Pastor CASSIAN Mungu wa mbinguni akutie nguvu kwa kujitoa kufa na kupona kukemea na kufunua watumishi matapeli kama hao,ubarikiwe sana sana.
@ruthhamisi29026 ай бұрын
Ni kampeni na ajenda ya shetani katika makanisa ili waache njia ya yesu,tuombe sana na tusome biblia tuijue kweli ya yesu na ituweke huru, Mungu akubariki mtumishi PASCAL kukemea haya Yesu anarudi
@evalinekitomary43075 ай бұрын
Kanisa linahitajika kuomba kwa bidii sana maana shetani ameingiza dunia kanisani😢
@MosesShileka5 ай бұрын
O@evalinekitomary4307
@NEMAMnyahati6 ай бұрын
Pastor cassian mungu alikuponya kwa sababu alikuwa na mpango mwema kwa kanisa la saivi yesu akufunike kwa mbawa zake ili tupate kuijua kweli ya mungu
@SekelaJakson-ls7dd5 ай бұрын
Kumbe alipona
@Robbymabangoprinting6 ай бұрын
Wanaomkubali Cassian Gonga like hapa💪🏻💪🏻
@EbsonMakanika6 ай бұрын
Mungu, akubariki,sana,kwa kukemea manabii wa uongo
Baba nakufata kabisa mimi Niko mukongomani lakini nilishangaa Sana n'a maneno a na ambiya watu. Kweli watuwameangamiya kwa kukosa maarifa watu wamefungwa ma cho kweli. Watu wame kosa mafundisho
@LylianeBaumaLyly6 ай бұрын
Hoo yesu tusaidiye😢😢😢 kwanyakati za zamwisho tutayaona mengi na kuyasikiya huyu siyo mutumishi wa Mungu kweli alaaniwe kupotosha tu watu Mungu nipe mwisho mwema mutumishi wa Mungu ubarikiwe
@MichaelMwalingo6 ай бұрын
Nakupenda sana una hubiri injili ya kweli mungu akupe siku nyingi sana
@PhilipobonifacSado6 ай бұрын
Mungu atakulinda mungu ajawahi kushindwa
@beatricemwashiti77636 ай бұрын
Mungu aziyakiwi, wanakuja kuchafuwa jina la yesu ata wachafulishe jina la yesu, Mungu atabaki kuwa Mungu
@Filemonclemens5 ай бұрын
Pastor cesan mungu wambinguni akulinde tunabalikiwa sana nainjili yakweli naomba kibali chakua mtotowako wakiloho nakujifunza injili yakweli nakupitia mafundisho yako nimekubali kumpokea yesu kuabwana na muokozi wa maisha yangu tangu sasa
@eliaskabila11066 ай бұрын
Mtumishi Casian ubarikiwe sana kwa kusena ukweli endelea tu na Mungu atakulinda hakika
@nachibhona40226 ай бұрын
Mungu akutetee kwa kazi nzuri iliyojaa hekima na hofu ya Mungu juu ya kazi hii
@AlfredyLimu6 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa MUNGU endelea kuisema kweli wakupona wapone na wakupotea wapotee
@StephenZangira5 ай бұрын
Mungu wa Abraham akulinde Ev. Paschal Cassian na atulinde pia wote sis wana wa Mungu azidi kutupa Hekima na Ufunuo,huu ndio wakati wa Mwisho
@georgekifyasi12056 ай бұрын
Oooh Mungu wangu,hizi nyakati za mwisho kwahakika Yesu anarudi jihadharini enyi wanadamu
Hakika umesema kweli, mungu akupe maisha malefu malefu sana mtumishi wa bwana yesu
@JanetAdislous6 ай бұрын
Bwana haandikwi kwa herufi ndogo jmn huyu anakuwa ni bwana wa Dunia Bwana hata bibilia inamtamka kwa herufi kubwa
@EsauDola5 ай бұрын
Casian wew ni mtumish
@MariumChristopher6 ай бұрын
Munguu akushikee mkono masii wa bwanah
@leticiamakoye48716 ай бұрын
AMINA . BWANA YESU kiristo wa nazaleti akulinde pasical casiani. BWANA awakemee watu Kama Hawa ktk taifa letu.ubarikiwe Ubarikiwe casian na watumishi wote wanaoihubiri kweli ya BWANA na utakatifu.
@isaacmihigo64006 ай бұрын
Ubarikiwe baba, Mungu asaidie watu wale waliopotelea kwa kiboko ya wachawi
@RamadhaniJofrey-x1h5 ай бұрын
Watu wangu wanangamia kwa kikosa maarifa,kweli na bado wanasema aminaa.viongozi vipofu wananongoza vipofu
@paulpastory11936 ай бұрын
Mungu akutie nguvu Baba msema kweli Pascal Casiani Tunakuombe
@HappyHappynes-c5s6 ай бұрын
Amina munga azidi kumulinda
@Evangelist_DannyVuninga6 ай бұрын
Binafsi namshukuru Mungu aliye kuita ndugu Paschal. Huduma yako inatubariki sana.
@happinesserasto48066 ай бұрын
Sjawai kuona nabii hasie na hekima na hofu ya Mungu kama ww unaejiita kiboko ya wachawi, Yesu akusaidie uokoke kwa jina la yesu kristo
@gosbertmuta54216 ай бұрын
Huyu ni nabii wq wachawi
@HamoudMahamud6 ай бұрын
Unaonekana wewe ni mshamba wa wa wachungaji uliza wazee wako nini maana ya dini,,,,halafu utapata dini za kileo ni nini?
@NdelimbijohnSwai-k5s6 ай бұрын
Injili ya kweli ni kuwafundisha watu kuacha dhambi na kumrudia Mungu na kumkiri Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yao na kuishi utakatifi ni lazima
@aneth21046 ай бұрын
Wee Cassian Fanya kazi acha majungu waache kiboko kateuliwa na Mungu Fanya Yako acha ya watu
@ElizabethJeremiah-gq5pr6 ай бұрын
@@aneth2104mungu????? whoooo???
@BeatriceMlowe-iz5uj6 ай бұрын
Ubarikiwee sanaaa casian Mungu akutunze na akupe mwisho mwema ❤❤🎉🎉🎉
@DanielNasibu6 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi Dunia imefika mwisho mungu atusaidie
@MichaelMwalingo6 ай бұрын
Mungu ukutangulie mbele safi sana pasical cassian ulindwe na mungu alie hai
@PastorVitalisSheshe6 ай бұрын
Mtumishi Ubarikiwe sana.Isaya. 58:1 ukosawa.
@ErnestSaileni6 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu na akuzidishie maisha malefu uzidi ufundisha kanisa lifike mbinguni amen.....
@EvaPaulo-f4n6 ай бұрын
YESU atusaidie tuitambue kweli, Mungu akubariki baba
@sarahkeivaly33516 ай бұрын
Mtumishi Cassian, Mungu akutie nguvu sana, Zidi kukemea na kukaripia na kuonya kwa nguvu zote; Kiukweli tuko mwishoni sana, Mungu alisaidie kanisa lake
@morrissanyano36546 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@HagaiAnthony5 ай бұрын
Mungu azidi kukupigania mtumishi wa Mungu.
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Amin babaaa sema ukweli maan mungu anawatafuta kama nyie kwa kuuliiinua jina LA yesu
@ahazichunya42656 ай бұрын
Hakika umeitwa na Mungu Mtumishi Katika kuonya na kukemeaa Amina
@Life100616 ай бұрын
Amina baba sema ,yani kwa hapa dar es salaam matapeli wengi sana siku hizi
@drheriethkamote81135 ай бұрын
Man of God,I have never understood you before,but now I know it is the mercy voice of Yehova using you.Mercy mercy to the us who hears this.
@RuthMaxwell-k1c6 ай бұрын
Aminaaaaaaaaaaaaaaaaa pasta mungu akutie nguvu
@GodfreyMakala6 ай бұрын
Mungu akubarik sana kaka yangu
@justingeorge24516 ай бұрын
Kweli babisa Mungu atusaidie sana jamani Tanzania yetu tuokolewe na hii laana,Yesu alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, tatizo hawajui Neno la Mungu.
@Rajabuswale-h8m5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.Injili hii ndiyo inayotakiwa kwa sasa, maana dhambi inapepelewa badala ya kutubu dhambi watu wamgeukie Mungu
@AmaniMushi-c2u6 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu. Namimi nina ungana na wew kuwa na ALAANIWE
Tuko tunamfuatilia kwa utaratibu mchungaji anatubarki na neno la mungu,mungu ambariki sana mchungaji
@ChristinaMunis5 ай бұрын
Mungu atusaidie
@KulwaModika5 ай бұрын
Mungu aliye juu sana akukumbuke akulinde akutunze kwa mbawa zake mtumishi tupo pamoja tunakuombea baba
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Naumia sana kuona watu wanavyoenda kuzim ,jmn okoken yesu anaumia kuona watu wake wanapote yeeeesu tusameeee ,samee tanzania ,sameee afrikaaaa turehem yesu na hawa manabii wa uongo eeeeyesu usitupiteee
@mapendodorcas26346 ай бұрын
manabii wengi wahuongo wanazidi kujitokeza, na injili ya kweli inaanza kupotea, hatuambiwi kuacha dhambi na kutubu, bali pokea nyumba,magari, ma contains... Mtumishi, hendelea kukemea dhambi na Mungu wetu aku protect kwa njia zote Amen 🙏🙏🙏
@jovettedenise25916 ай бұрын
Mungu akulinde na akupe uwezo na mamulaka yakuyiendesha zayidi injili ya ukweli kupitiya madabahu haya wengi tumepona.usichoke wala usinyamanze na Mungu atuwezeshe tukushike mukono ili injili iwafikiye wengi❤❤❤
@Ushindiemmanuelushindi6 ай бұрын
Watu kama Cassian wanahitajika sana Tanzania jamani katika jina la yesu ❤❤❤
@fedhajoseph76876 ай бұрын
Kweli kabisa
@felisterpaul18156 ай бұрын
kweel kbsa mwinjilist
@felisterpaul18156 ай бұрын
ila tuwaombee pia, ni mbinu za shetan kupotosha watu wa mungu
@FaustineTz5 ай бұрын
Sema Mtumishi wa mungu
@JosephinaJackson-kq6ms4 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu ili uendelee kudumu ktk kuielezea kweli yote
@Kabendera-s1w5 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu Ev. Paschal Cassian upewe Nguvu ya kutosha upate kupepeta hawo watumishi wa Shetani
@SimonPaschal-g9s6 ай бұрын
Mungu akulinde siku zote ktk maisha yako
@priscajeremiah75106 ай бұрын
Barikiwa sana mtumisji wa Mungu
@GiftMkwizu6 ай бұрын
Mungu akubarikii kwa kusema kweliii
@DorcasKassim5 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@BitKeymenelyabramelinMenelyabr6 ай бұрын
Nakubali sana casian mungu akutie nguvu iri uenderee kuisemea kweli nulu katika giza
@PhilipoTlatlaa3 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi pia akufunike kwa dam ya yesu
@EzekiaMichael-jn5np6 ай бұрын
Cassiani Mungu akubariki Kwa kazi ngum unayoifanya
@YOHANARIREMMA6 ай бұрын
Mungu akufikishe mbinguni kwasabbu umezijua sili ukiwa ndogo mafanikio yaako uliapata huko badae ukaokoka hongera sana
@hellenngwilla5506 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana 🙏🙏
@MussaNkombanira6 ай бұрын
Amina mutumishi
@JanethMkala6 ай бұрын
Sina la kusema..Casiani...Mungu akulinde
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Jmn tumwombe mungu akupe macho ya ndan ili kuwajua hawa maajenti wa kuzim achen kupeleka watu kuzm kuzim ni kwaajili ya shetan
@jacquelineswai6026 ай бұрын
Pascco Mungu alikuponya na ile Ajali (mauti kwa makusudi kamili mtumikie Mungu wa kweli Baba
@ahazichunya42656 ай бұрын
Hakika ameitwa na Mungu kuponya watu wa Mungu pengine alitumiwa na maajenti
@kabwefrancine995 ай бұрын
mungu gani wewe una muzungumizia?' eti ame tumwa na mungu ku ponya watu,pole sana
@bethmahela21826 ай бұрын
Acha kuwasema watumishi wa mungu hivi pepo anaweza akamtoa pepo mwenzie
Ubarikiwe kwa kusema kweli ,nakukubali kabisa maana unawaweka wazi manabii wa uongo na makristo wa uongo, mtu yeyote asiyemhubiri KRISTO kwamba watu wamwamini maana ndiye njia kweli na uzima wa milele na alaaniwe,
@ruthhamisi29026 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,ndivyo yesu alisema,
@Jimbi_tv6 ай бұрын
SIO WANA ANGAMIA BALI BIBLIA INASEMA WANAANGAMIZWA.... isome vizuri hilo andiko
@Jimbi_tv6 ай бұрын
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
@ruthhamisi29025 ай бұрын
@@Jimbi_tv thanks
@ShukuTete-wb1fp4 ай бұрын
Mngu akubaliki mtumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤❤
@NesterHowa5 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi songa mbele katika kuokoa nafsi za watu zilizotekwa
@RehemaElias-el3jg5 ай бұрын
Ndy mtumishi yaan mwenyew macho ya rohoni unaona kabisa kuwa Hugo kiboko wa wachawi nipepo kamili kutoka kuzim yesu na akukemee wew kiboko wa wachawi
@OmbenKabela-ys2mq5 ай бұрын
Asante baba Cassian. Mungu azidi kukupa kibali
@NgoshaJames4 ай бұрын
Naikubali sana injili ya Mungu kupitia kwako mtumishi
@evamajembe53026 ай бұрын
Asante, san mtumishi hakika unatuweka ktk kweli, endelea kusema ili cku ya mwisho wacje wakasema hawakuckia kuhusu injili ya yesu kristo, iliyo ya kweli,
@bertinIgnas6 ай бұрын
Katika jina la yesu kiristo, damu yake ikufunike, juu chini kulia, nakushoto mungu akulinde mana umesema kweli, hata mm nimesikitika mno.
@dorothswai5 ай бұрын
Mungu Akutunze uingiapo na utokapo Mungu Ameahidi atatenda.❤
Hatuwezi kushindana na Kweli, kweli ndio Nuru yenyewe. Mungu akutunze kaka.
@jubilethfestourio4506 ай бұрын
Mungu akulinde chochote kitakachoinuka juu yako hakitafanikiwa
@GodfreyJames-zt6ig4 ай бұрын
Ongela sana Hawa ndio watumishi wa mungu ambao wanamtumikia mungu kwa loho na kweli
@EsterbernardoVumo-kn2xv6 ай бұрын
Amina Mtumishi Wa Mungu Na MunguAkubsriki Sana.
@NTEMI-OBURUDANI6 ай бұрын
Ameni ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@SelestinaJohn-r5p5 ай бұрын
Mungu aendelee kukufunika kwa utukufu wake
@mbezisalasala95366 ай бұрын
Watu wengi hawataki kuambiwa ukweli. Utasikia huyu naye anahukumu amekua Mungu? Tuko kwenye nyakati za mwisho watu wameziba masikio. Baba unaipambania injili ya kweli Mungu akubariki sana
@RehemaValerian6 ай бұрын
Mungu akubariki Sana katika huduma yako yaan unahubiri injili ya kweli ya Yesu kristo🙏🙏🙏
@Gospelmusci6 ай бұрын
Amina pasita ashindwe kwa jina la yesu
@PavlovBestfriend-fb3kh6 ай бұрын
Kweli kabisaa, barikiwa na Mungu Cassian 🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AllyBabu-kr6lg6 ай бұрын
Mnaacha kukubali yesu mnamkubali cassian acheni ujinga.mungu mwenyewe kamuhumba mbaya kwa siku ya ubaya soma isaya 54.nacho kushauri we mtumishi muhubiri yesu so kumhubiri kibko ya wachawi au kakupa pesa umporomoti kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa
@FrankMisana-b2y6 ай бұрын
Huyu ndo shetan mkubwa
@ENOCKAMOSI-zv2dr2 ай бұрын
Usije ukalaaniwa na wewe
@ENOCKAMOSI-zv2dr2 ай бұрын
@@FrankMisana-b2y isije ikawa na yeye Ni mshirika wa kiboko ya wachawi!
@RubazaReuben22 күн бұрын
Pastor ame vaa cheni shingoni iyo ina wezekana
@ruthmwamburi7566 ай бұрын
Alie ndani yetu ni mkuu kuliko aliye inje.Injili ya Yesu ivume.
@MarthaMagibo5 ай бұрын
Mungu akutunze na kukulinda
@chantalmariesony29966 ай бұрын
Pastor Paschal namupa 10000000 points ❤❤❤❤❤❤
@nancykaseko6 ай бұрын
Hallellujah Yesu akutunze man of God
@MichaelMwalingo6 ай бұрын
Natamani kujifunza sana kutoka kwako cassian
@joanniejeremie5 ай бұрын
Mungu akutunze na akufunike ktk mbawa zake usizurike na Hila zozote
@johnvenance46326 ай бұрын
Mimi naitwa john venance niko mwanza sina kazi na uchumi wangu umeharibika sana maisha magumu mno. Pastor nifungue
@cleverlinga33895 ай бұрын
Piga kazi bro
@MuhandiJohn6 ай бұрын
Pascal casiani wasio kwelewa hapa sizan Kama watakwelewa mungu akusimamie buro ❤❤❤❤❤❤