumbwa na Mungu yupi!? Hii yatukumbusha Hayati Magufuri! Ee Mungu mwenye huruma tuongezee watu wa aina ya Makonda, angalau 100, alafu waangazie viongozi wenye mamlaka ya kuwateua ili wawaudumie wananchi kwa mtindo huu wa Makonda wawaone atakuwa amempunguzia amigo mkubwa kijana huyu mwema.Mungu tutunzie mwanao huyu, maana yu capita ktk njia zikupendezazo.Amina..
@AbdallahYanga-yu2or
@AbdallahYanga-yu2or 5 ай бұрын
Angenifaa kuwa waziri mkuu namuelewa sana pambana tupo pamoja
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 4 ай бұрын
Makonda kiukweli nakukubali unatenda haki
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Mnacheka na ccm! Hizo hela anazogawa Makonda kumbukeni baada ya uchaguzi mtazitapika zote kwa tozo na kodi kubwa!
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 5 ай бұрын
CCM Mungu anawaona honestly loooh aibu
@Paultapuka
@Paultapuka 5 ай бұрын
Mungu ukulinde makonda ❤
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 5 ай бұрын
Hao watu wa Alizi mnawalea
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 5 ай бұрын
Kwa hiyo bila makonda ilikuwa ndio basi tena
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 5 ай бұрын
Du kweli
@simumbaken4902
@simumbaken4902 5 ай бұрын
One komando
@shamimukanju8402
@shamimukanju8402 4 ай бұрын
Makonda nakuelewa piga kazi,
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 5 ай бұрын
hawa mafisadi mawaziri na wakurungenzi mungu awalaani kabisa,, RIP JPM
@mwarabumbarak4342
@mwarabumbarak4342 5 ай бұрын
Lakini wakati huo 2005 si magufuli alikuwepo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Huyo Makonda yupo kwa muda tu akishakamilisha kuivusha ccm na mafisadi wake kwenye uchaguzi ujao hamtamuona Makonda kwenye nafasi hiyo! Mbona umeme mgao kila siku! maji shida? Dawa ya ccm ni kuikataa ccm na mafisadi wake wote uchaguzi ujao.
@maulidasaa9407
@maulidasaa9407 5 ай бұрын
Tunakukubali lkn usiwafosi watu kwe kutua Hela zao kwani pengine roho zao zina kinyogo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Kama hawataki kufosiwa walikuwa wanasubiri nn tangu 2005?.siwalitaka afe?.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Makonda ni jAJI wa mahakama kuu
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q 5 ай бұрын
Makonda kaumbwa naule udongo origino wamungu maana hakuna kama makonda nawanao mtukana wanajitukana wenyewe makonda chanja mbuga babaa mzungu wakisukuma
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 5 ай бұрын
Kwani kunamtu alieumbwaa na udongo feki
@allyabdalla4228
@allyabdalla4228 5 ай бұрын
Kaka etu makonda unajitahidi kupambana ila uwe makini Kuna watu hawaguswi nchii Ni waungu wa aridhini
@JlmwinukaOnlineTv
@JlmwinukaOnlineTv 5 ай бұрын
Mungu akulinde makonda❤
@SimaRuta
@SimaRuta 5 ай бұрын
😢
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 5 ай бұрын
MUNGU ATAKUSIMAMIA KWA KAZI NZURI NA PIA UTAZID KULINDWA KWA LAANA NZUR KUTOKA KWA WAZEE KAMA HAO, BABU ZETU, MUNGU AZIDI KUKUPIGANIA KWA KILA LENYE SHARI.
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 5 ай бұрын
MUHESHIMIWA MAKONDA MUNGU AKUPE AMANI WEW NA KIZAZI CHAKO CHOTE MAISHA YAKO YTE
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 5 ай бұрын
Hivi hao waliosababusha walalamikaji hao kukwama ndo inaishia hapo au wanachukuliwa hatua baada ya hapo?. Sioni hatua kwa wahalifu hao ila ni wahusika kusaidiwa tu.
@user-cu3dg8xd7q
@user-cu3dg8xd7q 5 ай бұрын
Watu wanaumia kwa sababu ya Fisiem hapo hapo wanasema Fisiem hoyeee😅😅😅😅😅😅 Nchi inavilaza ndio Mtaji wa wana Fisiemu😅😅😅
@user-xx8jx6tb7d
@user-xx8jx6tb7d 5 ай бұрын
Yaan hapo Safi sana hapo kwa hapo ama kweli malpo ni hapa hapa kwa Mungu hakuna kinachoshndkana utazulumu ila ipo cku Mungu atawaletea mtetez hvyo mama yetu aliongozwa na Mungu ili amchague huyu baba ili aweze kutetea wanyonge, 2005 had Sasa jiulze wamepita viongoz wangap.
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Mheshimiwa makonda chimba makaburi hata sehemu yamakaburi mengine utakuta mazombi yako hai ndani ya makaburi,piga kazi makonda watanzania wako nyuma yako
@anthonytido
@anthonytido 5 ай бұрын
@user-vy6st5ki2v
@user-vy6st5ki2v 5 ай бұрын
Makonda mungu akubariki uje na kilolo uone mkoa iringa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 5 ай бұрын
Ona watendaji wa serikali walivyo na roho mbaya kiasi cha kupata laana kirahisi kabisa kisa kutokua na utaratibu wa makabidhiano ya ofisi ni kuhama na kuwaza wizi tu! Miaka 19 baba yuko barabarani nyie watoto mko ofisini na viyoyozi! Wote mliohusika na uzembe Hata mkilindwa hamtaacha kukinywea kikombe hichohicho!
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
WAFANYAKZI WENGI WANALIA NA CCM
@josephdogani3419
@josephdogani3419 5 ай бұрын
Tstixo la nchi hii ni ccm.bila kurudisha namlaka kwa wananchi kwa kuiondoa ccm madarakani.hsiwezekani chana kipo madarakani miakavzaidi ya 53l leo kila kona ni malalamiko. Ccm haiwezi tena muleta ahueni yeyote ktk maisha yetu.huyu mskonda anachokifanya no jsanii tu es kuntsfutia mama kura. Mfimo mzima umroza Kiiini cha matatizo no kukosekana j kwa uchaguzi huru na haki. Sasa anachokifanya huyu ni kuwaambia watanzania kuwa hiki chaama hakina ufumbuzi wa matatizo.kimedhindwa kuongoza na hakitegemeki tena. Naomba mniambie nyinyi mnaomshabikia ccm kwa hapa tulipo fikia mnaskili timamu kweli Kwanza uonevu nabfhuruma ndio mtindo wao wa kubaki madarakani.? Watu wamrkata Tamara mpaka wapeleke matatizo kwa meenezi. Huyu sasa anaingilia utendaji wa serikali. Toka lini ktk nchin iliyopata uhuru miaka zaidi ya 60 watu wafikie hstua ya kupeleka matatizo kea mwenezi
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Wizara ya ardhi nchi nzima ni mazurumati! Ndiyo yanatengeza migogoro ya ardhi! Mungu ayalaani! na ccm yao!
@user-tn6iw6dm5z
@user-tn6iw6dm5z 5 ай бұрын
Watukama hawa ilitakiwa kufukuzwa ndoo dawa yao makufuri hoyee ningetamani mawazo ya makufuri na nyelele waenziwe
@BIGCHENDREADLOCKS
@BIGCHENDREADLOCKS 5 ай бұрын
Ndo serikali ya ccm
@KaroliMagana
@KaroliMagana 5 ай бұрын
Niyafurahi nikiona mrejesho wa kupatiwa haki zao wote unao wasikilizaga
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 5 ай бұрын
Aibuu, hivi kweli ccm ipo kihalali?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Makonda abaki mahakama zifutwe makonda anatosha
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Hapo sasa
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 ай бұрын
Makonda hawezi kugombea uraisi, hana ufahamu wa kutosha.
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 5 ай бұрын
Safi Makonda sasa ninayo Kadi ya Ccm ya elecklonic kulaleki chapa kaz hadi kieleweke.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 5 ай бұрын
Mahakama zote zifutwe abaki makonda
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
Toka 2005 walikuwa wakibadilishana tu hata aibu hamna loh
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
PESA SOTE WANAKULA WENYEWE TUU UKUTE HUYO MEYA ANAJUWA ZAIDI KUHUSU HIZO PESA . NDIYO MAANA ANASEMA . ATAONGEA NA MKUU WA MKOA. LAKINI.WASIJE WAKAMKATA HIZO LAKI NNE.
@user-xq1cx7qg5s
@user-xq1cx7qg5s 5 ай бұрын
Nimependa namna CDE P.Makonda anavyosikiliza kero za wanyonge
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose 5 ай бұрын
Makonda kazi unayo fanya ni nzuri saana. lakini je' serekali iliopo sasa inajielewa? Mambo haya yote yaliofanyika serekali ikowapi?
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
UMEME WAPI
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 5 ай бұрын
Makonda kaka MUNGU akubariki sana wewe na uzao wako kaka
@user-cu3dg8xd7q
@user-cu3dg8xd7q 5 ай бұрын
Hii nchi bado ya ajabu sanaa sanaa
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 5 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda sasa ni dhahiri umuhimu wa katiba mpya itakayo hakikisha uwajibikaji wa watumishi wa uma inahitajika. Mshauri mama asaidie watanzania mara moja kwa zote kupitia marekebisho wa katiba. Immagine kwa mapenzi ya Mungu Makonda hayupo, huoni hizi jitihada zitapita na ninyi? Tuachieni bible(Katiba) ili majina yenu yaishi milele
@emakoresahili
@emakoresahili 5 ай бұрын
Hivi Hawa watendaji wakoje lakini?? Yaan tangu 2005 Mzee kastaafu hadi leo Mzee anatafuta haki yake. Hivi mkoje lkn??
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 5 ай бұрын
Nakama wangempa ndani ya muda wala asingezeheka huvo
@richardchawenda5938
@richardchawenda5938 5 ай бұрын
ni wana roho mbaya saana
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 5 ай бұрын
Mhusika amechukuliwa hatua gani kwa kosa la hivi?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 ай бұрын
Mwenezi naomba kuuliza maafisa utumishi wa uma hawafutilii hata mikutank yako ,huwafuatilii kama wanawachukulia hatua hao wanaowavuruga wananchi?
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
NI MFUMO waliouweka unawaruhusu Tunahitaji MFUMO MPYA KATIBA MPYA
@user-fc5qq4je3l
@user-fc5qq4je3l 5 ай бұрын
ningekutana na katibu makonda ninaneno mojatu lakusema kwake
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 5 ай бұрын
Propaganda ndo dawa yake hiyo😂😂😂
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 5 ай бұрын
Makonda huoni CCM ndiyo inatengeneza matatizo Na haiyatatui bado wasema CCM OYEE hivi mnaweza jitafakari kweli. Nikuambie kifo cha CCM hata cha Idi Amini kitakuwa na nafuu. Jamani CCM jitafakari I.
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 5 ай бұрын
Hongera kwako kwa kuona hilo. Wenzio wamefunikwa na giza nene hawaoni hilo
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 5 ай бұрын
Miaka kumi na tisa duuuu,
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 5 ай бұрын
Viongozi wa chama Aiza hawawezi kuwasimamia watumishi waliopo chini yao au wakisema wanazalailika ndo maana shida hizi
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 5 ай бұрын
Kipofu kasanuka 😂😂😂
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 5 ай бұрын
Kwani kati ya mzee na chama nani alitangulia kua hapo mbona nikama hao nivijana wanajuaje chama kinahaki wakati huyo mzee ndio kama waasisi wa chama hivi vijamaa vingine ni vilaza na rushwa ndio mipango badilini sharia kamateni haya majitu yafungwe
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam 5 ай бұрын
Makonda nakukubali
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 ай бұрын
Ukisikia vitu vingine vinauma sana na makonda ww ni simba wa haki za watanzania ccm itakukumbuka 100 to come
@froma3732
@froma3732 5 ай бұрын
Sio kesho aende iwee story
@salimmalaka256
@salimmalaka256 5 ай бұрын
HAYO MALIPO WAONGEZEWE NA 25% JU KILA MWAKA KWA KUCHELEWESHWA KULIPA MILIONI MOJA YA MIAKA HIYO SIO SAWA NA YA SASA.
@user-pz5mf7ks9j
@user-pz5mf7ks9j 5 ай бұрын
MAKONDA, MAMA SAMIA AKIMALIZA MUDA WAKE NA ULIWA HAI CHUKUA NCHI TUTAKUPA KULA
@swibewilliam4939
@swibewilliam4939 5 ай бұрын
kiténgo chà propaganda. tubuni. kuna uwezekano umesababißha maisha ya watu wengine kwà kufànya kazi kwa kiténgo chà propaganda.....
@user-eg4hk9pg5o
@user-eg4hk9pg5o 5 ай бұрын
Jembe kama jembe
@user-zp1ij9rq9v
@user-zp1ij9rq9v 5 ай бұрын
Kama nchiyetu singe kua nahaya tungekua kama dubai
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Libidi MUNGU Aone Nyakati na majira
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 5 ай бұрын
John pombe Joseph junior
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 5 ай бұрын
Drama za ccm Enyi watu hii ni aibu
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 5 ай бұрын
MAKONDA UNAFANYA KAZI NZURI SANA ILA TUNAKUPA MZIGO MKUBWA SANA MAANA WEWE NDIYO UMEKUWA MAHAKAMA,PIA UMEKUWA HAKIMU NDYO UFAHAMU KUWA HUKU CHINI HAKUNA WATU KABISA NA NCHI HII NI KUBWA HAUTAWEZA KUMALIZA MATATIZO YOTE UNAPOTOKA WATU WANARUDI KULEKULE.TENA WANADAI NENDENI KWA MAKONDA HII NI HATARI SANA
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 5 ай бұрын
Ndio maana Katiba mpya Katiba mpya itaweka sheria mezani. Haya afanyayo Makonda Aka Bashite kwani wakuu wa Mkoa , wa Wilaya, Wabunge, Mawaziri/Manaibu Husika na wizara, Polisi, Mahakama wanalipwa mishahara nini kazi zao?? Hii inq maana kuna UOZO mkubwa sana ndani ya Serikali ya CCM na Bashite siye anweza kuyamaliza!! Na dhahiri wateule wake Rais ni wabonu kiasi kikubwa! Katiba Katiba mpya na tune huru. Rais umenena mahali kuwa mabalozi wasiingilie chaguzi nini unachokiogopa na hautoi hata senti moja
@rev.josephatmagori7209
@rev.josephatmagori7209 5 ай бұрын
Mhe. Makonda uko sawa, usipofanya unachofanya, wananchi watakimbilia kwa mwingine. Watendaji ndani ya Serikali na Halmashauri wakuvumilie tu. Mkia wa m uzi hufagia unapolala.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
TENA HUYO MAKAMBAAÄ
@user-lc6ce8pb9b
@user-lc6ce8pb9b 5 ай бұрын
hili jinamizi kbs, bumbuli wanaifanya ndo wenyewe hawataki kungo"ka madalakani
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 5 ай бұрын
Mungu amuumbe samia amuumbe makonda, samia akamteua makonda , namungu akamchukua jpm, mzunguko wamaisha😮😢😢
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
IAIBU KWA CCM
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
Kubwa alafu kuna watu bado wamelala wanaimba mbele kwa mbele, unapigwa mwingi 🚮
@salimmalaka256
@salimmalaka256 5 ай бұрын
​@@leokamil6284WEWE NI CHADEMA.
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
@@salimmalaka256 Mimi sina chama chochote ila nasimamia ukweli
@leokamil6284
@leokamil6284 5 ай бұрын
@@salimmalaka256 Nasikitika sana miaka 62 lakini umeme shida maji shida Elimu duni
@salimmalaka256
@salimmalaka256 5 ай бұрын
@@leokamil6284 LAKINI SIJAONA COMENTS YAKO YEYOTE NZURI KUHUSU CHOCHOTE KILE INAKUWAJE??? BASI HAKUNA JAMBO ZURI KWAKO HATA MOJA??
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 5 ай бұрын
Watanzania ni ng'ombe kwa kweli makonda Ana jitolea kusikiliza kero Watu wanaongea matatizo binafsi Hawa ndo watanzania,ubinafsi umewajaa
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
Kwani anatumia pesa zake ingekuwa BURE angeenda?
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
Ubinafsi gani akiwa hayupo itakuwaje? Nchi inaongozwa na KATIBA SIO MTU
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 5 ай бұрын
​@@user-nn6zq1ok7ihakuna sheria hapo zaidi ya kutuamisha kua ccm ni chama cha majambazi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 5 ай бұрын
Mpaka mzee anatia huruma na ametumikia kwa uaminifu
@mercypeter162
@mercypeter162 5 ай бұрын
Maskini mzee mwenyewe mpoole adi huruma
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 35 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 64 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 208 МЛН